Ukisikia Mungu anao watu, na anawajua walio wake, Solomon Mkubwa ni miongoni🥰💪ninampenda sana tangu nilianza kusikia nyimbo zake miaka ya 2008! Wimbo "Mfalme wa Amani" Mungu akuweke sana Solomon, shetani aliaibishwa na kubatilishwa na KAZI zake zote, endelea kumtumikia Mungu ALIYE HAI, history Yako ya utotoni imenitoa machozi lkn nimemuona Mungu dhahiri kupitia wewe. Barikiwa sana unapoendelea kumtumikia MUNGU, BABA yetu💪💪💪

Praise God. Nabarikiwa sana na nyimbo zake. Abarikiwe sana.
Nampenda Mungu Asante yesu nakupenda Solomon sio mkubwa ni mnene ktk kristo,amen
Huo wimbo kila nikiusikia unanikumbusha marehemu Mama yangu😢😢😢alikua anaupenda sana
Tulikumiss mtumishi wa MUNGU Lilian karibusana
nampenda pia, maisha marefu kwako
Bro Solomon nampenda na kumheshim ubarikiwe sana
Lilian hivi unajua unakipaji cha kuimba alafu vocal kama yote 🎉🎉🎉🎉
Grande musica de louvor, seja louvado seja o senhor
touching voice in my heart
Ni story nzuri sana, ila Mtangazaji punguza uchangamfu na maneno mengi, uwe na KIASI, nataka kumsilikiza Solomon kwa utulivu.
😄😄😄😄😄🙌
Anza show yako uhoji watu kwa utulivu
Amen 🙏 🙏 🙏
Ameen
Lilian dada yangu uko vizur kiutangazaji ila punguza maneno mengi mpe nafasi uliye mualika
loaded sana weeeh
Hivi hayo maneno y shakabalatata ndo roho mtakatifu au nini??si kwa ubaya
Solomoni ni mchungaji kabisa
❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏
Dada anajiziba uso masaa yote mkono uko usoni nywele usoni sas kwa nini jikubali dada mbon wew nzuri tu 🤣