ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kaka umependeza saaaana! Review ya gari hii umeitendea haki! Bonge la suti na imekukaa mkuu! Review imekaa poa, salute!!!!!!!
Asante sana ilibidi niendane na gari husika 😂😂😂
Kaka reviewe nzuri sana
Tunakufatilia kwa karibu kanz nzur sabby
Asante usiache ku Tag na kuShare kwa wengine❤
Mkuu umejibu maswali yangs yote shukran
Amina . Save my no 0653953900
Utufanyie na range
Sawa inakuja
@@MrSABYY 🙏🙏
Bajeti yake hujasema mkuu!
Sorry ni 45 Million Tsh
Nikiwa na 35 cwez nkaipata?
Unapata@@DoriceSawaki-vg4sb
kun shirika la Bima nchin linazikataa iloo gari... sabab uwa znashika moto bila sabab za msing... sas unawez kutueleza iyoo??
Boss wangu sina uhakika na hiyo taarifa ngoja niichunguze
Mmmmh zinashika moto??😅
Safi
Asante🎉🎉
My dream car
Mungu atakujalia uipate
NDUGU UMEFANYA REVIEW NZURI NA TOO TECHNICAL! REVIEWERS WENGI HAWAELEZI COMMON PROBLEMS ZA GARI HUSIKA WAO NI KUELEZA UZURI WA GARI TU NA UPENZI WA MCHAMBUAJI
Asante sana boss na karibu ukihitaji huduma ya kuagiza gari au kutolewa mzigo wako bandarini… Save no yangu 0653953900
@@MrSABYY THANKS ALOT NUMBER NIMEICHUKUA
MUNGU ASANTE KWAKUWA NIMEPOKEA.
Mkuu umeelezea vzr, though hijatupatia roundoff ya bajet
Hii ni 45million ya Tanzania
Natamani kujuana kilometer ngapi kwa lita
Hii ni 9Km/1Lt …. For more information Naomba njoo WhatsApp 0653953900 . Asante
Uko sawa bei. Zae
Bei zake
SIO kwa wewe " unaejiona"..Badala yake ungeweza kusema, " kwa wewe MWENYE HADHI YAKO .....

SIO kwa wewe " unaejiona"..
Badala yake ungeweza kusema, " kwa wewe MWENYE HADHI YAKO .....