MBWADUKE: DUH! HII YANGA NOMA! STRAIKA TAIFA GHANA ANUKIA/ PIA AMEHUSISHWA NA AHLY, MAMELODI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 มิ.ย. 2024
  • Usisahau ku-subscribe, ku-comment na ku-like...

ความคิดเห็น • 39

  • @KevooMilton-md1nd
    @KevooMilton-md1nd 2 วันที่ผ่านมา +3

    Akicheza na dube 😂kuna watu kumi zitatimia

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 วันที่ผ่านมา

    Kwa maeke,o hayo, sowah anatakiwa a heze namba 10

  • @reyminja
    @reyminja 2 วันที่ผ่านมา +1

    Bora Gwede abaki wakuu uyu bado sioni kama akiwa wamoto sana kma gwede bcz atakua na utomvu wa nizam , pia haujui kuzitumia nafasi bora gwede wetu.😅😅

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kama ata kuja yanga atakuwa mzuri zaidi kuliko mwanzo nitakumbukwa maneno yangu

  • @hamisirashidi2895
    @hamisirashidi2895 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmh km kweli huyu mwamba kama hali ya hewa ya TZ itamkubari aisee naziona 8 msimu huu.

  • @SilvesterKazimoto-yk7hp
    @SilvesterKazimoto-yk7hp 2 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani kama dube yupo mzinze yupo nakinzumbi kamayupo zuwa Hana umuhim kwenye Tim Yaya yanga

    • @Fred-Ma
      @Fred-Ma 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kinzumbi ashasajiliwa Raja

  • @ShafiiHungo
    @ShafiiHungo 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mm sina wasiwasi nae namkubali na yanga ndo semu sahihi mtu kama yeye

  • @dicksonmtandi8806
    @dicksonmtandi8806 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwamba aje jangwan guede hakuna kitu souwa ni hatar sana

  • @binwasiumbanga9256
    @binwasiumbanga9256 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbovu tu,Bora guede ni mkali kuliko huyo,Mbovu hana ishu

  • @pelisiuskalikule1345
    @pelisiuskalikule1345 วันที่ผ่านมา

    huyo sowa mmmh sijui..mbona Guede mzuri tu

  • @emanuerchrsimas5151
    @emanuerchrsimas5151 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    vp kuhusu chama na yanga kaka we ndo mkweli wengine waongo

  • @yahayaramadhani6418
    @yahayaramadhani6418 2 วันที่ผ่านมา

    Hana Kitu Huyo, labda akacheze Timu ndogo kama Simba.

  • @GabrielMaseke
    @GabrielMaseke 2 วันที่ผ่านมา

    Kazi ya wauza habari ukweli wake j,tatu maana waliohusishwa ni zaidi ya 10 ila uhitaji hata 5 wasifike

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 วันที่ผ่านมา

    Asante

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kwangu hapo hapana. Dube na msaidizi wa ndani anatosha.

  • @sentitanomiseyeki8544
    @sentitanomiseyeki8544 วันที่ผ่านมา

    Hana nizam 😅jamaa hyu

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu วันที่ผ่านมา

    Uyo kadanyanya umri, analingana na boko

  • @EdsonMsigwa
    @EdsonMsigwa 2 วันที่ผ่านมา

    Huwezi linganisha guede na sowah sowah ni zaidi na ni mwepesi akiwa gorini

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 วันที่ผ่านมา +1

    Injinia atafute mwingine. Jina na sifa nyingii!! Kama namwona uwanjani vilee???

    • @McbarakaeventsTz
      @McbarakaeventsTz 2 วันที่ผ่านมา

      Kwahiyo hafai huyo mchezaji

  • @MicJorl
    @MicJorl 2 วันที่ผ่านมา

    woow the coming yanga will be threat to africa.Definetly it will be ahead of pack in caf ranking due to continuously process of registering heavy prayers but for Jonathan Sowah no

  • @Hancecriper96Joe
    @Hancecriper96Joe 2 วันที่ผ่านมา

    Deal done by 90%, July 1 itawekwa wazi

  • @bonifacejohnstone4483
    @bonifacejohnstone4483 2 วันที่ผ่านมา

    jitu la mtumba hlooo😊😊😊

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 2 วันที่ผ่านมา +2

    Nina wasiwasi na discipline ya sowa😢

  • @JohnKavula-xw7xl
    @JohnKavula-xw7xl 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wachukue mali hiyo sasa

    • @user-kn1mr2em5i
      @user-kn1mr2em5i 2 วันที่ผ่านมา

      Uchezaji wake tuh unavutia

  • @EdwardKwiyanga
    @EdwardKwiyanga 2 วันที่ผ่านมา

    All nasr alijiunga msim gan kwa7bb msim ulio pita alikuw madeama

    • @MbwadukeStats
      @MbwadukeStats  2 วันที่ผ่านมา

      Wakati wa usajili wa dirisha dogo Januari, 2024...yaani kwa huku kwetu kama ilivyokuwa ujio wa kina Okrah Yanga na Jobe Simba.

  • @DouglasChuwa-ec7mv
    @DouglasChuwa-ec7mv 2 วันที่ผ่านมา

    Tunangoja kunyamazisha tz

  • @EzekielMateru
    @EzekielMateru 2 วันที่ผ่านมา

    Aje aje

  • @Amanially-pv1iu
    @Amanially-pv1iu วันที่ผ่านมา

    Anahaki yakuichezea yanga kwasababu ni timu ndogo TU kwetu sisi simba huyo hatufai hawezi chezea timu Bora Africa kama simba.halina lolote nguvu nyingi akili kisoda 😅😅😅

    • @JEREMIAMBASHA
      @JEREMIAMBASHA วันที่ผ่านมา

      huyo haji simba ndugu kwa hiyo isikusumbue sanaa

    • @mussakingazi8875
      @mussakingazi8875 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Simba mpo ulinzi shirikishi mwakani😂😂Mwakani 😂