NJIA SITA ZA KUBADILISHA MAISHA YAKO NDANI YA MWAKA MMOJA- MTUME NA NABII JOSEPHAT MWINGIRA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Welcome to our official TH-cam Channel...
    Please feel free to follow us on social media
    Telegram 👇
    t.me/inEGTV
    Instagram👇 ...
    TikTok 👇
    www.tiktok.com...
    Facebook 👇
    www.facebook.c...

ความคิดเห็น • 37

  • @AmaniJasipa
    @AmaniJasipa 4 หลายเดือนก่อน

    Baba MCH mwingira mungu akulinde daima nakupenda sana baba yangu

  • @amanduspeters7893
    @amanduspeters7893 10 หลายเดือนก่อน +1

    1. Amua kusikia mambo yatakayojenga ubora wa maisha yako tu - Sikiliza waliofanikiwa katika mazingira kama yako
    2. Kataa na futa habari zote zinazoonyesha kushindwa
    3. Weka Malengo yako - na buni namna gani unataka ukife hapo
    4. Tumia muda mwingi katika kile unachotaka kikupe faida- Chora Ndoto yako
    5. Lipa Gharama - achana na mambo na watu wasiokupa faida
    6. Agana na Mungu katika unachokifanya

    • @bishoptvalbert4112
      @bishoptvalbert4112 7 หลายเดือนก่อน

      WATUMISHI WA MUNGU VIJANA
      USIISHI MAISHA YA MAIGIZO
      • Usilazimishe kuvaa suti wakati uwezo wako halisi ni kushona suruali ya kitambaa na koti la mtumba
      Iishi hiyo hatua kwa furaha, ujasiri na moyo wa shukurani ukijua NI HATUA TU KWENYE MAISHA UNAPITIA, HAUTAKUWA HAPO MILELE na ukidumu kuwa mwaminifu kwenye wito na huduma yako, kuna siku UTAZIDIWA NA WINGI WA NGUO HADI USHINDWE UVAE IPI UACHE IPI!
      Wote tumepita huku,
      Wote tumepitia haya,
      Ni hatua tu kwenye ukuaji binafsi na kuaminiwa na Mungu!
      • Usilazimishe kutaka kuishi nyumba nzima wakati uwezo wako halisi ni chumba na sebule!
      Utajikuta hela yote inaishia kwenye kodi tu, huna kingine ulichofanya.
      Kubali kuishi kwenye chumba na sebule au chumba kimoja, huku ukimtumikia Mungu kwa furaha na uaminifu, SIKU SI NYINGI MUNGU ATAKUHAMISHA HAPO NA MAISHA YATAKUWA NA MWONEKANO BORA ZAIDI!
      Wote tumepita huko,
      Wote tumepitia haya,
      Ni hatua kwenye ukuaji binafsi na ukuaji wa huduma ili kuaminiwa na Mungu na mambo makubwa mbeleni!
      •Usilazimishe kutembelea gari binafsi au ya kukodi wakati kiwango chako halisi ni daladala au bajaj na bodaboda!
      Utajitesa, utajiumiza, utakuwa dissapointed mno kwenye maigizo yako hayo.
      Panda daladala kwa furaha na humo nena kwa lugha na kusifu kwa moyo wa shukurani kwa hatua hiyo.
      Siku zinakuja MAGARI UTAKUWA NAYO, NA UTAENDESHWA NA DEREVA BINAFSI!
      Wote tumepitia hayo,
      Mungu ametupitisha huko,
      MIMI ASKOFU DICKSON CORNEL KABIGUMILA NAPANDA BODABODA NIKIWA DAR ES SALAAM KWA AJILI YA FOLENI, NDIO USAFIRI WANGU BORA NA HAIMAANISHI NIMEISHIWA AU NINA HALI MBAYA, NAOKOA MUDA, NATUMIA MUDA WANGU VIZURI! NA UPAKO UKO PALEPALE, NEEMA IKO PALEPALE, NA KIBALI KIMEJAA KAMA CHOTE!
      Usisahau hili,
      "Maisha yapo kwenye hatua tofauti tofauti na watu wapo kwenye viwango tofauti tofauti"
      (Askofu David Oyedepo)
      USIIGIZE MAISHA
      KUWA HALISI
      JAA SHUKURANI KWA ULIPO
      HUKU UKIMWAMINI MUNGU KWA HATUA BORA ZAIDI KESHO,
      Askofu Dickson Cornel Kabigumila
      ABC GLOBAL DUNIANI
      15.01.2024
      Picha ya kwanza ni mimi mwaka 2010 nikiwa field TAZARA na ya pili ni jana Jumapili 14.01.2024 ABC GLOBAL SABASABA

  • @yehugkgk
    @yehugkgk 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @user-so4ju9cw2y
    @user-so4ju9cw2y 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naitwa jackisoni fute nipo zambia naomba munisaidie namba ya muchungaji wa tunduma kuna watu huku wanataka kuungana na kanisa la efatha

  • @MussapauloUsalanje-rd3ty
    @MussapauloUsalanje-rd3ty 2 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @eliudmwamlima2691
    @eliudmwamlima2691 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba nambazako.mchungaji

  • @seciliajohn1456
    @seciliajohn1456 3 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Cecilia john, naitaji maombi yako, baba wa efatha, sina mtoto nina miaka 38 niliondolewa kizazi baba nisaidie, nimelia sana, nimechekwa sanaaaaa, ila nina imani ipo cku nitapata watoto baba nisaidie nami niondoe aibu hii

  • @fidonifidel
    @fidonifidel 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani Mafundisho kama haya ya watumishi adimu muwe munaruhusu kudaunilodiwa ili tuwaonyeshe wengine .

  • @eliudmwamlima2691
    @eliudmwamlima2691 3 หลายเดือนก่อน

    Namba

  • @seciliajohn1456
    @seciliajohn1456 3 หลายเดือนก่อน

    Baba mchungaji nahitaji namba zako unisaidie Ili tuwasiliane Kuna muda moyo wangu umevunjika sana ila Bado cjakata tamaa nahitaji maombi yako

  • @DainesMlowe-in9uy
    @DainesMlowe-in9uy 4 หลายเดือนก่อน

    Nicee

  • @MagangaMasunga
    @MagangaMasunga 7 หลายเดือนก่อน

    Ameen mtumish wa mungu

  • @jamesandanje8459
    @jamesandanje8459 11 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 be blessed thanks

  • @macedoniusfrances8410
    @macedoniusfrances8410 ปีที่แล้ว

    Barikiwa 🙏🙏🙏 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @annaamani4436
    @annaamani4436 7 หลายเดือนก่อน

    Amina baba

  • @user-vo6vl1hq7x
    @user-vo6vl1hq7x ปีที่แล้ว

    Sawa Daddy, thanks,

  • @lisajoanmark1748
    @lisajoanmark1748 4 หลายเดือนก่อน

  • @D_erek_018
    @D_erek_018 ปีที่แล้ว

    Perfect Daddy 🙏🙏

  • @VictorNdeoya
    @VictorNdeoya ปีที่แล้ว

    Napokea maisha hayo kwajina la yesu

  • @shakilaibrahim3271
    @shakilaibrahim3271 9 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @user-hp1xe4tf4p
    @user-hp1xe4tf4p ปีที่แล้ว +1

    Ameen 🙏🙏🙏

  • @ElineMmary-tw8zc
    @ElineMmary-tw8zc ปีที่แล้ว

    Nikweli kabisa wajifunze kwa walio weza

  • @user-zo6um7zq1b
    @user-zo6um7zq1b 8 หลายเดือนก่อน

    Napokea kwajina la yesu

  • @bonifacebochela4717
    @bonifacebochela4717 ปีที่แล้ว

    Aminaa

  • @andreafulgence6315
    @andreafulgence6315 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @barakaayubu6126
    @barakaayubu6126 7 หลายเดือนก่อน

    Natamani kuonana na mwingira USO Kwa USO nitafanyeje Ili nifanikiwe katika hili?

  • @neematinda5738
    @neematinda5738 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @glorytv5292
    @glorytv5292 ปีที่แล้ว

    Ameeee ongera mt

  • @marthakesi9185
    @marthakesi9185 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @mwamatengejay
    @mwamatengejay 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @syphrinejuma5557
    @syphrinejuma5557 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @petroshija1222
    @petroshija1222 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @mwebraniasamson4734
    @mwebraniasamson4734 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว

    Amen