UNITALENTSHOW|PERFOMANCE|SEASON 04|FUMAU (MNMA) - PENZI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ก.พ. 2023
- Ni msimu wa Nne wa mashindano haya ya Kuibua Vipaji kwa Wanavyuo wakiwa wanapambana kuondoka na 10M kwa mshindi wa kwanza,mshindi wa pili kusepa na 3M na mshindi wa Tatu kusepa na 1M
Endelea kufatilia Mashindano haya ambayo hukujia Kila Jumapili Clouds TV
INSTAGRAM: UNITALENTSHOW
TIKTOK: UNITALENTSHOW
PRODUCTION: MAROON ENTERTAINMENT COMPANY LIMITED
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #season04 - บันเทิง
Very talented young man..keep it up the future is yours..
So sweet unajuwa had nalala saa 7 kwa kusikiliza mashaili yko Unaniliwaza kwakweli nipo Omani Napambana huku kutafuta maisha
Yaan Broo unajua mpka unajua tenah❤
Swadakta
Kali sana
SoMo yangu hongera saana ❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂 Fumau wallah Allah amekujaalia kipaji kikubwa sana
Me nikikuona tu nafurahi
Wow..❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Very talented keep it up❤
Motoooooo
Hakika ni kipaji toka kwa Rabana
Uko sawa kaka
Gudi pafomensii🤣🤣 shinishapu!
Fumau nakukubali sana mwananchi mwenzangu
Saf kazana
Real
Entertaining
❤️❤️❤️❤️
Yes
Nakukubal
asee mpenzi wako anaraha zake
Litanikomw bando la ofa
uko vizuli
😇
😂😂😂😂😂
❤️❤️❤️❤️