Hongeren sana mafrt Mungu awabariki katika utume wenu wa uimbaji Mungu awasaidie katika maisha yenu matakatifu mliyoyachagua,, let's search together the kingdom of God together by praising God 🧎🙏❤️❤️
Wimbo mtam sana mpaka natokwa machozi ya furaha😂, unanikumbusha mbali sana . Asanteni mababa zetu wa kesho mungu azidi kuwainua hadi viwango vya juu saaana ❤🎉🎉🎉🎉

Asant sana
Kazi nzuri wapendwa katika Bwana🎉❤🎉
Mungu awalinde na kuwajalia utume mwema siku zote ❤😊
❤❤❤❤Amina mbarikiwe sana . MUNGU awabariki na kuwafikisha kwenye hitaji lenu la kumtumikia.
Wimbo mzuri sana.
Hongereni sana.
🎉🎉🎉 Safisana Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Hongera sana brothers,
Keep it up
Kongole kwa Galaxy production team. Waimbaji mmeua sana mkiongizwa na Bro. kasonha na Ngalyenga.
Mbarikiwe sana waimbaji mkiongozwa na mtunzi,hakika roho njema ndiyo uzima.wimbo ni mzuri.
Mungu awaongoze ktk utume wenu ...mbarikiwe kwa kuinjilisha🙏🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖💖💗💗
Mmbarikiwe sana hamjawahi kutuangusha, praise and glorify the Lord
Ngalyenga , mwampembe.. mtunzi.. big up sana kwenu wakuuu
Hongereni Sanaa brothers 👏👏
Waaah 🎉❤ hongereni sana kwa kazi hii njema
Mwenyezi Mungu na awabariki 😊
Kazi nzuri sana, hongera sana Frt. Pashal
Asante sana baba Sungura
Mungu awabariki na azipokee Nia zenu
Hongereni sana 🎉❤
Zaburi 19 : 7-14 Sheria ya bwana ni kamilifu huiburudisha nafsi....hongereni kwa uimbaji bora
Naam, sheria ya bwana ni kamillifu huiburudisha naafsi, then,ushuhuda wa bwana ni amini humtia "mjinga; hekima. Thanks my Good 🎉🎉🎉🎉
Nzuri sana. Hongereni
Amina
Waoooo hongereni Wimbo mzuri sana
asanteni sana
🎉
Kazi njema
❤❤🎉🎉
Safi sana watumishi
Safi
Hongereni sana Mungu aendelee kukuza kipaji chenu
Mnaupiga mwingi
❤❤🎉