Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu ushuhuda mkubwa sana huu. Ujumbe nimeupokea kwa kina la Yesu naomba Mungu anifungue eneo hili la sadaka katika jina la Yesu.
Shuhuda mzuri sana wa kutia moyo, lkn mtu unaposhuhudia aliyotenda Mungu kanisani sio kwa kuwatambia au kujiunua , hapo uliposema umechelewa ibada makusudi ili wakuone sio sahihi, ndugu zangu tuwe makini tunapoinuliwa tuwatie moyo walio chini
Mchungaj anasema kipind hicho alikuwa mchanga kiroho wiki mbili tu katka wokovu ni kawaida kukosea ungemsikiliza vizuri ungeelewa wala hajajiinua na anasema ukweli ili atujenge, msikilize vizuri
Ameeen nabalikiwa sana kapten wa jeshi la mbinguni musa sheka
nmejifunza umuhimu wa sadaka barikiwa sana mtumishi 🙏🙏
Haleluyaaaa Bwana Atukuzwe Ubarikiwe.Injili hiyo ubarikiwe Mchungaji Safi sana
Amin Amin 🙏 Amin umenibariki sana mtu wa MUNGU
Asante kwa mafundisho Mungu akubariki🇰🇪🇰🇪.
Amen nimebarikiws sana pst mungu akubarki san kwa mahubiri yamenijenga
Uwiiii atukuzwe Mungu daima
Asante Yesu kwa garama ya damu yako.
This pastor has a great testmony but very profesional in presentation. No one can be bored or sleep even devil himself.
He has blessed me a lot
Bsr
If it is fit to your body be careful the gospel of CROSS and blood is bitter but if it fits the desires of your heart and body turn around
Amina.Barikiwa baba
Mungu akubariki sana baba Mchungaji umenipa somo zuri asante
Roho wa Mungu kaniongoza leo kusikiliza ujumbe huu ubarikiwe kwa huo uhalisia wa maisha
Mbarikiwe watumishi kea huduma hii
Asante sana kwa ushuhuda. Umenisogeza hatua nyingine
Napitia wkt mugum San mung wangu nitendee miujiza mung wangu kwanzia leo hii saa hii ktk Jina la yesu kristo Amen
Amen
Mungu nijalia hilo
Nimebarikiw sana na ujumbe huu, nguvu ya sadaka Mungu azidi kukutumia kwenda viwango vingine.
Nguvu ya sadaka.Asante pastor Sheka
Kwel mungu anageuza wapendwa
Huu ushuda unainu iman yangu sna
Urakoze
Nmebarikiwa sana na mafundisho ya Pastor Moses Sheka!
Pastor Musa! Barikiwa sana! Niko Kenya nimebarikwa sana
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu ushuhuda mkubwa sana huu. Ujumbe nimeupokea kwa kina la Yesu naomba Mungu anifungue eneo hili la sadaka katika jina la Yesu.
MUNGU akubariki kwa ujumbe mzuri ndugu yangu
Amen. Mtumishi nime guswa na hili somo
Niko Kenya nimebarikiwa Sana God bless thanks 🙏
Imani nikuwa na huwaki ni bahana ya mambo siyo anekana ni Imani hunena ushunda wakunga
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kutawala kinyume cha sheria
Nampenda huyo Postor iko Romantic
Barikiwa mtumishi nimebarikiwa sana nimechek sana
Nakuomba mung wangu sik yoyote suzy akija asinifokee ktk Jina la yesu kristo Amen
Suzy ana kudai au?
Daah nimefurahi pia nimejifunzaaa kitu Aminaa
Nakupenda Sana pasta sheka kikosi Cha mizinga
Yaan nimejiskia raha sana,maana sjapenda hata ibaada kuisha
Yesu nisaidie nitekeleze hili somo.
Be blessed pastor your massage torch me
Sawa mtumishi nakupata vizuri sana
So powerful message, thank you pastor Sheka. I love you and admire you.
Nimebarikiwa sn
Ubarikiwe sana lwa jii mafunuo
Amena.nimeyipenda.tenaimenifundishamuno.sadaka.amena
Ameni mtumishi ubarikiwee
Ubarikiwe sana mtumishi
Amen Mungu anaweza mambo yote
Nimejifunza kitu kizuri mtumish ubarikiwe
Nimebarikiwa sana kwa hili somo barikiwa mtumishi wa Mungu
Yesu ni muweza
Amina baba ,somo zuri natamani lingeendelea
Mbavu sna mimi jamani yote kwa yote Utukufu apewe Yesu
Ameeen Ameeen nabarikiwa sana
Ameeen mchungaj
Kwa kwel huyu Mungu ni Mungu wa maajabu
Sadaka inanguvu nikweli mungu tujalie
Amen 👏
Amina mtumishi
Amina mtumishi wa Mungu
Asante Yesu
Naomba Namba ya mchungaji huyu
Yaani nimeelewa Sana hapo thank you Jesus
Pastor sheka love in....Jesus
Haleluyaa
Asante mung kwa kusikia kilio chang na dhan sik ya leo nitapokea majibu ya maswali yang
Money is the root of all evils JESUS needs holiness and righteousness to bless you abundantly
Kristo Yesu asifiwe saaana
AMINA
Barikiwa
Mtumishi ntapataje namba yako
Umenibariki mtumishi nimechekaaa Kwa furaha ya neno
Nimekuelewa mtumishi
Somo zuri sana
Nimepokea uponyaji ktk Jina la yesu kristo Amen
Blessed
Ameni kubwa
Wanaendasha magari ya garama na kumbe wanaua ndugu zao
Hallelujah
Aaaaameee kwajina la yesu
Nakuomba mung wangu nipate ela nimutumie mama ang ktk Jina la yesu kristo Amen
Ubarikiwe mtumishi wabwna.
Ushuhuda unajenga sana huuu ila umeishia njiani.
Tulia tuu umngoje Bwana, atatenda kwa wakati wake. Usimate tamaa usiondoe tumauni lako hapo.
Nmejifunza kitu kikubwa xana
Nashukuru sana
Amina
amina
Kikosi Cha mizinga 😀uje tena iringa tumekumic
Asante kwa. Ujumbe mzur
Aminaaaa ubarikiwe mtumish
Amen somo zuri sana
Teresia amen thank you
Kweli mtmsh
Hakuna kinacho shindikana kwa mungu
Amen amen amen hakuna kama Mungu
SD did she.
Nipate Ata m2 wakuniazima elfu 30000 nilipe madeni ya w2 ktk Jina la yesu kristo Amen
Sasa siutakuwa umekopa tenaaa
Nimesoma kitu ya manufaa maishani mwangu
Amen
AMEEEN
Amina
Hallelujahaaaaaaaaaa
Muongo ww kazi yako kula ela za masikin, ombea duwa kokoto zigeuke dhahabu ukauze upate ela, mnawadanganya watu, kalime shamba
Cloudy Dugu awe wang daima na milele
Uponyaji tosha ubarikiwe sana
Ameeeeee
Amen
Mtumishi umenigusa kwl kwa mahubiri.. Ubarikiwe sana.
Shuhuda mzuri sana wa kutia moyo, lkn mtu unaposhuhudia aliyotenda Mungu kanisani sio kwa kuwatambia au kujiunua , hapo uliposema umechelewa ibada makusudi ili wakuone sio sahihi, ndugu zangu tuwe makini tunapoinuliwa tuwatie moyo walio chini
Mchungaj anasema kipind hicho alikuwa mchanga kiroho wiki mbili tu katka wokovu ni kawaida kukosea ungemsikiliza vizuri ungeelewa wala hajajiinua na anasema ukweli ili atujenge, msikilize vizuri
Grace Shayo usijifanye kiroho sana. Na uwe mwepesi kuelewa kabla ya kukomenti. Mchanga kiroho maana yake Nini.
Wokovu ni mchakato asaiv ameiva Yuko vzr Musa sheka kwaio tuenderee kumwombea apige kazi@@ashangonyani7989
Sadaka ina nguvu hapo upo vzuri mtumish
Nimebarikiwa na ujumbe huu
Amina mkuu by mch john
Ia Saba b noma godoro
Na wakati huu Ni ngumu mno KWA WENGI WAO Ni kuua TU ndugu zao majilani zao wanaua TU utafikili hawafi