Mandojo na Domokaya - Nikupe Nini (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2022
- "Nikupe nini " Is the classic Song by Mandojo na Domokaya recorded at Bongo records under producer P- Funk Majani .
The song is about a woman who pretends to be pregnant and puts her husband through hell, to do everything for her before he came to realize that she wasn't pregnant at all.
Tuliopo hapo 2023. 👍 like
Any one on it March 2023?? Hit like buddy
Duh ya kitambo kipindi yusuph makamba alikuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam 😂😂 eti tukutanie "Jiji la makamba"🙌🏾
Ndio kundi pekee Tanzania 🇹🇿 ambalo alijawai kuvunjika. Much respect Sana 🙏 mungu awabariki
Salute man
Asante sana
Ngoma haichuji Safi kazi nzuri 🔥
Aminia sn
One of my best songs those days
Asnt
SIFANYI MALIPIZI ILA JIFUNZE ADABU oyaaaaa big respect
Aminia sn salute
@@mandojojoseph1665 Nakubali mkubwa tupo p1 tunasapot good music
*P Funk Majani* - huyu jamaa aliidefine Bongo Flavour kwa kipindi kizima cha miaka kama kumi hivi kutoka 1995 hadi 2005. Siku hizi maproducer wanaiga tu midundo ya Naijeria na Afrika Kusini.
Makamanda *Man Dojo na Domokaya* big up sana kwa hatimaye kutoa kideo cha huu wimbo. Muziki huwa haufi hata mliouimba mkishakufa. Kideo hiki kitafanya kazi yenu izidi kuishi milele.
Sure
Kweli maneno yako bro
Heshima kubwa sana Ngoma haichuuji miaka nakumbuka hii nilikua shule ya msingi ila leo video imeirudisha km mpya safi sana
Salute zote
Asante sana 🙌
Yaan aisee ngoma ya kitambo ila imenogaaa!mm naona wasanii wa zaman sasa uwe ni muda maalum ama mwafaka kupitia kwenye makitaba zao na kuturushia mangoma ya zaman wakiwa wanatoa video kali.maana ss wazee wa zaman tumesha kosa hata nyimbo za kusikiliza na kutazama
@@mandojonadomokaya kakakaka mpoooo😢hili chozi nifurah aa safi snaaa mmerudiii mungu azidikuwainuwaaa Leteni nomaaa MASHABIKI tupooo wengiii huu ndiomzikiiiii duuu😃😃😃🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♀️🤸♀️💕💕💕💕
@@mandojonadomokaya aiseeee 😃😃🤸♀️😃🤸♀️😃🤸♀️😃🤸♀️🤸♀️🙏🙏🙏🙏🙏Safi sanaaaa
From school to old life goes on.Respect forever
Aminia sn
Usiipime Io vibe ki Easti kweli 🔥🔥🔥🔥big up upendo kutoka Kenya.🇰🇪
Aminia sn mwamba from Kenya eeeh baba
Asante sana 🙌
HII NGOMA ILIKUA IKO MBELE YA MUDA KABISA 2002 mpaka leo bado bonge la ngoma
E babaa
Eeeh baba sure miaka mia nane
All time Banger!
Bonge la Ngoma 🔥🔥🔥
👊🏿👊🏿👊🏿 Legends, Siku hizi wakina tuna WASAFI wanaimba UTUMBO tu..
😎😎😎😠😠😠
Salute
Mandojo 👊🏿👊🏿👍🏾👍🏾🤝🏾🤝🏾
Nikupe nini & Dingi nazikubali sana. ❤❤❤❤❤
17/4/2023
Daahhh,,, those days aiseew miaka imepita ila ngoma iko vile vile kweli vya kale dhahabu,,, big up kwenu mandojo na domo kaya bila kumsahau pifunk
Asante sana
Salute zote
Tulio hapa 2024 👍🏾like
Kweli ule msemo old is gold#NIKUPE💥💥💥💥💥💥💥
Sure
Kuna songs zimetoka mwaka jana ila zishafuja but these old golds still shines maaan 🙌🏽
🙌
Eeeh baba salute
From Burundi bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 bado naupenda huu wimbo
Asante sana 🙌
Salute sn
Old classic..new great video…every old bongo artist should do this!!🔥🔥🔥🔥
Salute
June 2024 nipo hapa
YAANI LONGTIME MLIKUWA MNAKAA NA KUFIKIRIA SANA NA KUANDIKA LKN HIVI SASA WASANII HAWA ROPWAROPWA TU.. HAO WANAOWABEBA KWENYE MEDIA HAWANA UWEZO WA KUANDIKA NGOMA ITAKAYOWEZA KUISHI KAMA HII.. NYINYI MLIKUWA MKISHINDANA KUTOA HITS DAH NIMEMKUMBUKA GODFATHER MAJANI HII
Kwel kabis eeeh baba
Big step brothers bado kitaa kinawahitaji sana
🙌🙏
Our teen age music was so meaningful. Before nonsense jumping music started
We are here to make the difference E baba
Eeeh baba
Walio sema ukubwa Dawa hawakukosea, nyimbo ya Karne hii siyo ya mwezi🤝
Brother's nawakubali sana💯💯💯💯💯💯 napenda sana ngoma yenu ile ya wanoko wanoko featuring Jay dee
Asante sana 🙌 tuko pamoja
Aminia sn
Yaani hata mrudie video za ngoma zenu zote bado tutaangalia tu.... Living Legends
We appreciate 🙏
Pamoja sn mwamba zinakuja
2024❤❤❤🎧🔊✌️🤙
Aiseee daghhhhh hii NGOMA imenikumbusha Enzi hizooooo Nipo Zangu SHULE ya Msingi #MUUNGANO ndani ya Wilaya ya #TEMEKE huko
I feel a Sorrow in my Soul😭😭😭😭..
Huu ndo Ulikuwa MZIKI bhana yaani hii NGOMA Naiimba yote #MWANZOMWISHO
Keep the good 🎻 Music 🎻 alive
🇹🇿🇹🇿💯%
Much love and respect 🙏
Ludini kwenye music ndugu
Kumekucha watu na bongo fleva yao🥰🥰🥰🥰🥰😄
Naaam 👊
Noma sana tunaomba na kichupa cha wa nok nok ft jide
Soon
Bonge ya pumbu!!!! noma sana hit song miaka 💯 #dojo&kaya
Salute zote
Mmetuheshimisha saaana bravo👏👏Sana mabraza endeleen kutoa huo unyama wa zaman Bila Kusahau mlioimba na Jay Dee
Asante sana 🙌 Respect sana
Kitambo sana Enzi zetu izo sio sasa miaka ya NYEGEZI ujinga mtupu NYIMBO inaitwa NYEGEZI😅😅😅
Weacha tu brooh
Bonge la kichupa mmetisha sanaaaa👍
🙏🙌
Asnt sn
Goma la Moto Sana
🙌🙌
Daaah mmenikumbusha mbali sanaaa hongera sanaaa miamba miwili isiovunjika💪💪💪💪
E babaa
Salute
Eeeh baba
🎼🎵🎶Maaajani ya bustaaaani...,🎶🎵🎼 Daaaah! Mwanzoni mwa miaka ya 2000, Ifunda Tech. Sec. School, life ya boarding school hii ngoma ilikuwa gumzo sanaaaaaa. Salute wazeiyah
Pamoja sana 🙌
@@mandojonadomokaya 👍🏿🙏🏿
Eeeh baba sana mwamba
Oya nyie watu hamjawahi kui disappoint bongo flavor nadhani wasanii wote wa kitambo wakirudi kama na idea hii mliyoifanya muziki wa bongo flavor utaheshimika maana muziki.utarudi kwa wenye muziki wao.
Much love sana Mandojo & Domokaya
Respect 🙏
Salute sn man eeeh baba sure
Bonge la surprise sikutegemea kukutana nahii. Safi sana! 🎬🔥 Nimekumbuka Walkman Radio yangu ya Cassette aisee enzi hizo mwendo wa batteries ndogo zikiisha unanunua tena, no kuchaji na umeme. Nilikua na Album nzima na hii ilikua favourite track. Alot of memories! 📝
Hahahaha sure man
E babaa long time 🙌
Vitu Kama hivi tunataka brother zetu..co mnakuwa kimya Sana..🙏🏼🤝
Sure man vinakuj vya kutosha
Sawa tunavisubili kwa mikonomiwil
Ngoma Kali Sana heshima Sana kwa ngoma Kali mandojo na Domo kaya
E babaa 🙌
Wozaaa
Jeshima kubwa sana man na domo the living song the living memories the living legends
Salute sn man
Respect 🙌
Respect sana,pigeni machupa ya ngoma zote halafu muanze kula hyo mipunga ya social network
Kabisa mwamba
daah kweli huu ndio muda wa kurudishwa kuleeeee ambako tulikua tunapataka
Sahihi kabisa
Ngoma ya miaka mingi Af kali Na chupa imekuja kuwa kali sasa wale wa nyimbo anaachia leo af video kesho wajifunze kwa mziki unaoishi kama huu
Eeeh baba salute sn
Huu ndio mziki ambao ume miss kwenye industry ya bongo flavor 👍🏽🎶
Eeeeeh baba
Nazikumbuka ladha za Bongo Records na P Funk Majani naona zile ladha tulizozimiss ndani ya miaka 10+ zinaweza kurudi Beats kali wanamuziki wakali mashairi makali.
Aminia sn mwamba
Nimependa sana wameonesha ukomavu wa kazi yao inanguvu kama ilipoka wakati ule
🙌
Salute sn
Still listening and feeling like a new song 🎉🎉 2023 🙏🙏
Big up Kwa brothers old is gold mziki unaoishi salute Kwa P majani
Hizi ala na mpangilio mzuri wa mashairi n midundo ndio ilikuwa heshima ya Bongo fleva. Legends are back!
Salute sn
For sure 🙌
nafikir hiki ndio kikikua kinaitajika gooood job chap
🙌🙏
Another Banger
Sure eeeh baba
Noma tangia niwaskie pamoja,wamekitoa ngoma kali tena. Muziki ya Eastr Afrika inaenda mbali.
Aminia sn
Yaan Mmefanya kitu kikubwa Mno.. Nyimbo ya zamani ila Quarity n ya sasa kbs..😍
Asante sana 🙌
Salute
Hizi ndo zilikua nyimbo sio hayo matusi ya watoto wa siku hizi. Big up sana kwa Majani the Bongo fleva father of all times.
Aminia sn ma niger
Kuhusu ngoma hii uwa ni Hit miaka yote tangu ilipotoka hadi leo bado ni Hit tu sema hicho kichupa dah ushindi ni mwingi wana karibuni tena kwenye game.
Aminia sn
when Bongo fleva was real....mmenikumbusha mbali sanaaaa....we real miss you guys..
Aminia sn
👏🔥👊inafaa Mzi shoot video nyimbo zenu zote ,wanock nock,taswla,dingi,nenda...
Sure zinakuja
nyimbo ya zaman video mpya.. old is gold
Hakuna ata nyimbo moja diamond ameimba inapita nyimbo hii
Ilikuwa ni lazima U-Comment hivyo???
Aminia sn
@@reginaldmwemezi6746 ndio mkuu au wewe waonaje?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
@@japharynduko6139 Man Up
Heshima kwako P funk majani , au Baba Paula
Anastahil heshima kubwa
Mimi sio msanii ila namuheshimu Sana huyu mtu ktk tasnia ya bongo fleva ana mchango mkubwa sana
Ooooe wanangu mumefanya jambo moja la maana Sana kaka ZANGU TUMESKIZA AUDIO MDA MREEEFU SANA MAKAMANDA WANGU....SEMA MSIZINNGUE TENA...JIWE BAADA YA JIWE...WAPI LIKES ZA KENYA..
🙏🙌 more to come Pamoja sana
@@mandojonadomokaya sure kaka TUPENI WANOKNOK WANANGU VIDEO...
Mawe yanakuja subscribe tu ili uyapate yatokapo tu eeeh baba
@@mandojojoseph1665 ushasema 💯 kamanda mbona kitambo sub IPO
Kubwaaa sanaaaaa
🙏
as if audio imeachiwa jana…. big brothers for dropping this hit video🙌🙌🙌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Salute
We appreciate 🙏
Hizi ndio ngoma zetu Sasa... Sio mnatuletea ngoma za kumpakia X mkogo
Respect
Dah! Hii Ngoma Nipo Dogo Sana Nakumbuka Kipindi Hicho Mmefika Mbeya Sokoine Ikabidi Nitoroke Home Nije Kushuhudia Show 💪🏼💪🏼💪🏼
Daaah Memories 🙌
@@mandojonadomokaya Naamini Ngoma Zote Zotafanyiwa Videos Kwa Muendelezo Wajomba 🙏🙏💪🏼💪🏼💪🏼
My favourite Mandojo song 🔥🔥🔥🔥 old is gold
Wanangi toeni na zingine..dah nimefurahi sana.🙏
Zinakuja man
@@mandojojoseph1665 nakubali sana mandojo na domokaya
Nilikuwa mdogo sana nikiwa nafatilia hizi ngoma pale moro abood fm.
Bonge la throwback.....🙏🙏🙏
Come back niggas. Hii ndo tafsiri ya Music
Aminia sn
Fanyeni mambo kama hv tunataman mpate pesaaa mingiiii kwa maanaaa n haki yenu
Salute sn manigger
Duh....inakumbusha kitambo sana hii ngoma...
Big up...!!!!@@@@%$%%%
Salute
🙏
We take them DEM DAYZ..👏
For sure
Hatimae tumepata video hongereni Kwa kuto kuogopa kufanya angali ni miaka mingi imepita ama Kwa hakika wakat sahihi ulikua ni sasa 🙌🙌👏👏👏👏👏👏👏
Aminia sn
Salute ninja
wimbo huu ni moja ya nyimbo ambazo zina radha ya aina yake, kwanza sauti pia maneno! saruti mandonjo & domokaya
Aminia man
Salute 🙌
I can't skip listening to this masterpiece
Salute sn man
🙏🙌
WanokNok na Dingi Mkuu🙌🏻🙌🏻video fanyeni kweli
Imeisha hiyo manigga 🙌
Zinakuj man
ile nyie MAJANI alikua wamoto sana aloo hii ngoma haiishagi utamu
Salute man
Video kutolewa baada ya miaka 18 kupita,ok siyo mbaya maana OLD IS GOLD 👏👏👍
Sure kabisa
Digala na dojo fanyeni mpango wa Wanok nok, Nizikwe Hai bila kusahau Nenda.
Zinakuja mwamba
😂😂😂daaah ebana eeeh!! Sio poa kumbe hana mimba wala nn
😃😃
Legendary ....
I miss you so much mnanikumbusha mbaliii
Aminia sn mwamba
heshima kubwa xna kwa kk zetu salute 💪🏻
Salute man
Nomaaaa sanaaa fireeeee
E babaa
Baba Paula alitisha sana🥰
Nom sn
Kitambo sana enzi izo unatoloka home kwenda club, dah hawa jamaa ninoma
Memories
🙌
Wozaaa
"tukutane tena kwa jiji la Makamba"...dah kitambo sana makamba(father) akiwa ndo mkuu wa mkoa wa Dar
Yaaaa sure eeh baba
Nawakubali sana hawa jamaa,Classic Track
Aminia sn mwamba
Yaani watt wa 2000 kalaleni
Km imetoka Jana vile Hii ngoma noma Sana.., toka jiji la makamba Hadi jiji la Makala
Eeeeh baba kitamb miaka mia nane
Hongera sana LEGENDS kwa kufanya video ya hii ngoma classic kwa quality ya sasa
Asnt sn
Nomaaaaa sana! 🔥🔥🔥🔥🔥😄 #Classic hii #Nikupe #BongeLaAudio #BongeLaVideo 👊🏾👊🏾👊🏾💥💥
Respect 🙌
Wozaaa
19yrs now., but today we got our video 🥂big up my brooh's #MzikiMzuriUnaishi #OneLove♥️
Salute
Asante sana
inabd mshoot zote upya kaka naamin mnazirudisha upyaaa sokoni🔥🙌🏾
Soon
InshaAllah 🙏
Sure
Justice is done to the song asee 🔥
Salute zote
We appreciate
Hebu fanyeni na video ya Wanok nok nadhani Itakua poa Sana!
Soon E baba 🙌
Music is an art and these guys are artists,much love. Reminds me of our era
🤝🙏
Wozzzz
P funk... 🔥
Dojo na domo 🔥
Ezra brown EZ 🔥.
KAZI NZURI SANA.. BADO NI KUBWA
E babaa
Now this is the real Bongo flavor 🙌🙌✊✊ ngoma inaishii since then ,..
🙌
Hit💥shouts to home boys Dojo & kaya you guys deserve a lot in the industry
Eeeh baba
Respect