Uchambuzi wa Gari. 1. Zungumzia Body structure, dimensions, ground clearance , tire and rim size, aero dynamic, storage. 2. Engine, Cc , Horse power, Drive (2wd /4wd) ,fuel type, a little detail ya engine kwa undani! FAULTS! 3. Ecomic view, purchase cost, fuel consumption, cost ya spare parts, kodi TRA, Re-sale value! 4.Speed and riad stability + safaty 5. Stylish ya gari, inapendeza wamama au vijana au wababa!? 6.uniqueness, mfan hapo verisa: arm rest! Keyless! Head and leg room. 7. Rangi pendwa kwa gari husika. 8. Uzushi unaosemwa mtaani juu ya gari! Ukanushe au uwekee uwazi. 👏👏👏 Tuko pamoja. Good work. Just pitia chaki ya point hizo kwa next reviews.
most of your videos,, please try to reduce the volume of the background music, as when you speaks the voice is very low, hence we increase our devices volumes, but when you stop and the background music plays ,, if you were using the headset it is real an ear damage
Umeongea point muhimu sana, wengi wanataka experience ya gari ya mil.20 na kuendelea kwenye gari ya mil.17 kushuka chini
@@trueexplorer894 asante sana boss
Nimeienjoy sana review yako pokea salamu kutoka Kenya
Asante sana . Wape salamu pia
Uchambuzi wa Gari.
1. Zungumzia Body structure, dimensions, ground clearance , tire and rim size, aero dynamic, storage.
2. Engine, Cc , Horse power, Drive (2wd /4wd) ,fuel type, a little detail ya engine kwa undani! FAULTS!
3. Ecomic view, purchase cost, fuel consumption, cost ya spare parts, kodi TRA, Re-sale value!
4.Speed and riad stability + safaty
5. Stylish ya gari, inapendeza wamama au vijana au wababa!?
6.uniqueness, mfan hapo verisa: arm rest! Keyless! Head and leg room.
7. Rangi pendwa kwa gari husika.
8. Uzushi unaosemwa mtaani juu ya gari! Ukanushe au uwekee uwazi.
👏👏👏 Tuko pamoja. Good work. Just pitia chaki ya point hizo kwa next reviews.
Asante sana boss ushauri mzuri. This is my WhatsApp no 0653953900
Sauti iko chini sana
Sorry kuna mda changamoto za sauti zinatokea
Habari.. nice review. but please consider subtitles or english so that alot of people can understand. great stuff anyways
Asante kwa maoni tutafanyia kazi
most of your videos,, please try to reduce the volume of the background music, as when you speaks the voice is very low, hence we increase our devices volumes, but when you stop and the background music plays ,, if you were using the headset it is real an ear damage
Thanks . It’s a good advice 🙏
Le prix ?
Naomba contact yako kuhusiana na gari hiyo
Hello , 0653953900 WhatsApp
Ila kaka umeiponda ist
😂😂😂