Raddi kwa Muhammad Mafuta juu ya maneno yake ya ufedhuli||Muhammad Bachu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 328

  • @samiraomar8743
    @samiraomar8743 2 ปีที่แล้ว +1

    Umma umefkia mwixho kiama kipo karibu tafadhalin mashekh ambao hamjuw dini ynu mkumbuke hii n dunia tunaondka. Msitafte maslah ynu mkumbuke kuna mung. Allah akuhifadh sheikh muhammad bachu

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu หลายเดือนก่อน

      Kazi kubwa ipo kwa maamuma.

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 2 หลายเดือนก่อน

    MAASHAA ALLAH shekh bachu upo vizuri ,sana

  • @ibnukhamees5224
    @ibnukhamees5224 2 ปีที่แล้ว +4

    A alykum sheykh (muhaddith) nakuhusia usiiweke chuki dhid ya muisilam mwenzio
    Pia naomba pambana sana na daawa wacha kujishughulisha na watu wanao jifakhari mbele ya الله naomba unitafute nikupe faida inshaallaah ALLAH atuhifadh sote

  • @salumjumaa9612
    @salumjumaa9612 2 ปีที่แล้ว +21

    وَلۡیَعۡفُوا۟ وَلۡیَصۡفَحُوۤا۟ۗ أَلَا تُحِبُّونَ أَن یَغۡفِرَ ٱللَّهُ لَكُمۡۚ وَٱللَّهُ غَفُورࣱ رَّحِیمٌ)

  • @omarmuhamud3302
    @omarmuhamud3302 ปีที่แล้ว

    Sheikh mohamed Bachu Allah akuhifadhi

  • @hassanameir1710
    @hassanameir1710 2 ปีที่แล้ว +6

    "Laiti ingelikua juhidi zetu ni kutaka kuridhiwa na Allah tusingelifika hapa" Mola wetu tuongoze.

  • @iddyramathan4507
    @iddyramathan4507 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuongoze sheikh muhammad Bachu

  • @mohamediabdirashidi1099
    @mohamediabdirashidi1099 2 ปีที่แล้ว +6

    Shekh Muhammad
    Nakuomba tumia hekma kazi zako tunaziona na tunastafeed Allah atakunyanyua. من صمت نجا

    • @abuushaukan6157
      @abuushaukan6157 2 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo akae kimya

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 ปีที่แล้ว

      @@abuushaukan6157 hii Ndio maana halisi ya salafi
      Mipasho na vijembe tu na kuitana mafedhuli
      Hawazungumzii mambo ya ghaib Bali kusengenya
      Salafism kwel ni fitna

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 2 ปีที่แล้ว +9

    Shekhe Bachu kwa namba unavyojitahidi, utasikia mengi, Ila nakuombea kwa Allah akuhifahdi na usikate tamaa kutuelimisha. Tunahitaji Sana kwako Yale unayotufikishia

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 ปีที่แล้ว

      Hana lolote zaidi ya mipasho

    • @abdulkrimalawi7165
      @abdulkrimalawi7165 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@abuuabuu4831ww ndio huna lolote

  • @mohamedally1594
    @mohamedally1594 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa sheikh Bachu.
    Ingawa hii video sijui ya lini.
    Lakini Kuaamehe ni bora zaidi sababu hutopungukiwa.
    Upo vizuri sana sheikh katika utoaji wako mawaidha.Allah akuzidishie

  • @hassanalbasq3160
    @hassanalbasq3160 2 ปีที่แล้ว +13

    Allah Atuongoze katika Haqqi, Naamini kibri tu kimekujaa MUHAMMAD BACHU!! acha jazba kwani kusoma nimuhimu mno TUKASOME USITAKE KURUSHA MCHANGA JUU AU MAWE HALIYAKUA UPO APOAPO NILAZIMA YATAKUREJEA, NADHANI UNACHOTAKA NI KUJIBIWA NA ABULFADHL!! LAKN BADO HAJATAKA TU NADHAN, MAANA BADO LEVL YKO CHANGA MANA HAYA MAMBO ZIDI KUJIEPUSHA ILI ASIKUJIBU CHOCHOTE LINDA HESHMA YKO!! ALLAH AZIDI KUTUONGOZA.

    • @daudnyupa6730
      @daudnyupa6730 2 ปีที่แล้ว

      Naam akhi sahihi kabisa ulichosema
      Na akiona hajibiwi anatakiwa kujua kuwa amepuuzwa

  • @rahmaabdillahi2795
    @rahmaabdillahi2795 2 ปีที่แล้ว +13

    Allah aongoze umma ......mashekhe wanafanya ibada nyingi ila chuki zimejaa kwenye nyoyo zao.

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 2 ปีที่แล้ว +1

    Muhammad bachu rudi kwa mwalimu akusomeshe hekima na busara mana elimu yako ndogo uliyonayo unawaona wenzio wote hawana elimu
    Na yote ni kwasababu unajivunia kwamba baba yako alikua mwanazuoni mzuri na mkubwa lakini unakosea sana
    Mimi sijasoma lakini elimu yako kwangu ni dhaifu sana mana aliyebora ni yule ambae anapokerwa huficha hasira zake na anaezuia hasira zake ni mcha mungu unawezaje kusema haumsamehe mpaka kwa mungu halafu unajiita sheikh acha uropokaji

  • @iddibakari8000
    @iddibakari8000 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadhi inshaa allah binafsi napata meengi yaninufaisha kaatika dini yangu ya uwislamu kupitia kwako allah atupe mwisho mwema

  • @amarislam1589
    @amarislam1589 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah akuhifadhi sheikh mohammad nassor bacho.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana abdallah makarate kwa kumueka sawa yule hizbi anaetumia jina la kaka ake

  • @jamaliramadhan5167
    @jamaliramadhan5167 2 ปีที่แล้ว

    Allah awaongoze mashekhe zetu nyote mpate kuelewana na kusameheana ishallah

  • @saidjoka1282
    @saidjoka1282 2 ปีที่แล้ว

    Barahiyan wacha atukanwe KWANI jamaa anawatukana SANA mashekh BADO ataona

  • @oman6124
    @oman6124 2 ปีที่แล้ว

    بارك الله فيك شيخنا الله و يثبت لسانك على كلمة حق دائما

  • @sulebeka7202
    @sulebeka7202 9 หลายเดือนก่อน

    Dalili ya kiama ndio hii watu kugawanyika makundi ,,wanao jua wataonekana hawajui wasio jua wataonekana wanajua Kuna kazi kubwa sana kutafuta radh za allah

  • @khadijasaid5065
    @khadijasaid5065 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuhifadhi shekhe Muhammad bachu akuwepushe najicho lahasadi inshaallah Mungu akupe umri mwema inshaallah..kutoka kenya khadija said Nahdi mld

  • @chanchubasammy4562
    @chanchubasammy4562 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuongozee muhammad bacho

  • @yussufpandu1852
    @yussufpandu1852 2 ปีที่แล้ว

    SHEKHE MUHAMMAD BACHU USIKATE TAMAA TUNAKUFAHAMU UPO SAWA KABISA MUNGU AZIDI KUKUPA USTAHAMILIVIU UZIDI KUWEKA SAWA PALE PANAPOHITAJIKA KUWEKWA SAWA ..WAPO WATU WATAKUSEMA KWA UBAYA USIKATE TAMAA UKWELI UNAUMA

  • @omaritvtz5235
    @omaritvtz5235 2 ปีที่แล้ว +3

    Mi shehe Muhammad nassoro bachu nakufuatilia Sana hasa unapokataa mpasuko wa uislam kwa kujiumbia makundi makundi yasiyo na tiga katika dini ,Ila Allah akusimamie katika hilo

  • @mireztv2217
    @mireztv2217 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah sheikh Muhhamad naisubiri nukta zinazokuja

  • @mohammedhusseinhabiib6313
    @mohammedhusseinhabiib6313 2 ปีที่แล้ว +3

    Dua za masharifu,,zimewapata? Mbona mwakorogana nyinyi kwa nyinyi?

  • @islamforurope2340
    @islamforurope2340 2 ปีที่แล้ว +5

    nakupa challenge we kijana ulete mwanachuoni yeyote aliyesema kuna hizb inaitwa salafiyah jadiydah
    nyie ni mahizbiy mnaosajili wanachama kwenye chama chenu cha answari sunna

    • @Saidramah27
      @Saidramah27 2 ปีที่แล้ว

      Na kusajiri taasisi je?

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 2 ปีที่แล้ว

    Inashangaza sana kuona masheikh wanavutana ovyoo na ni kipi kinawasaulisha kwamba ni Allwah ndie anayejua nani kaongoka na ni yupi mpotevu.Waislamu kutupiana madongo ni kuleta farka na bila shaka ninukta moja ya kuudhoofisha Uislamu.

  • @karamasaid1374
    @karamasaid1374 2 ปีที่แล้ว +5

    Allah atuongoze kwa njia ya haki....

    • @saadiashariff5377
      @saadiashariff5377 2 ปีที่แล้ว

      Ameen thumaa Ameen, inasikitisha sana, mola tunakuomba utongoze sisi madhaifu waja wako tunakupenda Allah na mtume watu pia, ya rabi tuonyeshe njia ya haki kwamba ni ya haki na utuwezeshe kuifata na utonyeshe njia ya baatil ni njia mbaya na utueposhe nayo Ameen thumaa Ameen

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 2 ปีที่แล้ว +2

    Asalaam Alaikum sheikh, inshaaAllah msamehe ni bora kuliko kuwekeana kinyongo. Muisilamu ni ndugu wa muisilamu mwingine.

    • @Muhammad_Nassor_Bachu_.
      @Muhammad_Nassor_Bachu_.  2 ปีที่แล้ว +4

      Muwache aombe msamaha kwanza😆😆

    • @kasezero4626
      @kasezero4626 2 ปีที่แล้ว

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. akhuy ,Allah Akuongoze wewe nasi pia. Nimekua mwanafunzi wako ktk darsa za lugha ya kiarabu na nyenginezo, Nastafid Alhamdulillah na Allah Akulipe kheri. Ila mimi pia nimeingia wasiwasi baada ya kuona TV channel hii imeandikwa MUHADDITH MUHAMMAD BACHU ONLINE TV...sasa hii kwa Nadharia ya kawaida inaleta maana unayo tuhumiwa nayo.. hili liangalie kwa angle zote. Mtu kufaham kuwa hili ni jina la mwanao ni vigumu mpaka utor bayana kama hii..lkn Imetangulia bayan kabla ya tukio au tukio limetangulia kabla ya bayan.? Wanaokuzunguka waweza jua uhalisia wa hilo jina, je na sie wa online?

    • @badgeff3259
      @badgeff3259 2 ปีที่แล้ว

      Hapo shekhe wangu hujafanya sawa jifunze kusamehe ndugu yangu

    • @meekman1805
      @meekman1805 2 ปีที่แล้ว

      Mh! To me my eye 😎

    • @abuuhafswaqaasim6
      @abuuhafswaqaasim6 2 ปีที่แล้ว

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. lkn ustadhi nibora ungejitoa kwenye shubha khasa hii ulioweka kwenye chaneli yako hiyo ingekua nibora kwa kua hata akiangalia mtu mwingine atasema wewe ni muhadithi kwa maneno yako ulio andika

  • @binthamoudshariff5492
    @binthamoudshariff5492 2 ปีที่แล้ว +8

    Aslm Aleykum shekh usiweke uhasama kwa binaadam ila kila kitu Allah ndio anajua jinsi ya hukum usiweke chuki situnahusiwa anaefanya baya anaezusha ni dunia tu muombee hidaya haki yako atakulipa m.mungu subhana wataala.

    • @waziriboy9941
      @waziriboy9941 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwenye dini ukikosea unaambiwa hata uwe nani?

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 2 ปีที่แล้ว

      Al akhuy Muhammad Bachu Hana chuki yeyote na madai hivyo ni sahihi mtu kufanya radi Kama vile mzungumzaji alivyotoa kauli zake Ima kwenye TV atajibiwa kwayo ima kwenye redio atajibiwa kwayo hivyo hii ni sahihi wacha ajibie

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 ปีที่แล้ว

      This is true colour of salafiya maana
      Kazi yao ni mipasho tu hakuna mafunzo

  • @abedhamis5910
    @abedhamis5910 2 ปีที่แล้ว

    Hapo ndo namkumbuka al maruhumuu ustaadh Irunga Kapungu kuhusu suala la madhehebu Allah amrehemu.

  • @swalehemusakiluwa9405
    @swalehemusakiluwa9405 2 ปีที่แล้ว

    Maneno ya abul fadhli hujayaelewa Sheikh
    Hembu rejelea vizuri
    Yeye kasema taasisi kwa mambo haya yaliopo kwenye taasisi ni
    Harafu hakusema kwa itwlaq
    Pia hakusema taasisi zote zinawagawa waislamu bali alisema taasisi nyingi
    Sio zote

  • @ahmedseif743
    @ahmedseif743 2 ปีที่แล้ว +1

    INSHAALLAH KHERY SHEIKH MUHAMMAD

  • @muhammadomar85
    @muhammadomar85 2 ปีที่แล้ว

    Kuna tofauti gani ya Muhammad mafuta na qasim mafuta. ???

  • @sadonbin6847
    @sadonbin6847 2 ปีที่แล้ว +4

    السلام عليكم ورحمة الله
    @Muhammad nassor bachu
    Kwenye picha ulioweka katika hii video inasomeka muhaddithi Muhammad bachu. Sasa nashauri uwitoe hio muhaddithi.
    Au uwaandike abuu muhaddith
    kwa sababu mwanao hafundishi yeye hizo duruus au kutoa raddi .
    جزاك الله خيرا

    • @tasliyaah
      @tasliyaah 2 ปีที่แล้ว +1

      Wewe unatajibu nini katika maneno ya shekh kassim dhidi ya upotoshaji wa wazi unaofanywa na Barahiyani au watafuta jina kupitia watu????
      ALLAAH akuongoze uijue Haqq manhaj salaf na uifate
      Aaamiyn

    • @sadonbin6847
      @sadonbin6847 2 ปีที่แล้ว

      @@tasliyaah اللهم امين
      Mimi haujanifahamu ndugu yangu.
      Kwa sababu wao wanasema kwamba anjiita muhaddithi hali yakuwa si hivyo , bali muhaddithi ni mtoto wake.
      Ila muhaddithi ni mwanachuoni mkubwa ambae aliebobea kwenye hadith za mtume Salla allahu alayhi wasallam ni level za juu sana. kama kina sheikh saleh alfauzan, nasserdeen Albany.
      Sasa ndio nikashauri aitoe au aandike ABUU muhaddith . Kama inavyo onekana kwenye hii video.

  • @modyshyd9204
    @modyshyd9204 2 ปีที่แล้ว +1

    1:Waislamu wawili waki kutana kwa panga zao atakaye uwa na kuwawa wote wa motoni.
    2:Kumtukana muislamu ni ufasiq na kumpiga vita ni ukafiri...
    :NASHANGAA LAU KWELI MNA ELIMU HAYA MUNGE YAJUA,HAPA MNA RIYAA,MATUSI,HASIRA,CHUKI,KIJISKILIZISHA,KUJI GAMBA...... huu si usomi ni ugomvi wa maslahi,yasikitisha sana vile waislamu tume kuwa kwa karne hizi

  • @hakambashe8421
    @hakambashe8421 2 ปีที่แล้ว

    Mashaikh Daawa zenu zinapoelekea sisi tunawaona2. Ila kiukwel Mnaharibu kwa kingereza tunasema Yo don't teach, yo only compete...... , mnaharibu Reputation sure

    • @ausatmwangi6464
      @ausatmwangi6464 2 ปีที่แล้ว

      Nakubaliana na wewe kaka. Wallahi tusiwape ushabiki hawa mashekhe kwa maana lao ni kuuvunjia uislam hadhi yake.

    • @ausatmwangi6464
      @ausatmwangi6464 2 ปีที่แล้ว

      Na kwa kweli ilmu zao sasa sio za faida. Kazi kukosoana nikama kuna aliyeijuwa dini yote kwa kifua chake

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh bachu Alla akuhifadhi hakika umetoa ushahid na umemueka sawa sheikh kassim mafuta

    • @abuushaymaatz
      @abuushaymaatz 2 ปีที่แล้ว

      Tofautisha kati ya Qassim Mafuta na Muhammad Mafuta Wewe, ahahahahahahahahahahahaha huyu chalii aweza kumkosoa Nini Sheikh QASSIM MAFUTA?, Au humjui Sheikh QASSIM MAFUTA? Ahaha

  • @aljabery.binruz
    @aljabery.binruz 2 ปีที่แล้ว

    Asalam aleikum warah matu Lai wabarakatu.
    Nyinyi mashekhe WA kibongo WA kila methab ni wapotevu kwa nn wapotevu, mnapaswa kumwita kwenye kamati ya kislamu tz na kuuliza ajitete lakini sio kumtukana shekh WA Aina yoyote. Bada kumhoji,kamati itangaze na yalioajiri was lamu waelewe. Hapa naona yomkiama inakaribia

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 2 ปีที่แล้ว +3

    Masalafiya huwa nashangaaa huwa hawana akili ya kujiongeza kiakili baada ya kusoma kuliko kushabikia mashee wao.

    • @makapaabdallah7937
      @makapaabdallah7937 2 ปีที่แล้ว

      Ndugu zetu hawa misingi yao wanapinga rai(hoja ,kutumia akili). Lakin wao wenyewe wanatumia a

  • @MohammedAli-fp9vn
    @MohammedAli-fp9vn 2 ปีที่แล้ว +1

    Ss shekhe hapo ulipo sema hutumsamehe kisha nyinyi hutwambia mungu apenda mwenye kusamehe mbona we usisamehe uweke chuki

  • @shomarykikusa6064
    @shomarykikusa6064 2 ปีที่แล้ว

    Allahu akibaru kijana wa bachu uso na tabia yako zaonyesha ww haupo kidini mrejee Allah kwa hakki

  • @abuuabuu4831
    @abuuabuu4831 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani hawa masheikh hakuna faida zaidi ya mipasho

  • @alimuchiri6151
    @alimuchiri6151 2 ปีที่แล้ว +1

    " masheikh mujiangalie sheitwani anawajia kwa njia msiyoifahamu." Kueni makini na hizo Radi zenu.

  • @abdallahsaid7177
    @abdallahsaid7177 2 ปีที่แล้ว +1

    بسم الله الرحمن الرحيم
    المص كتاب انزل اليك فلايكن في صدرك حرج منه لتنذر به وذكرى للمؤمنين اتبعوا ما انزل اليكم من ربكم ولاتتبعوا من دنه اولياء قلبلا ما تذكرون.
    Surat Al aaraf aya 1-3
    Kitabu (Quran) umeshukishiwa wewe (Muhammad), wala usijitie dhiki, ili uwaonye na kiwe ni ukumbusho kwa walioamini. Fuatilieni (kitabu hicho) mulichoteremshiwa na mola wenu na wala musifuatilie vilivyo duni yake (vitabu viabdikwavyo na binaadamu) na kuvipa utukufu, wachache wenu watakaotafakari na kuzingatia.

  • @adensir630
    @adensir630 2 ปีที่แล้ว +3

    Mie nawapendeni sote kwa Ajili ya Allah ...nampenda Qassim maftah...na Mohammed bachu nakupenda kwani nilimpenda Sana Baba yetu Nassoro bachu....
    Kikubwa nikusamehana Tu kwa Ajili ya Allah...maisha yenyewe yako wapi Basi....kwa hakika walisemwa Mtume Sala na salam zimfikie...na maswahaba zake sembuse mie nawe.....

  • @Airport_view
    @Airport_view 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh Muhammad sisi tuna kujuwa kwa Qunia ya Abuu ubeida umebadilisha lini Qunia?

  • @قلبسليم-ي1خ
    @قلبسليم-ي1خ 2 ปีที่แล้ว +5

    Allah atuong”owe kwa rehma zake, ila midahalo na raddi za aina hizi hazitotufikisha popote. Yaani zama hizi madai ni wengi alhamdulilah lkn hakuna athari ktk dini yetu zaidi kila mmoja ataka awe yeye apate jina awe juu, asifiwe na watu...Waallah huu ni msiba mkubwa lazima turudi kwa Allah ikiwa kweli twataraji radhi za Allah.

    • @abdillahismail8287
      @abdillahismail8287 2 ปีที่แล้ว

      kweli maan wanajigongo gonga tu

    • @nawwarsultwaan6404
      @nawwarsultwaan6404 2 ปีที่แล้ว

      Sioni Ila chuki tu

    • @nawwarsultwaan6404
      @nawwarsultwaan6404 2 ปีที่แล้ว

      Muhammad bachu muombee Dua aongoke sio kutaka thawabu zake na kumpa dhambi zako wewe wataka umaarufu Hakuna hoja itakayo kushinda sio kweli na wewe

    • @mussakhamis-g8c
      @mussakhamis-g8c ปีที่แล้ว

      HIVI NDIVYO MAKAFIRI WANAVYOTAKA WAISLAM WABISHANE KTK MAMBO YA KIPUUZI WAACHE KUZUNGUMZA MAMBO YA MSINGI
      KAMA HAWA MASHEKHE WAKUBWA KILA MTU ANAJIONA ANAJUA ZAIDI KULIKO MWENZAKE WAKATI WOTE WANAJUA NA KUKOSEA JAMBO LA KAWAIDA SIJUI WANAFUNDISHA WATU NINI
      JIFUNDISHENI UCHAAMUNGU ACHENI KUVUNJIANA HESHIMA NA NYINYI WAFUASI CHUKUENI ELIMU KUTOKA KWA WACHAAMUNGU.
      MTIHANI HUU DINI INAENDESHWA KWA MABISHANO MNAACHA KUWAFUNDISHA WATU UCHAAMUNGU NA ELIMU YA KUJUA DINI YAO NA IBADA ZAO MAANA KUNA WATU WENGI HAWAJUI HATA KUOGA JANABA

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @zakariaomari3840
    @zakariaomari3840 2 ปีที่แล้ว

    Da'awa hii..inna lillah wa illah tajiun

  • @abdallahramdhan2013
    @abdallahramdhan2013 2 ปีที่แล้ว

    SubhaAllah huezi msame paka mbele ya mungu maneno gani wasema wakati WA kurekebisha mtu

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu หลายเดือนก่อน

    Nitakuja kumpiga mara ngapi, nitampiga mpaka aende kushitaki. Hujahifadhi Qurani.

  • @abdulmohamed106
    @abdulmohamed106 2 ปีที่แล้ว

    Wewe sheikh kibinda,huna khutba za maana wewe,kazi nikuwasema wanzio tuu

  • @jumamahmoud9271
    @jumamahmoud9271 2 ปีที่แล้ว

    Yahfadhuka Allah yaa sheikh

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 2 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh Muhammad Nasor Bachu wasamehe hao akhui ni majahili na kwenye akhlaq kiukweli kila mtu anawajua kitabia ni mbaya na wanajiita jina zuri la salafu sswaalih ila kiukweli tabia zao hata kwenye daawa zao za kuwaponda watu wanaojitahid katika sunna na daawa zao, redio Iman mnawaita hizbi na tumewachukia mno kwa maneno yeni ya kifedhuli ila tunawaomba mrudi kwa Allah na muagalie maneno yenu machafu sasa tusikilize redio yenu ya ujirani Tumaini angekuwa wanajifunza, redio imani hawakuona ubaya kuwatangazia kuwapokelea maana wanajua wajinga tu hao namna ya kutoa daawa kwa mawaidha mazuri na busara lakin sio kabisa njia wanayoitumia,

  • @zuhurambonde1982
    @zuhurambonde1982 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnagombea Nini msizalilishane iteni wazee wenu muyaweke sawa Allah awape busara na hekima inshallah.

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 2 ปีที่แล้ว

      Hii Ndio salafi
      Hamna jipya zaidi ya mipasho na vijembe tu
      Huwezi kysikia wanazungumzia mambo ya ghaib kama mauti au kiyama wao ni mipasho tu

    • @ashrafseif9460
      @ashrafseif9460 2 ปีที่แล้ว

      Dah inauma Sana mashek kulumbana, sasa upande WA pili wajifunze nn kutoka kwa waislam, ?

  • @jumasalum9712
    @jumasalum9712 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akulipekwakuwafunua watu

  • @harithghasany8455
    @harithghasany8455 2 ปีที่แล้ว

    Waislamu wengi hatuna elimu nyie ndio was kukaa kutuokoa sisi.......wacheni hayo Mambo Walimu wetu.....haki twawapenda Sana kwa elimu zenu... lkn ...kwa migogoro hiyo isiyokwisha hatuwezi kufanukiwa ...TUMCHENI ALLAH

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 ปีที่แล้ว

    Innaalillahi Wainaa Ilayhi Raajiun Huu ni msiba sijui mwisho wetu niupi!.
    Ewe Allah tuongoze kwenye haki na utujaalie tuwe wakweli katika dini na tujaalie umoja katika dini yako Aamin.

    • @mohamedishabani5833
      @mohamedishabani5833 2 ปีที่แล้ว

      HAO WAKINA MAFUTA NJAA ZINAWAZUMBUA HAWANA DINI BALI NI MAKAFIR TU HAO

  • @abuushaukan6157
    @abuushaukan6157 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekh Muhammad nahitaji namba zako mwalimu

  • @AbuFawzaanAlly
    @AbuFawzaanAlly 2 ปีที่แล้ว +1

    Nenda kasikilize majibu yake mudir wako barahiyani na uwongo wake kashajibiwa njia ya mahizb ni fupi sana ALLAAH awaongoze

  • @abuunufaysah5328
    @abuunufaysah5328 2 ปีที่แล้ว +4

    Mi nadhani saizi yako ni akina Yusuf Diwani na watu mfano wake , lakini hao masheikh wa kisalafi siyo level yako kijana.

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 2 ปีที่แล้ว +1

      Kiukweli masheikh ws kisalafi ninacho kuwa hakinivutii kwao suala la adabu au tabia njema hata wakiongea haivutii maana akhlaq zao ni mbaya sana na ile kuwashambulia masheikh wenye akhlaq zao wa kisunna mara wawaite hizbi na badala ya kuja kuwanasihi kama wanaona wanakosea lakin wanawafanuia radi misikitini mbele za watu wao. mie siwapendi kabisa kwa akhlaq mbovu.

    • @abuunufaysah5328
      @abuunufaysah5328 2 ปีที่แล้ว +1

      Lau ungekaa darasani japo kidogo ungefahanu misingi ya da'awah ya salaf na huo ukakasi ulionao ungeondoka biidhinillah, kwahiyo nasaha zangu kwako ni kujitahidi kutafuta Elimu ya kisheria,kwa kufanya hivyo nina uhakika utawapenda masheikh wa kisalafi na utaunga mkono juhudi zao katika kuuelekeza ummah katika njia ya sawa, نسأل الله العافية والسلامة في الدنيا والآخرة

  • @shamiruismail4931
    @shamiruismail4931 2 ปีที่แล้ว +2

    "Taasisi haraam Kwa haya yaliyomo kwenye kwenye taasisi" YALIYOMO YAPI?? UNGEFAFANUA KIDOGO UNGEKUWA MUADILIFU .....

  • @hamadali3231
    @hamadali3231 2 ปีที่แล้ว

    Nakuomba sheikh Muhammad uwaache hao usigombane nao kwan ugomvi hauleti faida yeyote

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 2 ปีที่แล้ว +4

    Sasa mnaumbua na kukashifiana wenyewe kwa wenyewe,wote nyie ni mawahabi ,mnagombea Nini ikiwa nyie ndio mnajiita watu safi wapeponi na waislamu wengine wote wao ni watu wa bidaah na mshatupeleka motoni utadhani nyie ndio wenye ushirika na mwenyezimungu

    • @sheinally9191
      @sheinally9191 2 ปีที่แล้ว

      Hawana maan hao wameanza kuwa answar sunna wakaja salafi swaalih wakaj salafi jadiid yaan kila mmoja anajiona ana elim kuliko mwenzie na kila mmoja anajiona yupo sahihi yeye na wengine ni wamotoni wacha watukanane

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 2 ปีที่แล้ว

      Hapo mungu anawaumbua

    • @ChachiMwaa
      @ChachiMwaa ปีที่แล้ว

      Tena wanatutoa kwenye Uislamu moja kwa moja.

  • @alijabu6226
    @alijabu6226 2 ปีที่แล้ว

    sasa mashekh mnatufundisha nn kma mwenzio alokukosea huwez kumsamehe cc utatulinganiaje kuhus jamb zima la kusamehe wenze2

  • @kombobakar8287
    @kombobakar8287 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani masheikh munanini ?

  • @Abuassma360
    @Abuassma360 2 ปีที่แล้ว

    Mm sioni haja y kutosameh sheikh Mohammed madamu umeshaweka wazi hoja yko,msamehe tu kwan tusionekane kua tomechanganyikiwa ss waislamu alllh wallam

  • @aminajaber9618
    @aminajaber9618 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtihan mtihan Allah atuongeze waislam tumefikia pabaya

  • @iddyramathan4507
    @iddyramathan4507 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh muhammad Bachu lazima umtete sheikh na mzazi wako kuwa nguvu zote tunakukubali na tunakuelewa vizuri Kama mzee wako Almarhum sheikh Kasoro Bachu.

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 ปีที่แล้ว

    Allah awaongoze ndugu zetu viongozi Waislamu. Huyu Sheikh Muhammad Bachu baadhi ya watu wanataka kumuharibia sifa. Waislamu haya hayafai. Allah ametukataza kuzua mambo ambayo sio sahihi. Pia ametukataza kuchukiana. Sasa lengo la kuaibishana ni nini? Malipo mema yapo ikiwa tutazungumza maneno mazuri na tuwe tunasameheana.

  • @islamforurope2340
    @islamforurope2340 2 ปีที่แล้ว +1

    WE JAAHIL MURAKAB, HAYA KAMTETE MZEE WENU TAPELI WA MILION 200

  • @amatullahummufurqaana7283
    @amatullahummufurqaana7283 2 ปีที่แล้ว +7

    Masikini pole Sana Allaah atakulipa kwa yote

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 2 ปีที่แล้ว

    Kaka bachu shukuru ALLAH anga umekujulisha adui yako ninani hakukuchafuwa kichinichini anga adharani umemujuwa nikumuomba ALLAH akulinde mashari yake
    wacheni kumuongoza sheitani anawagonganisha wacheni kukshifiyana mwachiye ALLAH

  • @omaritvtz5235
    @omaritvtz5235 2 ปีที่แล้ว +2

    Hivi uislam ndo umefikia hapa? Mnao tuyumbisha Ni sisi maamuma,maana Sasa hata hatuelewi kukasome wapi Sasa, uislam huu angekuwepo Umary sijui ingekuwaje,Kwan MTUME S.A.W alikuwa na zehebu gani?

  • @salimmbwana6926
    @salimmbwana6926 2 ปีที่แล้ว

    Mechi hizi masheikh zitaisha lin hebu heshimianenii

  • @anasmalongo6449
    @anasmalongo6449 2 ปีที่แล้ว

    sub,hana llah
    allah akuhifadh

  • @SadikAli-wc4iz
    @SadikAli-wc4iz 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe shida yko ni sh.kassim naona mfano mingi iko kwake

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 2 ปีที่แล้ว +2

    Usipige achana nae mpige na aya za ALLAH

  • @HajiyaNuru-wo7wm
    @HajiyaNuru-wo7wm ปีที่แล้ว

    Sheikh Muhammed bachu unatakiwa kukaa nchini usome

  • @dr.sendeuonlinetv2916
    @dr.sendeuonlinetv2916 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli shekhe wangu salaf wengi wanachuki Sana wamejaa Sana Moro nenda utawakuta wamejaa halafu wanachukia Sana wageni

  • @nassirmohamed8437
    @nassirmohamed8437 2 ปีที่แล้ว +3

    Ni mwendo raddi mwanzo mwisho😂😂😂😂

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 2 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH amsamehe mafutaa jaman tusome

    • @abdallahrajabu4401
      @abdallahrajabu4401 2 ปีที่แล้ว

      Sasa minawashangaa saana Sasa tusome elimu gani itakayotuepusha na hayo hao ndio walimu lkn wanaleta farakha

  • @abumuhsinminaniabdoullahas9185
    @abumuhsinminaniabdoullahas9185 2 ปีที่แล้ว +1

    Elimu chache pia ugonjwa,hivi wewe una elimu gani ya kuwa radd hao

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 2 ปีที่แล้ว +2

    Nawahusia elimu zenu ziwasaidie kuwa wachaMungu na sio kuwa washindani. Elimu bila ya uchaMungu ni kazi bure. Mbora mbele ya Allah ni mchaMungu. Mkiwa wachaMungu haya hayatakuwepo.

  • @al-akhsalimoo.9519
    @al-akhsalimoo.9519 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Muhammad nassor, sisi tunafaidika Sana na durus zako, ila hawa watu wa makundi watakupotezea wakati, hata sisi tulikua ni masafi wa ki makundi ila tuliona vurugu tu, malumbano hayana faida endelea kufundisha umma

    • @ummukhudhayfahzubeirzubeir4998
      @ummukhudhayfahzubeirzubeir4998 2 ปีที่แล้ว

      Sheikh ww wajiona mbora unamwita mwenzio fedhulii!!!

    • @kadhwibakari6387
      @kadhwibakari6387 2 ปีที่แล้ว

      Assalamualaikum mahali tunako elekea sikuzuri.
      Hizi elimu zetu itakuwa ni wabaalun kwetu sisi.
      Ikiwa wasomi wanafanya haya,,, je wasio juwa kitu wafanye nini???

  • @AbuFawzaanAlly
    @AbuFawzaanAlly 2 ปีที่แล้ว +1

    Unadai usalaf alafu unamuunga mkono Hizb barahiyani!!??
    Hakika ndege wanaofanana huruka pamoja
    ALLAAH awaongoze mahizbi wote ktk njia ya sawa

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 2 ปีที่แล้ว

      Usalafi kiukweli mnajiita lakin hao masheikh wenu wanaojiita salafi uuko Pongwe wakasome kwanza akhlaaq maana da'awa wanaozitoa ni raddi tena zisizo na mashiko kabisa bali shari tupu na kuwaita hawa hizbi hawa hivi kumbe wamejisahau na kiukweli wenyewe kujitazama wanafikiri watu wanawaangalia maneno nahali matendo yao ni kinuume na salafi na ulimwengu mzima unawashangaa kwa kuwa wanayoyasemana kjidai salaf wako tofauti kabisa n salafi yaani kinyume kabisa

    • @AbuFawzaanAlly
      @AbuFawzaanAlly 2 ปีที่แล้ว

      @@canoksancomprehensivelearn7182 wewe unafatilia dini mtandaoni utaelewa nini?? Hao mahizb matusi wanayotukana huyaoni?? Au wakizungumza salaf ndo matusi ila nyie mahizb yafaa?? Kuweni waadilifu enyi mahizb

  • @fatmaali2379
    @fatmaali2379 2 ปีที่แล้ว

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته..sheikh naomba no yako ya WhatsApp naomba kuuliza swali

  • @abuuirfan9523
    @abuuirfan9523 2 ปีที่แล้ว

    Allah azisahihishe nia zenu

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 ปีที่แล้ว +1

    Haya malumbano hayatotufikisha popote zaidi ya uadui na chuki.

  • @alisalum7036
    @alisalum7036 2 ปีที่แล้ว

    huyu muhammmadd bachu kweli ni balekhe inayomsumbuwwa eti amjibu sheikh qassim Mafuta Allah amhifadhi tutaona 2 ili jmbo

  • @mohamedzuweyna3873
    @mohamedzuweyna3873 2 ปีที่แล้ว

    Sizipendi hizi dialog . Ukizingatia hawa mashehe wote nawapenda. Nikiskia wanakosoana wanavurugana navunjika moyo. Si katika uislamu.

  • @user-xt4mc2ff8b
    @user-xt4mc2ff8b 9 หลายเดือนก่อน

    Usifike uko akhy msamehe huwez kujua mbeleni

  • @nassirmohamed8437
    @nassirmohamed8437 2 ปีที่แล้ว +3

    Hivi ndivyo mlivyo wote mnafanana
    Hii ndio KAZI zenu kubishana na kubughudhiana kujiona wewe ni Bora tena Kwa hapa huna mahala pa kusoma wewe ni wa kusoma madina au Yemen lakini Kwa hapa wewe eidha mupo Sawa na mashekh WA hapa au wewe umewazidi Ki ilmu na ndio maana si mtu WA kusoma bulughul marami au riyadhussalihina wewe daraja yako sasa ni ya juu😂😂😂😂

    • @mudathirsuleiman7496
      @mudathirsuleiman7496 2 ปีที่แล้ว

      Kuwa na wingi wakusamehe au ndo unaropokwaa tuuu umesahau ay kwamba zinahimiz kusamehe

    • @nawwarsultwaan6404
      @nawwarsultwaan6404 2 ปีที่แล้ว

      Mm simuoni Muhammad bachu isipokuwa anataka umaarufu Leo Yuko huku kesho huku nayeye Yuko kwa wazushi Kama kishiki na wezake

    • @nawwarsultwaan6404
      @nawwarsultwaan6404 2 ปีที่แล้ว

      Allah anasamehe wewe mbona unasema husamehi ilim ipi hiyo Muhammad bachu

    • @yrm7ujn656
      @yrm7ujn656 2 ปีที่แล้ว

      @@nawwarsultwaan6404 elimu ya vitabu tu hakuna hekima,busara ni umaarufu tu

  • @yaqubkabano4053
    @yaqubkabano4053 2 ปีที่แล้ว

    Mi naona unatumia jazba sio elimu hivi hujamgundua mzee barahiani?mara nyingi huangaika na taasis,tumia uadilifu kuhukum,usitumie mapenz,tulikua tunakkbali Ila unaanza kutia was was,kua mpole ubabe hausaidii Allah sote atuongoze. الصمت سلامة والنطق ندامة

  • @MohammedAli-mf3ln
    @MohammedAli-mf3ln 2 ปีที่แล้ว

    Mashehena wa tanzania , tende zitawatiya motoni

  • @awathislammwalile4537
    @awathislammwalile4537 2 ปีที่แล้ว

    Kiukweli hizi video munazoposti kuushughulisha ummah na upuuzi na kuufundisha ummah kugombana shekh Muhammad una yakujibu kwa Allah

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 ปีที่แล้ว

    Nikweli anamfanyiya dhulma watalipana vyaumulikiyama

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 2 ปีที่แล้ว

    Napenda, umjibu zaidi kuhusu sheikh wetu rahimahullah sheikh bachu.

    • @mohamedishabani5833
      @mohamedishabani5833 2 ปีที่แล้ว

      UYO MBWAA HAWEZI KUMZARAULISHA SHEIKH WANGU NASORO BACHO

    • @mohamedishabani5833
      @mohamedishabani5833 2 ปีที่แล้ว

      Nakuelewa sheikh wangu mwajina wangu waadabishe haooo
      Muiteaje umsomesheeee aanze alifuuuu kwa kijiti