Makonda kaka yangu shukulani za wazee hao na machozi yao ya muda mlefu umeyafuta wewe nishujaa, na mungu alisikia kilio chetu tokaile siku alivyomchukuwa makufuli mioyo yetu iliumia sana tukasema tutapata wapi kiongozi kama huyu, kumbe mungu akatuletea mama samia na wewe makonda mungu azidi kuwalinda sana sana. Viongozi wote wasiopenda maendeleo ya nchi yetu mungu shughulikanao🙏🙏🙏
Nakuombea sai!! Hatakama Kuna wengine hawakuelewi!! Wanahisi kunahila ndani yake!! Ila Kwa Mimi kwakuwa japo Kwa uchache wapo wanaofarijika kupitia utaratibu wako huo!! Wengine tukitazama changamoto wanazopitia watu na misaada unavyopambana!! Mungu akupe uwezo na ujasiri zaidi!!
Ninachokiona Viongozi Waige Mfano huu...kiti meza laptop na mafaili na office halitoshi kuwasaidia wananchi ...Viongozi tuwe na Utamaduni wa Kutoka kutatua Changamoto za wananchi..

Makonda chapa kazi mwanangu
Mpeni mauwa yake makonda
makonda simba kweli mashalah haki za watu hazipotei
HONGERA SANA RAIS SAMIA KUMCHAGUA MAKONDA
Nanukuu maneno ya hayati maguful alikwambia makonda chapa kazi nasi tunasema chapa kaziiii
MIAKA MINGI KWAKO MWAMBA MAKONDA INAUMA SANA TOKA 2005 MZEE ANAPAMBANA TU
Akiamama walahi😂😂😂 mwenezi umepigaje hapooooo
Tulia naww😅😅😅
Kumbe uwezo wa kumhudumia kesho ulikuwepo
Ninachokiona Viongozi Waige Mfano huu...kiti meza laptop na mafaili na office halitoshi kuwasaidia wananchi ...Viongozi tuwe na Utamaduni wa Kutoka kutatua Changamoto za wananchi..
Nxhi hii niyakuchomqa moto sio kutengeneza matatizo na kutatua ..hamna hilo
NAKUAMINIA MWAMBA MAKONDA SAMIA KALENGA KUKUTEUA MSEMAJI WA CHAMA WANYE WIVU WANYE SUMU 😂😂😂
MAMA SAMIA AMEKAA TUU ANAANGALIA DHULUMA KWA WATENDAJI WAKEE!!
Amekaa vipi sasa na kijana ndio yupo kazini. Watumishi wetu hawana hata huruma!