MBOWE ACHOCHEA VURUGU NCHI IMESIMAMA MUDA HUU MANENO YA UCHOCHEZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • MBOWE ACHOCHEA VURUGU NCHI IMESIMAMA MUDA HUU MANENO YA UCHOCHEZI

ความคิดเห็น • 35

  • @user-pz6cm8no8n
    @user-pz6cm8no8n หลายเดือนก่อน +2

    Tupo pamoja na mbowe ,Tundulisu na sugu mpina karibu chademay

  • @user-pz6cm8no8n
    @user-pz6cm8no8n หลายเดือนก่อน +1

    Mbowe uko vizuri sana tupo pamoja iramba songela sana

  • @Kiluziatv
    @Kiluziatv หลายเดือนก่อน +2

    MBOWE NI KICHWA

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa hatupaswi kulalama. Tunapaswa kuchukua hatua kama Kenya huyu mama atatupa KATIBA kwa sababu KATIBA ni haki yetu watanganyika. 2. Tunataka TUME HURU ili kila mtanganyika awe na haki ya watanganyika.

  • @leonardramiye8207
    @leonardramiye8207 หลายเดือนก่อน +1

    Mbowe ni kiongozi bora anafaa kuwa rais

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d หลายเดือนก่อน

    Hongera kamanda waambie ccm

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 หลายเดือนก่อน

    Msigwa hana hoja hao CCM wanamtazama tu na kumtumia tu wanamfaha kuliko anavyojijua.

  • @amanmwalyambi1416
    @amanmwalyambi1416 หลายเดือนก่อน

    Hayo ndo maneno ya maana kuyasikia enough is enough

  • @user-pz6cm8no8n
    @user-pz6cm8no8n หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa hana sifa ya kuisema chadema njaa inamsumbua nanyi vijana wa CCM msiwe wapuuzi atokee upinzani aanze kulae bata nyinyi mleevumbi mna akili kweli mbona ndani ya CCM kuna vijana waziri wa kuisemea CCM onfoeniujinga wa kuwapokea upinzani

  • @FarajiMsafiri-n8o
    @FarajiMsafiri-n8o หลายเดือนก่อน +1

    Tumsapoti

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 หลายเดือนก่อน

    Wezi wa pesa kwa mamia ya mabilion mpaka matrilion hao wanachochea vurugu kuliko mtu yeyote. Anaekuteta na anaekushambulia kwa silaha yupi anakuumiza?

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 Vijana mko tayari kama Kenya 😂😂😂

  • @BorySaronge
    @BorySaronge หลายเดือนก่อน

    Huyo anawatakia ujenzi wa makaburi na maombezi ya kuwarehemu watakao kufa katika vurugu zitakazo tokea endeleeni kumchekea kiongozi huyo mpumbavu asiyejua utu wa watu anawaza kuchezea akili za wafuasi wake kwa kuwadanganya kuwa vurugu zitakijenga chama chao .

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk หลายเดือนก่อน +1

    Ila Nape siyo mchochezi siyo?

  • @DicksonRubondo
    @DicksonRubondo หลายเดือนก่อน

    Akika mbowe nijembe

  • @johnmalale3860
    @johnmalale3860 หลายเดือนก่อน

    Mbona MAFISAD YENYE TAMAA YA MADARAKA YAKIKOSA NAFASI YA KUTAWALA NDANI YA CCM MNAYAPOKEA!? NI WALE WALE;!

  • @EzekiaKametaigowe
    @EzekiaKametaigowe หลายเดือนก่อน

    Apana mzeee hapo umefika pabaya mhh hapana

  • @HadzabeTribeofAfrican
    @HadzabeTribeofAfrican หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh wewe bola tukuchoshe ila tupo huru baba

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 หลายเดือนก่อน

    Chukua atua wewe na familia yako acha uoniushamba🥺🥺🥺😆

  • @Johnfrancis1
    @Johnfrancis1 หลายเดือนก่อน +1

    basi kama unataka tugome anza wewe

  • @mangobase
    @mangobase หลายเดือนก่อน

    Kunja ngumi

  • @PantaleoBundala-tl2kd
    @PantaleoBundala-tl2kd หลายเดือนก่อน

    Tuache woga watanzania

  • @Mrjimmy2356
    @Mrjimmy2356 หลายเดือนก่อน

    Eti kibaka

  • @TeddyBabayo
    @TeddyBabayo หลายเดือนก่อน

    hahahahahhaa watu wa hivi wanoko sana kwenye shida wanakukimbia

  • @Aict_kahama_mjini
    @Aict_kahama_mjini หลายเดือนก่อน

    AIASE HIZI MAMBO MBONA SIZIELEWAGI

  • @Johnfrancis1
    @Johnfrancis1 หลายเดือนก่อน

    yaani katika watu wqanaotakiwa kuchapwa fimbo ni huyu

  • @Kiluziatv
    @Kiluziatv หลายเดือนก่อน

    huyu anasema tu akiona tabu anasepa

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 หลายเดือนก่อน

    Uchochozi wanini ?sema sera zako kwa wananchi siyo kila siku CCM .ukweli mbowe huwezi kuishinda CCM

  • @senonline2356
    @senonline2356 หลายเดือนก่อน

    Mi nasoma comment tu Mbowe Kalale wewe

  • @user-pz6cm8no8n
    @user-pz6cm8no8n หลายเดือนก่อน

    Acha ujinga wako wewe Sisi tunagoma wewe ni wa kula kulala mbowe twende pamoja CCM lazima iondoke madarakani

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo หลายเดือนก่อน

    𝐻𝑎𝑘𝑖𝑘𝑎 𝑢𝑜𝑔𝑎 𝑛𝑖 𝑑ℎ𝑎𝑚𝑏𝑖 𝑡𝑢𝑎𝑚𝑘𝑒 𝑘𝑢𝑡𝑒𝑡𝑒𝑎 𝑇𝑎𝑛𝑔𝑎𝑛𝑦𝑖𝑘𝑎 𝑦𝑒𝑡𝑢,𝑘𝑎𝑚𝑎 𝐾𝑒𝑛𝑦𝑎