Waambie badala ya kutengeneza timu, na kusajili wachezaji wa maana wao wanakalia kutumia nguvu kubwa na mbinu chafu za kuichafua yanga. Nguvu kubwa wanayotumia kuwaonga waamuzi na wachambuzi kuwadhoofisha timu pinzani na hasa yanga wangeitumia kwenye usajili wa wachezaji wazuri ligi yetu ingekuwa na upinzani wa kweli
God kaka hauna baya hakika unaongeoga facts mno
Waambie badala ya kutengeneza timu, na kusajili wachezaji wa maana wao wanakalia kutumia nguvu kubwa na mbinu chafu za kuichafua yanga. Nguvu kubwa wanayotumia kuwaonga waamuzi na wachambuzi kuwadhoofisha timu pinzani na hasa yanga wangeitumia kwenye usajili wa wachezaji wazuri ligi yetu ingekuwa na upinzani wa kweli
Speaker zimefunguliwa
@@katalisajuka-fl3st Acha zipaze sauti sasa.....
Tim bado mbovu makosa mengi ya ulinz tunafungwa magoli ya kizembe kabsa
Aache uongo golila wako hifadhi ya pombe na mahale
@@godfreykahabi1964 Pombe Au Gombe 😂
😂😂😂Kahabi bhana. Hapo Godi Yanga ametania tu. Ni mambo ya mpira tu
@@godfreykahabi1964 hakuna golila nchi hii kuna sokwe sio golila
@@godfreykahabi1964 sio pombe nawe, ni Gombe