ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
HEKIMA Official Video | Thomas Joseph | Kwaya ya Mt. Mikael Malaika Mkuu - Mhandu.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 มิ.ย. 2023
- Kwaya ya Mt. Mikael Malaika Mkuu kutoka Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mtume - Mhandu , Mwanza, Jimbo kuu katoliki la Mwanza wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu unaoitwa HEKIMA .
Song Description
Wimbo: HEKIMA
Mtunzi:Thomas Joseph
Audio:RAJO PRODUCTIONS
Video:MOZEN PRODUCTIONS
Soloist: Edwin Kamala
Mawasiliano
Kwaya: +255 686 131 305 | +255 766 656 631
kwayayamtakatifumikaelmalaika@gmail.com
Studios
MOZEN Productions:+255 746 775 116
RAJO Productions :+255 758 988 827
"Onyesha upendo kwa ku "subscribe, share, like and comment" nawe utakua umeshiriki katika utume huu na Mungu atakubariki maradufu"
#MOZEN Productions #Moyo Mtakatifu wa Yesu #Kwaya Katoliki #Kwaya Mikael Malaika Mkuu#Hekima #Mhandu
Ndimligo mwenyewe. Hongereni sana
Hongereni sana Atukuzwe MUNGU.
Hongereni sana kwa wimbo mzuri
Hekima ya Mungu ndiyo kila mwanadamu anayotakiwa kuwa nayo asanteni sana kutukumbusha
Mubarikiwe zaidi kwa wimbo bora
Nimependa sana
asant kweli kuimba ni kusali mala mbili mungu awabariki sana
Barikiweni Sana
Hongereni Mno❤❤❤❤❤❤
Mungu awape nguvu nimewapenda sn ujumbe mzur
Hekima kutoka kwamungu nikilal kitu kwetu. Asanten kwakutupa neno kupita litrujia
Ni 🔥🔥🔥
Naugana nanyi kwa uibaji wenu muzuli
Ni kali 💥💥💥💥💥
Ameen Amen Mungu atukuzwe nashukuru kwa kuniamini aisee ni motoooo injili isongee mbelee
Poapoa mwamba
Wooooow
🎉❤ so amazing god bless you 🙏🙏🎉❤❤❤
kazi nzuri sana.......hongea kwa utunzi mwanagenzi mwenzangu Thomas Joseph.
Asante sana
🎉
Hongereni sana waimbaji. Kazi ya moto sana.
Hekima itokayo juu ni safi🥰🥰🥰 hongereni sana Kwa ujumbe mzuri na rithim tamu
❤
Woooow. Can't control myself towards this well scripted piece.
congrats Thomas joseph ,nice song God bless u all
Thank you so much madam
thank you so much for this song, it has blessed me and i'm sure it will bless many..
God bless you guys
Creativity of the high order. Watunzi Na Waimbaji Mungu awabarini Hadi mshangae.
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥 Mungu awabariki sana 💞💖
Kwa kweli nimebarikiwa Sana mungu awatie nguv mzidi kubarikiwa Sana sana
Hekima itokayo juu ni safi sana❤❤❤
Kwaya tamu sana❤❤❤
Hongereni sana kwa KAZI nzuri
🔥
Kazi nzuri 🥰
Nimebarikiwa sana na kazi yenu.
Wow👏👏
⛪🙏 am proud of Catholic choirs
Nice song
My favorite song 🥰🥰
Awooo❤❤❤ congratulations to this choir👏👏
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥 Mungu awabariki sana 💞💖