WALITAWALA MIAKA 600, TABIA MBAYA IKAWAKOSESHA KILA KITU, KUZALIWA NA KUANGUKA KWA OTTOMAN EMPIRE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @stellah3844
    @stellah3844 ปีที่แล้ว +1

    Naikumbuka ile tamthilia ya Sultan .......Huremu Sltan....Nmeskikia karbia majina ya watoto wa Sultan kwenye ile tamthilia aisee nmefurahi sana💝💝💞💞

  • @SaunaKanju
    @SaunaKanju หลายเดือนก่อน +1

    Otoman mwenyewe sindio kaichukua romu kabla ajafa

  • @stellah3844
    @stellah3844 ปีที่แล้ว +1

    Sasa twende kazi....Msalimie wifi yetu💞💞💞💞

  • @RehemaMwailonda
    @RehemaMwailonda ปีที่แล้ว

    Uko vzr sana tatizo wengne wanafatisha uongo wa movie Wana sahau movie Kuna vi2 vinaongezwa🙏

  • @yussufussi5166
    @yussufussi5166 ปีที่แล้ว

    Asante sana mkuu

  • @BLACKSUNDAY999
    @BLACKSUNDAY999 4 หลายเดือนก่อน +1

    Unaweza leta history ya king Baldwin iv

  • @ramadhandiwani3410
    @ramadhandiwani3410 7 วันที่ผ่านมา

    Mnaharibu historia kwa makusudi
    Mmetumwa kupotosha watu kwa malengo yenu

  • @JosephNgoi-ns9od
    @JosephNgoi-ns9od ปีที่แล้ว +2

    Natakaisotoroya ahipapi

  • @ibrahimkimweri2329
    @ibrahimkimweri2329 ปีที่แล้ว

    2nd sultan mpka anakufa keshachukua hadi contantinier

  • @hassanhamisi9891
    @hassanhamisi9891 ปีที่แล้ว

    Nkubar Sana Yan pamoja siku zote naomba utujuze ukweri wa wana sayansi kufika mwezini au plopa ganda

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 ปีที่แล้ว +1

    Ila Brooo justine ongeza muda , viclip vyako vinakuwa vifupi sana!!! Fanya km Jamal unaweka njonjo kidogo clipi zinakuwa ndefu

  • @MwonekanoTv
    @MwonekanoTv ปีที่แล้ว

    Mtupongeze kama wakina othman

  • @joelnkako
    @joelnkako ปีที่แล้ว

    Empire-milki,
    Ottoman - Osman, athumani

  • @hussle03
    @hussle03 9 หลายเดือนก่อน

    Leta historiya ya Roma empire

  • @innocentkomba243
    @innocentkomba243 ปีที่แล้ว

    Twende kaz

  • @mariamothmanmohamed
    @mariamothmanmohamed ปีที่แล้ว +1

    Mustapha kenal ni nani na je anavinasaba vyo yote na utawala wa ottoman

  • @sijaliponera3013
    @sijaliponera3013 ปีที่แล้ว

    Wa muhongoli na Ottoman ipi ilikuwa tawala kubwa zaid

  • @nmasare9364
    @nmasare9364 ปีที่แล้ว +1

    Tumepata sehem nzuri ya kuja kusoma history kwa sauti 😂

  • @ibrahimkimweri2329
    @ibrahimkimweri2329 ปีที่แล้ว

    Mtoa story ni hajui kwanza alioota ni babake osman yaani mwanzo tuu ushakosea apo sijamaliza hata kuskiliza nkakosoa makosa mengune

  • @kalashkano9152
    @kalashkano9152 ปีที่แล้ว +1

    Chifu ningependa zaidi uje na hadithi ya "the Moors waliowahi kutawala Spain miaka mia saba"

  • @lamecksebyiga1630
    @lamecksebyiga1630 ปีที่แล้ว

    ASANTE KAKA

  • @NduguEzekiel
    @NduguEzekiel ปีที่แล้ว +1

    Sasa huu ndio ukweli wa ottoman ukiacha ule uongo wa movie zao 😂

  • @moyahviptamuz8461
    @moyahviptamuz8461 ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪

  • @josephmshana8794
    @josephmshana8794 ปีที่แล้ว

    Tuletee na utawala wa waroma ulikuaje

  • @Djroja_mo
    @Djroja_mo ปีที่แล้ว

    Kuna lile darasa la madj umeamua kuliacha

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍

  • @eunicejoseph3870
    @eunicejoseph3870 ปีที่แล้ว

    Naomba story ya Sahara mtoto wa Angelina Jolie

  • @ybyb8657
    @ybyb8657 ปีที่แล้ว

    Waturuki ni wanafki sana washenzi wakubwa ,makelebu wakubwa hayo .inshallah wasahau utawala eti ottoman jinga kabisa maturuki wahuni wakubwa kazi kupenda wanawake Malaya kahaba nguruwe 🐖 wakubwa Hawa. Sasa hivi utawala wa Al Islam ukinyanyuka Tena Kwa uwezo wa (mwenyezi mungu Swt) utakuwa chino ya waarabu inshallah atakapo penda Allah SWT chini ya uwongozi wa ( salaf swaleh) utawala wa hakki huna kasoro WA aina yoyote itakuwa tu inshallah.

    • @ibrahimabadi6498
      @ibrahimabadi6498 ปีที่แล้ว

      Ottomans ni ukhalifa wa waislam lkn ni masufi

    • @binseif2216
      @binseif2216 ปีที่แล้ว

      Nakuunga mkono lkn haifai kuwatukana hao ni ndugu zetu katika iman,hata wale ambao sio wa dini yetu haifai

    • @osmansuleiman6236
      @osmansuleiman6236 ปีที่แล้ว

      Ifike mahari waislam tukae chini tuusome uislamu wetu kimfumo ndio tutaelewa ottoman empire(ottoman khilafat),inatufundisha nn kama waislamu wa Leo hii, ilishakuwa biashara Toka kipindi Cha Mtume(saw) juu ya ufunguzi wa mji wa constantino Sasa sijui aliyeufungua mji kama alikuwa mswahili kama ww na hcho ulichokileta ndio sababu ya Dola ya ottoman kuvunjika