AHMED ALLY AIBUKA NA HII AFANYA BALAA AKABIDHI MAGARI MAWILI/HARRIER 2018 NA TOYOTA RUMION.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
- Kampuni ya kuagiza Magari @medalimotors Kupitia Mkurugenzi Mtendaji @ahmedally_ imekabidhi Magari mawili kwa wateja wao aina ya Harrier New Model 2018 na Toyota Rumion.
- กีฬา
Semaji la mnyama uko vizuri saaaaaaanaaaaaaaaa%100
safi sana semaji la CAF
Ahmed ally wewe ni mwamba sana nakukubari kwa kila kitu semaji letu hongera sana man 💯
Nitaagiza langu siku ipo
Nlopokaji wa sambusa hoyeeeee+++
Huyu kijana anaweza kukuuzia chupa akwambie ni almasi wallah😂😂😂😂😂
Hongeta ahmedi kwenye kz usimba nna uyanga ukae peembeni jmn
Nakupenda ❤semaji wew ni mpambanaji uliyebakia simba
Usemaji co kazi bora kuwa influencer
Semajii 👍👍👍👍
Nina swali Mpenja Tv je AUTOMEDALI JE INAWEZA KUIVUSHA MPAKA BURUNDI 🇧🇮 MAANA MIMI NAISHI MAREKANI JE NIKIAGAZI AUTOMEDALI WANAWEZA NIFIKISHIA GARI LANGU MPAKA BURUNDI 🇧🇮 BUJUMBURA??
Tunaomba namba semaji
Huyu afadhali abakie huku , ama kule watantoa roho. Mnnnnh!!!!!
Mama MZUNGU NAKUONAÀÀA
HONGERAAÀAA
Gari ya mwaka elfu mbili na kumi na???????? Gariiii mpyaaa,, tapeli ajamalizia kusema mwaka ,, gari mpya new model wakati hii ni 2024
4days remain alafu hamasa ni prom😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Hapo tumekupata semaji letu. Sasa sema kitu kuhusu dabyi. Wanasimba tunataka maneno ya faraja semaji
Vibayaaa mnooooo😅😅😅😅
Ongera semaji ra caf
Bana msemaji hamed ally alphard ina bai gani
hapasw kuisemea simba hii sio mech ye2
Simba nguvu 1
Coronas???😢simba hii ndo promo yenu
Amnaga gari apo 😂😂😂😂😂😂Gari kama Gari ni mwaka na MILLEGE 1 mpaka 50 wewe mwenyewe ndounafikisha 100 sasa ndo GARI 😂😂😂
Ndoto yako ya kwanza kufanya biashara sio Simba nasikitika.mnasemaje makolo?
Mashine ya maneno j mos hyooooooo😂😂😂😂😂😂
Ila hiyu jamaaa😅😅😅😅
Amezaliwa kuongea
Sasa baada uite mashabiki wajae uwanjani wewe uko busy unauza anaconda
Mwenyej ni uto mwache semaji