DOTTO MAGARI AWAPA MAZITO MWIJAKU NA BABA LEVO/WABEBA MA BOX/NIBALAA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2023
- Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
DOTTO MAGARI AWAPA MAZITO MWIJAKU NA BABA LEVO/WABEBA MA BOX/NIBALAA
#Bonatv #Exclusive
#diamondplatinumz #harmonize #nandy #marioo #zuchu #alikiba #rayvanny
#yangasc #simbasc #ligikuunbc #mayele #alikamwe #ahmedyally #hashimuibwe #wasafitv #live #millardayo #ayotv #entertainment #soundcloud #spotify #podcast #vlog #music #newmusic #1ontrending - กีฬา
Nakubali kazi zako lkn kwenye issue ya kumpongeza kibaraka hatukuungi mkono
Doto uko vizuri nakufollow sana chidy magari mtoto wa mama kizimkazi mwanza
Nimecheka sana panki kama mcheza x aisee dotto inatosha
Azizi Garage number one international
Chogo la mcheza x 😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂
huyo mama barabara za mwendo kasi zinajengwa miaka miwili doto kapagawa akiri huna mda mwingine totaapo doto chizi
Naomba namba ya dotto magari
Dotto yuko vizuri
mungu kesha kubariki
Mtoto wa mama kizimkazz uko juuuuu😂😂❤
Doto Matata huyu 😂😂😂
Nyereeeee
Nijipendekeze wakati Mimi nipo kule, unaakili kweri wewe ahahahahaha
Mama bongo
DOTTO Sisi tuko ujerumani magari yetu tutaleta huko na Sisi watu wa Kenya tupe tshirt
Dotoo unazingua mdaa mwinginee watoto wa mama sii wanahakee kwani nawewe ukoo ivoo Kama juma rokoree
Camera man mpumbavu onesha magari anayo yanyoosheq
Doto magari huna baya mama ndio kila kitu
Tupeni no ya fundi azizi.ndoto toa no ya azizi au location
Dotto magari tutumie na huku kahama
Ss Dotto diagnosis ndo inakushinda kutaja 😂😂😂😂
😂😂😂😂 Unabaya ukifa auwozi naapa ipo😂
Na hapa ipo
😂😂😂😂😂
Miaka 200😂😂😂
Dotto uwanja wa kwako.......
unampenda mama wa kambo samia
Doto shobo gar oman wanafachungia ngamia izo hazinaishuuu uku
Na Sukari zenu za 4000😭😭😭😭
Atakama sio langu mbona ninalo mm😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂dotto
@@user-pt4ft7ow1s uyo ndio doto😀😀😀😀
Naapa IPO mamakizimkazi
Uyo mama yako wewe dotto
😂😂😂😂
Anamsifia mama wa kambo wanini kwani huyu ananyanyasa kisa ugali aliotulimia baba yetu hayati Magufuli lala salama wanao tunateseka ukiwani Tz
Ukiona unampinga mama samia tunajua wewe ni mkristo moja kwa moja inshaalwah 🤲🤲 twamuombea akae madarakani hadi 2030kwa kudra za alwah subuhanah wataalwah atamaliza iyo miaka
Sijakuelewa..? Kumpongeza kwa lip? Ebu dadavua kidogo nasi watanzania tujue... au kwa kugawa bandar yetu?
Kav
Chawa
HIVI HAWA WANAUME WA TANZANIA KWANINI WASIHAMASISHE HOSPITAL ZA WAZAZI ZIBORESHWE? WANAKAA KUONGEA UJINGA. SHENZI😢
Queen huyo mzaramo hajui kitu yuko kwenye upambe wazazi wanskufa hovyo vitanda wanalala wazazi watatu watatu walimu mashuleni wachache madaktari wachache mahospitalini na manesi upumbavu mtupu anaosifia bila kujitambua mzaramo huyo kazi kusifia bila kutoa masahihisho
Queen hamna kitu hapo kama sisi tunataka maendeleo wazaramo hamna kitu hao kelele tu
Mama unadaiwa vikobaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanaume wa Dar wakina mwijaku baba levo dotto magari na wakina jumalokole ukiwakuta mara nyingi kusifia na kugombea wanaume wenzao.Huyu naye kaamua asifie rais wake kwa kumuita mama,wakati unaweza kushangaa hata mama yake mzazi hajawahi kumsifia hivi dahh.Hili pia liwekwe kwenye katiba mpya.
uyo mamaako wewe kila kitu mama kizimkazi wa nyoko piga story bila kumtaja uyo rais ana kupag nn
Wacha wivu
Mpaka 200 atakuongoza wewe na mama yako mbwa wewe
Kwenda kule, mama mama kitugani
KUMBE WEWE DOTTO NI MPUMBAVU MKUBWA ETI WATOTO WA KIZIMKAZI MBWA WEWE KWA LIPI ANALOLIFANYA?
MNATAFUTA KIKI ETI HALAFU WEWE CHUNGA SANA KAULI YAKO BOYA WEWE SISI TUNA WAZAZI WETU WALIOTULEA NAKUSOMESHA HUYO MAMA SAMIA NIKAMA DADA YANGU HAFIKII HATA UMRI WA MAMA YANGU
Unamongonyolewa wewe
Watanzania mtabaki nyuma kimaendeleo na kidemokrasia kwa kuzidi kuabudu Chama tawala huku nchi mmeuzia mwarabu. Hapa Kenya tunatambua gwiji moja tu (Tundu Lissu) Hawa wengine ni walevi wasio na masomo kazi ni kelele na uchawa. Nchi haina Uhuru WA habari wala huwezi wekeza huko Tanzania, mkenya anachukuliwa kama mzungu, vikwazo viingi na uswahili WA unafiki. You far away from democracy my friends. Get out of your primitive and get education to free yourself from oppression.
What a way to waste your time. Rubbish
Tupeni no ya fundi azizi.ndoto toa no ya azizi au location
Tupeni no ya fundi azizi.ndoto toa no ya azizi au location