Pongezi Kwa Simulizi Zuri Yenye Mafunzo 1Tamaa Si Zuri Vile Selesa Na Mama Yake Walivyo Mufanyia Ndeleza 2 Waliotuma Na mama Selesi Wakazikiliza Wako Wapi? saa Hii 3Huyu Alilolewa Na Kumundangaya Mahiri Akitaka Mali 4 Bisalama Alivuna Alichokuwa Anatamani
Wa pili leo jaman na mimi nipen like zangu
MashaaAllah hongera sana ndereza apangalo Karim binadamu hawezi kulipanhua
Wakwanza nimpeni mauwa yangu❤❤❤
Wow ❤🎉 ngoja nikae kwanza
nashukulu sana nilitanan sehem tatu pia iwepo
Mashaallah hongera dadangu mungu akuszidishie
Ahsante kwa simulizi tamu tunaomba nyingine nzuri Kama hii
Tamu sana
Mbarikiwe 🌹🌹
Amin
Mammu mohd "" huwag tunz zako kalii san .
Mpe mauwa yake 🎉🎉🎉❤
@@ftimaramadan4748 kwa kwel hatar 💐💐💐🌻🌺
Ni nzuri kweli❤❤❤❤❤❤
Daah simulizi tamu ❤❤🇴🇲🇴🇲
Ni story nzuri yenye mafunzo
Haongera m🎉🎉🎉🎉🎉❤ Allah kila jambo🎉😢
Huyu mzee gato sialiona amepatia kwamke mdogoo mm Hata nisingemfungulia Mlangu akafiehuko kwamkewake mdogo
😂😂😂😂
😊😊😊
Unajua sana mwana dada ongela sana kwa story 😂😂❤
Thanks dear 🎉🎉🎉
Wow simulizi nzuri Haina part 3 mbona😢 ila nimeinjoi jamani.
Sitor tam San jaman
❤❤❤
Sitak Mimi story tamu tu
😊😊😊
I like this story is very nice❤🫶
Me 2 ❤ it
Huumzig hatar???
Shukran
Wahoo
Lidhiki kamayakoniyakotu mchaw ataichelewesha
Kweli dear
Thankyou sister ❤
😅😅😅🤔
Pongezi Kwa Simulizi Zuri Yenye Mafunzo 1Tamaa Si Zuri Vile Selesa Na Mama Yake Walivyo Mufanyia Ndeleza 2 Waliotuma Na mama Selesi Wakazikiliza Wako Wapi? saa Hii 3Huyu Alilolewa Na Kumundangaya Mahiri Akitaka Mali 4 Bisalama Alivuna Alichokuwa Anatamani
Nakubaliana naye
Ila bi salama ulaaniwe una mipango y hovyo kwl unankera xna
😊😊😊
Hii ndio inaitwa mwosha huoshwa .hii simulizi ni tamu sana
Malipo duniani
You know why am really sorry for saying this but I really like the way you speaking my dada