KIJANA WA MIAKA 17 ALIYEKUA ANANYONYA MAZIWA APONA BAADA YA MAMA YAKE KUFALIKI ADAI HAKI YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • #foxetv #hardmovement Bonyeza alama ya Subscribe kisha weka notification on ili kupata matukio yote kwa wepesi zaidi Asante.#FoxeTv Ni Bora Zaidi
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    ©Instagram @FoxeTvTanzania tufollow sasa kwenye mtandao wetu wa kijamii
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    Tag;
    #video #bongomovie #truestory #majanga #mikasa #msaada #update #trendingvideo #trending #trendingnews #oman #omannews #omanchannel #omannewstoday #kenya #kenyanews #kenyadigitalnews #kenyanewsmedia #usa #usanews #america #american #amerika #tanzania #tanzaniasafari #tanzaniayetu #uganda #ugandanewsupdates #rwanda #rwandanmovies #burundi #burundinews #uchawi #mikasa #udakutz #udaku254 #ngono #VideoChafu #VideoXxx #Xxx #xxl #uchib #tikitv #tikitvkiakilizaidi #zanzibarbeach #maximumtvonline #maximumtv #DavistarMatal #mtoto #watoto #Ubakaji #diamondplatnumz #harmonize #comedy #comedyvideo #film #movie #movie #ayo #millardayo #millardayoupdates #GroblaUpdates #global #AingiliwaKinyume

ความคิดเห็น • 678

  • @auntmakochela4202
    @auntmakochela4202 3 หลายเดือนก่อน +13

    Kweli uchawi upo uyu mzee alikua anamtumia kwa mambo yake saiv Khamiss anajitambua babu😂anatamani angekua kama mwanzo 😢😢😢 Daaah mwenyez mungu amlinde sana

  • @Mommy4147
    @Mommy4147 3 หลายเดือนก่อน +19

    Eti mama Khamis kafariki 😢😢😢pole sana kijana pia shukuru mngu kuondoka kwa mmako ndio kupona kwako

    • @Dafetty
      @Dafetty 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa 🤝💯

  • @MapendoMapendo
    @MapendoMapendo 3 หลายเดือนก่อน +32

    Huyu babu inawezekana yéyé ndiye mchawi aliye mutesa Huyu mtoto kabisa kijana fanya maamuzi Yako Mungu Yuko pamoja n'a wewe

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wee babu unajifanya tu, una act muongo stori za uongo. Kakojoeni mkalale hamna issue.

    • @ArafaMkomwele-vi2hp
      @ArafaMkomwele-vi2hp 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sio inawezekana huyo Babu mchawi nenda kwa baba Yako Hamis atakuua

    • @NasraBakari-y6w
      @NasraBakari-y6w 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @festondenga1104
      @festondenga1104 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@MwanaishaShattry😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊❤😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😂😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊❤😊😊😊❤😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊❤😊😊😊😊😊😊❤❤😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊❤😊😊❤😊😊😊😊❤😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊❤😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊❤😊❤❤😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊❤😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊'_'__5:
      Hlldlm l

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 3 หลายเดือนก่อน +10

    Yale mapepo yaliyokua kwa Hamisi yalirudi kumwangamiza mamake hongera sana

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 3 หลายเดือนก่อน +6

    MAASHAALLAH UYO MTOTO MZULO SANA

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 หลายเดือนก่อน +23

    Inaonesha huyu babu ni MCHAWI.

  • @naomikadenge2319
    @naomikadenge2319 3 หลายเดือนก่อน +3

    walimfanyia kitu hawashukuru Ako sawa mzee anasisitiza angebaki kunyonya nyonya simtu mzuri huyo hamisi wamempangia kumuuwa hamisi aombe sana maisha yake yako hatarini

  • @TinaOmmry
    @TinaOmmry 3 หลายเดือนก่อน +8

    Daaa mzeee mwangaaa jmn

  • @auntmakochela4202
    @auntmakochela4202 3 หลายเดือนก่อน +6

    Tena mm mpaka leo nina video zake za mwanzo alafu nilizani kiki 😢😢 pole sana Khamiss

    • @Angependo9141
      @Angependo9141 2 หลายเดือนก่อน

      Unaweza nipatia namba ya huu kijana nimusaidie pesa kidogo lakini iwe whatsap

    • @auntmakochela4202
      @auntmakochela4202 2 หลายเดือนก่อน

      @@Angependo9141 kazitaja hapo zisikize vizur

  • @SmilingFlamingoBirds-cg4bh
    @SmilingFlamingoBirds-cg4bh 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hamisinenda tena kwenyemaombi santaym hatahuyo mbabu pia anaweza kufa

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 3 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo mzee anacheza COMEDY MTANDAONI sasa hii content ni ya kutengeneza mnatuibia MB zetu

    • @salmakinega7008
      @salmakinega7008 3 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli

    • @gloriaaugustino8031
      @gloriaaugustino8031 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@salmakinega7008we hukuona wakati ananyonya? 😢😢😢

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 3 หลายเดือนก่อน +3

    Khamis ana heshima sana jaman huyu mjinga sana hivi yule babaake yuko wapi mtafuteni

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sina umuimu bwana Baraka zake yy zanini

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 3 หลายเดือนก่อน +15

    Naomba khamis awe mtoto wangu jaman naomba namba zake nipo tayari kwa lolote la khamis imeniuma sana kumbe ilikua sio comedy ni kweli😢

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 wazazi tumekosa utu tunaroga watt wetu sijui ni nin shida huyu mzee nae ni mchaw hajitambui hata kidog hajui na yy ipo siku atakufa mjinga san huyo mzee

  • @AllyMzee-z5c
    @AllyMzee-z5c 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wee mzee mbaliki mjukuu wako aowe kwanza kakueshimu sana we unambania Kuna Nini hapo ? Mzee Kuna maisha mengine baada ya hii Dunia utaenda sema Nini huko? Acha hayo mambo

  • @OmanOman-ji1iy
    @OmanOman-ji1iy 3 หลายเดือนก่อน +4

    Uyo mzee nishida anamambo yakishilikina😊

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kijana kapendeza kweli alichukuliwa kichawi alivyoombewa Mungu kageuza kibao Hamis amua kuokoka watakutoa duniani kimbia kabisa Hamisi mzee anataka aendelee kumtumikisha kiuchawi

  • @Silvia-zb8lr
    @Silvia-zb8lr 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee sio mtu mzuri kabisa yy ndio mchawi kwa maisha ya huyu kijana, pray hard na uweke mungu mbele kwa kila jambo

  • @IkramMohamed-p4r
    @IkramMohamed-p4r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inaonyesha Hy babu n mchaw

  • @annahkimaryo5766
    @annahkimaryo5766 2 หลายเดือนก่อน

    Kijana kazana na MAOMBI ...usikate tamaa...
    Mungu akupiganie ...

  • @ChristineWaswasikinga
    @ChristineWaswasikinga 3 หลายเดือนก่อน +3

    Babu mjukuu ameshakua mkubwa mruhusu akaowe jamani

  • @dorcusabraham
    @dorcusabraham 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shetani mkubwa wewe ushidwe katika Jina layesu Amen

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wachungaji wamuolee . Hamisi achana na babu.mjukuu si mwana akilila mgale kwa mama yake. Babu hunabidhini na mtoto wa watu

  • @AishaOman-k6f
    @AishaOman-k6f 3 หลายเดือนก่อน

    Inshaallah mungu yupo

  • @nuruupinga2743
    @nuruupinga2743 3 หลายเดือนก่อน

    Chukuwa maamuzi hakuna laana ya babu kijana Yesu anaweza

  • @François-v3i
    @François-v3i 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo babu ana honekana yeye ni mchawi kabisa 😮😮😮😮😮😮😮

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amua bwana huyo sio baba wala mama.Bibi na babu hawana idhini. Unapenda anyonye maziwa ya ng'ombe

  • @BeatriceWanjiru-q8s
    @BeatriceWanjiru-q8s 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏 Utafanikiwa ata kma pado tumiaka itudogo ungegojea tu ka miaka 25 hivi lkn ka uko Naya kupea MKE WE FANYA VENYE LOHO YAKO INATAKA.

  • @FondokeFondoke
    @FondokeFondoke 2 หลายเดือนก่อน

    Asikuloge sehemu za siri zisifanye kazi omba saana kijana Mungu atakusaidia

  • @EuniceNekesaWanandaba
    @EuniceNekesaWanandaba 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mkachukue hamisi apelekwe kwenye kituo cha watotohuyu Mzee ni mchawi

  • @mujwasteven
    @mujwasteven 3 หลายเดือนก่อน +1

    kwaiyo wabongo wanaamini kama ni kweli ? akili ndogo sana hamuwezi kutofautisha uongo na ukweli shule ni muhimu sana

  • @Glorytv5111
    @Glorytv5111 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu babu kamfunga binti yake na huyu mjukuu lkn Mungu alivyo vunja hicho kifungo kafariki 😢 Mungu nakushuru

  • @hamzaibrahimu
    @hamzaibrahimu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hii ni movie sio kwel Mbona huyu mzee kama anigiza vile 😮🤔

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂we kama mm unajuwa

    • @hamzaibrahimu
      @hamzaibrahimu 3 หลายเดือนก่อน

      @@RahimaMct-ik8mr na we umeona hata kama ni mbaya hawezi jioshesha dhahiri hivyo mbele za watu alafu maneno yake kama story flan wamepanga 🤔

  • @WitinessJoseph
    @WitinessJoseph 2 หลายเดือนก่อน

    Nikijana mzuri Sana mungu aendelee kumtunza

  • @christinaumatesha
    @christinaumatesha 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu hajawahi kushindwa na hashindwi kamwe kamwe Hamisi ngangania Pindo la Yesu maombi yawe chakula chako usiku na mchana mkono wake ulio na uwezo mkuu usikupungukie 👋👋👋🔥🔥🔥

  • @mercymurithii8046
    @mercymurithii8046 2 หลายเดือนก่อน

    Amina kijana tegemea Mungu

  • @AnnaAmosAmos
    @AnnaAmosAmos 2 หลายเดือนก่อน

    Aiseee huyu mzee noma sana,yeye ndo mbaya wake.

  • @salomecherono2366
    @salomecherono2366 3 หลายเดือนก่อน

    Pepo mkubwa huyo shethani ashindwe milele Only God will make away for you son all will be well...in Jesus name

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii drama ya kijijini. Wasanii hawa. Haya sasa, mmeshawapanga watanzania sasa muda wa penalty Hamis atoke. Hapo chacha.😅

  • @ApolloniaMwinula
    @ApolloniaMwinula 3 หลายเดือนก่อน

    Hiloooooo lichawi,😂 pengine walimfanya msukule! Roho mbaya! Kwa mama yake alikuwa ananyonyesha jini

  • @HappnecPaullo
    @HappnecPaullo 2 หลายเดือนก่อน

    Kijana familia Yako yakikeni wachawi zidi sana kumuomba mung nauondoke apo Kwa Babu ako Kaa mbali nawo

  • @FranceChale-eq7pb
    @FranceChale-eq7pb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli wachawi wanasura mbaya

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct 3 หลายเดือนก่อน +1

    Alitaka kumzikula huyu mzee

  • @ukhtyrehemaabdy2830
    @ukhtyrehemaabdy2830 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mmeona mseme Mwanamke kafa ili kupoteza ushahidi

  • @Santasuzan
    @Santasuzan 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee anajielewa kweli😢😢

  • @kibibimohamedi9516
    @kibibimohamedi9516 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo babu mwanga uyo

  • @ASHURALUSHAKA
    @ASHURALUSHAKA 2 หลายเดือนก่อน

    Imani yako itakuponya Khamis

  • @SaraJaphet
    @SaraJaphet 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo endelea kumuamini achana na uyo mzee hakutakii mema 22:53 2:47

  • @euniceomaore6442
    @euniceomaore6442 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢 GOD first 🙏🙏🙏

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo huchukui BARAKA Bali mikosi tupu.kaa nae mbali huyo..Tena ujishike na Mungu Sana Sana wachawi hawaachi..ataoa kwa Jina la Yesu Kristo tunamtenga na nguvu zako za kuzimu..hatakuwa msukule wako kwa miaka 30

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 2 หลายเดือนก่อน

    Tumeona wanga live😢😢😢 tulikuwa tunasikia tuu tumeyaona

  • @happinessmkenge7796
    @happinessmkenge7796 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mkubwa kuliko achawi,mliokaribu na mitaa hio fanyeni hima kumokoa huyo kijana inawezekana

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 2 หลายเดือนก่อน

    Hilo jicho la babu duu. Alikuwa msukule.. Mungu ampe malaika wa kumlinda.

  • @RehemaFilipatli
    @RehemaFilipatli 2 หลายเดือนก่อน

    Mi nashauri huyu kijana aondoke huyo mzee mchawi na ndo chanzo Cha matatizo yote,amwamini Mungu aliyemuokoa na laana imrudie huyo mzee Kwa jina la Yesu,na amtafute baba yake

  • @SUSANGATHONI-lq6xh
    @SUSANGATHONI-lq6xh 3 หลายเดือนก่อน +17

    Huyu Babu hataki kijana amove on nikama yeye ndiye chanzo Cha shinda

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 3 หลายเดือนก่อน +32

    Muone Babu anavyomtizama vibaya😢😢 Babu sio mtu mzuli

    • @shantellemwanakombo3703
      @shantellemwanakombo3703 2 หลายเดือนก่อน

      Eeeh alikuwa kamfanya zezeta apate hela maana hana kazi huyu baba anatoa wap hela za matumiz

    • @YusthaMlowe
      @YusthaMlowe 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo mzee mchwi mkubwa kabisa ashindwe kwa jana la yesu.

    • @aishaaisha4549
      @aishaaisha4549 หลายเดือนก่อน

      Kweli

  • @qttqqq1982
    @qttqqq1982 3 หลายเดือนก่อน +22

    Huyu babu sio mzuri ana mambo anaficha na pia haoni raha vile Hamisi anajielewa

  • @kaznakazn3495
    @kaznakazn3495 3 หลายเดือนก่อน +15

    jamani musikilizeni huyu babu anavyoongea eti Bora angeendelea kunyonya huyu babu siyo Kwa muonekano huyo ndo chazo cha matatizo hongera hamisi kaza buti

    • @selinaIbrahim-m5o
      @selinaIbrahim-m5o หลายเดือนก่อน

      Uyu babu ndio mchawi kwa I yeye ni mungu anasema kijana aoi mimi na mwamini mungu katika Jina la yesu kijana ataowa

  • @nikoletaugi3247
    @nikoletaugi3247 3 หลายเดือนก่อน +15

    Naomba huyo kijana akazane kuomba sana, kwa sababu babu yake anaonekana ni mchawi sana,yaani hapo bila maombi ya nguvu hakuna kitu.ila kwa
    Mungu hakuna lisilo wezekana.kijana sali sana usioe kwanza tulia nenda kapambane kuomba.asifosi kuoa atulie asali naomba nakuombea pia mwanangu

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 หลายเดือนก่อน +16

    Huyu babu daaa mbona anamkata jicho hivyoo huyu babu mchawi nahataki khamisi awenamaisha yake daaaa mtihani kweli

    • @AsmahAbou
      @AsmahAbou 2 หลายเดือนก่อน

      Hizi ni kiki huyu babu anaigizaga na vile vibinti viwili vyeupe vya kisukuma akina njeli

  • @eunniekiriga4999
    @eunniekiriga4999 3 หลายเดือนก่อน +20

    Babu mchawi kweli. Mungu amlinde huyu kinjana.

  • @EdwardKabongo
    @EdwardKabongo 3 หลายเดือนก่อน +14

    Huyo Babu atakuwa na matatizo Yani ni mchawi ila mungu anamuona

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuuuu dunia hii bila Mungu ni shidaaa tena zaidi ya shidaa

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 3 หลายเดือนก่อน +8

    Bora angekufa huyu babu kumbe ndio mwanga jamsn mtafuteni babaake khamis uwe msaada kwake au nipeni mimi khamis ahame tanganyika na huyio mchumba wake

    • @kadijaa7771
      @kadijaa7771 3 หลายเดือนก่อน

      Mashallah mpambanie kheri iko kwa mungu

  • @LAILAKasime
    @LAILAKasime 3 หลายเดือนก่อน +16

    Uyo babu anaonesha ni mchawi

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 3 หลายเดือนก่อน +13

    Alimgeza msukule eee mbona kamchukia Sana baba hamisi kumuokoa mwanawe

    • @aishaaisha4549
      @aishaaisha4549 หลายเดือนก่อน

      Ndio alimgeuza msukule

  • @LydiaJoseph-q4w
    @LydiaJoseph-q4w 3 หลายเดือนก่อน +9

    Huyo mzee atakuwa mhusika wa mambo ya kishirikina atakuwa nayeye alihusika ili aingize kipato chake kupitia huyo mjukuu wake

    • @SalmaMakame-s8u
      @SalmaMakame-s8u 3 หลายเดือนก่อน

      Kwelikabisa angalia maneno anayo ongea baraka znatoka kwa mungu

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 3 หลายเดือนก่อน

      We Babu wewe Ni mchawi Kabisa na wewe chazo cha tatizo

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 3 หลายเดือนก่อน +12

    Alimfanya Khamisi kuwa zezeta.

  • @SeverinKisey
    @SeverinKisey 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe babu yake na Hamisi acha dhmbi na ushirikina uokoke kama Hamisi bila hivyo utaishia jehanamu ya moto wa milele usiogope kijana vitisho vya babu mchawi huyu asipotubu atakufa na dhambi zake akuache hai Kwa Jina la Yesu

  • @lsacklsack
    @lsacklsack 3 หลายเดือนก่อน +11

    Naomba uwe mdogo wang tushirikiane kwakila jambo mdogo wang

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu yuko kijana be strong prayer is the key 🗝️🙏🙏🙏🙏 God will help you

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 หลายเดือนก่อน +10

    Had nataman kutuma voice mzee mjinga san duuh

  • @janethmreta9163
    @janethmreta9163 3 หลายเดือนก่อน +1

    HUYU BABU NI MCHAWI.

  • @MaulidiNchasi
    @MaulidiNchasi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Babu hilo jicho vepi kumwangalia mjukuu km x wako

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mtoto alikua hawezi hatakuongea lakini anaongea vizuri kabisa Okoka atakumaliza Babu yako

  • @rayaizaka9121
    @rayaizaka9121 3 หลายเดือนก่อน +10

    Tunataka kuona harusi inshaaAllah ifanyike kwasalama

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 3 หลายเดือนก่อน +6

    Maskin huyu kijana katoka mbali Allah amuongoze lakin huyu babu kwnn yuko hivyo Hee mtihani 😢😢

  • @SHILLANAFULA-d2r
    @SHILLANAFULA-d2r 3 หลายเดือนก่อน +12

    Weeeeh 😢😢😢😢Wana Jabari saidieni huyu Khamis please.Huyu Mzee Harari 😢😢😢😢😢

  • @LAILAKasime
    @LAILAKasime 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe kunawatu wazima wengine wapumbavu uyo mwanga mshenzi

  • @JoyceMkini
    @JoyceMkini 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mbona sasa yuko vizuri babu anataka aendele kua mchezea Yesu anaweza nikiboko ya wakichawi

  • @EstherWangare-nd9oc
    @EstherWangare-nd9oc 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mtu amutafute Hamisi amusaidie kufuatilia maombi juu Mungu ashamkomboa na sasa maadui wa Hamisi waangamie in Jesus mighty name

  • @SubiraSaleh-xm3wq
    @SubiraSaleh-xm3wq 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera san hamis nimepend msimamo wako mdg wang owa tayar unazo baraka kubw kutok kw mwenyezi mungu huyo babu ni mchawi na ndie aliekuwek vile jikaze hamis babu asikisinde

  • @UmmohanndSalim
    @UmmohanndSalim 3 หลายเดือนก่อน +9

    Hilo jicho la mzee 😢😢😢

  • @erinestangowi7785
    @erinestangowi7785 3 หลายเดือนก่อน +7

    Babu sio mtu mzuri sura inaonyesha tu sio mtu mzuri😢😢

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kimbilia kanisani Khamisi pepo unalopembeni yake

  • @safiam5338
    @safiam5338 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mze mcimvi anataka aendeleye kunyinya basi nayeye mbona hanyonyi na ilo libaba lake liko wapi hapiganiyi mwanae babu cawi ilo

  • @angelnicholaus9248
    @angelnicholaus9248 3 หลายเดือนก่อน +22

    Kijana anajielewa sana na anajua kujieleza hadi raha,Mungu ambariki sana na aendelee mbele zaidi.

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unyanyasaji wa kijinsia ana maamuzi yake. Anaogopa atavunja miko

  • @AAs-qw7fs
    @AAs-qw7fs 3 หลายเดือนก่อน +1

    Babu yuajiamin cnaa yeye ndie alimtatiza uyo kijana

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg 3 หลายเดือนก่อน +7

    Duuh yadunia mengi Mungu mshikilie kijana hato kuacha

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 3 หลายเดือนก่อน +3

    Na huyo mzee ndo mshirikina muon kwanza hayo macho wachaw

  • @gumbomboni1915
    @gumbomboni1915 3 หลายเดือนก่อน +8

    HAMISI, SALAMA YAKO IKO KWA YESU NG'ANG'ANA NA YESU UTAFANIKIWA.

  • @Fatoma-wd3gj
    @Fatoma-wd3gj 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani jamani kweli mchawi ndugu babu anaongea bilahata Aibu mungu azidi kumsimamia kijana huyu

  • @AlineBirembano
    @AlineBirembano 3 หลายเดือนก่อน +7

    Uyu Mzee anajuwa megi kuusu kuchawi

  • @SalmaSamiry
    @SalmaSamiry 3 หลายเดือนก่อน +9

    Ilo zee nikama chawi labda linataka kumuoa yeye 😢😢

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 2 หลายเดือนก่อน

      Sio ni kama nilichawi aswaa uoni ongea yake

  • @AishaHamisi-q7m
    @AishaHamisi-q7m 3 หลายเดือนก่อน +16

    Watanzania tumpeni msaada hamisi awe na maisha yake aowe awe na nyumba yake aishi kwa amani uyo mzee na mamaake hamisi walikuwa lao moja ndomana baada ya hamisi kupona mamaake amefariki na na hamisi akiowa uyo mzee atakufa tuu maana dawa zake zitakuwa zimekwisha nguvu

    • @HamoodHamedHamoodSharji
      @HamoodHamedHamoodSharji 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ikiwezekane ahame huo mji aende mkoa mwingine aepukane na huyo mzee

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 2 หลายเดือนก่อน

      Subhannallah 😭 😭 😭

  • @MusaKilela
    @MusaKilela 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mkono wa mungu uwe nawe bro god first 🙏🙏🙏

  • @josephmtuy5204
    @josephmtuy5204 3 หลายเดือนก่อน +4

    Khakis endelea na maombi-na uzuri unaimani kwamba Mungu ni muweza wa yote. Endelea na kumwamini Mungu na endelea kutumainia. Mungu ndiye Alfa na Omega.Mwanzo na Mwisho. Jina la Bwana litujuzwe!

  • @JanemargretIrungu-rl3ht
    @JanemargretIrungu-rl3ht 3 หลายเดือนก่อน +8

    Jamani eti mama yake hayupo. Tena kweli Dunia cz I follow this from day one then mzee kiburi... Jameni Dunia Ina mambo

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 3 หลายเดือนก่อน +3

    Masikini hamisi kachangamka Sura imekuwa mzuri daa uyu Babu sio mtu mzuli akitaka kumualibu daaa