Huu wimbo umenijia akilini wakati nikiwaza vitu vingi na nikiumia sana nafsini mwangu najua Mungu anasababu kwann niuwaze huu wimbo saa hii.......nakushukuru Mungu maana najua unaniwazia mema.Amen.
Eee Mungu wangu angalia kuteswa kwangu, Wala usiziangalie dhambi zangu maana Mimi ni mdhambi, naomba usiniruhusu nikawahukumu wengine ingali ningali dhambini, Bwana wangu na mwokozi wangu tazama ulimwengu na mambo yake Bwana yamenielemea msaada wangu na tegemeo langu ni wewe Bwana wangu Sina tena pa kukimbilia Wala pa kuuficha japo unywele wangu, Bwana nakuomba usinische ktk wakati huu mgumu kwangu, nakuomba Wala si lazima uyafute makosa yangu kwenye kitabu chako Cha hukumu ukaandike jina langu ktk kitabu Cha haki yako. Amina!!!!
I have listen to a several times but let me comment this song someone might like my comment or. Reply to my comment it will always reminds Me that mungu Ndiye anaye nisaidia ameen😢
Tumsifu Yesu kristo. Pongezi kwenu ila sifa zaidi kwa Despina Mdende, kwangu sina zaidi ya kumwombea afya njema maana natamani kausikia sauti yake akiimba live. Hope one day.
Mwenyezi Mungu abariki kazi za mikono yenu, abariki sadaka ya sauti zenu...... Hakika mmeutendea haki wimbo wa baba Mgandu, Dada Despina,......mabeti umetunyoosha mama, Hongereni
Kaz nzuri waimbaji mungu azidi kuwabariki mzidi pale mlipo,nyie ndio mnatufikishia ujumbe kwa njia ya kuimba hakika Kaz yenu no nzur mungu awe nanyi mpaka milele,❤❤❤❤❤❤
Daah kazi nzuri sana 💯✅ Nyimbo kama hizi ndio zinaturudishaga kwenye ukatoliki wetu sisi tunaopotea. Mungu awajalie neema ya utakaso na mioyo yao iwe myeupe hadi siku ya mwisho kama wanavyoonekana walioimba nyimbo hii.
Nijapopita katika bonde la uvuli wa Mauti sintoogopa mabaya maana ni Mungu pekee anaenisidia na kuitegemeza nafsi yangu.. Mzidi kubarikiwa sana the whole Choir crew❤❤❤
Wimbo bora Sanaa kiukwelii unatoa matumaini Kwa waliokata tamaa
hongera sana kwa sauti zenu nzuri Mungu awabariki
Huu wimbo umenijia akilini wakati nikiwaza vitu vingi na nikiumia sana nafsini mwangu najua Mungu anasababu kwann niuwaze huu wimbo saa hii.......nakushukuru Mungu maana najua unaniwazia mema.Amen.
AMEEN 🙏🙏
Yani unafariji Sana huu wimbo
Ameen 👏
Kiukweli naupendasana wimbo huu unaamsha isiazangu
Amina watu wa Mungu
Eee Mungu wangu angalia kuteswa kwangu, Wala usiziangalie dhambi zangu maana Mimi ni mdhambi, naomba usiniruhusu nikawahukumu wengine ingali ningali dhambini, Bwana wangu na mwokozi wangu tazama ulimwengu na mambo yake Bwana yamenielemea msaada wangu na tegemeo langu ni wewe Bwana wangu Sina tena pa kukimbilia Wala pa kuuficha japo unywele wangu, Bwana nakuomba usinische ktk wakati huu mgumu kwangu, nakuomba Wala si lazima uyafute makosa yangu kwenye kitabu chako Cha hukumu ukaandike jina langu ktk kitabu Cha haki yako. Amina!!!!
I have listen to a several times but let me comment this song someone might like my comment or. Reply to my comment it will always reminds
Me that mungu Ndiye anaye nisaidia ameen😢
Nani Yuko hapa na Mimi end of 2022 to 2023 tukiomba nafsi zetu zitegemezwe na Mungu pekee
J. MGANDU, J. Makoye, PF Mwarabu and S Mjwahuki were really on another level of composition. I also miss the way Innocent Mushi played the keyboard
Naamin hata kama napitia changamoto za kiafya Mungu atanitegemeza, Amina
Hakika Mwalimu Alifunuliwa katika utunzi wake na zaburi. Apumzike Kwa amani
Kwa Nini huu wimbo huja wekwa boom play jmn
Nime utafuta bila mafanikio
Huuu wimbo unani bariki sana
Kila ninapo pitia nyakati ngumu 🙏🥺
Am proud to be a catholic,,,,,Nyimbo inanifanya nifarijike sana ninapoisikia jamani nakumbuka wakati nipo Mwanakaya sauti ya Tatu
Tazama Tazama mungu ndiye anayenisaidia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu ndiye anaenisaidia
Nalibariki jina la Mungu
Asanteeni Sana wimbo Huu nikiusikiliza unanitia nguvu mbarikiwe Sana
Catholic friends, we forever listening to this blessed song♥♥♥
Mungu ndiye anayenitegemeza nafsi yangu.
Yeyote anayeliitia jina la Yesu akapokee sawasawa na hitaji la moyo wake...
Tazama,Mungu ndiye anayenipigania ❤
Ooh catholic🙈🙈🙈🙈🙈❤️❤️❤️❤️❤️❤️GOD bless you
Thanks for a nice Song
Wimbo mtamu na WA kutafakarisha. Asante .
Kabisa, Mungu asifiwe!
Good tenor and sop indeed nimeipenda 🎊🎉😍 wimbo huu unanitia motisha kuendelea kumwamini Mungu🙏asanteni kwa wimbo mzuri
Huyo mjama mwenye anajesa kinanda nimesamuona live katika st John Paul huko matare
Catholic hit different❤️❤️❤️❤️💋
Nabarikiwa sana ninaposikiliza nyimbo hizi
Had nauskilizia moyon jaman, ashukuriwe Mungu kwa uwepo wa watu hata mnanibariki wapenz
mziki wenu umebadirisha mfumo wangu wa maisha kabisaaaaaaaaa, mungu azidi barikiaaaaaaaaaaa
Sauti ya Huyu Dada inanikumbusha mbali sana hasa miaka ya themanini hongera sana
Kanisa katoliki la Segerea, nimekumbuka kanisa langu, MUNGU NDIE ANAENISAIDIA .
Nimependa sauti zilivyopangwa ... Imenikumbusha those days nikiwa utoto wa yesu we used to sing this song
Anastasia if there is ever a singer just amazing and inspiring ni wewe 👏
Kiukweli mpo vizur napenda sana nyimbo zenu zote
Kazi nzuri sana,nabarikiwa Sana
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Haleluya!!!!
Hongereni sana kwa utume uliotukukaaaa ❤️🥰
Kwa kweli mwache Mungu aitwe Mungu very nice song
Tumsifu Yesu kristo. Pongezi kwenu ila sifa zaidi kwa Despina Mdende, kwangu sina zaidi ya kumwombea afya njema maana natamani kausikia sauti yake akiimba live. Hope one day.
Asante ubarikiwe sana.🙏🙏
Wimbo wenyewe unapendeza. Good job.Your songs are always so nice.Keep up
My late husband likes it so much. He passed on last year I am crying 😢 to hear the song. Miss you 😘
Verry sorry my dear Trust in God
So sorry, just hold on because the Lord is OUR HELP!
Pole. May He rest in Peace...
Mungu atamtegemeza nafsi yake. Tumaini tu
Hugs darling 😢😢
Wimbo huu nausikiliza mara mingi kwa siku. Wanifariji maishani mwangu.
My favorite song...good encouragement🤝
Despina wewe unajua sana kuimba Mungu aendelee kuilinda sauti yako na kipaji chako.
Mungu atatusaidia siku zote leo kesho milele Daima♥️♥️🥰
Miongoni mwa wimbo ninaoupenda kweli kweli 🥰🥰🥰🥰 Mungu awabariki sana kwa uinjilishaji wa nyimbo nzuri.
Tazama Mungu ndiye anayeisaidia familia tangy🙏🙏🙏
Ni mungu anayenisaidia tazama tazama kweli tazama asante kwa kusikia maombi yangu wimbo unaogusa moyo
Jamani mi huu wimbo naupenda sana na inanitowa machozi
Kila nikiwa na matatizo makubwa sana namkumbuka Despina sauti yake hasa wimbo huu Mungu akubariki sana
Soon niiiiiice....God bless you all...
The composer, God bless you greatly.
Mungu ndiye anaenisaidia hakika in up&downs yeye pekee hata tunapokosa msaada wakibinadamu ye pekee hutupa tumaini jipya, be blessed🙏
Hakika Bwana wewe Waitegemeza nafisi yangu daima naktukuza wewe pekeee❤❤❤
Beautiful song, of course Mungu ndiye kila kitu..
Congrats sana wakuu, hongera dadangu Despina, hongera Shifu (Patiu) hongereni Peter Perfect, Joseph Genuine. hongereni sana GalaxyPro
Nice song dada Despina na kundi lako, Mungu azidi kuwainua zaidi
Kwa hakika huu wimbo imeniongezea imani kubwa sana mshukuriwe watuzi wa huu wimbo
Mungu usikie maombi yangu maana unajua changamoto ninazopitia.
Hakika sio kwa ujanja wetu sie wanadamu Bali Ni mungu pekee anayetusaidia ktk magumu na mapesi yetu yote hapa duniani
Najivunia sana kuwa mkristo,pia mkatoric.❤❤❤
God is strong enough with another hundred men ,,,, nabarkiwa sana an daaah
Nikisikizaga huu wimbo nahisi naongea na Mungu🙏🙏 b
Mungu ndiye msaada wetu hatuwezi jambo lolote bila Yeye. Asanteni sana.
I can see my friends Joseph and Patiu, good work
Nice Song 😍😍with a nice a voice...... Naupenda sana huu wimbo kiukweli 💞💞
Nostalgic
Asante Yesu Mwana Wa Mungu. Apewe sifa na utukufu nduniani. The song is never enough for me to listen 🎶. God bless you children of God.
Amen...asifiwe Yesu..lisifiwe jina lake takatifu
Amen sifa na utukufu kwa Mungu.Despina Mdende tutafutane nami ni Mdende
Hongereni sana kwa wimbo mzuri huu unatufanya kuwa karibu na Mungu wakati wote
Despina kwakweli hongera kwakazi mungu aendelee kutunza kipajichako maana umetambua ulikujadunisni kwann
Hongera dadaangu nami pia natamani sana kumuimbia Mungu ila naamin wakati wangu utatimia naombeni dua zenu
Mwenyezi Mungu abariki kazi za mikono yenu, abariki sadaka ya sauti zenu...... Hakika mmeutendea haki wimbo wa baba Mgandu, Dada Despina,......mabeti umetunyoosha mama, Hongereni
Ewe mungu kupitia wimbo huu naomba uwafungue mioyo watu wote ninao wadai pesa zangu wanipe nipo kwenye hari mbaya ee mungu nisaidie 😢😢🙏🙏
Ni tamu sana kuimba na nota!!! Asante kwa wote
Specially dedication to my late dad.cant stop to cry for you dad any time I listen to this song.
💓
Wimbo Mtamu, Unatia moyo katika maisha. Kongole kwa umbaji Mzuri 🙏🙏.
Despina sauti yako inanikosha mungu akubariki unaimba had raha Sana❤️
Mungu awabarik kwa nyimbo nzr naipenda san
Kaz nzuri waimbaji mungu azidi kuwabariki mzidi pale mlipo,nyie ndio mnatufikishia ujumbe kwa njia ya kuimba hakika Kaz yenu no nzur mungu awe nanyi mpaka milele,❤❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri sana. Mungu awabariki sana kwakufanya kazi yake kupitia nyimbo. Shukrani kutoka Zimbabwe 🇿🇼
Kama huna nyumbo za Despina kwenye kabati lako la nyimbo za kumsifu Mungu pole sana
Wewe dada unaweza. Keep moving you will reach to the sky.
mungu awabariki sanaaaaaaaaa kwakutukumbusha kua mungu ndie anae tusaidia
Waooh ......mpo vizuri wapendwaaa Mungu awabarikii
Kweli Mungu yeye ndiyo kila kitu kwetu Yatupasa kufuata yaliyo mema na kuacha mabaya
Mungu amukumbuke mtungaji wa nimbo iyi.
Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yagu Amina
This song blesses me aloooot. Kazi nzuri sana🙏🙏🙏
This song always consoles me amidst many struggles. Hakika Mungu ndiye anayenisaidia
Eemwenyezimngu ninakushukulu kwauzimaunaozidikunipatia katika shughulizangu zakila siku upendonakupatia ww pekee amina
Woow....very inspiring song with strong words and full of advice...what a song!have repeated it thrice. Very good song indeed
Aliyetunga wimbo huu Mungu ambarikia sana, unanifariji sana hasa kipindi hiki Cha kwaresma👏👏👏
God over all. Beautiful Song. May God bless you all
Hongereni kazi nzuri sana
Nicely song,with amazing melody and fantastic singers God bless you all❤️👏
Asante Mungu kwa kipaji bora..
This song is a gift for me. I just feel like listening to it for the whole day
In love with the voices💞💞wimbo ni mtamu nakupenda🥰
Daah kazi nzuri sana 💯✅
Nyimbo kama hizi ndio zinaturudishaga kwenye ukatoliki wetu sisi tunaopotea.
Mungu awajalie neema ya utakaso na mioyo yao iwe myeupe hadi siku ya mwisho kama wanavyoonekana walioimba nyimbo hii.
Mungu ni mwema kaka
Ukweli mtupu
Umejuaje
Nijapopita katika bonde la uvuli wa Mauti sintoogopa mabaya maana ni Mungu pekee anaenisidia na kuitegemeza nafsi yangu..
Mzidi kubarikiwa sana the whole Choir crew❤❤❤
this song really makes me feel too close to GOD.WAIMBAJI WAZURI SANA
Glory be to the Lord Jesus🤳🥰🥰 very nice song, it always make me feel like am in heaven❤️❤️Remain blessed team Jesus👌🙏
Mungu akutangulie kwa kila hatua da despina hongelen nyimbo inaigusa nafsi muno