DARK MASTER - Azungumzia Kifo Cha Ngwea | Muanzilishi Chemba Squad Ya Ngwea, Noorah, Mez B - Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Leo tuko na mkomunisti kama anavyojiita, Mwanachemba Dark Master aliyekuwa na kundi lililotamba sana zamani la Chemba Squad akiwa na kina Ngwea, Noorah, Mez B na wengine wengi. Leo hii katika msimu huu ametupa story nyingi sana za Chemba Squad, za kina Noorah, Mez B na maisha yake kwa ujumla tokea aanze gemu la muziki wa Bongo. Usikose
    #darkmaster #bongoproject #chembasquad #ngwea #bongofleva
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 10