PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 49 | Love Story

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1.5K

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  18 วันที่ผ่านมา +1999

    Jamani leo na mimi wa kwanza nipeni like zangu😅

    • @JonasNdegesileader-l9y
      @JonasNdegesileader-l9y 18 วันที่ผ่านมา +28

      Munachelewa sana Kelvin

    • @Milly_tz
      @Milly_tz 18 วันที่ผ่านมา +23

      Umeanza na wewe😂😂😂😂😂

    • @WilbertMmary
      @WilbertMmary 18 วันที่ผ่านมา +23

      @@Dontatv255 chukua za kutosha hizo

    • @WilbertMmary
      @WilbertMmary 18 วันที่ผ่านมา +8

      @@Dontatv255 🤣🤣🤣

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 18 วันที่ผ่านมา +11

      Hhhhhh wewe uyo ndo wakwanz 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LuluSimba-o3c
    @LuluSimba-o3c 18 วันที่ผ่านมา +423

    Kwa yyote anaye angalia mtot wa boss Mungu tujaalie tuingie mwak mpya salama salmini. Amini

  • @MetrineNelima-i4w
    @MetrineNelima-i4w 18 วันที่ผ่านมา +245

    Chini ya datika kumi naombeni like kwa mara ya Kwanza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪good job Donta

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 18 วันที่ผ่านมา +32

    Ila uyu bony inaonekan n mchexhi xana ongera xana kk bony chukua maua 🎉🎉🎉 yako

  • @CatherineKiilu-j2l
    @CatherineKiilu-j2l 18 วันที่ผ่านมา +115

    Yeyote atasoma hii message mungu amubariki sana and I wanted to wish everyone a new year nawapenda sana

  • @hamzit_bajuniboy005
    @hamzit_bajuniboy005 18 วันที่ผ่านมา +48

    Historia fupi lakini yafunza kitu huwezi sahau maishani mwako🥰🥰🥰

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 18 วันที่ผ่านมา +183

    Big Up kwa wote ambao Sala Zetu na Dua Zetu zipo kwaajili ya Kumuomba Mungu Tuweze kuvuka Mwaka Tukiwa Salama 🎉🎉 Kikubw ni kwamba Mungu azidi kutupatia Nguvu ya kuzidi kusaport kwa kila kazi zijazo 💪💪

  • @rozamarcelle1241
    @rozamarcelle1241 18 วันที่ผ่านมา +37

    Tupe mambo Moto moto Kevin nikifikitia eti mindowakwanza kumbi wengine wamesha nitangulia jamani ndonini ihi Sasa tusilaumuane bwana nitakachokufanya nawapenda sana kutoma moyonitu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💪🏾💪🏾

  • @omarchimoche
    @omarchimoche 18 วันที่ผ่านมา +95

    Wa kwanza leo nimewai...kama mwenyezimungu kakufikisha maali amekufikisha hadi bado masaa machache kuvuka mwaka sema Amiin ...likes zenu apa msa kenya

  • @Lornagari
    @Lornagari 17 วันที่ผ่านมา +12

    Nimefrahia sana,I was not expecting mtaachilia leo,, any hongera sana kwa kazi nzuri,, camera man shikamooo😂😂

  • @AnnaAman-k6u
    @AnnaAman-k6u 18 วันที่ผ่านมา +325

    Duuuh jamani imebaki siku Moja kumaliza mwaka lakin kwa macho ya kibinadamu ni kama mwaka eeh mungu tujalie tuuone mwaka Ameen na atuvushe wote 🙏 😢🤲🤲😔😔

    • @AyeshaHerson
      @AyeshaHerson 18 วันที่ผ่านมา +2

      Amiin inshaallah

    • @Selma-n4l
      @Selma-n4l 18 วันที่ผ่านมา +3

      insha'Allah kwa uwezo wake Allah

    • @christaoman8890
      @christaoman8890 18 วันที่ผ่านมา +3

      Ameen kipz❤

    • @AishaMohamed-q3l
      @AishaMohamed-q3l 18 วันที่ผ่านมา +2

      Ameena yaraaby

    • @PrincessMwajey
      @PrincessMwajey 17 วันที่ผ่านมา +2

      Amen

  • @MwanalimaMwalimu-c4m
    @MwanalimaMwalimu-c4m 18 วันที่ผ่านมา +43

    Jamani hii move inakua Ina wanted na watu kwa kweli , Ata urauke vipi utapata watu wapo tayari 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦 haya nimefika pia

    • @Wamwakera254
      @Wamwakera254 17 วันที่ผ่านมา +2

      Umeona pia ww 😂😂😂😂

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m 17 วันที่ผ่านมา +2

      @Wamwakera254 nimeona kabisa nandio nikamua niseme initoke🤣🤣🤣

  • @Lucy-v3y
    @Lucy-v3y 18 วันที่ผ่านมา +57

    Ukisoma hii coment mungu akulinde bakia masaa machache tuvuke mwaka lkn tina acha kikurambe maana matendo yenu nimabaya ak

  • @HawaHassani-ge8ko
    @HawaHassani-ge8ko 18 วันที่ผ่านมา +28

    Team Furusii💪💸 mkuje huku💃💃💃 Donta tv haina baya naangalia mtoto wa boss nikiwa Oman Rustaq

    • @BrendaMenza
      @BrendaMenza 17 วันที่ผ่านมา

      Connection 🎉

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 17 วันที่ผ่านมา

      Nitafute kipenzi nipo musannah

    • @HawaHassani-ge8ko
      @HawaHassani-ge8ko 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@Fathasssane-vs2thWee usinambie bas nitafte

    • @salomeandrew4148
      @salomeandrew4148 17 วันที่ผ่านมา

      Muscat hapa😂

    • @waridiyusufu
      @waridiyusufu 16 วันที่ผ่านมา

      😂izki hapa

  • @joylinechepkirui-p5e
    @joylinechepkirui-p5e 18 วันที่ผ่านมา +66

    Wa kwanza leo 🎉 from Kenya 🇰🇪 anybody from Kenya like here😊

  • @agathaKamuya
    @agathaKamuya 17 วันที่ผ่านมา +11

    Denis swali aliomuuliza tina , ni wazi hamtaki tina tena imemkwaruza sana . tunasubiri makubwa, thumb up tukiruka mwaka mashabiki wa donta.

    • @EsterSasala
      @EsterSasala 16 วันที่ผ่านมา

      Kabisa ni swali zur sana

  • @MelickLinus-m8t
    @MelickLinus-m8t 18 วันที่ผ่านมา +67

    Leo nimeotea balaaa donta tv tupo wote hadi mwisho wa kigongo like moja tu ya kelvin naomba

  • @JoyceNjovu-en2hc
    @JoyceNjovu-en2hc 17 วันที่ผ่านมา +11

    Tumebakisha masaa tu tuingie mwaka mwingine shetan yupo kazini. Mungu atulinde wote.Amina

  • @namyamaravin7731
    @namyamaravin7731 18 วันที่ผ่านมา +97

    Wa kwanza kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipe like leo na mim jamani😂😂😂😂 na hizi mbio nimekuja nazo

  • @JeremieKenzolee
    @JeremieKenzolee 18 วันที่ผ่านมา +9

    Hapo vizuli Sana mana nyingine ilikua imegoma sauti Big Up sana na nawatakia mwaka mpya wa 2025 uwe muzuli sana kwawaigizaji wote wa donta TV nawapenda sana

  • @JacintaMaloba
    @JacintaMaloba 18 วันที่ผ่านมา +163

    ❤❤❤❤ sijawai pata like hata moja since I started watching this movie 😢😢😢

    • @KhadijahKinyuri
      @KhadijahKinyuri 17 วันที่ผ่านมา +1

      Ulipigia kura ruto 😂😢

    • @JamesWanjugu-h7n
      @JamesWanjugu-h7n 17 วันที่ผ่านมา +1

      haya tumekulaikia usilie❤

    • @JacintaMaloba
      @JacintaMaloba 17 วันที่ผ่านมา +2

      @KhadijahKinyuri 😂😂hata hio kura Sina

    • @JacintaMaloba
      @JacintaMaloba 17 วันที่ผ่านมา +2

      @@JamesWanjugu-h7n 😍😍😍

    • @BimkubwaOthman
      @BimkubwaOthman 17 วันที่ผ่านมา +2

      Sasa uyi Tina ivi kupwesa hama mwanga ndo kitu gn😂😂😂🎉nipeni like jap mia

  • @wangarelucythepopular5886
    @wangarelucythepopular5886 17 วันที่ผ่านมา +7

    Wow kazi nzuri donta tv kwanza haka ka wimbo ka sura yako ndo dawa kananiteka❤❤❤ nipeni likes jamani

  • @JulianaMagodi-d3d
    @JulianaMagodi-d3d 18 วันที่ผ่านมา +40

    Asante kwa funga mwaka kelvin na wana Donta tv❤❤❤

  • @SAFANdaykanza
    @SAFANdaykanza 17 วันที่ผ่านมา +7

    Leo nawai wandugu nawapenda sana💗💗from 🇧🇮🇧🇮💗🇸🇦nawatakiye bonane nzuri

  • @NuruNdegwa-yg2bm
    @NuruNdegwa-yg2bm 18 วันที่ผ่านมา +40

    Wow nmechelewa na 8mins tu mnipee like jaman kutoka 🇰🇪🇸🇦

  • @SamTumwesiger-g1l
    @SamTumwesiger-g1l 18 วันที่ผ่านมา +23

    Duuh maji ya kandoro sijanywa kitambo😂

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 17 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 nimeyamisi mnoo maana yanapatikana dar tu

  • @AriceMapendo
    @AriceMapendo 18 วันที่ผ่านมา +42

    Mimi wakwanza jameni Uganda 🇺🇬 Nawapenda 🎉🎉🎉heri ya mwaka mupya

  • @neykidoti102
    @neykidoti102 16 วันที่ผ่านมา +7

    Kazi nzr Kelvin na jopo lako 🎉🎉🎉🎉

  • @liliancherop5227
    @liliancherop5227 18 วันที่ผ่านมา +61

    Mwenye kutazama hii movie mungu ampee nguvu tunapoenda mwaka mpya in a few hours from now happy new year my lovely friends ❤❤

  • @Mwanaha
    @Mwanaha 17 วันที่ผ่านมา +13

    Jamani.nijambo. lakumshukulu mungu kuvuka mwaka salama❤❤❤❤❤tupendanejamani.tusibaguane.wapendwa🎉🎉🎉🎉

    • @vincentodondi6286
      @vincentodondi6286 17 วันที่ผ่านมา

      Asante mungu tumemalizamwaka salama❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @StellaMasaki
    @StellaMasaki 18 วันที่ผ่านมา +41

    Jaman na mie leo nimekuwa kwenye top10 naombeni like ata kumi 🙏

  • @Rukua-i3o
    @Rukua-i3o 17 วันที่ผ่านมา +6

    Muuza Matunda mpya 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤Siri ya mimba imeptikana woow karbun January Tunaipenda hii susisahau kuongeza bandoo

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t 18 วันที่ผ่านมา +73

    Mwenye kusoma comment ii Allah amjalie mwaka mpya mwema wenye mafanikio.Nawapenda kutoka kenya.Nanawafalia kma team strong ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @AyeshaHerson
      @AyeshaHerson 18 วันที่ผ่านมา +1

      Amiin kwko pia kipenzi team strong tuko wengi 😅😅😅

    • @Nadzuamwatsenze
      @Nadzuamwatsenze 17 วันที่ผ่านมา +1

      AMIN DADAANGU

    • @Ema-p7z
      @Ema-p7z 17 วันที่ผ่านมา +1

      Amina 🎉🎉

    • @saidmasika8738
      @saidmasika8738 17 วันที่ผ่านมา +1

      kwako pia 🙏🤲

    • @Neemakulata
      @Neemakulata 17 วันที่ผ่านมา +1

      Amina na kwako pia

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 18 วันที่ผ่านมา +9

    wenye kuchelewa lakini tumewai 🏃‍♀️🏃‍♀️ tukutane mwaka ujao Happy new year DONTA family 🤚

  • @BrigitteMelly
    @BrigitteMelly 18 วันที่ผ่านมา +75

    Wakwanza Leo from DRCongo 🇨🇩🇨🇩 tujuwane kwenye like jamani

    • @NilyNigundwe
      @NilyNigundwe 17 วันที่ผ่านมา +1

      🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @JumaKasim-v1e
      @JumaKasim-v1e 13 วันที่ผ่านมา

      Umenifulahisha kedi

  • @AnastinaIshisha-lt2rn
    @AnastinaIshisha-lt2rn 18 วันที่ผ่านมา +8

    Nimechelewa leo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HellenDaniel-o5q
    @HellenDaniel-o5q 18 วันที่ผ่านมา +39

    Waoooooooo wakwanza leo nimejalibu kuwah

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 18 วันที่ผ่านมา +35

    Kila mmoja wa kwanza sisi wa mwisho tukae wapi sasa jmn, Eny way kazi nzuri sana kelvin 🎉🎉🎉

  • @RhodaFlower-m2i
    @RhodaFlower-m2i 18 วันที่ผ่านมา +25

    Pamoja Donta kwa wale tunaongojea sana 🎉🎉🎉❤❤❤ happy New Year all fans

  • @AyeshaHerson
    @AyeshaHerson 18 วันที่ผ่านมา +27

    Mmh kila mtu ni wa kwanza jamani 😂😂😂😂 mm ndo wa mwisho na likes sipati pia ata si vzuri 😅😅

    • @MarionSalama-b7w
      @MarionSalama-b7w 17 วันที่ผ่านมา

      Like za nin ushamba tuu watu wanaingiza pesa nyinyi ni likes ujinga tuuu humu😂😂😂😂😂

  • @KILESHOJNR.001
    @KILESHOJNR.001 18 วันที่ผ่านมา +71

    Keeeeh! Likua naona ntakua wa kwanza kumbe nimetanguliwa tyr, aya nipe like japo 10 tuh

  • @BabyeSaumu
    @BabyeSaumu 18 วันที่ผ่านมา +14

    Tina na hayo makope yako Lool😅😅😅

  • @Ramadhan-o1m
    @Ramadhan-o1m 18 วันที่ผ่านมา +24

    Nakubali san mm ndo wakwanza jaman ata kumi tuu

  • @JacklinMponzi
    @JacklinMponzi 18 วันที่ผ่านมา +28

    Yaan mm fraha yangu nikuona tina anateseka tu 😂😂😂

    • @moreenfelluzy3243
      @moreenfelluzy3243 18 วันที่ผ่านมา

      Pamoj San hiy 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @NadzuaMrema
      @NadzuaMrema 17 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisaa

    • @ChristineMaloba-hk9je
      @ChristineMaloba-hk9je 17 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😅aki tu

    • @Frola-r9z
      @Frola-r9z 17 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@ChristineMaloba-hk9je😂😂😂😂😂😂ukimuliza mwenzio na wewe ipo siku utalinzwa

    • @allymwashambwa5920
      @allymwashambwa5920 17 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 muombee mema tu ili aone utukufu wa mungu

  • @zamdaiddi
    @zamdaiddi 18 วันที่ผ่านมา +26

    Wa kwanza Léo nipeni like zangu ❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @AliceCuki
    @AliceCuki 17 วันที่ผ่านมา +4

    Movie tamu sana nawapenda kinoma🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nawatakia nyie wote heli yamwaka mpya

  • @DavidBruno-e4m
    @DavidBruno-e4m 18 วันที่ผ่านมา +21

    Saf amjatuweka sana mungu awajalie uzima muwe ivyo ivy

  • @ChanceSalven
    @ChanceSalven 18 วันที่ผ่านมา +24

    Jamani namimi nawaomba liké nisaidiyeni nazonifunguwe mwakavizuri😂

  • @SevidaEmmanuel
    @SevidaEmmanuel 18 วันที่ผ่านมา +23

    Kumeanza kuchangamka,❤❤❤

  • @JohnEnyaman
    @JohnEnyaman 15 วันที่ผ่านมา +2

    Maze kelvin your words is encouraging na inatufunza mengi kwa hii maisha bana endelea vivyo hivyo.

  • @stephenmutisya3797
    @stephenmutisya3797 18 วันที่ผ่านมา +39

    Mtu wa kwanza kutanzama wapi like za watu wa kwanza msiwe wachoyo

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kelvi mwakamupya tuwaze kwakilakitu vizuri kwawezo Wa Mungu 🙏🙏🙏atundeye mbele
    ❤❤🎉🎉❤❤

  • @MwajumaMganga-r6c
    @MwajumaMganga-r6c 18 วันที่ผ่านมา +37

    Leo nimewah na mm nimekuta Ina dakika mojaa mauwa yangu tafadhari😂😂

  • @g-zoman1081
    @g-zoman1081 18 วันที่ผ่านมา +14

    Ya leo kali kbx 🎉🎉🎉🎉

  • @RuqqaiyahDawood-hl2ic
    @RuqqaiyahDawood-hl2ic 18 วันที่ผ่านมา +27

    💃💃💃npo kma kawaida tunategea bla kulaza damu😂😂😂

  • @marymele9714
    @marymele9714 18 วันที่ผ่านมา +12

    😂😂😂😂😂Tina Kula chuma icho,,, kelvin mbona wa nyata

  • @CollinsKamone
    @CollinsKamone 18 วันที่ผ่านมา +22

    Nko Kenya,,,wakui🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RashellMooh
    @RashellMooh 18 วันที่ผ่านมา +6

    This is so magazine very interesting movie❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢

  • @gseh9277
    @gseh9277 18 วันที่ผ่านมา +26

    Mmechelewa sana sjapendraa Calvin halafu mbona victoria shangazi na yule mkaka mwingne anaeongea kama mtu wa Arusha siwaoni hv wako wapi

  • @ElinaZawadi-r7d
    @ElinaZawadi-r7d 18 วันที่ผ่านมา +13

    Yaan 14min,nyote mupejaa huku kwan mumella huku😂😂😂aya likes zangu nfnge mwaka vyema😂😂😂 Tina na bado hyo tella tu

  • @doreenmomanyi8660
    @doreenmomanyi8660 18 วันที่ผ่านมา +33

    ❤❤🎉🎉😂 Leo umejaribu nilikua naisubiri kweli ❤❤ wapi maua yangu jameni🎉

  • @tdyrrtrtyrr-su6rb
    @tdyrrtrtyrr-su6rb 18 วันที่ผ่านมา +14

    Namimi wasinisahau wenye mutakuja nyuma like from Rwanda

  • @LiomomMarayanlaizer
    @LiomomMarayanlaizer 18 วันที่ผ่านมา +19

    Leo WA Kwanza like zangu jaman

  • @Esther-v9s8n
    @Esther-v9s8n 18 วันที่ผ่านมา +22

    Ulimtesa Kevin na wewe teseka tina😅😅

  • @VidelisMazuta-z9o
    @VidelisMazuta-z9o 18 วันที่ผ่านมา +112

    Kama unaamin tunauona mwaka kw uwez wa Mungu gong like nying hap

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 18 วันที่ผ่านมา +1

      Ameen

  • @CasemiroCasemiro-uc3gn
    @CasemiroCasemiro-uc3gn 17 วันที่ผ่านมา +3

    Jamani mungu ni mwema tunakalibia kuvuka mwaka tumshukulu mungu Kwa kila jambo tusali ndani ya dakika kumi kwanza🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @mwanaharusihamisi1155
    @mwanaharusihamisi1155 18 วันที่ผ่านมา +31

    Wakwanza mm leo from zanzibar

  • @Stellakalu254
    @Stellakalu254 17 วันที่ผ่านมา +11

    Wale tunaoangalia mtoto wa boss tarehe 31/12/2024 nawaombea kuvuka mwaka wa Baraka Na mafanikio katika Jina la Yesu....Sema Amen

  • @Aminamaganda-w2i
    @Aminamaganda-w2i 18 วันที่ผ่านมา +23

    Hatimaye na mm leo nimewah 🎉❤

    • @MarionSalama-b7w
      @MarionSalama-b7w 17 วันที่ผ่านมา

      Kwenda uko munakera hata umewahi kuenda wapi

  • @JoyceRatemo
    @JoyceRatemo 18 วันที่ผ่านมา +7

    Jamani jini ya dakika 20 bc nipe like bc na be blessed ❤❤❤

  • @HasnaHassan-p8d
    @HasnaHassan-p8d 18 วันที่ผ่านมา +47

    Wa kwanza leo nipeni like zangu

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 17 วันที่ผ่านมา +3

    Kend unavituko 😂😂😂biashara gan wanauza hivyo, heee nisisahau nimetaman huu wal kwa marangwe iko vema sana ❤❤❤

  • @TrizahWesonga
    @TrizahWesonga 18 วันที่ผ่านมา +27

    Leo wakwanza nipeni hata ka like kumitu

  • @twagirimanaaisha
    @twagirimanaaisha 18 วันที่ผ่านมา +5

    Namimi natak rik zako brizi❤😊😊

  • @ZudySon-h5e
    @ZudySon-h5e 18 วันที่ผ่านมา +15

    m wakwanza naomba like zangu❤

  • @FloraFredy-c3l
    @FloraFredy-c3l 17 วันที่ผ่านมา +2

    Tumebakiwa na mda mchache sana wa kuaga mwaka na kukaribisha mwaka mwingine tuzidi kumwomba mungu atuvushe wote tukiwa salama

  • @willomale-x4p
    @willomale-x4p 18 วันที่ผ่านมา +17

    Wa🎉🎉🎉 1 leo...

  • @Yesuniwokovu
    @Yesuniwokovu 17 วันที่ผ่านมา +1

    Asanteni sana Dontatv kwa kutupa zawadi ya kufunga mwaka 2024 ila mwaka unaokuja mbadilike msiwe mnatucheleweshea move wadau tunaumia kama mtu anayesubiri mpira wa Simba na Yanga kila la heri katika maandalizi mema ya kuupokea mwaka 2025 Mungu awatunze.

  • @Neemakadzo-h5b
    @Neemakadzo-h5b 18 วันที่ผ่านมา +30

    Sijachelewa leo jameni nipeni zangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @suleimankipyego5143
    @suleimankipyego5143 18 วันที่ผ่านมา +4

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤movie tamu

  • @hashimuomary4569
    @hashimuomary4569 18 วันที่ผ่านมา +8

    Nimewah utamu kitu kizur mungu atuvushe mwaka Salam tuendelee kupata burudan

  • @MarthaFocus-q8u
    @MarthaFocus-q8u 18 วันที่ผ่านมา +4

    Kimeanza kukulamba tinaaa❤

  • @EliasMolell-lb4yu
    @EliasMolell-lb4yu 18 วันที่ผ่านมา +11

    Wakwanza Leo mimi 🎉🎉🎉

  • @SleepyDalmatianPuppies-mf9kr
    @SleepyDalmatianPuppies-mf9kr 18 วันที่ผ่านมา +3

    Naomba Tina aniazime macho na hizo kope mana zinapepea machoni atar😂😂

  • @BOBGJUNIOR
    @BOBGJUNIOR 18 วันที่ผ่านมา +14

    ❤❤ pamoja donta ❤❤ we love you all 🙏🙏

  • @aminaabood2898
    @aminaabood2898 14 วันที่ผ่านมา +1

    Wimbo wenu mzur mashallah.hata movie

  • @DieuMerciKamani
    @DieuMerciKamani 18 วันที่ผ่านมา +14

    Mulikuwa nasubiri Nini kutowa Ayo Niko Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @HamisiMachinda
    @HamisiMachinda 18 วันที่ผ่านมา +3

    KAZI nzul sana 🎉🎉🎉😂😂😂❤❤❤🎉🎉❤❤

  • @LaylaIsa-i3e
    @LaylaIsa-i3e 18 วันที่ผ่านมา +15

    Leo nimewah jamani nipeni like zangu

  • @NapokoliAlex-k2l
    @NapokoliAlex-k2l 15 วันที่ผ่านมา +1

    Oya kelvin mnatuchelewesha sana bana do faster brother

  • @JanetkadzoshidaKadzo
    @JanetkadzoshidaKadzo 18 วันที่ผ่านมา +15

    Mwenyezi mungu ambariki atakaye soma comment hii tuvuke mwaka salama

  • @YohanaPalaletlaiezer
    @YohanaPalaletlaiezer 17 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani hii move naipendaga sana kevlin na loveness mmeupokea mwaka salama

  • @AbiMalinzi-xk2ci
    @AbiMalinzi-xk2ci 18 วันที่ผ่านมา +33

    Wa kwanza leo,,naomben likes zangu

  • @KahindiNyevu
    @KahindiNyevu 16 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana donta nataka muendelee n moyo huo huo jameni n mungu awazidishie mwaka huu mfanye zaidi n zaidi ❤️❤️

  • @Willyz550z
    @Willyz550z 18 วันที่ผ่านมา +28

    WA Kwanza tena kutoka 🇰🇪🇰🇪

  • @MwanamisiMafu
    @MwanamisiMafu 18 วันที่ผ่านมา +6

    Kaka kelvin mm naomba huu wimbo sa sura yako ndio dawa plz tupostie plz

    • @Lili-z6s3v
      @Lili-z6s3v 17 วันที่ผ่านมา

      Yaan umegus mulemule hiyo nyimb naitaka kbs waipost

  • @JacklineKwamboka-j9j
    @JacklineKwamboka-j9j 18 วันที่ผ่านมา +14

    Emungu upariki watasamaji na familia ya donta tive tufuke mwa salama tukijifusa mengi mparikiwe sana

  • @YohanaSiwale-i1b
    @YohanaSiwale-i1b 17 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉🎉🎉daaa nyie mafundi wa kuingiza nawapenda sanaaa

  • @WILLIAMARMANDOPADIMBE
    @WILLIAMARMANDOPADIMBE 18 วันที่ผ่านมา +16

    Mimi wa mwaza naombeni like 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Mwathethe-qx3de
    @Mwathethe-qx3de 17 วันที่ผ่านมา +2

    Ubarikiwe sana Kelvin,ju hii series imenifunza v2 vingi sana,