Nakufuatilia saana mashallah nikikuona ww tuu lazima nikuskilize hii mada ni yako khasaa hukosei unaieleza kwa ufasaha kabisa na uweledi ya dini ya kiislam tofauti na wengine
MAA Shaa Allah ❤❤ nawapenda Sana ndugzangu Allah Subhanna awabariki Sono hili NI muhimu Sana tena bila ya upendelewo nyundo Kwa sote Allah Subhanna awalipe Jazaa yenu mh Maalimu Hassan Kiboko kuliko wote engeza wake hata wanna unayaweza Jembee In Shaa Allah uyasemayo ndiyo uyafanyayo 😊
Shekh tahadhari ni muhimu kwa wanawake,,mana ukizembea ndoa ikiharibika tu ,,basi maisha yako yote na watoto wako yameshaparaganyika,kwa hiyo lazima tahadhari kubwa iwepo,,kwa maoni yangu
Mashallah wanaume wa namna hii niwachache sana karne hii tuliyonayo tumemsikia shekhe tubadilikeni jamanii venginevyo khatari.shekh khassan tunakupa nyota zako
Maalim hasan uyongea yote sahihi nilikuwa nanuniwa mie kitu kidogo tu mtihani na tabia yakupelea kesi kwa mamangu kila siku nikamwambia kuna siku utapeleka kesi ya maana na utazaraulia tu mpaka nilikuwa namchoka na sasaivi kweli mwanangu wakiume anuna tu km babaake dah nijipange na kuliondoa ilo janga kwa mtt asije akampa mkwe wangu mtihani😂😂😂😂
Shehe yote unayoyaongea yalinikuta kwenye ndoa Yang mpk kukaguliwa nakwambia nachukia ndoa mpk nikawa sija jiran shoga kutungika talaka kila siku mtihani kwakweli
Sheikhe wetu upo vizuri mashaallah ❤❤ Allah akubarik
On point 🎉🎉🎉 wanaume waache uchafu nkudi hatutaki
Mashaalah shehe anaelimisha mola akuhifadhi
🥰❤❤❤❤❤❤❤ mashal😘 lah 😘 maalim 🥰 anadadavua 😘 hatari 🥰😘 tunajifunza 🥰 kwakweli 😘❤ Allah 🥰 awahifadhi 😘 na awepe 🥰 afya 😘 njema 🥰 kwa 😘 sote 🥰 inshaallah 🥰
Nakufuatilia saana mashallah nikikuona ww tuu lazima nikuskilize hii mada ni yako khasaa hukosei unaieleza kwa ufasaha kabisa na uweledi ya dini ya kiislam tofauti na wengine
MAA Shaa Allah ❤❤ nawapenda Sana ndugzangu Allah Subhanna awabariki Sono hili NI muhimu Sana tena bila ya upendelewo nyundo Kwa sote Allah Subhanna awalipe Jazaa yenu mh Maalimu Hassan Kiboko kuliko wote engeza wake hata wanna unayaweza Jembee In Shaa Allah uyasemayo ndiyo uyafanyayo 😊
Hodari Sanaa Maashaa Allah usingizi unaruka. Habari nyengine hizi tamu kweli kweli hapalaliki mpaka chee😂
A, alaykum sheikh this was five stars because everything you said was on point⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️💐💐💐
Shekh tahadhari ni muhimu kwa wanawake,,mana ukizembea ndoa ikiharibika tu ,,basi maisha yako yote na watoto wako yameshaparaganyika,kwa hiyo lazima tahadhari kubwa iwepo,,kwa maoni yangu
Hii ni elimu yamanfaa kweli❤
Point sheikhe wanawake wengi tunapenda wanaume wasafi🎉🎉🎉
Muhimu si mdaa utekelezaji maneno ni maZuri yenye kykamilika na kufuatwa na kufanyiwa kazi akh madaa kibokoo
Mashallah wanaume wa namna hii niwachache sana karne hii tuliyonayo tumemsikia shekhe tubadilikeni jamanii venginevyo khatari.shekh khassan tunakupa nyota zako
Please Mr rawhide muongezee time uyo maalimu Hassan maneno khalwa I like this man very mo❤
Sheikh asalam alaikum please 🙏 tupeni high education 🙏 dawar hizo ndoo ilimu swaffy
Ahsant mwalim Hassan 🎉🎉🎉🎉 “mwanamke sio mtumwa” sahih. ushaskia wale wanaume wanasema ah nshachoka kufua nakula nje, natamani niowe mke wangu anishuhulikie🙄 au nataka niowe ili watoto wngu wapate mlezi, my friend tafuta mfanya kazi tu ustusumbue. Ukiamua kuowa owa kwa mapenzi ayo mengine yanakuja automatic
Mashaallah shekh
Muda mdogo shekh khasan uongozewe mda
Shehe Rashid naomba namba ya mualim Asante
Hayo ndio yaliyonikuta Mie mpk SASA nachukia ndoa wanaume wengin mtihan
Maalim hasan uyongea yote sahihi nilikuwa nanuniwa mie kitu kidogo tu mtihani na tabia yakupelea kesi kwa mamangu kila siku nikamwambia kuna siku utapeleka kesi ya maana na utazaraulia tu mpaka nilikuwa namchoka na sasaivi kweli mwanangu wakiume anuna tu km babaake dah nijipange na kuliondoa ilo janga kwa mtt asije akampa mkwe wangu mtihani😂😂😂😂
Mashalla
Mashaallah ❤❤
Mashaallah sheikhe Hassan upo vizuri❤❤
Shekh rashid naomba muweke namba au tarehe za vipindi ili kuna wengine wanao fuatia waelewe maada na mwazo wake
Saa nyengine umepata mke kalelewa vizuri ukapata mume jeuri inakuwaje?