Mtu kama hakupendi hakupend tu, hao wakubwa wooooote mnaowasema kuwa diamond hajaufikia wao waliishia wapi na huo ukubwa wao? Mbona hawakumantain muendelezo wao? Achen chuki hao wakina nature na saida karoli waliishia wapi mpaka sasa? Mbona hawakufika hata Nigeria 🇳🇬 kimusic? Huyu jamaa anaongea kama yupo kwenye BSS 😂😂😂😂😂
Nyie East Africa na Master j wote amna akili timamu yani search African artist waliojaza mashabiki wengi ndio watamueka saida kaloli, juma nature na anao wataja uyo master j wenu ivi 😂😂😂 dah!! Bongo nyosso nabii akubaliki kwao mnakunja kama nyie ndo mashabiki zake 😂😂 na mkiacha kumuongelea mnajua atuwezi kusikiliza ledio zenu za mbao 😅
Sometimes naona kama vile huy bing nizeze, na hkun interview aliwah fanya bila kumtaja mond, saw hajafany kwa ukubwa wao walio fany kwa ukubwa impact yao iko wp walifika wp, watupe na ushaid sio kuropoka tu quma nyote mlipo hapo studio 🎙 🫴🫴🖕
Mpe maua yake simba kwan uyo saida ni marehem na vp kuhs nice ni hayat achen roho mbaya ndio simba kamtengeneza hamo vany mbosso zuchu na wengine weng vp khs hao niletee mazao yao
Master J amshukuru Madam Ritha kumuweka katika BSS alishapotea mazima
Harmonize nd atafanya maajabu zaid ya wote aho🎉
Rekebishen studio Nyie East Africa hii studio inakaa kama zizi la mbuzi😂
Mtu kama hakupendi hakupend tu, hao wakubwa wooooote mnaowasema kuwa diamond hajaufikia wao waliishia wapi na huo ukubwa wao? Mbona hawakumantain muendelezo wao? Achen chuki hao wakina nature na saida karoli waliishia wapi mpaka sasa? Mbona hawakufika hata Nigeria 🇳🇬 kimusic? Huyu jamaa anaongea kama yupo kwenye BSS 😂😂😂😂😂
Wasanii wetu waliopita walikua wakubwa kwa kipindi kifupi tu baadae wakapotea
Hamnaga zaidi ni mondtu
Nyie East Africa na Master j wote amna akili timamu yani search African artist waliojaza mashabiki wengi ndio watamueka saida kaloli, juma nature na anao wataja uyo master j wenu ivi 😂😂😂 dah!! Bongo nyosso nabii akubaliki kwao mnakunja kama nyie ndo mashabiki zake 😂😂 na mkiacha kumuongelea mnajua atuwezi kusikiliza ledio zenu za mbao 😅
Sometimes naona kama vile huy bing nizeze, na hkun interview aliwah fanya bila kumtaja mond, saw hajafany kwa ukubwa wao walio fany kwa ukubwa impact yao iko wp walifika wp, watupe na ushaid sio kuropoka tu quma nyote mlipo hapo studio 🎙 🫴🫴🖕
Mpe maua yake simba kwan uyo saida ni marehem na vp kuhs nice ni hayat achen roho mbaya ndio simba kamtengeneza hamo vany mbosso zuchu na wengine weng vp khs hao niletee mazao yao
Marehemu kafa lini mtu ana pumua unaita mare vibaya
Kuporomoka kwa jukwaa je kama lilikua halikua na uimara
Kwani simba alimkosea nini huyu mzee anyway keshafulia wacha apotoshe jamii apate mlo.
Wivu na chuki kwa mafanikio ya Diamond vinamsumbua sana Master J. Afu anapenda sana kushobokewa kama hao East Africa radio wanavyomuabudu