Karibuni kutazama wimbo huu wa Sikukuu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu Yesu Kristu. Tujinyenyekeze ili mtoto Yesu aweze kuzaliwa mioyoni mwetu. Karibuni kuutazama na mbarikiwe sana. Muwe na sikukuu njema ya Krismas, iliyojaa baraka na fanaka!🙏 Please SUBSCRIBE, LIKE and SHARE widely.🙏🙏
Mubarikiwe watumishi wa Bwana Kwa ujumbe iiyi mliotuletea ya sikukuu ya Noel Mungu awabariki na kuwalinda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Nitakosea nikisifu Ann peke yake,,, you guys are just amazing in your own special way,,,,, i love every song you do. ❤❤❤🤍🤍mwanakwaya from Germany,,, but i cant do it the way you do it. Pray for me.
Anastacia Muema and your team may Almighty God richly bless you and your families as well! I always enjoying your songs and I'm admire! I feel to be with you if you were nearby. but watching you in Zambia North western Province Solwezi city particularly at the Cathedral of St. Daniel's aksante sana Mungu mwenyezi awabariki kwaheri tutaonana!
Who is enjoying Christmas 2024 with this beautiful nourishing song? Never fades one bit
Wapi likes za huyu pianist💐💐💐💐💐💙💙💙💙
Kazi Safi Sana the song is on another level
Wishing you a merry Christmas season 🎄.Sauti za kuvutia na wimbo wenye ujumbe 👏👏👏
Pongezi kwa kazi zuri sauti tamu kweli,,,,,,best ever ❤
Wimbo mzuri sana nimerudia mara nyingi kuusikilza❤
Kumtumikia mungu kunafaida🌴🌲💮💮🌻🌻🌾🌾🌾🍁🍁🍂🍂🍀🍀☘️🍃🍃🌿🌸🌸🌷🌷🌹🌹💐💯
Mimi na hii nyimbo basi, hata nisipopata Cha zaidi on Christmas, wimbo huu unanitosha, hongereni sana kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana Mungu awajalie neema na baraka tele mzidi kumuimbia siku zote za maisha yenu
Hii ni kubwa kuliko, hongereni sana kwa ka nzuri
❤❤Anastasia my bae,ad your team,,,u nailed it mama
Nyimbo nzur Sana!! Video kali Mbarikiwe Zaid na Zaid👏👏👏
Asante sana🙏🙏
@@anastaciamuema 🙏🙏👏👏
You people nawapenda sana tawatafuta nikae s/p ann akae altor love you 💜
❤❤🎉mungu akusaidie sana
Tumekuja kumlaki Bwana
Hongereni tena na tena mbarikiwe
Asante karibu pia endelea kipaji chako unanyimbo nzuri sana
Kiukweli nimeupenda wimbo huu mnoo....hongera kwenu woote mmpangilio mzuri wa sauti
Shukran sana Lilian 🙏🥰
Kama unajua mungu amekulinda kutoka mwezi wa kwanza paka saiv sema amina😅
Amina🎉
Wakwanza hapa☺️☺️😍...nice song dear...na tunasonga mbele...merry Christmas to all who will see this🎅🎅🎅🤶🤶
Thankyou so much. Merry Christmas to you wahome🥰🥰♥️♥️
Asee hongeren sana nyimbo imetulia, karibun Tena nyumbaniii location mliporekodia ,,,,,sakina matejo kwa Mombo family
Asante sana Mombo family for giving us your lovely house to do our video🙏🙏. Mungu awabariki sana!! Tutawatembelea tena.😊😊
Asante sana miss muema n wenzio tunabarikiwa kupitia hizo nyimbo zenu
Ooooooh wooow, Mwenyezi Mungu azidi kuwabiriki mzidi kutumikia zaidi
Amina🙏🙏🥰🥰
Mafundi wamekutana kazi lazma iwe ya kiwango cha lami mungu awabariki sana
Kazi poa. Merry Christmas ⛄🎄
Asante sana.🙏 Merry Christmas to you too.
You've nailed it my dear, timely..........atukuzwe aliye Muumba wa Mbingu na dunia
Amina🙏
Habari yako Miss Anne.hongera mwaka unaumaliza tukiendelea kupata burudani nzuri natumaini mwaka ujao utakuwa zaidi ya hii leo
Niko salama Prem Sekela. Tumshukuru Mungu kwa yote!🙏
Ray na tumain ni waimbaj wazur nawapenda sanaaaa ktk bwana
Amina🙏
Asante kwa heri na baraka za Noeli. Mungo awabari nyote. Great a work.
Asante sana🙏🙏🤗🥰
🙏🙏🙏 big up
Safi sana dada, salimia Kameja❣❣❣
It's big, it's happening, merry Christmas to y'all
hongereni sana mmeimba vizuri nawapenda nyote🥰🔥🔥🔥👌
Asante sana🙏🙏🥰
Hongera mrembo... Twazipenda nyimbo zako sana.. Kenya ya wakilishwa vizuuri sana
be blessed with this new song may the lord grant you more words to compose more songs
Cazi nzuri BWANA awabaliki 🌹🌹🌹🌹♥️
Amina🙏. Barikiwa sana
@@anastaciamuemaMtuekee nota za hii swali Tafadhali msimu unawandiaMtuekee nota za hii swali Tafadhali msimu unawandia
Amina
izi ninyimbo kabisa!!! They made my day today!!
MUNGU awatie nguvu Kwa kazi nzuri
Amina🙏🙏
Ni krismasi 🎉🎉
swai unaroga kila siku juzi uliniua na song ya mwezi wa mama maria na sasa uko juu nahiyo song.Ongera bwana.
Hongeren San mungu awabarik wimbo umenibari ❤❤❤
Karibuni kutazama wimbo huu wa Sikukuu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu Yesu Kristu. Tujinyenyekeze ili mtoto Yesu aweze kuzaliwa mioyoni mwetu. Karibuni kuutazama na mbarikiwe sana.
Muwe na sikukuu njema ya Krismas, iliyojaa baraka na fanaka!🙏
Please SUBSCRIBE, LIKE and SHARE widely.🙏🙏
Jamani hongereni sana kwa zawadi nzuri ya wimbo wa krismas
Waau Soo nace
@@MariaYusuf1 thankyou so much 🙏🙏
Good job girl! Merry christmass to you too
Naomba lyrics tafadhali ama nota
Woow! Nice song dada Ann and the crew. Be blessed!
Thankyou so much Damar. Be blessed too🤗
Kazi nzuri sana, Mungu abariki bidii yenu🙏
Asante 🙏. Amina🙏
Wow! Wimbo mzuri sana! Pongezi!!
Huu wimbo huwezi kuuvunja tena Bado ni mkali zaidi ya wa juzi
Good song..hakika wewe ni my role model.Mwenyezi mungu awatie nguvu katika utume wenu
Amina🙏. Ubarikiwe sana🙏
Amina
I loooove it.Bleesings
Mind blowing...everything is onfleak
Thankyou so much🙏🙏🤗
Kwakweli mtanaki juu ni bonge la wimbo hongereni sana
Asante sana🙏🙏
Mubarikiwe watumishi wa Bwana Kwa ujumbe iiyi mliotuletea ya sikukuu ya Noel Mungu awabariki na kuwalinda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Amina. Asante kwa kutazama🙏. Barikiwa sana😊😊
Kazi safi 😍😍👏
Asante sana🙏🥰
Wow. Hongera sana
Asante sana Msanii Records🙏
Amina,dada Anna nakupenda saana kwa sauti yako nzuri saaaana
Asante sana Magreth🙏🙏🥰🥰
Asante sana wimbo mzuri sauti nzuri mpendeza sana
Asante sana Epifani🙏
Very beautiful ! Ssuti nzuri kweli!
So beautiful,hongereni sana
We sung it for Christmas and listened to it again and again and danced too
God bless you all,angelic voices indeed!!!
Thanks be to God🙏
Penda kazi nzuri yenu sana ❤❤
Congratulations my dear nice song
What a nice song!!❤❤❤ Good work keep it burning 🔥🔥🔥🔥
Great my sister keep the fire 🔥🔥🔥🔥 burning
Thank you so much
Absolutely beautiful ❤️....this is what I have waiting for ......
I must learn this beautiful song. Alafu this guy my guy
Hongereni Sana wimbo mzur
Asante sana 🙏🤗
Jamani wanaimba kweli❤❤
Wow wow beautiful one.. I Love the Zion voices.
Thankyou so much🙏🙏🥰🥰
Merry Christmas 2024. Lovely song
Nitakosea nikisifu Ann peke yake,,, you guys are just amazing in your own special way,,,,, i love every song you do. ❤❤❤🤍🤍mwanakwaya from Germany,,, but i cant do it the way you do it. Pray for me.
Thankyou so much Rosina🙏🙏🥰
It a very beautiful and marvellous recording. Thanks you very much for this work.
Thankyou Edward. Be blessed🙏
Mubarikiwe wa tumishi was Bwana Kwa kazi njema ya utume
Amina🙏. Ubarikiwe sana pia😊😊
Very nice song. Congratulation girl. God bless you
Thankyou Geraldine🙏.
Amen, be blessed too.🙏
Kazi nzuri mno! Commendable indeed 👏🏾👏🏾👏🏾
Thankyou so much 🙏
Anastacia Muema and your team may Almighty God richly bless you and your families as well! I always enjoying your songs and I'm admire! I feel to be with you if you were nearby. but watching you in Zambia North western Province Solwezi city particularly at the Cathedral of St. Daniel's aksante sana Mungu mwenyezi awabariki kwaheri tutaonana!
Asante sana. Ubarikiwe sana
@@anastaciamuema Amen! nawewe pia!
Hongereni kwa wimbo mzuri🎉🎉
Asante sana🙏
Hongera sana mamii wimbo mzuri Sana haiseee
Asante sana🙏🥰
Good working 👍👍👍
Making Christmas noel lively
Naipenda san hii nyimbo inanikumbusha palef san🎉💐
Naipenda sana kazi yenyu mamaa ♥️♥️
Asante sana🙏🤗🥰
@@anastaciamuema karibuu
@@lenskingsproductions 🤗🤗🤗
Barikiwa sana waimbaji nyimbo nzuri Sana
Asante sana 🙏
Hongera sana Annastacia, Mungu akubariki unapozidi kuitumia talanta aliyokuzawadia
Amina🙏🙏
Hongereni kubwa
Shukran sana 🤗🤗
Am blessed by this song. God bless you
Yesu aliyezaliwa awatunze na kuwalinda
Wimbo bora kabisa wa Noel
Ahsante kwa kutupa raha
Karibu sana🙏
Hongera sana Kwa uimbaji
Hii nayo, you nailed. Can't get enough
Thankyou so much🙏
Wooow....... Hongera Sana Kwa kazi nzuriiiiii......Big up 👍
Asante sana. Be blessed 🤗🤗
Beautiful work,... Hongereni washiriki
Asante sana🙏🙏🥰
Thanks for sharing, be blessed for a good job
Thank you so much for watching 🙏
Wooooooow!so beautiful...may God bless your efforts dear
Thanks dear🙏🥰
Yet another beautiful One 😍 itakuwa kwenye repeat all through this season ❤️..Kazi nzuri sana
Asante sana baby girl🙏♥️♥️
Lovely tamu sana 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Asante sana🙏😍
Wowowo....this is amazing...everything is okey
Thankyou so much 🙏🥰
What a way to usher the birth of our savior Jesus Christ!! Yabariki... hongereni👏👏👏
Asante sana🙏🙏🤗🥰
Kazi nzuri sana. Hongera sana kwakutumia vipaji vyenu vizuri ktk kazi ya uinjilishaji.🙏🙏
Asante sana🙏🙏🥰
Christmas Noel... Good one, merry Christmas
Merry Christmas to you too!!!
My mom loves this song.. Can't wait for Christmas I see her we sing and dance together ♥️
Wow! I’m glad she loves it. Say hi to your mommie🥰🥰
Kazi nzuri sana. Injili iendelee
Asante. Amina🙏, injili isonge mbele💪
Duuuuu!!!we can't say any thing but congrats to all,that's a nice job🤗😉😉🤗🤗🤗🤗
Asante sana. Barikiwa sana🙏
Nimeipenda sana hii kazi,,, kweli nimebarika kupitia wimbo huu. Mungu akubariki Anastacia na waimbaji wenzako
Amina🙏. Barikiwa sana pia.