DR IPYANA WANATAFUTA UMAARUFU,PESA NA WANAWAKE/KUWA MTUMISHI KUNACHOSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2020

ความคิดเห็น • 8

  • @lamerckjesus5404
    @lamerckjesus5404 3 ปีที่แล้ว

    _mmmh! hii nimeielewa Sana brother Ipyana "Walk with God don't work with God" ooo Yes_

  • @marypaul1981
    @marypaul1981 3 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu nimepata kitu kikubwa sana tofauti ya kutembea na Mungu na kumtumikia Mungu

  • @mariamayoob8734
    @mariamayoob8734 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว

    Kwel kabisa bro

  • @lumulimwakanjuki
    @lumulimwakanjuki 3 ปีที่แล้ว

    Nimewai ongea na dr aliniambia maneno kama hayo kuwa kila kitu process hivyo ni kweli kabisaaaa

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 3 ปีที่แล้ว

    SirMbezi au kaka Mfinanga
    Ungerefusha hii creep kidi bado
    Kuna cha kujifunza, ubarikuwe
    Hata kwa hii fupi nimebarikiwa.

  • @emmanuelstephano8335
    @emmanuelstephano8335 3 ปีที่แล้ว

    Hivi haka kamsemo kakusema kuwa Mungu hakuonyeshi njia kana ukweli ndani yake wajameni?? Maana kama God hatakuonyesha njia utafikaje unakokwenda!!?? If God doesn't show you a way how will you approach your destiny. God has to show you a way. The bible says kwenye kile kitabu cha isaya 30:21...Na masikio yako yatasikia neno nyuma yako likisema, NJIA NI HII, IFUATENI; mgeukapo kwenda mkono wa kulia na mgeukapo kwenda mkono wa kushoto. So God has to show u a way. Kwahy swala linabaki wewe kuifuata njia au kutoifuata njia

    • @alreadyblessed3474
      @alreadyblessed3474 3 ปีที่แล้ว +1

      Nafikiri hapo Mtumishi wa Mungu anaposema Mungu hakuoneshi njia ana maana ya 'mchakato mzima' (Whole process) nini cha kufanya .Hii ni kweli kabisa kwa kuwa kuna mambo Mungu anaweza kukuonesha mapema mengine asikuoneshe mapema ili ukipita ndio unajua 'ahh ndio maana Mungu alitaka nipite hapa!
      Hata pia kuzijua njia zake inahitaji pia nidhamu ya kuutafuta uso wake .Kwa kuwa mara nyingine Mungu anaweza kuleta njia yake lkn tukashindwa kuelewa .So tunahitaji sana Neema ya Mungu hapo.
      Mungu atubariki sote.