Habari Gozi, walahi mimi nangoja episode 19.hapa 🇰🇪. Mm napenda sana hii film yenu. Yanifanya nijifunzi mengi na nnafurahia kwa kweli kuangalia hii michezo
Mwajuma tuko Dodoma tutakupenda tunakufatilia unatubamba sana kauli mbili yako ni Moja tuh unapenda ugomv kuliko kula na kipany koma kututesea mwajuma wetu panya wew
Mwanjuma ni mmoja tu kwenye penzi la mama mkwe hakuna mwengin anajiamini ni mzuri alafu anajuwa anachokifanya anakwambia haogop kichech wala dig dig love you so much❤
Mwajuma jaman we mzur achan nakipanya laana huyo anasura kama komba simpend na huyo kidem chake mwenye sura kama mjusi looh alafu maish yakwel kanaonekana kachawi hako kwaza hata hujiamini unapo simam na mwajuma chezea mwajum ww
Du lakini kuhusu kiswahili cha Gozi kwangu mimi ndo pia kinanivunja mbavu wakati wote 😂 kwakuwa kavaa sura ya mtu wa dizain hiyo Amalize kwanza hii move Ndo Anyoshe kiswahili kwa filamu nyingine 😅😅
HILI GROUP KWAAJIRI YA MASHABIKI WA DIRECTOR 👇👇👇👇👇chat.whatsapp.com/C3TJF0paB15LyRade5kk9a
@@directorgozi5509 Naam Bwana Gozi, Naomba unitie kwenye mjengo kwenye kazi yako itakayofwata, nipo Kenya sasa hivi?
Mbona hili group imekataa watsapp ama ju mimi ni mkenya
Habari Gozi, walahi mimi nangoja episode 19.hapa 🇰🇪. Mm napenda sana hii film yenu. Yanifanya nijifunzi mengi na nnafurahia kwa kweli kuangalia hii michezo
Nakupenda Sana mwanjum jaman unanibamb Sana from iringa
Mwajuma tuko Dodoma tutakupenda tunakufatilia unatubamba sana kauli mbili yako ni Moja tuh unapenda ugomv kuliko kula na kipany koma kututesea mwajuma wetu panya wew
Mwajuma ww murembo 🎉🎉🎉 ww
Mwanjuma ni mmoja tu kwenye penzi la mama mkwe hakuna mwengin anajiamini ni mzuri alafu anajuwa anachokifanya anakwambia haogop kichech wala dig dig love you so much❤
Gozi uko vizuri mno halafu waongea smart adi nmependa hongera sana mungu akuzidishie
Mwajuma ww n kiuongo muchezeshaji
Ati mwajuma anapenda vità kuliko chakula 🤣🤣🤣🤣🤣
Saw❤
kaz zinachelewa jtahid kaka
Gozi nae yuampenda mama🎉mkwe yuanikera
Kazi Safi sana director gozi #director FELIX Kenya
Amani ya mungu iwe juu yenu 🙏🙏niwatakie kheri ya mwaka mpya❤❤
Ndani ya mdaa nipo hapa aaaaaa one love ❤️ ❤️ gozi
❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂munipe like watu munapenda hiyo movies
My mamboo
Hello
Top ! Top! Performance 🔥🔥
Uyama
Ila mwajuma mjinga
tuko nayo mpaka mwisho hii ya kwetu mpaka tamati❤
mm ni askali kutoka kituwo cha police mtu atakaye omba link kuliko kusapoti team Goz ataenda kujieleza police haya gonga link apa kama unamkubali Goz
Santé🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nakukubal san gozi
mumetixha san tyu
Kazi nzuri bro gozi Big up sana
Kaz nzur vai mungu akulinde na upambane
Mapenzi y kipanya n mwajuma niyakisera kbs nawapenda😂😂 Gozi kazi nzuri❤ kutoka b🇧🇮
Mwajuma jaman we mzur achan nakipanya laana huyo anasura kama komba simpend na huyo kidem chake mwenye sura kama mjusi looh alafu maish yakwel kanaonekana kachawi hako kwaza hata hujiamini unapo simam na mwajuma chezea mwajum ww
Mama wetuliza mzuka kautulie usubili wakuletee mujuku ulee achana na vijana wadogo wewe umuli unaeenda
Bitausi hataki kuzeeka
Mapambano yaendelee
😂😂😂kigozi na kipanya ongela yenuuu 🇧🇮🇧🇮keke Burundi ❤❤❤❤
Yan wanawake kama mwajuma ni wapumbavu Sana
Wapo wengi san mjin kama hajakuelewa
Nampenda xan mwajum ila spendi awe na huyo kinyau bhn
Waaau❤❤❤, Kijiko mtembezi hapo
Kazi kwa kazi hujawahi niangusha mkali
Yani mwajuma mjinga sana pia nimshamba wamapenzi
🎉🎉🎉🎉
Wanawake kama ciyoma mchomwe mwoto uibee alafu umpe mwanaume nyoo😢😢😢
🎉🎉🎉
Vai
Jamani nisiwe mnafiki nampenda Sana gozi
Hala hala nipeni na mm hizo like bac 🎉
Nilichelewaaa😅😅😂
Mm niko rada gozi wakwanza leo🎉
Kaz nzuri kutoka kwa gozi director nakubali sana kaka na timu Yako Yote nawatakia mwaka mpya wenye baraka tele🎉
Gozi mwnyw hajui yuataka nn,vai ama vai...zeshen nyingi tu
😂😂😂😂😂mwajuma kapiganeni😂😂😂
Apo apo imefika 🎉🎉
Kazi ya kwenda Chuo Kikuu🎉🎉🎉🎉
Chuogan www taperi
Duuu mpo vizuri
Juma jicho kumbe unajua iv
😂😂😂 love you
Ety kuna uwanja😂😂😂😂
Mm mwanaume nihangaike kisha nije n mkate na mwanamke mwengine ndo mwisho
Wakwanza leo naombeni like zangu waungwana
Na kukubali bro ❤gonga apa
Super character hapa mwajuma 😅😅 mapenzi Wueh katoto kajanja😅
Wah inaendelea kuwa kali sana
ILa Mwajuma😂😂😂😂😂
Gozi jilan yako anautaka kinguvu mpe apunguze jazba zake za kuwajibu watu ovyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nawakubari sana ❤❤❤
Kazi kazi watakubali tu
Aka Mwadjuma nikajinga Sana eti anamkabiz pesa Nani mpenzi wake Ao chizi 😂
Wee gozi kumbe boya kweli msee.hvi unaanzake kumkataa mtto mkali kma vai,halafu unachukua mzee kibenteni kma huyo bi tausi...
hasanteni Sana kwa kuwa nasi MDA wote tuna wapenda ❤
Kidogo mambo og Hatari 😂😂
Gozi nakukubali kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri ndugu ❤❤❤❤❤❤❤ episode yetu ni Fire 🔥 Fire 🔥 kabisa
Ting tang ting tang ameamua kuchukua mke mahari baadaye 😅😅😅mama Sasa hana bahati
Gozi barafu wa moyo wangu ❤😂 napenda kazi zko sana
Du lakini kuhusu kiswahili cha Gozi kwangu mimi ndo pia kinanivunja mbavu wakati wote 😂 kwakuwa kavaa sura ya mtu wa dizain hiyo Amalize kwanza hii move Ndo Anyoshe kiswahili kwa filamu nyingine 😅😅
Aaaaaa noma sana
Kazi nzuri sana
Gozi tumia kiswahili kizuri usipende sana kutumia maneno ya kihuni unaharibu movie, kama unaungana na mm kwa Hilo gonga like
Anatumia ivyo kutokana na uhalisia wake alivyocheza, siunaona apo ameigiźa kiuni mwaya
Unataka muhuni aongee ki'padri au kichungaji?
Angalia move achana na misemo 😂😂😂😂😂😂
Kwani we hujui kacheza uhusika gani hapo ?
@@Maarifasnr-gu6dp niue😂😂😂
Nice Mr goz from kilombero
Goz
Gozi.nafatilia.unaweza.
Afadhali, maana tuliisubiri kwa hamu
2Mesubiri kwa binde
Sanagozi
Safi xana gozi 🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹👋🥀💪🏾💪🏾
Kazi nzuri gozi 🎉🎉🎉🎉🎉
Vai umetisha sana mshikaji wangu
Poa tu.tunakufwata Gozi.
Tuko Burundi .
😂😂😂😂🌋🌋🌋 Oyaa wee tunamtaka Tena uyo kidali😂😂😂😂
Hii kipindi inazingua sana yaani mwajuma mkomavu anaifanya more interesting😅😅Kazi safi sana kaka Gozi.... Love from🇰🇪
🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Tingitangi baridi tu maa mtu basi mie wa mwisho😂 hadi raha😅❤
Muvi inazidi kunoga
Eeeeeeeeee ❤❤❤❤
Gozi on fire
😂😂😂kipanyq unazingua usitutesee mwajuma we
Wa7
Mh mwaj sio poa ila unaonga sn
Hatari sana nawaelewa sana
M napendaga2 hili beat analopigaga😅 gozi hata ukitoa kazi nyingine hili biti usiliache😅😂😂
😂😂😂😂😂 mam tulia uletee mjukuu
34 mimi mauwa yangu jamani 🎉
Safi sana goz keep it up broo
Nice job from🇰🇪
Mtu wa kwanza Leo naomba maua yangu🎉❤