DARK MASTER - Ngwea Alikufaje? | Waliohusika Kifo Cha Ngwea | Kinje Atajwa | - Part 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • Sehemu ya mwisho kati ya timu ya Bongo Project na Dark Master. Dark Master anaelezea mengi sana...Ametumia muda mwingi kuzungumzia kifo cha Mangwea, mazingira yake na waliohusika. Usikose.
    #darkmaster #mangwea #kifochangwea #bongoproject #bongofleva
    #Dah
    #alikiba #nandy
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 13

  • @jilalamaligisa4854
    @jilalamaligisa4854 8 หลายเดือนก่อน +3

    Heshima nyingi sana kwako Dark master, hongereni sana Bongo project kwa kuwapa heshima wakongwe hawa ambao ni lulu katika muziki wetu wa Bongofleva

    • @bongo_project
      @bongo_project  8 หลายเดือนก่อน

      Shukrani sana mzazi!

  • @kiulamkoma1037
    @kiulamkoma1037 7 หลายเดือนก่อน +2

    Salute Dark Master
    Salute Bongo Project

    • @bongo_project
      @bongo_project  7 หลายเดือนก่อน +1

      Shukrani sana! Usisahau kusubscribe

  • @marksureemcee334
    @marksureemcee334 8 หลายเดือนก่อน +2

    Noma

  • @godfreymichael2270
    @godfreymichael2270 8 หลายเดือนก่อน +2

    kubwa sana hii Mdogo wangu

    • @byatsbavuga8140
      @byatsbavuga8140 6 หลายเดือนก่อน

      Shukrani sana Kaka yangu

  • @TheAddyjembe
    @TheAddyjembe 5 หลายเดือนก่อน +1

    noma kaka heshima

  • @BusolwaTv
    @BusolwaTv 8 หลายเดือนก่อน +2

  • @barakanyamhagata3499
    @barakanyamhagata3499 8 หลายเดือนก่อน +1

    Noma sanaa

  • @bboyofficial6
    @bboyofficial6 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mlete kassimu MGANGA..kama vipi??.... BUSHOKE ALIZINGUA AU?????????

    • @bongo_project
      @bongo_project  7 หลายเดือนก่อน +1

      Wiki ijayo kaka tunaiachia interview! Shukrani kwa kufuatilia

    • @bboyofficial6
      @bboyofficial6 7 หลายเดือนก่อน +2

      @@bongo_project since day 1 ..pamoja sana👊👊👊