DUBE APEWA PESA NA MASHABIKI BAADA YA USHINDI | TAZAMA VIBE LAO DIMBA LA KMC | BALAA TUPU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @angeljohnny
    @angeljohnny 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kiufupi mi sio ushindi ulionifurahisha ila nimefurahishwa na Dube kurejea kwenye ubora wake❤❤❤

  • @alishaplate6290
    @alishaplate6290 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Nimetoa machoz ya furaha 😢 hakuna mchezaji ambaye walokuwa wanamsema vby kama Dubee😢 mungu ni mwema

    • @terrence9477
      @terrence9477 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hunishindi mimi, nilikuwa naumia sana kwa Dube kutokufunga

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dube endelea kutumainia muumba wako ili akuzidishie Zaidi ,, aminaaaaaaaaa

  • @Nasma-eb4ef
    @Nasma-eb4ef 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dube hongera sana amejitoa sana leo hakika amesemwa sana lakin mungu kamfungulia njia nakuombea uendelee ivo ivo usirud nyuma pia shomal amepamban sana nae apewe maua yake leo komen hakuwa kwenye siku mzur ila yote kwa yote tunamshukur mungu kwa kuchukua poety 3 muhim

  • @JessicaLongwr
    @JessicaLongwr 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nimedurahi Leo kibwana kucheza ongela kibwana honga dube

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na awe na mwendelezo mzuri

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kibwana saluti sana dube saluti sana," ila Khomeni uyu kipa ni hamna kitu

    • @NeemaRashid-z2i
      @NeemaRashid-z2i 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuhus kipa Hakuna

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Farid farid jmn

  • @NeemaDaniel-j3g
    @NeemaDaniel-j3g 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kibwana na dube leo wametukosha sana ila kwa kipa katuangusha sana

  • @pascalemmanuel2557
    @pascalemmanuel2557 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Walinzi wana zuia asipewe hela au vipi