MONGOLIA UTAWALA WENYE JESHI LISILO NA HURUMA HATA KWA MBUZI, SHUKURU MUNGU HUKUZALIWA WAKATI WAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @samirajohn6938
    @samirajohn6938 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana bro kwakweli leo umejua kunifurahisha mungu akubariki na akuweke kwaajili yetu much love Justin shed 🤍🔥

  • @nahdamohammed6201
    @nahdamohammed6201 ปีที่แล้ว +5

    jeshi la wamongoli tushapigana nao mpk sie wakay kule kwa othman bey😀👐

  • @InnocentHoverboard-sj9tq
    @InnocentHoverboard-sj9tq 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dunia inahitaji mtu kama Hugo Mungu amrehemu khan 🎉🎉

    • @ridasilaji5808
      @ridasilaji5808 3 หลายเดือนก่อน

      Moja ya sehemu ambayo Wamongoli walishindwa ni uturuki na Iraq

  • @samirajohn6938
    @samirajohn6938 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa naisubili hii story kwa hari na mari Asante sana Justin shed kwakusikiliza ombi langu mungu akubariki sana

  • @lamecksebyiga1630
    @lamecksebyiga1630 ปีที่แล้ว +13

    MAMBO VIPI, NAOMBA UTUSIMULIE STORY INYOWAHUSU WATURUKI NA KABILA ZAO HASA WA KAY, NA TAWALA ZAO

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 ปีที่แล้ว

      Nagongelea hii point kabisaaa

    • @salymkitumbika8644
      @salymkitumbika8644 ปีที่แล้ว

      Hapa bwana na mimi Natilia mkazo Tupate history ya kina Ertugrul originally na kukua kwa Ottoman empire

    • @yussufussi5166
      @yussufussi5166 ปีที่แล้ว

      @@salymkitumbika8644 yan kwa ufupi atupe historia ya ottoman empire

  • @yesseikungu7828
    @yesseikungu7828 ปีที่แล้ว +5

    Nakupata vyema, twende kazi mzee baba.

  • @jameskangathi8733
    @jameskangathi8733 ปีที่แล้ว +2

    Jingas Khan 👊

  • @henrylugendo280
    @henrylugendo280 10 หลายเดือนก่อน

    Good story Justin

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 ปีที่แล้ว +2

    Genius

  • @NduguEzekiel
    @NduguEzekiel ปีที่แล้ว +1

    Waturuki wanadanganya watu kuwa waliwapiga hawa watu, ukweli ni kuwa hawa walikuwa hawapigiki

    • @ybyb8657
      @ybyb8657 ปีที่แล้ว +1

      Umejuaaje ndugu yangu Yani waturuki ni wanafki sana na waongo hili jeshi lilikuwa haliguswi

    • @NduguEzekiel
      @NduguEzekiel ปีที่แล้ว

      @@ybyb8657 si naona kwenye movie zao eti waliwapiga sana wanaonyesha ila ukweli kabisa waturuki walikuwa wanachakazwa hata na majeshi mengine ila ule ushindi mdogo mdogo ndio wanao utangaza sana...

  • @twahakaranga5989
    @twahakaranga5989 ปีที่แล้ว +2

    Umetishaa San shed

  • @eliudmkumbwa5681
    @eliudmkumbwa5681 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi ni moja ya nchi za ajabu

  • @Bernamayuto
    @Bernamayuto ปีที่แล้ว +2

    Bro unaweza sana❤ na tunaitaji nyingine ya goliati

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 ปีที่แล้ว +1

    Justine shed twende kazi

  • @daimasospeter6856
    @daimasospeter6856 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kupata stori kuhusu chanzo Cha bahari Nyeusi ni kwanini iliiywa hivyo

  • @ousmanetaratibu3922
    @ousmanetaratibu3922 ปีที่แล้ว +4

    Wanawake tu kila siku mimi naomba unifanyie video kuhusu piramide na kwanini ipo kwenye dola lakini comment zangu unazipuuzia

  • @dnx_Gr
    @dnx_Gr ปีที่แล้ว +1

    Makini

  • @danielfesto489
    @danielfesto489 ปีที่แล้ว +1

    asante tisha sana but usisahau allan turing na enigma machine

  • @gatekanene5753
    @gatekanene5753 ปีที่แล้ว +2

    Mkuu kama hitokuwa shida kwako ningependenda utuandaliye story ya kweli ya mtume Muhammad nabii wa Kiislamu nitashukur sana iyi ni comment ya tatu sasa nikiomba story ya huyu anaye jiita nabii Muhammad naomba uifanyiye kazi asante we love you my brother ♥

    • @omarkhalfan5239
      @omarkhalfan5239 ปีที่แล้ว +1

      Unakosea ukisema anaejiita huyo anaitwa na sisi waumini wake hafalu ni mjumbe wa Mungu kwa Iman ya kiislam ss km unatka kujifunz usianze kukejeli bro

    • @gatekanene5753
      @gatekanene5753 ปีที่แล้ว

      @@omarkhalfan5239 oky Asante

    • @ruuhbakary
      @ruuhbakary ปีที่แล้ว

      Acha kusema dini za wt vibaya kaka anajiita ht akijiita ww inakuhusu nn et nyny ndy wabaguz wa dini za mwenzenu na ndy maan ht hy justin shed wl ajali kuhusu comment yk unajua kwnn yy sy mbaguz wa dini za wt na akisema aongelee kuhusu mambo ya dini kusema vby tunamuhama ss mashabiki zak maan tup hm md mrf sn acha hbr kipumbv

  • @jumambarouk
    @jumambarouk ปีที่แล้ว +1

    One love ❤️

  • @rajabmartojr3302
    @rajabmartojr3302 ปีที่แล้ว +1

    Justin shed sasa twende Kaz

  • @feisalbalhad2331
    @feisalbalhad2331 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa nataka story ya vita ya Marekani na vietinam

  • @safielimjema4593
    @safielimjema4593 ปีที่แล้ว +1

    Huyo alikuwa mwanaume

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina ปีที่แล้ว +4

    Sasa twende kazi

  • @fabimaibe447
    @fabimaibe447 ปีที่แล้ว +1

    Maisha ni kutesa kwa zamu ko ilikua zamu yao

  • @husnamtunguja4856
    @husnamtunguja4856 ปีที่แล้ว

    Bravo historia hii nzur sana

  • @husnamtunguja4856
    @husnamtunguja4856 ปีที่แล้ว +1

    👍👍👍

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina ปีที่แล้ว +2

    @SinemaZaChina tunafuatilia bongo fasta ikiwa wewe ni mpenzi wa filamu zachina tunakushauri kufuatilia pia kituo chetu cha sinema za china

  • @kelvinpeter5666
    @kelvinpeter5666 ปีที่แล้ว +1

    Story jinsi roma ilivyoanguka

  • @ahnafabdallah9433
    @ahnafabdallah9433 ปีที่แล้ว

    TUNAOMBA YA OTTOMAN SS

  • @lostjournals9859
    @lostjournals9859 ปีที่แล้ว

    Eh buana tutaftie ya ndani tz moja ambayo haukuwa imesimuliwa na historia ya wazungu

  • @anuaryomary5792
    @anuaryomary5792 ปีที่แล้ว +1

    Tupe story ya Peter the greats

  • @damianmtasiwa4200
    @damianmtasiwa4200 ปีที่แล้ว

    Broo mi bafoo naombaa asilii ya kanisaa la orthodox kaka naombaa sana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍🙏.

  • @doricecyprian7246
    @doricecyprian7246 ปีที่แล้ว +1

    Mongolia empire iko na wapi🙄🙄

  • @afrocushitic
    @afrocushitic ปีที่แล้ว

    Waturuki

  • @rajabmartojr3302
    @rajabmartojr3302 ปีที่แล้ว

    Justin

  • @husnamtunguja4856
    @husnamtunguja4856 ปีที่แล้ว

    Tunaomba historia ya aliyeanzisha pharisapha ya ukomunist

  • @dailylifetz
    @dailylifetz ปีที่แล้ว

    Sasa twende kazi