KISHIMBA AIBUKA NA HOJA NA KUKODISHA WANAUME “KWETU KULE KUNA MABANGO YA KUKODI WANAUME"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @princebuganzilut2047
    @princebuganzilut2047 2 ปีที่แล้ว +6

    Genius man. Viva forever Royal brother Prince Kishimba

    • @flova7022
      @flova7022 2 ปีที่แล้ว

      How? I only see madness in him from his points

  • @alexjackson5960
    @alexjackson5960 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi Sana kishimba kiboko ya wanafiki na wasanii wenye makaratasi badala ya elimu

  • @collinmhema5443
    @collinmhema5443 2 ปีที่แล้ว +17

    Kwa bunge la sasa huyu ndo anaongelea maisha halisia na mh tabasam wengine wote waliobaki niwa namshukuru mh raisi kuliko hata Mungu

  • @isayamaige7300
    @isayamaige7300 2 ปีที่แล้ว +5

    Safi kabisa mh jumanne kishimba kwa hoja nzuri kabisa Safi kabisa

  • @PhilopoDamiani
    @PhilopoDamiani ปีที่แล้ว

    Nakubali sana mh jumanne hoja zako

  • @emmanuelmarko8442
    @emmanuelmarko8442 2 ปีที่แล้ว +3

    Kweli huyu kishimba yupo vizuri kwa hoja zake. Kama mm siwezi kwenda kabisa. Huu utaratibu ni waajabu kabisa kama mm naenda huko kufanya nini? Aliyepewa kazi ya kubeba mimba ni wanawake je! Wanaume wanaenda kuthibitisha wao ndio wamempatia mimba au ni nini jamani nilijiuliza sana lakini sijapata jibu kiukweli hii serikali inatuvua nguo. Hoja yako mh kishimba iko poa sana na hivyo ndio vitu vya muhimu katika maisha sio kupoteza dakika moja. Au hio ndio haki sawa?

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa kama hujaenda na mume kwenye foleni utakuwa wa mwisho lakini ukienda na mwanaume unakuwa wa kwanza

  • @eliezamashimba4062
    @eliezamashimba4062 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi Sana mzee

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 ปีที่แล้ว

    Kwel kabisa MZee unaongea point

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia 2 ปีที่แล้ว +1

    Genious sana

  • @fimboezekiel9654
    @fimboezekiel9654 2 ปีที่แล้ว +2

    Genius

  • @alexdukes5547
    @alexdukes5547 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzee kishimba unahoja nzuri sana lakini dawa hospital zetu hakuna unaandikiwa kwenda kununua maduka ya nje i

    • @peterhano8706
      @peterhano8706 2 ปีที่แล้ว

      Hakika hakuna kama J4Kishimba kahama oyeeee

    • @lewisjovin
      @lewisjovin ปีที่แล้ว

      Kwa hoja hii duka la dawa zinalo

  • @ngwavi2886
    @ngwavi2886 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndio MBUNGE

  • @medlucas5686
    @medlucas5686 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee kunywa dawa hospital Hilo gumu kidogo labda tuwekewe ofc ya kitongoj

  • @alexsimon5576
    @alexsimon5576 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanawake wengi huwa wanakonda wakifikri jinsi ya kwenda kliniki,mana baba hataki kabisa kusikia upuuzi kama huo!

  • @e-mzambuli6647
    @e-mzambuli6647 2 ปีที่แล้ว

    Nakubalii

  • @paulojalango898
    @paulojalango898 2 ปีที่แล้ว

    Daaaa huyu kichwa kweli kweli

  • @macleanmwakasangula7639
    @macleanmwakasangula7639 2 ปีที่แล้ว +1

    Kujifungua n elfu 70

  • @abdallahmapila7939
    @abdallahmapila7939 2 ปีที่แล้ว

    Kweli hatumalizi dozii aise ni kweli

  • @flova7022
    @flova7022 2 ปีที่แล้ว +4

    Huu ndio ujinga nsiopenda...hivi wadhani kwenda na mwanaume wanasahau kuwa lengo ni afya ya mtoto..suppose Baba ni HIV positive..na mama ni negative huoni ni risk mtoto kuzaliwa positive kama hakuna intervention

    • @edwardpaulo3351
      @edwardpaulo3351 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ndokukuwale wakisasa muuluze mama yako amekwenda malanagpi na bb ako kilimik

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio shida ya kuwa na wabunge wasio na elimu ya kutosha.

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 2 ปีที่แล้ว +1

    hii ya kwenda ukapate dawa hospital na umezee hosoital hii haiko sawa,wauguzi na dr wana majukumu mengi ya kufanya,muwaongezee nahili?mtu unaumwa ni wajibu wako kumeza dawa au kutokumeza

  • @hamisisteven2018
    @hamisisteven2018 2 ปีที่แล้ว +3

    Kishimba upo vozuli Sana hebu zungumuzia naswala la michango mashuleni imekuwa shida Hasa shule za mkoa wa mbeya

    • @jamesmasanja1963
      @jamesmasanja1963 ปีที่แล้ว

      🤣 🤣 Yani tungepata nafasi ya kumpa kero za huku mtaani

  • @nassoribrahim5288
    @nassoribrahim5288 2 ปีที่แล้ว +2

    💯💯💯💯

  • @nurudinmwakisale1509
    @nurudinmwakisale1509 ปีที่แล้ว

    Wa afyaaa

  • @zephaniahnestory2191
    @zephaniahnestory2191 2 ปีที่แล้ว

    Kweli we profesa.

  • @christinakomba689
    @christinakomba689 2 ปีที่แล้ว

    Upo sahihiii

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 ปีที่แล้ว +1

    tunajaribu kuiga ulaya eti,kwani huku ni kitu cha kawaida ...'supporting each other' TUACHE KUIGA CULTURE ZISIZO ZETU

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 ปีที่แล้ว

    Hani we MZee unaakili ngingisana hujawahi kukosea

  • @emmanueleliya6225
    @emmanueleliya6225 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mbunge ni kichwa hakika.
    Tunataka wabunge kama huyu.
    Ametulia ana
    Mapoint tupu,anajielewa.
    Ana akili na macho ya kuona mbali na kwenda na wakati...
    Sio hawa mapoyoyo wa ndiyoooooo

  • @lilymsophe1475
    @lilymsophe1475 2 ปีที่แล้ว +1

    Lakin kwenda kiliniki Na mume ni nzuri ni kwaajili ya Afya kwa baba ,mama,mtoto ,,wangap.wanakutwa positive ilhali mwenz wake ni negative ,we mbunge fikiria vizur

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles8029 2 ปีที่แล้ว

    Zee la hoja nyepesix2

  • @abdallahmapila7939
    @abdallahmapila7939 2 ปีที่แล้ว

    We mwamba

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 ปีที่แล้ว +1

    Siyo kijijini tu hata mjini yapo

  • @msafirindalu122
    @msafirindalu122 2 ปีที่แล้ว

    Mbunge anaejielewa

  • @allanmapamba4765
    @allanmapamba4765 2 ปีที่แล้ว

    Nilipoelewa zaidi amesema haiwezekani mimba zote ziwe na matatizo manàake Ka kuna ulazima wa kuhitajika mwanaume iwe ni Kwa issue special tu mimba ina matatizo

  • @perfectmasawe5870
    @perfectmasawe5870 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 Mh Kishimba

  • @nurudinmwakisale1509
    @nurudinmwakisale1509 ปีที่แล้ว

    Uyu apewe uwaziri

  • @mshigilakarume4425
    @mshigilakarume4425 2 ปีที่แล้ว

    Muongeze wahudumu wa kugawa dawa maana follen itakuwa ni kubwa,

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 2 ปีที่แล้ว

    Wanampa mda mdg huyu mwamba

  • @onelovetz7935
    @onelovetz7935 ปีที่แล้ว

    Rais kishimba wape darasa maporfesa mbumbu nafulahi hoja zako

  • @hamisikidabadaba8938
    @hamisikidabadaba8938 2 ปีที่แล้ว +1

    eti Tanga na Pwani 🤣🤣

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 2 ปีที่แล้ว

    Hapa inahitajika Elimu. Mbona ni jambo zuri kwenda na mke wako hosp.
    Lazima tutoke huko. Watu wajue kuwa suala la mimba ni la wote wawili.

  • @albetoemmanuel93
    @albetoemmanuel93 2 ปีที่แล้ว +1

    Unastahili kuwa raisi, baba unajicho la mbali snaaa

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 ปีที่แล้ว

    Tanga & Pwani😂😂😂

  • @dullahyunusu3072
    @dullahyunusu3072 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mh anastahili kuwa makamu wa rais ama waziri mkuu

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 ปีที่แล้ว

    Kishimba ukigombea Urasi mwaka 2025 utashinda maana Una akili sana unaongea maisha Ali ya wanyonge

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna kitu kibaya kwa mwanaume kwenda na mke wake ambaye ni mjamzitu. Mwanaume kwenda hospitali mke mjamzito ina saidi familia kuwa imari (will improve relationship and bonding to unborn child)

    • @abdirizakhtuke2882
      @abdirizakhtuke2882 2 ปีที่แล้ว +2

      Wewe mzungu , sisi waafrika.

    • @deohaule8161
      @deohaule8161 2 ปีที่แล้ว

      @@abdirizakhtuke2882 ishu sio uzungu, itasaidia wanau kupunguza kusabibisha mimba zisizo na lazima kutokana na majukumu ya kulea

    • @johnngowi6619
      @johnngowi6619 2 ปีที่แล้ว +1

      @@deohaule8161 wewe mzungu sisi waa frika broo

    • @deohaule8161
      @deohaule8161 2 ปีที่แล้ว

      @@johnngowi6619 hamna uzungu au uafrika, watu wanazaa kama ng’ombe hawa wajali watoto wao. Serikali iendelea kufanya hivyo hivyo kupunguza watoto wa mitaani. Kwasababu malezi ya mtoto ni yawatu wawili mume na mke, na malezi haya yanaanza tangia mtoto yupo tumboni.

    • @boyfromtansania7788
      @boyfromtansania7788 2 ปีที่แล้ว +1

      Sisi tunalengo la kuongezeka kuwa wengi ww unazungumzia kupunguza hizo ndo fikra za kisungu kisaikolojia waafrika tuzid kupungua

  • @medlucas5686
    @medlucas5686 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee kunywa dawa hospital Hilo gumu kidogo labda tuwekewe ofc ya kitongoj