EBITOKE APATWA 'KICHEFUCHEFU' KATIKATI YA INTERVIEW, ANUSA KWAPA, NI MJAMZITO??

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 126

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 ปีที่แล้ว +16

    Ebi umependeza sana 🤩💞

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 2 ปีที่แล้ว +25

    Kapendeza kweli Yani kawa mzuri kuliko kitambo

  • @AshaRamadhani-r2o
    @AshaRamadhani-r2o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Honger bititoke Kumbe nimzur hivy

  • @ukhutymamuu7470
    @ukhutymamuu7470 2 ปีที่แล้ว +5

    Anayo mimba huyu mashaa Allah

  • @deboramartin8111
    @deboramartin8111 2 ปีที่แล้ว +7

    Kapendeza sana ebitoke duuh

  • @cweetyshy754
    @cweetyshy754 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazidi kuwa mcute❤️ila🤔ana mimba huyu😂😂

  • @firdausrajabu6822
    @firdausrajabu6822 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila hy mikucha mmmmmmh 🙌🙌

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 2 ปีที่แล้ว +4

    Am TZ 🇹🇿💯💋EBI TOKE ULIPO TUPO❤ 🔥

  • @ummiramadhan5144
    @ummiramadhan5144 2 ปีที่แล้ว +3

    Mchaga ya kwako iyo ♥️

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 ปีที่แล้ว +5

    Ni swali Moja tu ambalo majibu yake huwa yana fanana, ukiulizwa mbona umenenepa sana sasaivi, jibu lake huwa eti kwa sababu hujaniona muda mrefu Sana ndio maana utaniona nipo tofauti sana 😄🙆🙆

  • @nervenb2831
    @nervenb2831 2 ปีที่แล้ว

    My. Boss

  • @AUGENSYLIVAND-rq7hz
    @AUGENSYLIVAND-rq7hz 4 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅 acha atuzalie

  • @lama6310
    @lama6310 2 ปีที่แล้ว +11

    Jaman mm napenda ebi anavyoongea,

  • @gracesilayo7670
    @gracesilayo7670 2 ปีที่แล้ว +3

    Ayo makucha kerooo 😂😂😂😂😂😆😆

  • @winifridafadhili5022
    @winifridafadhili5022 2 ปีที่แล้ว

    Wao ebitoke umekuwa cute

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 2 ปีที่แล้ว

    Umependesaaa thana dear

  • @witnessloodo1388
    @witnessloodo1388 2 ปีที่แล้ว

    Ebby nakupendaa bureee

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 ปีที่แล้ว +2

    😊😊😊😊 MGONJWA huyu haki kanichekesha

  • @hashally3614
    @hashally3614 2 ปีที่แล้ว +7

    Ebi hapo pakunusa kwapa umetosha wee😀

  • @firdausrajabu6822
    @firdausrajabu6822 2 ปีที่แล้ว +4

    Ebiiii kimemkatikiaaaaa 🏃🏃

  • @edwinfredrickzakaria4782
    @edwinfredrickzakaria4782 2 ปีที่แล้ว +4

    Jaman ebitoke mzurii duuh

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +14

    Ana mtoto bali ana mimba, oneni pua izo

  • @devothadidas9972
    @devothadidas9972 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli ukinusa kwapa kichefu chefu kinakata kma hamjui

  • @kashiririrkaasongwisye9487
    @kashiririrkaasongwisye9487 2 ปีที่แล้ว +5

    Daaa ila maisha yanaenda kasi sana uyu ndo yule ebitoke Aya bhn

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha mwenye hela hela

  • @teclarutto3275
    @teclarutto3275 2 ปีที่แล้ว +1

    Kawa mrembo kwa kweli hii nayo sifuti ng'oo

  • @merisianantandu1327
    @merisianantandu1327 2 ปีที่แล้ว +10

    Huyu atakua na mahusiano na Vinny mchekeshaji wa kenya

    • @jackiemuthami7418
      @jackiemuthami7418 2 ปีที่แล้ว +1

      Wachana nayo😂😂ashapanda mbegu

    • @merisianantandu1327
      @merisianantandu1327 2 ปีที่แล้ว

      @@jackiemuthami7418 tumamkaribisha kenya wa tz wenzake tuko huku tumeolewa ukambani 😂😂

    • @jackiemuthami7418
      @jackiemuthami7418 2 ปีที่แล้ว

      @@merisianantandu1327 karibu Kenya shogaangu😂😂

    • @merisianantandu1327
      @merisianantandu1327 2 ปีที่แล้ว +1

      @@jackiemuthami7418 asante my ata nishapazoea nina miaka 6 sasahivi huku ninyumbani sasa 😂

    • @fathmaibrahim1843
      @fathmaibrahim1843 2 ปีที่แล้ว

      @@merisianantandu1327 natafuta wifi mkenya

  • @leticiamapunda3324
    @leticiamapunda3324 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mno ebi lakini upande wa mausiano jitaidi angalia wanaume wakuendana na wewe siyo mabrothers wanasumbua

  • @joyceharuni2926
    @joyceharuni2926 2 ปีที่แล้ว +8

    Ni mjamzito huyu 🤣

  • @nervenb2831
    @nervenb2831 2 ปีที่แล้ว

    Ulitingisha kijiji. Ca dar

  • @mbwanamtessa8607
    @mbwanamtessa8607 2 ปีที่แล้ว +3

    Ebitoke umependeza kiukweli nime kupenda buree....umekuwa mrembo sanaaa

  • @zeshsulesh6084
    @zeshsulesh6084 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu presenter handsome 😍maashallah

    • @drjamesjames9337
      @drjamesjames9337 2 ปีที่แล้ว

      Nkutumie namb zake , kweny namb gn

    • @moureennduku4018
      @moureennduku4018 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 ปีที่แล้ว

      @@drjamesjames9337 🤣

    • @wilsonmahumi7282
      @wilsonmahumi7282 2 ปีที่แล้ว +1

      Hhahahaahhaha we husikilizi ila macho kwa presenter

    • @ally1702
      @ally1702 2 ปีที่แล้ว

      @@drjamesjames9337 🤣🤣🤣

  • @HalimaMwajembe-fc2qj
    @HalimaMwajembe-fc2qj หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂hiyo kali

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 2 ปีที่แล้ว +15

    Ebitike kanenepa kapendeza kawa kijana

  • @merianhalibunyoha2629
    @merianhalibunyoha2629 2 ปีที่แล้ว +1

    Kawa na hakili kidogo anajua kuongea zamani alikua hajui

  • @hpmobilephone9951
    @hpmobilephone9951 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe my upo

  • @HanifaMohammed-n4r
    @HanifaMohammed-n4r 4 หลายเดือนก่อน

    Ebitoke anafanana na dada yangu zulfa

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว +2

    Eti ninuse kwapa linakata kichefuchefu😂😂😂😂😂😂

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂anamimba huyu kichefu chefu chanini

  • @taisonawady7432
    @taisonawady7432 2 ปีที่แล้ว +2

    😍😍😍😍

  • @lucylove7292
    @lucylove7292 2 ปีที่แล้ว +1

    Hizo kucha sasa😆😆😆😆

  • @helgahussein1413
    @helgahussein1413 2 ปีที่แล้ว

    Aaah🤗

  • @jacquelinegg327
    @jacquelinegg327 2 ปีที่แล้ว +3

    Pua imejieleza

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 ปีที่แล้ว +11

    Anamimba

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 2 ปีที่แล้ว +4

    Et kwap inakata kichef chef yaan ww md wote ni comed huwez jua Ana mimba au hana

  • @kashindemoshi7068
    @kashindemoshi7068 2 ปีที่แล้ว

    Ebi umependez San jamn

  • @Mary-rv4mg
    @Mary-rv4mg 2 ปีที่แล้ว

    Mama kijachooooooooooooooooooooo

  • @joycekikome383
    @joycekikome383 2 ปีที่แล้ว

    Hzo kucha vip tena

  • @74_ramo_
    @74_ramo_ 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo munachaguw siko jamn sis wavulan wengn wenye ndot izo mbon hatuonenanw

  • @mrsochu7504
    @mrsochu7504 2 ปีที่แล้ว

    Izo kucha anaenda nazo sasa🙄

  • @Debayho-nb1hi
    @Debayho-nb1hi 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo umeongea

  • @jrm9448
    @jrm9448 2 ปีที่แล้ว

    kumbe dhiki inazeesha.
    katoka uzeeni karudi ujanani.
    ila muhaya haachi asili yake. misifa mingi. hiyo mimba ya kunusa kwapa kiboko.

  • @mgdleenknzo9297
    @mgdleenknzo9297 2 ปีที่แล้ว

    Ebi wewe kuna kijana ulikua umendana nae hata sikudhania mtaachana kweli mpz yana shida

  • @Maysoon3
    @Maysoon3 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii Kali ebitoke bhana eeeh

  • @lucasmachibya6551
    @lucasmachibya6551 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni mrembo ebitoke

  • @musachimbah6800
    @musachimbah6800 2 ปีที่แล้ว +6

    Boyfriend Ake nani sa hv?

  • @faudhiamalllata290
    @faudhiamalllata290 2 ปีที่แล้ว

    kapendeza

  • @mamalaozphilemonmtawali.8467
    @mamalaozphilemonmtawali.8467 2 ปีที่แล้ว +1

    mama kijanjo huyu.

  • @auntmakochela4202
    @auntmakochela4202 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣 haya mapya leo

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 2 ปีที่แล้ว

    Mwandisha unafurahiya ka anko ketu anakuambia sina umekazana tuuh ka anko ketu

  • @salomendilivale9247
    @salomendilivale9247 2 ปีที่แล้ว

    amebadilika jaman

  • @mmn7480
    @mmn7480 2 ปีที่แล้ว +5

    Iyo mikucha

  • @officialgrace1844
    @officialgrace1844 2 ปีที่แล้ว

    Tumekumiss

  • @beatricemassawe8883
    @beatricemassawe8883 2 ปีที่แล้ว

    Ana drama 😂 huyu hatari 😂 sialisemaga anamimba ya mlela sijui ikaishia wapi

  • @neemabuhuru1225
    @neemabuhuru1225 2 ปีที่แล้ว +1

    🎁🤝

  • @fatimammowa8312
    @fatimammowa8312 2 ปีที่แล้ว +1

    Drama qween hana lolote 😂😂😂

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 2 ปีที่แล้ว

    Dah ndo zangu nikihisi kichefu chefu sipati tabu ya kutafuta ndimu mwendo wa kunusa kwapa tu 😂😂😂😂😂

  • @veronyanganda179
    @veronyanganda179 2 ปีที่แล้ว

    Kmbe ukinenepa umekua mrembo.

  • @dearmama4336
    @dearmama4336 2 ปีที่แล้ว +1

    Ana mimba itakuwa ona pua ilivyo

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 2 ปีที่แล้ว +2

    Wahaya jmn kun mt kantumia hela🤣🤣🤣

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 2 ปีที่แล้ว

    Ila bitoke nimzuri sana

  • @chany9950
    @chany9950 2 ปีที่แล้ว +9

    Kazuri kama Panya jmn🤣

  • @annerafaela407
    @annerafaela407 2 ปีที่แล้ว

    Makucha utadhani shetani anapaaa

  • @mwanaidyhassan2315
    @mwanaidyhassan2315 2 ปีที่แล้ว +2

    Harafu usikie mtu anakwambia pesa sio sabun ya roho mtu ametakataa hv🤣🤣🤣

    • @kisalaTV
      @kisalaTV 2 ปีที่แล้ว

      😂

  • @Leonard-xi8on
    @Leonard-xi8on ปีที่แล้ว

    Ana mimba huyo

  • @nancyhassan8290
    @nancyhassan8290 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hizo kucha, chupi utafuaje, au nazo mnawapa wafanya kazi wafue🙄

    • @shamzone388
      @shamzone388 2 ปีที่แล้ว

      Kuna chupi za disposables hakuna haja kufua ni kutupa kwenye dustbin 😂😂😂

    • @anzazichaka9896
      @anzazichaka9896 2 ปีที่แล้ว

      Si wana washing machine wenzetu

  • @hidayarashidi5484
    @hidayarashidi5484 2 ปีที่แล้ว

    Hizo kucha ???

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 ปีที่แล้ว

    Kanenepa

  • @telesiakaovera4381
    @telesiakaovera4381 2 ปีที่แล้ว

    Hizo kucha sasa

  • @rahelimuhehe7068
    @rahelimuhehe7068 2 ปีที่แล้ว

    Makucha nayo sasa 😒

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 2 ปีที่แล้ว +1

    Anamimba huyo umeona hiyo pua ilivo tanuka

    • @tryefjk9421
      @tryefjk9421 2 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃😃😃

  • @hellenpaul2149
    @hellenpaul2149 2 ปีที่แล้ว +1

    Ana mimba huyo jamani

  • @manywelestaphord578
    @manywelestaphord578 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe dawa ya kichefu chefu nikunusa kwapa

    • @vumiwilly5625
      @vumiwilly5625 2 ปีที่แล้ว

      Yeah hata bibi yangu aliwai kuniambia hivyo ukiisi kichefuchefu nusa kwapa

  • @methodmasaka1436
    @methodmasaka1436 2 ปีที่แล้ว

    Mmhhh

  • @babalad983
    @babalad983 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaa

  • @rozina2161
    @rozina2161 2 ปีที่แล้ว

    Ana mtoto huyu na bado ana mimba komo langaa

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 2 ปีที่แล้ว

    Adi nimecheka eti kaanko hakapoo 😅😅😅😅

  • @fatumamnyenze9696
    @fatumamnyenze9696 2 ปีที่แล้ว +1

    Hayo makucha kama shumileta sijui kwann yapendwa

  • @nasranasra361
    @nasranasra361 2 ปีที่แล้ว

    Uyu nimuja musito

  • @calenmichael6853
    @calenmichael6853 2 ปีที่แล้ว

    🤣👍

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว

    😂 😂 😂 😂

  • @elizabethwiliam9345
    @elizabethwiliam9345 2 ปีที่แล้ว

    Unakosha ebi

  • @salmakiungo8168
    @salmakiungo8168 2 ปีที่แล้ว

    Kamekua kazur jaman

  • @bahatinassor5823
    @bahatinassor5823 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahahah 😂😂

  • @kairatiswahilli7024
    @kairatiswahilli7024 2 ปีที่แล้ว

    Sauti sasa😔 Sielewi Ebi

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 2 ปีที่แล้ว

    Haka kana katumbo haka

  • @MarcusDivergent-sz5ce
    @MarcusDivergent-sz5ce 7 หลายเดือนก่อน

    kapendeza