Wimbo huu, unakufanya ulilie Mungu, maana umeimbwa kwa sauti za huruma mno....Hakika, nawasifu waimbaji kwa sauti mlizozipanga vyema na Asante kwa mwenye kuutunga. Mungu Awabariki kwa kipawa hiki cha uimbaji. Mwenye saksafoni nae simwachi na pia wa piano. Mbarikiwe nyote...
Kuna wimbo nautafuta sana unimba, hiv..nipo chini ya msalaba napiga goti bwana, sjui ni kwaya gani msaada jaman, nota zake zimefanana kidogo na wimbo huuu
Bwana utuhurumie kwa yale yote tuliyokutendea, kwa mawazo yenu, kwa maneno yetu, na kwakuto timiza wajibu wetu, hatimaye tukaishi kwa amani tukikuabudu wewe daima. Pia utuondelee hili baa kubwa la ugongwa wa COVIC 19
EE BWANA UTUHURUMIE SISI KWAKUWA NI WAKOSEFU. TUNAWATAKIA KWARESMA NJEMA 2019. USISAHAU KU SUBSCRIBE
Amina na kwenu pia
Nipo omn na farijika San
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
.
..
naomben Audio ya wimbo huu sorry 0693210692
Wimbo mzuri sana
Wimbo mzuri sana huu,, unahisia kali sana
Nauogopa uso wako hapo sasa
Amin Amin hakika mungu Atuhurumie
Mh inanikumbusha mbali sana hususani enzi naimba kwaya hongera felister kabwata popote ulipo kwa kuuimba wimbo huu na beti zake kwa ukamilifu
Ninakusii ee munguvwangu unisamehe makosa yangu niliyokutendea wewe mungu wangu na jirani zangu🙏😭
Naomba unisamehe makosa yangu niyokutendea Mimi na Jiran zangu😭😭😭
Good san
Dhambi zimenitenga naww, Naomba unihurumie Ee Mungu wangu.
Unihurumie mimi bwana nimetenda dhambi wazwaz
Unisafishe Roho Yangu uniimarishe bwana nisitende dhambi 🥹🙏🏼🙏🏼
Dhambi zimenitenga nawe Baba. Nihurumie baba mimi ni mdhambi. Nisamehe baba ni ubinadamu huu.
Wimbo mzuri. Wimbo unaofaa sana katika wakati huu wa Kwaresma. Asanteni sana Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM kwa uimbaji huu mzuri.
Neema 2
I confess to almighty God the creator of Heaven and Earth and to you, my brothers and sisters, that I have greatly sinned!
Ee Mungu, ukisikie kilio changu, Uyasikilize maombi yangu. zbr61.1
Wimbo huu, unakufanya ulilie Mungu, maana umeimbwa kwa sauti za huruma mno....Hakika, nawasifu waimbaji kwa sauti mlizozipanga vyema na Asante kwa mwenye kuutunga. Mungu Awabariki kwa kipawa hiki cha uimbaji. Mwenye saksafoni nae simwachi na pia wa piano. Mbarikiwe nyote...
Tuhurumie ee MUNGU,tuondolee gonjwa hili la hili corona🙏🙏🙏
Dhambi zimenitenga nawe unihurumie Bwana mimi ni mkosefu, nabarikiwa sana, Mungu awabariki sana
Steven Fumbi Amina
Huu wimbo ni mzuri yani huwa najikuta nalia
Hakika ninajivunia kuwa mkatoriko unihurumie we Mungu mm ni mkosefu!!
Amina
Baba nihurumie na unisamehe
LUCY BARAKA Amina
Ninakusihi Mungu wangu, niliyokutendea, wewe Mungu wangu na jirani zangu. Nisamehe.
Mungu tuhurumie
uniurumie mimi bwana
+Michael Msira Amina
+Michael Msira Mungu Mwenyezi atuhurumie kwani sisi ni watenda dhambi. Amina
pamoja na Mimi peter bwana anihurumie
Unisamehe makosa yangu
unihurumie Mimi bwana mbarikiwe sana
Amina
Naomba Mungu unisamehe dhambi zangu pamoja wenzangu Ee Mungu wangu
+Jane Mlesi Amina
+Jane Mlesi Amina
Dhambi zimenitenga nawe unihurumie mimi Bwana
Ee Bwana unihurumie🙏🙏 unisamehe makosa yangu yote niliyokutendea wewe Mungu wangu na jirani zangu🙏🙏🙏🙏
Uniruhurumie Mimi na ndugu na watoto naomba rehema
I confess to almighty God
and to you, my brothers and sisters,
that I have greatly sinned!
Me too
Kuna wimbo nautafuta sana unimba, hiv..nipo chini ya msalaba napiga goti bwana, sjui ni kwaya gani msaada jaman, nota zake zimefanana kidogo na wimbo huuu
Ee Mungu wangu nipe moyo uliopondeka.niziache njia zangu mbaya nikufuate wewe Mwokozi wangu
+Magesa Matiku Amina
+Magesa Matiku Amina
+Magesa Matiku Amina
Ee MUNGU nihurumie ,Mimi ni mkosefu
Bwana naomba huruma yako mm ni mdhambi
Amina
Unihurumie mimi ee Bwana
Nimetenda dhambi
Asant bwana ni siku nyingine na mwaka Wa 2020 utusamehee ss wakosefu mbele zakoooo
Eeh mungu wangu unihurumie mimi
Amina
katika roho yangu bwana, chora mateso niliyokutesa nisiyasahau madeni, na kazi ya kuokoka
mungu ulie juu utuhurumie sisi emungu tumetendafhambi nyingisana mungu tuyurumie
Naupenda sana huu wimbo.mbarikiwe waimbaji.
+Eliza Valentno Amina
+Eliza Valentno Amina.
Unihurumie Mimi Bwana
Utuhurumie sisi waja wako. Naipenda sana hii nyimbo ,AMINA
Amina
Ewe Baba mwenye huruma unihurumie mimi ninatenda dhambi kila siku. Na familia yangu na majirani zangu utusamehe dhambi zetu
Wimbo mtamu mno sana.
Naomba mtuandikie na Mtunzi kwa kila wimbo mnapoupload
nyimo nzuri sana. mbarikiwe
Amina
Tubuni na kuiamini injili
Amina
Katorik
Ee Mungu unihurumie mimi na familia yangu kwa kuwa tumetenda dhambi.Tunaoma utusamehe
Amina Mungu awabariki waimbaji nasi tubarikiwe kwa nyimbo nzuri hii.
+FRANCOISE NGBADULEZELE Amina
+FRANCOISE NGBADULEZELE Amina
Unihurumie eeee bwana
@@reginapaulo1305 Amina
amina
Amina Mungu uturehemu
+Madame Sampa Amina
Bwana utuhurumie kwa yale yote tuliyokutendea, kwa mawazo yenu, kwa maneno yetu, na kwakuto timiza wajibu wetu, hatimaye tukaishi kwa amani tukikuabudu wewe daima. Pia utuondelee hili baa kubwa la ugongwa wa COVIC 19
Kweli baba nisamehe mimi na ulimwengu mzima tuepushe ni janga la makonjwa tuhurumia baba tunahitaji msamaha wako mungu.
TUMSHUKuLU MUNGU KWALEZIMA kWANYIMBO ZULI
Organist sasaa ndo kafanya mabalaa... Free organ anapiga vzur hatari. Mungu awabariki na awalinde wote mlioshiriki kuandaa huu wimbo.
Ee Mungu wangu, naomba uwarehemu Marehemu wote....
Amina bwana awabariki waimbaji nasi tubarikiwe kwa nyimbo nzuri , Utuhurumie bwana kwa kuwa tumetenda dhambi
+Robert. Maganya Amina
+Robert. Maganya Amina
+Robert. Maganya Amina
Utuhurumie sisi waja wako Amina
Unihurumie mm bwana unisamehe makosa yangu nliyoktendea ww mungu wangu
Unihurumie Mimi bawana I love this song very much its a very taching song,mbarikiwe
+Admira Severin Amina
UTUHURUMIE EE YESU MWEMA
AMINA
unihurumi bwana nimetenda dhamb Mimi
Baba unihurumie mimi kwa huruma yako Mungu mwenye nguvu unayestahili kuabudiwa na kutukuzwa
Asanteni sana hakika ninabarikiwa nisikiapo wimbo huu.
Steven Mhina Amina
Dhambi zimenitenga nawewe, naomba unihulumie mimi na jilani zangu, familia yangu
Amina
Nyimbo nzuri sana unihurumie mimi bwana nimkosefu
Kazi nzuri sana Tumaini Catholic Singers,"Be blessed all".
+Godwin Tenesi Asante sana. Amina
+Godwin Tenesi Amen
Ee bwana wangu utuhurumie
nice Sana'a!!ninakusihi eee Mungu wangu
+lucy mwananzumi Asante
Mungu awape nguvu NA uweza Amina
wimbo unanichoma sana
Unihurumie mimi bwana ninakusihi eee MUNGU unisamehe makosa yangu niliyokutendea ewe MUNGU najirani zangu
Uhurumie mimi bwana nimetenda dhambi nyingi sana nauusafishe moyo wangu
Mimi ni mkosefu baba niurumie nimetenda dhambi
unihurumie mm bwana
Unihurumie mimi bwana tutubu na kuiamini injili
Amina
Forgive us oh lord for we are sinners
+Jesca Kim Amen
Am looking choir master's address: give me email of whatsaap No. please, i love this hymn's of praise.
unisamehee Eee bwana mimi ni mdhambi🙏
Ninaomba huruma yako Mungu🤲
Hii inanikumbusha baba yangu marehemu. Mungu wangu aendelee kumpumzisha baba yangu mpenzi😭🙏🏾
Ewe baba mwenye huruma unihurumie Mimi
Ninakuomba ee Mungu wangu unisamehe makosa yangu. Naimba toba na rehema baba nihurumie🤲🙏
Ee bwana unihurumie Mimi mkosefu
Uturuhumie sisi na majirani zangu
Safisha moyo na matendo yangu nisifanye dhambi
+Clentina Ngollo Amina
+Clentina Ngollo Amina
Unihurumie mimi bwana .Naomba
Christerbel Kanaisa Amina
Nihurumie mimi ni mkosefu..
Amina.
Hakika Mungu ni mwingi wa rehema siku zote amina
Amina
Utuhurumie bwana sisi niwakosefu
Nyimbo imenifariji sana
kwakweli nyimbo nzuri kwa kipindi hiki cha unyenyekevu
+Samson Philmon Asante sana. Mungu akubariki. Share na marafiki tone hili la upendo
Mungu nihurumia na kunisamehe maana mimi ni mkosefu mbele zako Mungu nisamehe sana, nitakasa kwa Damu yako Yesu. 🙏🙏
Wimbo mzuri sana tena sanaaaaaa
Amina mungu awaongezee nguvu na maarifa
Amina mbarikiwe Sana waimbaji
+Jackpatrick Moses Amina
+Jackpatrick Moses Amina
Leo nimebarikiwa sana
Wimbo mzuri unaoguza moyo wangu.Baraka
Nimetenda Zambi bwana nihuruhumie mimi na ndugu zangu
Unihurumie Ee Mungu wangu
Wimbo mtamu💕💞
mungu awabariki waimbaji
+renatus makolo amina
Inanikumbusha mbali Sana 😭😰😰
Very nice for this lent
Asante kwa nyimbo hizi zina towa machozi!
Barikiwa waimbaj pamoja na mtunzi
Sorrowful song
God bless you
Ninakurudia eeh mungu mwenyezi kwa kuwa mimi ni mwenye dhambi.
Vipi mnazo cd za nyimbo kama hzi,mimi nazihitaji sana,maana napenda nyimbo za namna hii
JUMA MWIGEKA cd zipo ndugu. Zinapatikana st joseph cathedral dsm
ASANTE UBARIKIWE SANA@@KFTStJoseph
Bp unapatikana wapi ndugu
Ahsnt yesu hakika ww ni mwema
M'barikiwe katika kristo
Nihurumie Mungu wangu Mimi mwenye zambi
Uniulumie mm
Mbarikiwe sanakwauimbaji mzuri tuhurumie kristo
Ninakusihi ee Mungu wangu. Unisamehe.makosa yangu niliyokutendea wewe Mungu wangu na jirani zangu