@@alexiahospital1739 umesema hayo ya kuweka mojakwamoja yapo material aina mbili vp bei yake itakuwa moja pia .na vp je?ukishaweka kunakuwa na cliniki ya kubadilisha baada ya mda flan:au ukishaweka ndo bas hayatakusumbua wala.kumuona docter tena msaada tafadahli
Jino moja linabeigan
jino la kuvaa na kuvua ni 50,000 na jino la moja kwa moja ni 100,000. Karibu tukuhudumie
Nahitaji namba
@@AgredaMoyo 0677016818
Alexia Toangoma kongowe
Bei siyo rafiki
Nimoja tu
@@YusuphMo-x9v inawezekana pia, daktari akishaliona atashauri nini kifanyike
Mim meno yangu yametoboka mawili mnasilibia sh, ngapi
habari, tunashauri uonane na daktari kwanza maana ukubwa wa tatizo unasaidia kujua aina gani ya matibabu yatakua sahihi
Mnapatikana maeneo gani naitaji Juno doctor
@@PraxidesNelima tupo toangoma dar es salaam
Jino gego la bandia la kuvaa la kudumu linaweza kutafunia
@@Lake_zone ndio linaweza, jitahidi kuepuka vitu vigumu sana
Docter eu não tenho dentes d frente está quanto por cada?
Docta mmi naomba unijibu Mimi jino langu la mbele la juu limevunjika je? Naweza kupata jino la kuvalisha kwa juu Bila kuling'oaa? Maana halijaozaa
habari, ndio inawezekana kupata jino la kuvalisha. Karibu tukuhudumie
ndio inawezekana kupata jino la kuvalisha bila kung'oa
Mpo wapi na hospitali inaitwaje? Pia naomba no za cm mi nashida nawapataje,?
Doctor mim nipo dar na nilikuw nahitaj ilo jino ila sijuw garama Zak wal pakuanzia
karibu ukutane na daktari kwa maelezo zaidi
Kaka mimi nina miaka kumi toka nigo'oe meno jeeinawezekana kuweka na niyale YA kutafunia
@ ndio inawezekana, karibu
IPO mkoa gan
Habari, tuko mkoa wa Dar es Salaam, Temeke-Toangoma
@@alexiahospital1739 umesema hayo ya kuweka mojakwamoja yapo material aina mbili vp bei yake itakuwa moja pia .na vp je?ukishaweka kunakuwa na cliniki ya kubadilisha baada ya mda flan:au ukishaweka ndo bas hayatakusumbua wala.kumuona docter tena msaada tafadahli
@@alexiahospital1739ayo ya moja kwa moja ndo bei gan?
Doctor je mm ninamwnya mpana kutokana na meno yangu yamesogea san je nayo iwezekana?
@@SaudaLigomba karibu uonane na daktari kwa ushauri zaidi
Ninashida na meno ya bandia yambele ma nne ni bei gani?
100,000 kwa jino moja la moja kwa moja
Na magego yanapatikana mana kalibu nitakua kibogoyo
habari, unataka kuweka jino zima la bandia au kujaza?
Bei gan
@@SaudaJumanne-z5z habari, inategemea unaweka jino gani
Mnapatikana mkoa gan no za sim
habari, tuko mkoa wa Dar es Salaam, namba ni 0677016818
Dakitari nikona swali
@@IreneAkinyi-r1z uliza tu
Tupe mawasiliano
0677016818, karibu tukuhudumie
Mko wapi
@@DavidDaniel-mb5dz tuko toangoma dar es salaam, karibu tukuhudumie
Maswali mengi hakuna majibu
hawako makini na kaziyao
ulikua na swali lipi?
Mpo wapi dr
tupo toangoma, dar es salaam. Karibu
dactari nina uhitaji wa meno mnapatikana wapi tafadhalo
Habari, tupo Toangoma wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam
habari
salama, karibu tukuhudumie
Kaka naomba namba zako
@@Suzyyotam unaweza kuwasiliana nasi kwa namba za office 0677016818
Dokta
karibu tukuhudumie
Mnapatikana wapi?
tuko toangoma, wilaya ya temeke mkoa wa DSM
Meno bandia matano ya kuvaa na kuvua nj bei gan
Gharama ni 250,000 jumla. Karibu tukuhudumie
Dactari sasa mbona watsap haupatikani?
habari, tunapatikana kwa 0677016818
Mawili shingapi
100,000/= Kila jino moja ni 50,000/=
Mnapatikana wap na namba zenu
@@LucyMathew-u9n tupo toangoma dar es salaam, mawasiliano ni 0677016818
Doctor Jino bandia kiasi gani
jino la kuvaa na kuvua ni 50,000 na jino la moja kwa moja ni 100,000. Karibu tukuhudumie
jino bandia lakudumu kiasi gn au inategemea na matirial
kuna la kuvaa na kuvua ni 50,000 na la moja kwa moja ni 100,000
Mnapatikana wapi mimi yambele yote itakua shingapi
Tuko Toangoma Dar es Salaam, karibu uonane na daktari kwanza ili ashauri matibabu sahihi
Nataka jino la bandia la mbele jmn ni sh ngp@@alexiahospital1739
Naomba namba zenu ninauhitaji
0677016818
Alexia hospital iko wap?
tupo Toangoma Dar es Salaam, karibu
Me naitaji jino moja la juu mbele ya kinywa bei gani
inategemea, la kuvaa na kuvua ni 50,000 na la moja kwa moja ni 100,000. Karibu tukuhudumie
kuna la kuvaa na kuvua ni 50,000 na la moja kwa moja ni 100,000
Likiwa limekatika
kama unauliza huduma ya meno bandia kwa jino lililokatika, inategemea. Nakushauri ufike hospitali kuonana na daktari kwa ushauri na maelekezo zaidi
naomba namba zenu
namba ni 0677016818
@@alexiahospital1739kaka unapatikana wp
Je hayo meno yanaluhusu ktafnia?
Thanks Doctor
Daktar jino moja bandia bei gani?
jino la kuvaa na kuvua ni 50,000 na jino la moja kwa moja ni 100,000. Karibu tukuhudumie
@@alexiahospital1739 mupo maeneo gani naomba namba zenu tafadhar daktar
@@amour5535 tupo Toangoma Dar es Salaam. Namba ya ofisi ni 0655842339
@@alexiahospital1739 Asante sana nilihangaika kuulidhia ila asante nakuja 🙏🙏🙏
Docta meno bandia unaweza kula chakula chochote?
Hayo ya kuvaa mojakwamoja umetaja.material tofauti vp material yote yatakuwa bei moja
karibu uonane na daktari ili ashauri nini kitafaa na gharama yake
Doctor uko mkoa gan
@@OliverJacksonTaka Tuko toangoma DSM, karibu
Bei ya kila jino
100,000 kwa jino moja la moja kwa moja
naomba namba zenu
0677016818, karibu tukuhudumie