Listening to this prayer while my husband is in the interview room. May we get this job in Jesus Name. Neema yako tunaitegemea Bwana, ndiyo inayotubeba
Music and occasions! We burried my dad in law in January 2023 and the choir sang this song at his coffin's sealing. It has stuck with me forever. Beautiful song still. Rip Mzee.
Hii record companyinayojiita Holy Trinity Studio waache kuweka introduction ya nyimbo yao katika kila nyimbo walizo record, yaani inaudhi unapo taka kusikiliza nyimbo lazima kwanza usikize introduction ya sauti yao kitu ambacho kinaboa. Tunajua mmerekodi hii nyimbo sasa hakuna sababu ya kutufanya tuwasikilize nyinyi kabla ya nyimbo.Rajo, Verony na Tanganyika production hawaweki signature sound yao, unakwenda straight kwenye music. Makampuni makubwa ya kurekodi wahaweki introduction ya nyimbo kwenye musiki walio record Mnasound mpo patronize and hungry to be known and recognized
Huu wimbo unaniguza sana huu mwaka 2023. Am trusting God for big big blessings
❤
I love this song so much, may God bless❤
Sauti tamu, picha Nzuri, Hongera Sana Ht Hongera zaid wanamathias.... Kamwene
Asante
Mbarikiwe
Wow my favourite song inanigusa moyo wangu sana napousikia.Hata kama nilikuwa naenda mahali nikipata radio inaimba nausikiza hadi huishe❤
Congratulations to choir
Listening to this prayer while my husband is in the interview room. May we get this job in Jesus Name. Neema yako tunaitegemea Bwana, ndiyo inayotubeba
❤❤❤
Congratulations
Najivunia kuwa Mkatoliki wimbo mzr sana hongereni mungu awabariki katika utume wenu barikiweni sana
Music and occasions! We burried my dad in law in January 2023 and the choir sang this song at his coffin's sealing. It has stuck with me forever. Beautiful song still. Rip Mzee.
Hii record companyinayojiita Holy Trinity Studio waache kuweka introduction ya nyimbo yao katika kila nyimbo walizo record, yaani inaudhi unapo taka kusikiliza nyimbo lazima kwanza usikize introduction ya sauti yao kitu ambacho kinaboa.
Tunajua mmerekodi hii nyimbo sasa hakuna sababu ya kutufanya tuwasikilize nyinyi kabla ya nyimbo.Rajo, Verony na Tanganyika production hawaweki signature sound yao, unakwenda straight kwenye music.
Makampuni makubwa ya kurekodi wahaweki introduction ya nyimbo kwenye musiki walio record
Mnasound mpo patronize and hungry to be known and recognized
They call it catholic but I call it Home am kennah mpambe from kenya
I find myself singing this song even if I don't know the whole of it...it's sooooo good,amazing voices👌
bila kuasahau th amazing composition! much congrats to E Jissu
St. Peter's Parish Lanet Nakuru Diocese Huu wimbo you took and owed this song, you always sang so well. Congratulations
Who is listening to this beautiful song in 2023 🙌🏾
Endeleeni kubarikiwa moko vizuri sana
Very touching
Wimbo mzur sana Mungu awabiki
Wimbo mzuri ulio na baraka. Asateni hata nyinyi mubarikiwe.
Very nice and so soothing song,,, mungu atupe neema na baraka zake
Konk
Legend myonga
Konk
mpo vizuli
mnaimba vizuli voko hongeleni mungu awanaliki sana
Naomba baraka Mungu mbarkiwe kwa wimbo mzr
Sikutegemea kama mnatoka kigangoni wimbo mzuri sana nimeona hata Tumaini tv hongereni Njombe
Amina
Naombaneema naomba baraka kwamwaka 2021
Sawa
Katoriki hatujawahi kukosea .hongereni kuimba vizuri.
Nakubali xn kaz nzuri pia nikiona kuna wimbo wa jisu nafarahi xn mana huwa akoseagi hongera kwnu nyote
Naomba neema na baraka zako Bwana,,,, wimbo mzuri, mpangilio mzuri wa sauti, mbarikiwe sana
Ahsante sana
Naomba neema yesu wangu ....kanikumbuke siku utakaporudi kulichukua kanisa lako...2023 Jul 11
mungu wa mbinguni awape barakaa,,
mungu n mwemaa earlier😍
A good song God bless the singers.
Amen
This song is very sweet and it contains messages and themes am being blessed with this song
I pray this song everyday because I like the message. It's a good one in my life
❤❤❤❤❤
Hongereni sana kwa kazi nzuri. Mbarikiwe
Nzuri,mmetisha sana
Ahsante triff record
Hongereni sana hakika neema na baraka iwashukieni kwa huu wimbo mmeutendea haki kwa staili
Such a good song! Unatuliza roho@ Mombasa.
Inspiring song with well balanced voices.
2020 in meru and still the song is a blessing to me....naomba neemabwana naomba baraka bwana
wimbo mzuri sana , mpangilio wa sauti pia upo vizur hongeren sana kwa kujitoa kumutumikia MUNGU Asanten sana kwa uinjilishaji wenu
Nice one
Kazi nzuri, kila mwenye pumzi na amsifu mungu
safi wimbo mzuri
A blessing song indeed,naomba neema...naomba baraka bwana.
Dear lord,am trusting you for a spouse
We keeping praying dear, our Lord will one day answer our prayer!
Nice way to start my morning
This is such a bang! Amazing composition. Huku mjini Nairobi, tumeikubali
pamoja
It takes away my solos
kwanza hapo kwa composition... F Jissu iz blessed with talent! my favourite composer
Tunaomba neema vijana wa Nazareth
Hongereni waimbaji wimbo mzur , naomba baraka bwana congratulations
The song is full of blessings I feel blessed
Naomba copy ya wimbo ni mzuri umetulia kama waimbaji
Tukizindua tutakupa kaka Ahsante sana
Fireeeéeeee
Nice song...Mungu nijalie baraka na neema katika maisha yangu
Amina wimbo mzuli mbalikiwe
Mpo vizur wadau... Kigago changu aisee big up Nazareth
Mko vizuri mnamtukuza Mungu kwa njia ya Nyimbo zenu mbarikiwe
Amina,hongera kwa kazi nzuri mbarikiwe sana.
Hongereni kwa wimbo mzur barikiwa san
Naomba neema Bwana naomba Baraka Bwana barikieni mno sauti nzuri organist nae yupo vizuri
Mbarikiwe
Hakika wimbo mtamu mungu atupe baraka na neema
Kila hatua nipitayo naomba Neema Bwana Naomba Baraka Bwana
M meimba vizuli sana namimi natakanijiunge na nyinyi
Wimbo Mzuri Sana mwalimi🎉🎈 ❤
Nice song touching everyone who listens to it. Is a prayer 🤲🙏
mbarikiwe sana kwa utume...
Asanteni kwa nyimbo tamu mbarikiwe Sana
xxx
Ahsante kwa wimbo wenu mzur mungu awabarik by kigoma
Naomba neema mungu na baraka mwaka huu wa 2020 tuziidhie afya njema ,baraki kazi yangu ya ualimu,familia yangu na nizidi kukushukuru kila wakati
Great
Nyc one
Mungu awabarik kwa kaz nzuri
be blessed
Hakika naomba neema Mungu wangu
Naomba neema naomba baraka,Hongera sana
This song is really amazing be blessed
So inspiring .So Blessing and touching
Ipo vizuri Sana omengra Mungu awabariki
Good Job👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾😇
Wonderful....
Naomba neema naomba baraka
I will play it when going for my visa
wimbo saaafi sana. Nawapongeza kwa kazi nzuri.
Good song i love it
congratulations keep moving on this fellowship
Contact ya jisu ama mashibe
Mamb
MMENIBARIKI SANA.........
Hongereni mno
Ahsante sana
Kazi ninzuri vijana tusichoke kumtukuza mungu
Mmenitakatifuza sana kwa wimbo huu aisee mbarikiwe sana
Hongereni sàna. Wimbo mzuri,umetulia
I goes to that church
Mashallah
Naomba neema Bwana naomba baraka bwana am blessed with the song
Mumeimba vizuri
Is a nice song
Ee bwana naomba neema yako maana bila neema zako siwez kitu Mungu awabariki sana waimbaji
Mungu awa bariki
Naomba Neema Bwana.... Asante sana Jissu bila kumsahau organist wetu Ayub Myonga
Hongereni sàna. Wimbo mzuri,umetulia
Mbarikiwe sana, naomba baraka.
Amina. 🙏
Naomba Neema Bwana
Asante Mungu wetu kwa huu wimbo mtamu hivi bariki hii choir na kuijalia neema na hii baraka wameimba in Jesus Name Amen Amen 🙏🙌👏
Nimejisikia kama niko nyumbani ludewa/lugarawa ..mungu awabariki kwa kazi nzuri..
huu wimbo unanifariji Sana 🙏bado ninamatumaini na iman na Mungu atanitendea
Wimbo mzuri LYDIA Wangu upo nahitaji cd
Mungu awabariki wote
Wimbo mzuri sana, majiran karolilwanga mtwango tuna wapenda mno
Je suis fière de vous nawapende sana
Tumtegemee mungu kila wakati maana ye ndiye mweza waza was yote