SHANGWE ZA NOELI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- St. Bernadette Choir From Our Lady of Guadalupe, Adams arcade Nairobi.
Wakishirikiana na Ray Ufunguo, Lawrence Kameja and Anastacia Muema wanakukaribisha kusikiliza na kutazama Wimbo huu unaoitwa SHANGWE ZA NOELI.
Utakapotazama, Yesu akazaliwe katika maisha yako na uzidi kubarikiwa.
Wimbo umetungwa naye Ray Ufunguo, na kurekodiwa na RAJO Procuctions.
#rajoproductions #shangwezanoeli #asanteyesu #miminaneema - เพลง
Please support: www.patreon.com/user?u=77044884
aiseee nyie jamaaa mnajuaa Sana.Mungu awabariki Hadi mshangae
u have our support 💯🙏🙏
Good music!🥰
Hongera kwa waimbaji wote waliofanikisha hii video!👏👏
Longlive Rajo productions!!!🤗
Amen Anastacia, Hongera pia kwa sauti nzuri...
Tunaeza pata aje nyimbo zako tiktok my dear ,nazopenda sana av been looking for them but sijaipata moja
A sua voz é super doce! Não parei de escutar esta música. A partir do Brasil.
Congrats Tano,ray very astonishing
@@dimitriaugustotchantchalam6168 thankyou so much🙏
Hallelujah mbalikiwe mnajitoa Sana'a katika kazi ya mung atazid kuwalinda na sio hapo tu mtazidi kumtukuza mung
Barikiwa sana rajo production one love
Lovely voice barikiwa sana
Safi mkuu....
Hongera mkubwa,,
Doing great job.
❤🇷🇼
Anastacia muema, Ray ufunguo and you Mr kameja nawapenda sana 🥰🥰 mungu azidi kuwajalia nguvu na afya njema mzidi kueneza injili.
Weuweeeheee Shangwreeeeee Wimbo mtamu sana.Ray ufunguo kazi nzuri hii
Asante sana Winfrida...Ubarikiwe sana
Doo!! Kweli nikipaji kazi nzuri sana sichoki kusikiliza saut zenu
Hongereni kwa kumuimbia Mungu natamani siku 1 nami nionekane nikimsifu Mungu
Kazi nzuri sana nakukubali sana kakaangu kwa kazi nzuri shabiki yako sana,nimebarikiwa
Asante sana Revania. Mungu azidi kukubariki
Kwa kazi hizi mzuri mnazozifanya mungu atawalipeni
Another 💥💥💥aki tutembelee nasi pia st. Patrick's utawala
Asante sana Megimeg... Tutakuja ukitualika.
Barikiwe wimbo mzr hakika amezaliwa
Ujumbe na, uimbaji safi sana hakika mmeugusa moyo wangu. Barikiwa sana🙏🙏🤔
Waaaa.hii imeweza.mbarikiwe sana mnapo mwimbia mungu
Hongera rajo production ,,,,
Wimbo Bora kabisa kwa wakati sahihi sanaàaa.....hongereni sana kwa wimbo Bora kabisaaa
Ubarikiwe sana
Hongereni sana hakika amezaliwa, mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri😘
Hongereni kwa kazi nzury
Asante sana
Asante kwa kazi njema y kuriubiri neno kupitia nyimbo
2023
Noel imefika huu nimda mwafaka wakusikiliza nyimbo za Noel ❤❤
Nimefulahiya nyimbo zenu. Ni tamu sana.
Ray kazi nzuri
Asante sana Jack. Ubarikiwe sana
Jamani kawimbo katamu Hadi raha jamani mbarikiwe kwa kutuinjilisha
Uzidi kubarikiwa Enerica
Nakupenda sana kwaya hii nabarikiwa nanyimbozenu.
Kaka mungu akubariki Santa na mm natamani Sana kuwa muimbaji ❤❤❤❤
Hongereni saaana rajo,mmeutendea haki huu wimbo
Asante sana Magreth
Hongera sana wana rajo production kwa juhudi zenu, Mungu awazidishie baraka
Ubarikiwe sana Wambua
Hongereni Muema na wenzako,kazi nzuri.Ningependa lakini...
Baraka za Mwenyezi Mungu ziwepamoja nanyi kwa kazi hii nzuri
Amina
Raha sana kuwa mkatoliki
Mbarikiwe katika utume uliotukuka
It's the alto for me 😍😍😍
Hongereni nyote mlishiriki 🔥🔥
Asante sana Trizah.. The Alto...
@@rajopro karibu. Nimenogewa sana.
Swafi kabisa
Wimbo zuri Sana wana kwaya wenzangu
Tamu na maridadi sana.. baraka tele kwenu
Asante sana Francis
TYK,wimbo mzuri unabariki,hongereni kwa sauti nzuri,,lkn mavazi jamani kwa Dada zangu hapo ni mafupi mno
Hongerani kwa wimbo mnzuri
👏🥀 Hongereniii sana kwa wimbo mzuriii 🥀 Mungu azidi kuwabariki daima 🥀👏
I'm glad to be here again
Kumbe kuna Wimbo mtamu huku wa Noeli na mko Kimya....😃
Aleluya Aleluya Amezaliwa Mwokozi Mkombozi wa Dunia.
Hahahhaaa. Arnold ubarikiwe sana
Anold, umenifanya nicheke
Nimebarikiwa kwa wimbo mzuri wa Noeli
Eeiish Baraka za Noeli
Barikiwa sana Cecilia
Asante sana kweri wimbo muzuri
Hongereni Saana Watumishi
Mko vizuurii na Rajo
Asante sana Conrad
kazi nzuri sana hongera wanakwaya
Yeah mmbariwe sana ipo sawa.
Hongereni kwa utume wapendwa
Tatizo mnatubaniaga nota sana nota rajo
Kazi Safi wakuu..merry Christmas
It's always the Alto for me. Proud to be part of this beautiful FAMILY.
May God Bless you
I love this song hongera wanakwaya pamoja na rajo production 🙏
Kazi Safi wapendwa👏👏❤️
Merry Christmas!
Ubarikiwe sana Mercy
@@rajopro thank you!
Congratulation kameja and anastanzia muema
One good one
Aluso i see you
Thank you Elizabeth
Wimbo mwema. Mwalimu mogendi nakuona
I still love the song
Hongereni sana kazi yenu naikubali sana na pia Nina ndoto za kufika katika studio huko mliko
Nimekosa Cha kusema kwani niviwango vya juuu Sana baba Ray unasauti na unacheza vizuri
Shukrani sana. Heri ya Xmass
Hakika mnaimba kama Mbingu ipo pembezoni yetu .nimefurahi Hadi chozi na furaha nikahisi .barikiweni mno kwa ubunifu huu
Km kawaida yenu,hongereni sana kwakuzidi kutubariki
Ubarikiwe sana
wimbo wangu pendwa wa noeli
A great song. Can't escape the angelic voice of Annastacia Muema. Keep the God given talent skyrocketing. God bless Ray, Lawrence, the Choir and Rajo Productions. Always praying for you guys.🙏
Be Blessed
Miss ana umebarikikiwa sauti,hongera saaana saaana😍🙏🏼
Ubarikiwe sana
Ray Ufunguo nakuamini na moyo wangu wote,ebana pongesi kwako
Asante sana Ndayihaya
Hongera sana nyimbo zenu nzuri
Asante sana Eliminata
Nice one Rajo 🔥
Thank you Selectah
That's my parish..wow,aour lady of Guadalupe parish Adams😊
This choir have outdone themselves. Amazing piece...
Nice song congratulations.
Hongereni sana waimbaji nawakubari sana
Nami pia Nina mpango wa kutafuta nauri mpaka nifike huko Arusha kurekodi nataka nije mnifundishe kuimba maana uimbaji wenu naupenda sana na studio hiyo imetoka mbali sana acha ipae mungu kaibariki Ina sauti tamu sana
Man of the match #Rajoproduction
Balaaa kubwaaaaaa
Hahahahahahaaaa. Salamu kwako Bro.
May good God bless rajo production together with our lady of Guadalupe be blessed guys kwa kazi nzuri ya uinjilishaji
Amen. Be Blessed
Utunzi bora kabisa, uimbaji bora, production bora,...yaani, wimbo bora! Hongereni!
Asante sana Murimi. Ubarikiwe sana
Barikiwa Rajo
Great kenyan & Tanzanian combination!!
Yes yes. Ubarikiwe sana
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️Rajo Production hujawah kosea😘😘😘
Asante sana Mumy Hendry
Amezaliwa kweli kweli Tumshangilie kwa sauti nzuri kama hizi
Hongereni watumishi wa Mungu.. Kazi nzurii mnoo.. Nawatakia sherehe njema ya Noel.. Mbarikiwe na Bwana
Amina sana. Barikiwe sana
I love it
Kazi nzuri sana hongereni wanakwaya..Ray ufunguo kazi nzuri sana..Mungu akuzidishie..
I really love this ❤️❤️❤️, kazi njema sana 🤗
Ubarikiwe sana Philis. Uwe na Christmass njema
proud to be part of this amazing team
May God Bless you Ken
so touching nice song indeed
Safi sana nawakubali sana ukifatilia TH-cam Chanel yenu utagundua mm ni mfatiliaji wa kazi zenu
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
I love this song ❤❤❤❤
Mungu awabariki, awapatie akili na hekima ili mtangaze Enjili kwa wimbo
Asante sana Fosques
Hii nyimbo inakufanya ufeel noeli kweli🔥🔥🔥🔥🔥
Ubarikiwe sana rafiki
Hongera🔥❤️❤️❤️🔥
Thank you Hildah
Safi sana. Hongera mtunzi, hongereni waimbaji. Mbarikiwe sana!!
Wimbo mzuri ... quality ya Hali ya juu..
Ubarikiwe sana James
Bravo! Bravo! 🎄❤ Rajo Production hongereni sana kwa kazi nzuri keep going, Merry Christmas 🌹 so wonders, lets us rejoice, blessed Abundantly 🙏✨🎄🎈
Asante sana Anna
My favorite song❤❤❤🎉🎉
Kazi safi👌👌
Asante sana Irene. Ubarikiwe
Keep it up dear choir members
Thank you Cosmas
aaaaaaaaaweeeeeeeeeeeeee😍😍😍😍😍😍😍 kigongo kikaliiiiii na bado cha motoooo🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶,Noeli njema kwa woteeeeeeee.
Asante sana Faustina
nice music
Noeli kazaliwa kweli kweli
Amezaliwa Aleluya
Aisee dingii, kazi amazing sana, my Christmas is made already! Mungu akubariki sana
Asante sana Dingii. Barikiwa sana...
@@rajopro dingii vile umedance nimependa😂😂
Hongera Ray
I'm here after i saw short clip from a friends status kibet thank you for the link this is just pure awesomeness.
Ooh. Thank you Mercie. Be Blessed
🔥🔥🔥
WIMBO MTAMU