MCH. STANLEY NNKO ALIAGA RASMI KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" NA KUANZA HUDUMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • MCH. STANLEY NNKO SIKU YA JUMAPILI 18.12.2022 KWENYE IBADA YA MEZA YA BWANA ALIAGA RASMI KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" NA KUANZA HUDUMA NJE NA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

ความคิดเห็น • 13

  • @user-bm3ys7hq1s
    @user-bm3ys7hq1s 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi kwa huduma yaks

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 ปีที่แล้ว

    Mchungaji wangu

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว

    Ndiomana simuoni stanerijamani

  • @mbarukually1631
    @mbarukually1631 ปีที่แล้ว

    Mnaenda wapi watumishi

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Stanley cha kwanza omba toba kwa Mungu kwa kuabudu madhabahi hii maana ilishauzwa kwa shetani na walioko hawajui ila huko uendako pia umsikilize Roho mt si kila atakaekukaribia kwa huduma ni mzuri la, na kalitangaze jina la Yesu epuka kutumia viambata barikiwa

    • @lessahmutunga4165
      @lessahmutunga4165 ปีที่แล้ว

      Kweli?

    • @BarakaWaya
      @BarakaWaya ปีที่แล้ว

      Wewe Ndie Ulikua wakala wakati inauzwa kwa shetani hii Huduma ??

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 ปีที่แล้ว

      Wana macho na hawataona baki hapo hata nikikuambia kila kitu hutaelewa

    • @BarakaWaya
      @BarakaWaya ปีที่แล้ว

      @@pericykiko6198 Mimi sipo hapo nilitaka uthibitisho maana andiko lako tu sio full evidence Yawezekana wakati wanasign deal na shetani ulikuwepo or uliwapeleka

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 ปีที่แล้ว

      Kiko nyie ndio Wakristo mmejaa wivu hakuna cha maana mnachofanya kazi yenu ni kushambulia watu tu

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว

    Hata hivyo ulikaa saana hukukengeuka MUNGU akutangulie

  • @chaulam5567
    @chaulam5567 ปีที่แล้ว

    Mungu awe pamoja na wewe

  • @haleluyakomba3222
    @haleluyakomba3222 ปีที่แล้ว

    Hakuna watu saivi duh