VIDEO NZIMA: Harmonize na Hamisa Mobetto Walivyotua Tanzania Wakitokea Dubai

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.
    FOLLOW US
    Follow on Instagram: / mwendokasitv
    Follow on Facebook: / mwendokasimedia

ความคิดเห็น • 310

  • @rsautoservice984
    @rsautoservice984 2 ปีที่แล้ว +43

    Huyu ndio jicho au mboni ya Bongo harmonize always the best ever believe it... 🌟🌟🌟🌟🌟🌟

    • @fridasky1019
      @fridasky1019 2 ปีที่แล้ว

      🙄🙄🙄🙄🙄

  • @nurungole3961
    @nurungole3961 2 ปีที่แล้ว +18

    Unamsukuma Sana mtoto jeshi kwenye upendo kakaangu ishi maisha tofauti na usanii nakuombea muoane muishi kwa upendo mpendane kweli

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc 9 หลายเดือนก่อน +1

      Unamuombea kwanani kazi ya Sanaa nizinaa nasio kuowa au wajifanya hujui Hilo acheni Kumtaukana MUNGU😢

  • @dehfirstlady12
    @dehfirstlady12 2 ปีที่แล้ว +6

    I always admire lady hamisa... Not us star bt business lady hop one day l will run a business like her🥰🥰🥰

  • @simonshedrack6019
    @simonshedrack6019 2 ปีที่แล้ว +39

    Daa tugekuwa tuna kibiria wahubiri wa neno ra mungu Kama hivi hata mungu agefurahi xana

    • @LEONARDJUMA-if5vl
      @LEONARDJUMA-if5vl 9 หลายเดือนก่อน

      Miaka buku ijayo

    • @user-rx8ts3gm2r
      @user-rx8ts3gm2r 9 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @broodaquizo2510
      @broodaquizo2510 9 หลายเดือนก่อน

      Watumish wengin matapel,ila sio wote

    • @zulfahamissi9266
      @zulfahamissi9266 9 หลายเดือนก่อน

      Mtumishi tulia

    • @zulfajamal3166
      @zulfajamal3166 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@zulfahamissi9266😂😂😂😂😂akae kwa kutulia wajina wangu

  • @user-ph5qy1il8h
    @user-ph5qy1il8h 7 หลายเดือนก่อน +2

    Iyo sio hamisa😊

  • @omarisaria3168
    @omarisaria3168 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ni kweli harmonize congratulations,hamisa mtoto mzuri sana 🎉

    • @lulugama1547
      @lulugama1547 8 หลายเดือนก่อน

      huyo ni Briana achana na hawa wauza habari

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว +8

    Katoka Ulaya Kuja Kuzini Zamani Mwanaume Unaangaika Kupata Mwanamke Kutoka Sehemu Moja Kwenda Mbali Kwasababu Dini Zilikua Zinasemewa Kwa Umakini Mkubwa Siku Izi Wanawake Wamekua Watumwa Kwa Wanaume Ukiwa Malaya Simu Moja Akujui Umjui Umemuona2 Mtandaoni Unamuita Mtoto Wa Kike Anakuja Bila Kujua Wewe Lusifa Au Nani Wanawake Baazi Yao Wamekua Adimu Kujua Wao Akina Nani Na Mungu Amewapa Amli Gani Kwanini Wanaolewa Na Awaoi Kwanini Wanatunzwa Awatunzi Kwasababu Mwenye Kuolewa Ni Zaifu Nilazima Wajue Kueshimu Wazazi Wao Na Ndoa Muimu Kwao

    • @zamunda1596
      @zamunda1596 8 หลายเดือนก่อน

      Umemaliza kila kitu master nipo pamoja nawe

  • @mulengagift2115
    @mulengagift2115 2 ปีที่แล้ว +6

    You are the best harmonize

  • @tabiangonyani3526
    @tabiangonyani3526 2 ปีที่แล้ว +14

    Mmakonde anatembea kama mlima korosho🤩🤩🤩

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 2 ปีที่แล้ว +4

      Sisi walima korosho mnatuchukuliaje😁

    • @tabiangonyani3526
      @tabiangonyani3526 2 ปีที่แล้ว

      @@dostovan5142 pole limakonde hilo linakela

    • @faustermgata1997
      @faustermgata1997 2 ปีที่แล้ว

      😁😁😁

  • @sironyotoppy9265
    @sironyotoppy9265 2 ปีที่แล้ว +6

    Harmonize ni mtu serious Sana,waoane sasa

    • @user-um8xn4ge4i
      @user-um8xn4ge4i 7 หลายเดือนก่อน

      Yule na harmonize Sio hamisa hawa wahandishi waongo walichanganya video

  • @mariamemadoshi5540
    @mariamemadoshi5540 ปีที่แล้ว +1

    Huyo siyo hamisa washenzi nyie hebu muacheni dada wawatu mungu amemuona

  • @marymusol8939
    @marymusol8939 2 ปีที่แล้ว +7

    Ana damu ya kuoa wazungu tuu love harmonise

  • @user-xq5pn7xy2x
    @user-xq5pn7xy2x 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo siyo hamisa hataaaa

  • @user-bt3yt8eb1o
    @user-bt3yt8eb1o 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo so hamissa😊

  • @willydasilver69
    @willydasilver69 2 ปีที่แล้ว +3

    Harmonize alikuwa akienda haja ndogo,acheni comments mbaya..alikuwa amezidiwa

  • @user-pt5we2gu4l
    @user-pt5we2gu4l 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza siyo hamisa

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 ปีที่แล้ว +32

    Kama kuna watu watakaoiona pepo kwa umbali ni nyinyi waandishi wa uongo munapenda umbea , uchonganishi uhasidi ili mradi mupate kujaza matumbo yenu tu hamjali binaadam wengine wapumbavu wakubwa.

    • @leahmgunda5248
      @leahmgunda5248 2 ปีที่แล้ว

      Waandishi hawana kosa bali sisi tunaotengeneza habari.

    • @calvolavo7787
      @calvolavo7787 2 ปีที่แล้ว +1

      Ushasema dada

  • @miyakenya7401
    @miyakenya7401 2 ปีที่แล้ว +4

    Hamisa nae alishbiri waandishi wa Habari wamsjndikize Konde then Wamkujie na yeye😜bongo bana

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 7 หลายเดือนก่อน

    Diamond ana mtoto mzuri sana hongera zako baba wa mtoto

  • @patrinasakala9392
    @patrinasakala9392 2 ปีที่แล้ว +7

    To me harmonize is the best in Tanzania

  • @karirekinyana9759
    @karirekinyana9759 2 ปีที่แล้ว +5

    Uongo huu sio hamisa🙅‍♀️🙅‍♀️

  • @beiy265
    @beiy265 2 ปีที่แล้ว +2

    Hae harmonize I hope uko sawa so harmunize mimi nataka usaidisi wko

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hamisa mtawezana na harmonize kweli

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 2 ปีที่แล้ว +12

    KONDEBOY JESHI NDIE MSANII MKUBWA IN TANZANIA KWA SASA KWASABABU YEYE NDIE ANAITANGAZA NCHI YETU KIMATAIFA KUPITIA MZIKI MZURI ANAOUFANYA

  • @Shany-iu8dl
    @Shany-iu8dl 7 หลายเดือนก่อน

    Look at Irene Namatovu and what she went thru till now alya butter and happily married with Lutaaya, omukazi omulungi agguma.

  • @bulantaiacspita6109
    @bulantaiacspita6109 2 ปีที่แล้ว +4

    Video hiyi ni noma sana tena sana kinoma!

  • @herdijernuruh3032
    @herdijernuruh3032 2 ปีที่แล้ว +7

    Hii ujinga kwetu Kenya🇰🇪 hakuna Kla Mtu Apambane na Hali Yake 😎

    • @wilkisteratieno2745
      @wilkisteratieno2745 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂hatupangwigwi

    • @rahmasud8324
      @rahmasud8324 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa 🤣🤣

    • @lisajonsony9246
      @lisajonsony9246 2 ปีที่แล้ว +1

      Kenya ni kenya tz ni tz msifananishe

    • @elijahmugo9961
      @elijahmugo9961 2 ปีที่แล้ว

      @@lisajonsony9246 eeee na Kenya ndio roho ya East and West Africa kwa mpigo....tz bado wachanga saaaana

    • @mattjr4206
      @mattjr4206 ปีที่แล้ว

      @@elijahmugo9961 tulien mbona mnafatilia wasanii wetu 😂

  • @mafedhakhalfani3275
    @mafedhakhalfani3275 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwaiyo mnataka kusema tz hakuna mashine zakusachia airport daaaah mungu ibariki tz

  • @marymusol8939
    @marymusol8939 2 ปีที่แล้ว +8

    Harmonise hana time ya upuzi

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 2 ปีที่แล้ว +2

    Wifi karibu Na Tz waoooo

  • @preciousbima8111
    @preciousbima8111 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo si Hamisa

  • @musamaseno9501
    @musamaseno9501 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💋that is so good

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 2 ปีที่แล้ว +5

    Yaan kazi ya uwaandishi inashinda sana haswaa adriana nashepu km mama teee

  • @tonygee5680
    @tonygee5680 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa mshamba kweli sasa kweni kaiba ndio kwenda kwa spidi hivi kisha anamsahau besti wa demu wake nyuma mpaka demu wake mwenyewe anaingiwa na wasi wasi

  • @rickymuloloofficial1862
    @rickymuloloofficial1862 2 ปีที่แล้ว +12

    mashamba sana, ata ajuwi ku tembea na mwana mke, uta fikiri jeshi fulani.

    • @mauridi_abdarah2653
      @mauridi_abdarah2653 2 ปีที่แล้ว +2

      Yea ndiomana anajiita jeshi😂😂😂

    • @kibabysaid6692
      @kibabysaid6692 2 ปีที่แล้ว +5

      Sio ety hajui kutembea na mwanamke....wanahabari wa bongo ndio wasumbufu.....hapo hamo anatembea haraka coz hataki kuhojiwa

    • @magiehermess9949
      @magiehermess9949 2 ปีที่แล้ว +2

      Yani anamkimbiza kama vita 😂😂

    • @salmsalmo931
      @salmsalmo931 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaa jeshi hatembei kama mwanamke

    • @Tintaaahasirakirende
      @Tintaaahasirakirende ปีที่แล้ว +1

      Tambua huyo ni jeshi alafu uache kujizimisha data

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 ปีที่แล้ว +6

    Konde boy is in fire

    • @regimentish
      @regimentish 2 ปีที่แล้ว +1

      We say "on fire"😁

    • @shelinenyongesa7670
      @shelinenyongesa7670 2 ปีที่แล้ว

      In fire🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sio hamisa

  • @sapharysimons8106
    @sapharysimons8106 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Hermonise ni mshamba kweli. Mtu ametua home na anatembea kama mwizi. Haraka ni zankwenda wapi?

  • @kabebemazambi194
    @kabebemazambi194 2 ปีที่แล้ว +1

    Jeshiiiii tembo mkubwa ✌️🎶✊🏽🙌🔥🔥🫂

  • @uwimanajustine7313
    @uwimanajustine7313 9 หลายเดือนก่อน +2

    Wizi wote wa mapenzi,ndiyo maana hawataki kutembea pole pole,oneni tuuu vile hamisa anajifunga kama mgonjwa wa coronavirus

    • @user-gc7ip9cs6k
      @user-gc7ip9cs6k 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @auntysweetysultan3933
    @auntysweetysultan3933 2 ปีที่แล้ว +4

    Missa be great and tkcre

  • @waltermassawe1876
    @waltermassawe1876 2 ปีที่แล้ว +16

    Konde akili nyingi mno vita unaiweza we jembe trust me

  • @estherchesumei1666
    @estherchesumei1666 2 ปีที่แล้ว +2

    Harmonize mbona unamkimbiza hivyo?unafaa kuwacha atembee kwa style juu ucha kosea MTU

  • @AdrienGrace-kj8hw
    @AdrienGrace-kj8hw หลายเดือนก่อน

    nakukubali sana kaka yangu jeshi

  • @kingrasdee445
    @kingrasdee445 2 ปีที่แล้ว +3

    Harmonize mbn anamkmbiza kam mwz????

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbona awa wasanii watanzania wanachekesha sana wanajisikia sana sasa ndio nini anatembea kama anaogopa

    • @colettaauma2642
      @colettaauma2642 2 ปีที่แล้ว

      Then hata ana time na funs,that's where Diamond umshindia. Anatembea ka mwizi

  • @maryaika9645
    @maryaika9645 8 หลายเดือนก่อน

    One thing for sure he can protect his woman

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 9 หลายเดือนก่อน

    Uyu ndo mwamba alobaki piga rungu hizo Pic kinyamwezi Kho Kho kho

  • @AbdillahRamadhan-z2c
    @AbdillahRamadhan-z2c วันที่ผ่านมา

    Jamani mshaji wet ashakuwa bosi lakini bado anapanda garimbele hii siopoa kiukweli

  • @user-ug6wx7bk6w
    @user-ug6wx7bk6w 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo si hamisaa na haezi kua

  • @patrickwanyoike8685
    @patrickwanyoike8685 2 ปีที่แล้ว +3

    Still wondering kama kitu kama hiki kinawesa make news ama trend kenya.....kama hawa ni socialite wa ile inchi na mwimbaji wa pale...na socialite wa nchi za nji na mwimbaji....kenya ku trend unahitaji a lot of hard work

  • @aldinhomkayumba9921
    @aldinhomkayumba9921 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo sio Hamisa

  • @funnymanreallife3190
    @funnymanreallife3190 2 ปีที่แล้ว +1

    Jeshi 🔥🔥

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmm! Vyombo vyetu vya habari Bado jamani umati wote huu kisa mi harmo kulipoti matukio ya msingi huyaoni ujinga tu

  • @mariamngania
    @mariamngania 2 ปีที่แล้ว +12

    Hamisa is such a humble lady

  • @royreuben4315
    @royreuben4315 8 หลายเดือนก่อน

    For me take way on this video, its the crafting of video title. 😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @ramonabatv4022
    @ramonabatv4022 9 หลายเดือนก่อน

    nashukuru brother hajaongea neno

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 8 หลายเดือนก่อน

    MWENDOKASI TV YIYI WANDISHI MNATAKA KUOLEWA NA HARMONIZE AU MSHAFANYIWA KITU FULANI NA HARMONIZE MNAONA WIVU UWOGOWENU KUSEMA KAWA HUYO NI HAMISA NA WAKATI NI BIBI YAKE WAZAMANI WA ASRTWALI AU MNATAKA KUTONGOZWA NA HARMONIZE

  • @samwellaizer4269
    @samwellaizer4269 2 ปีที่แล้ว +1

    Very good

  • @isihakanyirenda5570
    @isihakanyirenda5570 2 ปีที่แล้ว

    Yaani kama waruwaru anatafuta tension kwa kuangalia huku Mara kule aone anaemtazama haijulikani haraka alionayo ni ya nini haswa

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi ni kweli harmonize yupo na hamisa siamini

  • @othmanmasoud9622
    @othmanmasoud9622 2 ปีที่แล้ว +15

    Konde boy umemshika mkono na unavyo mkimbiza km mwizi🤣🤣🤣

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 ปีที่แล้ว +3

    Huo ukaguzi wa mabegi ya Hamisa sijauelewa kucheleweshana tu

  • @joelkenya1931
    @joelkenya1931 2 ปีที่แล้ว +2

    Hyo s hamisa

  • @lylianlylian8786
    @lylianlylian8786 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mbona konde hana noma? Kwanini tuumie sisi kutembea haraka siyo sababu wapendwa! Mbona wazungu atuwajaji? Poleni kwa hilo konde yuko pis kachoka umbea.

  • @user-tb5by5dw9b
    @user-tb5by5dw9b 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mmepigwaa hapooo hzo nguo zimewachanganyaaa😂😂😂😂😂Hamissa kavaa kipensiiii kifuupii akiwa dubaaai.......afuu hio clip ya airpot tz uyo demu kavaa trausaaaa ndefuuuu😂😂😂😂😂

  • @carrenjaber3519
    @carrenjaber3519 2 ปีที่แล้ว +15

    Haki hii ujinga haiko Kenya huku kila mtu anapambana na hali yake

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 ปีที่แล้ว +1

    Wasanii wa dar sjui mna akili gani! Mnakula wanawake kwa kupokezana? Huku mikoani wanaume hatuchangii wanawake!

  • @jenjoseph7270
    @jenjoseph7270 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani anavo mkimbiza

  • @minnahhassan2229
    @minnahhassan2229 2 ปีที่แล้ว +3

    Ilikuwa nalazima aonge😂😂😂😂😂😂😂😂siangetoka kma jeshi

  • @TamalaAmoni
    @TamalaAmoni 28 วันที่ผ่านมา

    Mimi naulikwanini nandy naamisa mobetto kwani awaongei

  • @user-zv6ro2id2o
    @user-zv6ro2id2o 8 หลายเดือนก่อน

    Aaaaahh! mbona anajificha hamisa? na konde anajifanya yuko bize jamaniiiiii.

  • @daymoohdemularh7280
    @daymoohdemularh7280 2 ปีที่แล้ว +5

    Umalalaya pia wahojiwa na wana na wanahabari.... Najivunia kua mkenya

    • @aminaqatar5041
      @aminaqatar5041 2 ปีที่แล้ว

      😂😂🤣

    • @wifematerial8943
      @wifematerial8943 2 ปีที่แล้ว +1

      Tanzania nishida tupu,me too proud to be a kenya 🇰🇪

    • @wilkisteratieno2745
      @wilkisteratieno2745 2 ปีที่แล้ว

      @@wifematerial8943 hatupangwigwi😂😂😂😂😂😂😂

  • @Susan-Namu
    @Susan-Namu 2 ปีที่แล้ว

    Tunned

  • @katanakenga3792
    @katanakenga3792 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakunali

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 2 ปีที่แล้ว +5

    Waandishi Wana kazi khaaa

  • @sylvia-mwangi.6406
    @sylvia-mwangi.6406 2 ปีที่แล้ว +4

    He is walking too fast wamchokesha

  • @lukalazarolaitayo8388
    @lukalazarolaitayo8388 2 ปีที่แล้ว +1

    Dope

  • @talamumboma5050
    @talamumboma5050 2 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana

  • @consokeic1472
    @consokeic1472 2 ปีที่แล้ว +5

    Du !mapaparazi mtapata tabu sanaaa.......😂😂😂😂😂

  • @user-yz6fs2wi3e
    @user-yz6fs2wi3e 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu si hamisa mobeto

  • @lubnahinai
    @lubnahinai 2 ปีที่แล้ว +5

    I thought hii issue ya ku-search ma begi iliisha.. New Airport But using old fashioned procedures. This is Embarrassing 🙈. What r the “bag screen scanners” for!?!

  • @johnyagat973
    @johnyagat973 2 ปีที่แล้ว +3

    Ata sjajua kinachoendelea na huyu mwana wa akudo ndo wanatoka au sielewi lakini wakulungwa munieleweshe

  • @mamamwajei8789
    @mamamwajei8789 9 หลายเดือนก่อน

    jmn uyu Briana mnatuambia hamisa mweh

  • @khadijasaid5461
    @khadijasaid5461 2 ปีที่แล้ว

    Jeshi kama jeshiiiiii

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 ปีที่แล้ว

    Waandishi wa bongo hao, dah ivi elimu yenu ni kiwango gani

  • @regimentish
    @regimentish 2 ปีที่แล้ว +5

    Malaya anazungukwa na wana habari😳

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 8 หลายเดือนก่อน

    Gig money kaongea uko cjui wamemuona anasema wadangaji wote wanajulikana sasa watunwanapata picha na ayo ndo maisha ya dar mnapokezana me namchukua nikichoka nakupa wewe .alafu wale watt waliotulia wamekwama home wajanja wanapush game

  • @withneynelsonsmith7360
    @withneynelsonsmith7360 4 หลายเดือนก่อน

    What is he doing with hammissa for god sake

  • @kabwelerywamwatumu5078
    @kabwelerywamwatumu5078 9 หลายเดือนก่อน

    Huyo ndo hamissa?Akuna muoaji apo ni mwendo wakufirisika na maradhi 😢😢

  • @jaytoomatisa6863
    @jaytoomatisa6863 2 ปีที่แล้ว

    Teacher

  • @mamaupsanddowntv579
    @mamaupsanddowntv579 2 ปีที่แล้ว +4

    Imagine kenya huu ujinga akuna

    • @ethanethan4437
      @ethanethan4437 2 ปีที่แล้ว +1

      Kenya ushamba sana

    • @mamaupsanddowntv579
      @mamaupsanddowntv579 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ethanethan4437 sasa ushamba gani ?wa kushangilia ujinga ama

    • @pridencia2751
      @pridencia2751 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mamaupsanddowntv579 ujinga up?, mtu aww famous àlafu asishangiliwe🙄🤫🤔

    • @torrismwikali2310
      @torrismwikali2310 2 ปีที่แล้ว

      Waambie 😂

  • @WanjeIsaac
    @WanjeIsaac 2 ปีที่แล้ว

    Jeshiiiiiii

  • @safarikambi
    @safarikambi ปีที่แล้ว

    Safi bro

  • @RacherBakari-qh2gx
    @RacherBakari-qh2gx 9 หลายเดือนก่อน

    Sio hamisa yule

  • @aishaali9583
    @aishaali9583 8 หลายเดือนก่อน

    .niliskia ako na munaigeria Tena sasa tena Conde kina wolper waliachwa na wengine wewe utaeza ani tz munabadilishana tu kama nguo

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wasanii wana vibweka sana,Huyu Hamisa si alikuwa wa mtu furananiI...?

  • @borisagmarihirumwajasiri2783
    @borisagmarihirumwajasiri2783 2 ปีที่แล้ว

    Hello mimi ni mwana muziki toka congo nilikua naomba kama hauwezi Ku post ngoma yangu ndani ya Channel yako

  • @gasparygewasa6048
    @gasparygewasa6048 2 ปีที่แล้ว +1

    💥💥💥

  • @winnieumanzi5572
    @winnieumanzi5572 2 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha 😆😜😜😜 eti hamisa 😆😆😆😝😝😆Ricky Ross anapeleka boda boda Tanzania