"ZAIDI YA ASILIMIA 80 YA WATANZANIA HAWAJUI KUPIGA MSWAKI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 186

  • @leonardgwangineza994
    @leonardgwangineza994 5 ปีที่แล้ว +4

    Asante Doctor kweli unaweza piga mswaki hivyo kila wakati nadhan hapana labda once a day mm niko kweny asilimia ya kutokujua kusafisha vzr

  • @fardhanamahmoud7313
    @fardhanamahmoud7313 5 ปีที่แล้ว +49

    Tuache 2 na tulivyozoe,hayo mambo ya kuweka kamba kama mbuzi hatuwezi kwakweli,umeamka umechelewa utakumbuka kurembaaa jino mara 6 ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @azizacleny8677
      @azizacleny8677 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂nmejikuta nacheka sana 😂😂😂😂

    • @fardhanamahmoud7313
      @fardhanamahmoud7313 5 ปีที่แล้ว +3

      @@azizacleny8677 hahahahahaaaa naona dokta anataka kutuletea mambo magumu

    • @bainamangoma6937
      @bainamangoma6937 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @azizacleny8677
      @azizacleny8677 5 ปีที่แล้ว

      @@fardhanamahmoud7313 meusi kwakwel

    • @samwelnyankena9873
      @samwelnyankena9873 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 5 ปีที่แล้ว +16

    Allah akutangulie kwa elimu bora

    • @AzainTv
      @AzainTv 5 ปีที่แล้ว

      Aamin

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 5 ปีที่แล้ว +10

    Hujui wew ,,, yaan tukusomeshe Kwa fedha za watanzania,AF Leo hii uje utudhalilishe ,,, kwenda zako, huna lolote

    • @afyayako1053
      @afyayako1053 5 ปีที่แล้ว +2

      Hisan Mwakijungu we unadhani kila daktari anasomeshwa na serikali?

    • @abuuminya8746
      @abuuminya8746 2 ปีที่แล้ว

      hhhh

  • @zaituniibrahim1566
    @zaituniibrahim1566 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Dr ktk ubora wake

  • @luqmanmohamedy3860
    @luqmanmohamedy3860 5 ปีที่แล้ว +2

    Vizuri sana...ahsante kwa darasa

  • @Lambartini_tz
    @Lambartini_tz 4 ปีที่แล้ว +3

    Naona watu wengi ni walimbukeni kweli hapa sikufichi tangu nianze hizi hatua mara tatu kwa siku na ni rahisi sana sema mtu ambae ni mpumbavu na hajali afya yake ndo atalalamika nimeamini watanzania hawabadiliki wanapewa ushauri wanaanza kuuponda bure kabisa wazungu ndo zao kila siku wanafanya hizo process ndo maana afya zao za mdomo ziko vizuri

  • @alphajongo9225
    @alphajongo9225 5 ปีที่แล้ว +11

    Meno gani ya mtanzania anae kula ugali wa Muhogo Au dona iliyo kaa mwezi yanakubali kusafisha kirahisi ivyo apo lazim nguvu itumike Sio kirahis kama Unavyo eleza

  • @nwntz
    @nwntz 5 ปีที่แล้ว +24

    wangapi wamejua leo kuna kitu inaitwa dento flosi?

    • @meena-ol6fo
      @meena-ol6fo 5 ปีที่แล้ว +1

      Unaijua sanaaaaa sema kaisema kwa English tu kunawatu hutumia uzi

  • @abdsatary3567
    @abdsatary3567 5 ปีที่แล้ว +3

    Elimu nzuri ila kwa wabongo kuwa na vitu vyote ivo sidhn, jinsi ya kupga tu na toothpaste imeeleweka ila izo dentle floss mmh tutajitahd hata siku za jumaapili mara moja kwa wiki

  • @hussainomar1849
    @hussainomar1849 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Ni elimu kubwa uliotupa. Ni kweli watu wengi hawasugui ulimi wanapopiga mswaki ndio Mana harufu inabaki watu wengi husugua meno na kuondoka tu.

  • @t_eighteen8186
    @t_eighteen8186 5 ปีที่แล้ว +9

    Sema Apo. Siunakua umecherewa kazini kabisa

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 8 หลายเดือนก่อน

    Hamna flossy Wala nn hizo ni brand items tu sema tu Uzi ni rahisi Uzi wa kaki Kila mmoja aweza kaa nao mwaka mzima,na kazi ni Ile Ile ndio mana watu wanashindwa tumia,mouthwash wajua bei yake,wakati Kuna mbadala kibao jikoni,na SoMo lako linatekelezeka asilimia 100% na mswaki wa mjiti,ndio utapiga jino moja moja na juu Hadi chini,na ulimi kw kuw ni ngumu kupiga na dawa,basi wa Kijiji ndio Bora mana huwez niambia utapiga na mswaki mkavub

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah mrembo kwel yan

  • @ibraton4071
    @ibraton4071 5 ปีที่แล้ว +1

    halafu watanzania hao 80% ajue wengi hawana uwezo huo wa kununua hayo mavitu kwa hyo angesema watu wa maisha fulani

  • @muslimmunde5907
    @muslimmunde5907 3 ปีที่แล้ว +1

    Sisi wengine jamani nyumba zetu za kupanga' bafu ya kuogea ni moja
    Wapangaji 20' halafu upige mswaki nafun nusu saa!!
    Wapangaji wenzangu siwatanitoa kwanguvu ya pipoz pawa!!!

  • @franciscogosbert9603
    @franciscogosbert9603 5 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😅😅😂😂😂 wabongo wabishi jamani Dr kashaeleza hapo mnamchamba...wabongo wakiguswa ukweli tunakuwa shida 😂😂😂..ila doctor sisi tunaotumia miswaki ya mti inakuaje!! Ila doctor hata tukitafuna miwa si inasafisha meno lakini? 😂😂😂😂

    • @muslimmunde5907
      @muslimmunde5907 3 ปีที่แล้ว

      Hahaahaaahaaaa
      Dah! Hatar kwelikweli
      Namimi ni Docter
      Miwa inasafisha ikiwa utatumia kumenya kwa meno. Asante.

  • @twahilchaurembo9946
    @twahilchaurembo9946 5 ปีที่แล้ว

    Vizuri Sana Ila ungeonyesha kwa kinywa chako waonyesha kwenyewe toi.tumia kinywa chako ue mfano hai

  • @abdallhgtt32
    @abdallhgtt32 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @norshadipuyaga7936
    @norshadipuyaga7936 5 ปีที่แล้ว +5

    Nadhan hii inawahusu wanawake, mwanaume unapigaje mswaki dk 5

  • @hasanially9294
    @hasanially9294 5 ปีที่แล้ว +9

    Mashallah

    • @AzainTv
      @AzainTv 5 ปีที่แล้ว

      Kajitahidi dada yetu

  • @neamusic2601
    @neamusic2601 7 หลายเดือนก่อน

    Hatimae nmejua kupiga mswaki dah

  • @hamadshein8272
    @hamadshein8272 5 ปีที่แล้ว +16

    Naona hta dokta ypo kwnye hyo asilimia 80.

  • @zaituniibrahim1566
    @zaituniibrahim1566 5 ปีที่แล้ว +1

    Looking good as always

  • @habilinhotz9128
    @habilinhotz9128 5 ปีที่แล้ว +9

    awe process zote hzo dental ya nn hyo mbn kama inawahusu wazungu hvi

  • @letthedeadburythedead2148
    @letthedeadburythedead2148 5 ปีที่แล้ว +5

    Kama ulikuwa haujui hii procedure then I'm pretty sure unanuka mdomo. It takes me 10-15 mns to brush my grill every morning

  • @mkalimussa1846
    @mkalimussa1846 5 ปีที่แล้ว +3

    Kwel kwa hal iyo wengi hatujui duuu

  • @huseynmaitaya9002
    @huseynmaitaya9002 ปีที่แล้ว

    Nani kamsikia alipo sema , “tukitaka kupiga mswaki tuna hitaji kua na meno “ 😂😂😂😂😂 hawa wanatuletea tamaduni za kimagharibi tu hawana lolote wemekwisha lipwa sasa wana leta dharau kwa waafrika wenzao eti hatijui kupiga mswaki pumbavu kabisa kua na adabu we

  • @isunga1964
    @isunga1964 5 ปีที่แล้ว

    Dah nayatamani hayo meno mimi nimekuwa kibogoyo mimi jamni

  • @omanj5494
    @omanj5494 3 ปีที่แล้ว

    Nahitaji mawasiliano na docta maryam nnatatizo la meno linanitesa sana

  • @frankriganya1069
    @frankriganya1069 5 ปีที่แล้ว

    darasa la 4 hatua za kupiga mswaki asante dentist

  • @eyezarc1239
    @eyezarc1239 5 ปีที่แล้ว +2

    Poor doctor.., hakuna dawa ya mswaki ni dawa ya meno.., rudi shuleni...

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 ปีที่แล้ว

    Kwakua mnataka kusukutua Meno kama wazungu walivyosema. Je, kuna watu wanye magonjwa ya Meno kama watu wa ulaya ?

  • @shamimkingazi8925
    @shamimkingazi8925 5 ปีที่แล้ว +2

    Jaman ndomana mdomo wangu wanuka 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄huo mda wote huo kwa usawa huu tutafkuzwa kazi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂nabuluza tu mimi mniache

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 5 ปีที่แล้ว

      Yabid tuamke saa 10 lisaa unaswaki mana huu ni mtihan

    • @rukkysayid6613
      @rukkysayid6613 5 ปีที่แล้ว

      Hahaha ndiyo uamke mapema sasa kwa ajili ya kusugua meno🤣🤣weka alarm

  • @مكتومالدرعي
    @مكتومالدرعي 3 ปีที่แล้ว

    Kweli hatujui

  • @s.flavor38
    @s.flavor38 ปีที่แล้ว

    Dunia kilakitu nikigumu

  • @sophiamtunguja3250
    @sophiamtunguja3250 5 ปีที่แล้ว +4

    tumebaki sisi tu aslimia 20ndio tunajua kupiga mswaki😁😁

    • @aliomar5603
      @aliomar5603 5 ปีที่แล้ว

      Sophia Mtunguja haha tujipongeze bc

  • @zenawhatever776
    @zenawhatever776 2 ปีที่แล้ว

    Sahani anti mnaziba na mwanya pi

    • @zenawhatever776
      @zenawhatever776 2 ปีที่แล้ว

      Samahani ant tunaomba namba tukutafute

  • @bilalymkuna6488
    @bilalymkuna6488 5 ปีที่แล้ว

    Haaaa process nyingi sana, kiukweli mimi ni mmoja wapo ambao sijui kupija mswaki

  • @Misigaro8246
    @Misigaro8246 11 หลายเดือนก่อน

    Anazingu dawa ya mswaki 😂😂😂 kumbe siyo ya meno 😂😂😂 alafu et kupiga mswaki

  • @Pauloabraham255
    @Pauloabraham255 5 ปีที่แล้ว

    Dada Huwo muda wakupiga mswaki nususaa ukowapi

  • @rammietv4907
    @rammietv4907 5 ปีที่แล้ว +4

    MASHALLAH KILA LA KHER

  • @dizoboy7256
    @dizoboy7256 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwambie dr cyo dawa ya mswaki ni dawa ya meno😁😁

  • @aishashehdon2980
    @aishashehdon2980 2 ปีที่แล้ว

    santeeeeeeee sanaaaa

  • @agnessjohnlimbe2635
    @agnessjohnlimbe2635 5 ปีที่แล้ว

    Mh iyo shughuli kwakweli siwez kufanya , Kwanza garama pia Sina mda wote huoo

  • @tinanyambo3345
    @tinanyambo3345 5 ปีที่แล้ว

    daaah atar hi jmn inabid ukifanya hi kaz kama umeajiriwa uombe likizo

  • @maryamjuma9816
    @maryamjuma9816 5 ปีที่แล้ว

    Waijuwa wey hiyo desplos cjui saw doct menoo

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 5 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @samozain5930
    @samozain5930 5 ปีที่แล้ว +1

    Daktari bingwa anasema dawa ya mswaki😂😂😂😂

    • @ahmedalkiyum7592
      @ahmedalkiyum7592 5 ปีที่แล้ว

      Kukosea kutamka neno sio sababu ya kukosea taluma yake kwani hata wengine wanashindwa kulitamka neno subscribe na niwatumiyaji wazuri wa lunga hio🤣

    • @shamsisaady4029
      @shamsisaady4029 5 ปีที่แล้ว

      Nazani hakuna shida Dokta kaamua tu kutumia lugha maarufu kwa watanzania walio wengi ili aweze kueleweka..!

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 3 ปีที่แล้ว

      Yupo sahihi tu mbona
      Kwa sababu ni Dawa ya kuondoa bacteria watakao baki kwenye mswaki na Mdomoni

  • @obivoice1808
    @obivoice1808 5 ปีที่แล้ว +2

    Nikuoe tu uwe unanipigisha tu huo mswaki. Me sitaweza, ntachelewa kazini.😂😂

  • @alihaji7201
    @alihaji7201 5 ปีที่แล้ว

    Wewe mwenyewe unanukaa meno

  • @elymollel
    @elymollel 5 ปีที่แล้ว

    Hiv ni dawa ya mswaki ama dawa ya meno?

  • @JUSTINENICHOLOUS-b3d
    @JUSTINENICHOLOUS-b3d 17 วันที่ผ่านมา

    Shingapi kusafisha meno

  • @felicianferdinand8582
    @felicianferdinand8582 5 ปีที่แล้ว +9

    Dawa ya meno sio mswaki 😀

    • @aminaannuary5650
      @aminaannuary5650 5 ปีที่แล้ว

      FELICIAN FERDINAND 😂😂😂 namimi nimecheka wallah Dawa ya Mswaki.

  • @Boaz22
    @Boaz22 5 ปีที่แล้ว +5

    Sasa nikupiga mswaki kwa njia hii si nitatumia masaa mawili,?tutafanya kazi nyingine kweli,?🤔😆

  • @shadyaomariy9163
    @shadyaomariy9163 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmmmh mtihani si kaz hiyo utakesha

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 3 ปีที่แล้ว

    Sasaa daktari mzima unasema dawa ya mswaki badala ya dawa ya meno!! Jamanii umenisikitisha

  • @ahadizabiblia5825
    @ahadizabiblia5825 5 ปีที่แล้ว

    Mimi sijui kupumua

  • @omanj5494
    @omanj5494 3 ปีที่แล้ว

    Assalamu. Alaykum warahmatullahi wabaraqatuh.

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 5 ปีที่แล้ว

    Watch this brand new video premiere from @DanZak ft. @OfficialNandy - #Nidokoe
    Video out now🚀
    th-cam.com/video/99Z22Ou19Lw/w-d-xo.html

  • @mohamedzungufya5151
    @mohamedzungufya5151 5 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hujataja mkaa..

  • @sharokfc4813
    @sharokfc4813 2 ปีที่แล้ว

    Upo sawa ila no denta flooo

  • @omaryhassan4605
    @omaryhassan4605 5 ปีที่แล้ว +1

    ivi ni dawa ya mswaki au dawa ya meno

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 3 ปีที่แล้ว

      Kotekote ni sawa tu kwa sababu bacteria watakao baki kwenye mswaki,pindi utakapo weka dawa kwenye mswaki lazima wafe ndiyo maana ni sahihi tu kusema Dawa ya mswaki kwa maana inaondoa bacteria wa mswaki na Mdomoni

  • @VenanceSoka-mb1hz
    @VenanceSoka-mb1hz 10 หลายเดือนก่อน

    weweee inaonyeshaa upingagi unajikosha apoo😅😅😅😅😅😅

  • @gabrielmushi2813
    @gabrielmushi2813 5 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/CfPPHP3MNDU/w-d-xo.html
    Karibu kuusikiliza wimbo wangu wa nani anipende thanks more for your support usisahau kusubscribe

  • @dr.mgungo1429
    @dr.mgungo1429 5 ปีที่แล้ว

    huo muda wote nipoteze kweny kusafish meno

  • @hamisi6910
    @hamisi6910 5 ปีที่แล้ว +3

    Doctor hivi hiyo ni dawa ya mswaki au dawa ya meno??? samahani lakini🙊

  • @isayagabriel8259
    @isayagabriel8259 5 ปีที่แล้ว +3

    Dawa ya mswaki au ya menoo!?

  • @balangdalaluamb6540
    @balangdalaluamb6540 5 ปีที่แล้ว

    Kama najiona ninavoburuzaga mswak mdomon kwachukwachuu nmeondoka et nianze hiz procedure na nilivomchelewajii ntakosa ugali Kisa menoo😁😁

  • @hasanially9294
    @hasanially9294 5 ปีที่แล้ว +4

    Je mwenye mapengo atapiga je

    • @siasakhalfan2894
      @siasakhalfan2894 3 ปีที่แล้ว

      Ndio maana akasema kitu cha kwanza kabla ya kupiga mswaki unatakiwa uwe na meno.

  • @رقيةالكمياني
    @رقيةالكمياني 5 ปีที่แล้ว

    mimi naomba namba yako doct nataka kuja

  • @ramadhaniadammakange3639
    @ramadhaniadammakange3639 5 ปีที่แล้ว +3

    Exactly I'm doing the same always.

    • @huseynmaitaya9002
      @huseynmaitaya9002 ปีที่แล้ว

      Hamna hayfanyagi acha kujidai eti nafanyaga kila siku hivyo 😂😂😂😂

  • @ashurathomas482
    @ashurathomas482 5 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yenu tafadhari

  • @LAST_BORN_MUSIC
    @LAST_BORN_MUSIC 5 ปีที่แล้ว

    Wengi wape doctor

  • @alhajiselemani575
    @alhajiselemani575 5 ปีที่แล้ว +1

    Upo vzul ila watu wenye matatizo ya kinywa wanakupataje mana ujaweka namba ya cm na akuna maelezo ya kukuona unapofanyia kazi

  • @katojunior7506
    @katojunior7506 5 ปีที่แล้ว

    Kwanza iyo ni dawa ya mswaki au dawa ya meno??

  • @samwelnyankena9873
    @samwelnyankena9873 5 ปีที่แล้ว

    Cdhan kama na yeye anafanya hivo

  • @feisalabdallah8632
    @feisalabdallah8632 5 ปีที่แล้ว

    Cha kwanza.... Kinapatikana wapi??

  • @issarashid3994
    @issarashid3994 5 ปีที่แล้ว

    Mmh apo kwenye kamba ndio zoezi

  • @jamalsalim2845
    @jamalsalim2845 5 ปีที่แล้ว

    Tuna omba namba zenu

  • @mwasitiiddy1089
    @mwasitiiddy1089 ปีที่แล้ว

    Izo toung cleaner zapatikan wap

  • @jofremdaudi8208
    @jofremdaudi8208 5 ปีที่แล้ว

    Unapigaje mswaki kwenye ulimi

  • @OmanOman-fu8xy
    @OmanOman-fu8xy 5 ปีที่แล้ว

    Nitumie namba ya

  • @aishashehdon2980
    @aishashehdon2980 2 ปีที่แล้ว

    wewe baba ako anaitwa ally shabani mtanda?

  • @iamtimothyjackson5338
    @iamtimothyjackson5338 5 ปีที่แล้ว

    Aha doc unaniabisha dawa ya mswaki🤔 tena? Daah

    • @shamsisaady4029
      @shamsisaady4029 5 ปีที่แล้ว

      Nazani hakuna shida Dokta kaamua tu kutumia lugha maarufu kwa watanzania walio wengi ili aweze kueleweka..!

    • @iamtimothyjackson5338
      @iamtimothyjackson5338 5 ปีที่แล้ว

      Hakuna cha ku2mia lugha ilyozoeleka wala nn ye mwenywe amesha adapt ivo ivo dawa ya mswak

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 5 ปีที่แล้ว +5

    Tatzo muda

  • @kingmnene6412
    @kingmnene6412 5 ปีที่แล้ว

    huo muda wakupiga mswaki mambo yote hayo tunatolea wapi? 😀

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 5 ปีที่แล้ว

    Du muda ote unahangaika na meno Mara unapita mitaani unakula sambusa sijui unakuwa unatembea na nyuzi Kama mvuvi sasa.

  • @katedavid5405
    @katedavid5405 5 ปีที่แล้ว

    hiyo ni dawa ya meno na sio dawa ya mswaki

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 5 ปีที่แล้ว +3

    HIZI KAMBA KWETU TUNATENGENEZEA NYAVU KUMBE KWENU MNATUMIA KUTEKENYA MENO BARAA KWELI.

  • @sangotelleming7444
    @sangotelleming7444 5 ปีที่แล้ว

    Dr iyo ni dawa ya meno sio mswaki

  • @lameckrukutia438
    @lameckrukutia438 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo dawa inaitwaj

  • @captenndunga6199
    @captenndunga6199 5 ปีที่แล้ว

    Muda wote huo napiga mswaki tuu? Siwez kula dakika 5 nipige mswaki nusu saa. Mi naona kwangu itaniwia kazi nikifikua kupiga mswaki kama kwenda kufua. Hata wee hupigi hivo taka taka zote hizo nibebe kwa ajili ya mshaki tuu? Nimegundua ni tanzania tuu ndo unaweza kumsikia mtu anakuambia''NIPO HUKU NAPOTEZA MUDA NIKALALE'' yani mtu ana hadi muda wa kupoteza? hili tatizo.

  • @luckychanneltv8762
    @luckychanneltv8762 5 ปีที่แล้ว

    😳😳😳🙏💯✔️

  • @hamadhabinrashid3705
    @hamadhabinrashid3705 5 ปีที่แล้ว

    Mswak wenyewe kuwa nao ni nadra je tutakuwa na toung cliner?

  • @dottochamwenyewe4391
    @dottochamwenyewe4391 5 ปีที่แล้ว +1

    Huko si kuuana huko!

  • @ahmedpascoe1160
    @ahmedpascoe1160 5 ปีที่แล้ว

    Kama wapo asilimia 80 basi na upo

  • @bonifacesanga7928
    @bonifacesanga7928 5 ปีที่แล้ว

    Kwenye dawa ya mswaki sasa

  • @isayangwahi9251
    @isayangwahi9251 5 ปีที่แล้ว

    Huu uzungu huu...unafanya kazi salasala unaishi gongo la mboto unaamka saa kumi unajiandaa chaap uwahi eicher ukiwaza foleni road, haya hayo mambo ya kuremba DENTO FLOSI ahahah.....WANANGU PIGENI MSWAKI FRESH NA WHITEDENT SUGUA ULIMI CHAAP....AMSHA....UKIFIKA UBUNGO DAKA PK MINTS WATAKUELEWA TU.

  • @رقيةالكمياني
    @رقيةالكمياني 5 ปีที่แล้ว

    mimi naomba namba yako tuu ninatatizo la meno yamekaa mbalimbali meno yangu naomba msada wako