NATEMBEA NA MUME WA MTU|MKE WAKE AMENIROGA NAVUJA DAMU SEHEMU ZA SIRI KILA SIKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 มิ.ย. 2024
  • #foxetv #hardmovement Bonyeza alama ya Subscribe kisha weka notification on ili kupata matukio yote kwa wepesi zaidi Asante.#FoxeTv Ni Bora Zaidi
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    ©Instagram @FoxeTvTanzania tufollow sasa kwenye mtandao wetu wa kijamii
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    Tag;
    #video #bongomovie #truestory #majanga #mikasa #msaada #update #trendingvideo #trending #trendingnews #oman #omannews #omanchannel #omannewstoday #kenya #kenyanews #kenyadigitalnews #kenyanewsmedia #usa #usanews #america #american #amerika #tanzania #tanzaniasafari #tanzaniayetu #uganda #ugandanewsupdates #rwanda #rwandanmovies #burundi #burundinews #uchawi #mikasa #udakutz #udaku254 #ngono #VideoChafu #VideoXxx #Xxx #xxl #uchib #tikitv #tikitvkiakilizaidi #zanzibarbeach #maximumtvonline #maximumtv #DavistarMatal #mtoto #watoto #Ubakaji #diamondplatnumz #harmonize #comedy #comedyvideo #film #movie #movie #ayo #millardayo #millardayoupdates #GroblaUpdates #global #AingiliwaKinyume

ความคิดเห็น • 33

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 24 วันที่ผ่านมา +3

    Nikwambie hebu okoka kwa jumaanisha usinde kwa mitume okoka mwambie Yesu nakuhitaji nikuoko tuu siyo kuombewa Mungu anasema nikarbie nami nitakukaribia tafuta kanisa la kilokole mtafutr mwenyewe Mungu

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 24 วันที่ผ่านมา +2

    Yesu tu mtoto anaweza kukusaidia ukimpata Yesu kikwelikweli hakuna uchawi unaweza kushinda

  • @happnssrichard4068
    @happnssrichard4068 23 วันที่ผ่านมา

    Mdogo wangu dawa ni Yesu na omba rehema Mungu ni wa huruma Mungu anaweza kuumba upya omba rehema kwa kumaanisha bila kukaa karibu na Mungu hutoboi

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mabinti mume anauma jitahidi kushim ndoa za wangu.unatembea na mumu wa mtu majibu ovyo

  • @petrolina1547
    @petrolina1547 13 วันที่ผ่านมา

    Duuuh jaman mungu atakusaidia dada angu lakin fanyeni mpango mmpate huyo mama ..... Mbali na hapo ... Tuzidi kumwombea .. mbele za mungu amsaidie .... Mungu husikia kila kilio Cha mwanae ...... Lakin huyo mama mungu amwangalie kwa jicho la pili .... Kwan hakuna mkamilifu dunian .... Ipo cku naye atajuta na kusaga meno ... Mungu ypo pamoja nawe dada angu .... Soma maandiko ..... Isaya 33: 3... Mathayo 11: 28_30

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 24 วันที่ผ่านมา +1

    Waganga watakudanganya nakula hela yako njoo kwa Yesu tu jibu nfiyo hilo

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 9 วันที่ผ่านมา

    Wanawake wana roho ngumu sana siuwachanishe unamtesa mwanamke mwenzake

  • @NoelaKk
    @NoelaKk 24 วันที่ผ่านมา +1

    Watauga watakudahgahya❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @DamasAmos-ue2gh
    @DamasAmos-ue2gh 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtangazaji akuna mtumwingine ni yuleyule mama aliemuloga mwambieni uyo baba ampeleke kwa waganga

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 24 วันที่ผ่านมา

    Subhanallah. Huyo mzee ndie alokuponza na matatizo hayo

  • @JoyceKananu-ny9vh
    @JoyceKananu-ny9vh 24 วันที่ผ่านมา

    Mungu nakuomba uponye huyu dada we ndio dawa makosa sana kuronga huyu dada juu mwanaume mbwa ni mbwa tu hata atoke kwake atadanganya mwingine.

  • @AgnesEphraim-jw6dv
    @AgnesEphraim-jw6dv 24 วันที่ผ่านมา +1

    Nenda buza kwakiboko ya wachawi buza kwa lulenge utapona alafu kitukingine wanaume wawatu sio wazuri bara ungeacha kazi kuliko hayo matatizo yote

  • @a2core-wn2wk
    @a2core-wn2wk 24 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo mwanaume ndo kamsababishia huyu binti kwa nn amfiche kama sio shetani

  • @sharifaaliy1519
    @sharifaaliy1519 21 วันที่ผ่านมา

    Nyie watangazaji chukueni hiyo no ya simu ya huyo dada mumpigie mumuombe msahama uli uzuwie msaidieni mtihani huo

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 22 วันที่ผ่านมา

    Hizohizo tuy nilijuw eehee naww ulivo mj8nga ukakubali

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 17 วันที่ผ่านมา

    Nenda buza kwa Nabii kiboko ya wachawi atapokea uponyaji ni kwa bure

  • @LatifaKakore
    @LatifaKakore 24 วันที่ผ่านมา

    Pole my utapona kwauwezo wamungu hana zito

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba 3 วันที่ผ่านมา

    Mbona Kama ni uongooooo

  • @erinestangowi7785
    @erinestangowi7785 24 วันที่ผ่านมา +1

    Kamloga huyo hapo mtafutie mtaalamu wamitishamba ndio dawa yake maana kunandugu yangu halikuta kama hayo mpelekeni tanga hataenda kupona

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 23 วันที่ผ่านมา

      Nipeni namba ya uyo mganga

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 9 วันที่ผ่านมา

    Atafutwe huyo dada tumtake radhi amponye huyu bint wa watu huyu mdada ovyo mwanamme kakuchiti achana nae

  • @ReggieMuzukira
    @ReggieMuzukira 24 วันที่ผ่านมา

    Inauma sana

  • @JaidaChikawe
    @JaidaChikawe วันที่ผ่านมา

    Nenda kimara temboni.kwa kuhani musa richadi mwacha.utapona na utasaau maumivu unayo pitia..na yatamrudia yeye mwenyewe alie kufanyia.ngome ya yesu ndio abari ya mjini.mganga na mchawi lao moja.panda magari ya mbagara mbezi kisha utashuka kituo temboni.ukiuliza nataka kwenda kwa kuhani musa.watakuambia vuka barabara.utapotea.kapokee uponyaji wako .

  • @user-jw4dk2ij1u
    @user-jw4dk2ij1u 14 วันที่ผ่านมา

    Wende kwaule Mama umulombe Musamaha kisha wende Kukanisa Ulombe ako Musamaha na Uwamini Yesus Kristo Kuwabwana na Mokozi wa Maisha yako na Yesus Kristo Atakuponya Maisha yako yoooote

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 22 วันที่ผ่านมา

    Alitumwa naanajuw ni mme wamtuy lbda hata alikuw na jeur acha kimrambe

  • @aryanamendes8700
    @aryanamendes8700 16 วันที่ผ่านมา

    Mfuate huyo mama muombe msamaha ndio ukoke utapona

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 18 วันที่ผ่านมา

    Kamuombe samahani huyo mama

  • @user-xg1zg2co3c
    @user-xg1zg2co3c 24 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉

  • @imeldastephano9221
    @imeldastephano9221 23 วันที่ผ่านมา

    Mpigie uyo dada na uyo baba ila nenda Kwa nabii Edimundi

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 23 วันที่ผ่านมา

    Wanawake tuokoke tu MUNGU ATUSAIDIE TU DUNIANI PAGUMU SANA BILA KUABUDU KTK KWELI NI VILIO KILA SIKU

  • @aminamzuri9933
    @aminamzuri9933 10 วันที่ผ่านมา

    Mwanakulitafuta umeliget

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 22 วันที่ผ่านมา

    Na nyumban kwake ni wap et alinipangia w