Allahu Akbar, sheikh unasema kweli kuhusu jua, yaani hata hapa ulaya tunapo fika ktk kipindi cha baridi miti yote hupuputika majani yake utadhani imekauka! Tunapo ingia majira ya kipwa basi mimeya namiti hustawi nakupendeza zaidi,
Na hakika Sisi tulikwisha watuma Mitume kabla yako, na tukajaalia wawe na wake na dhuriya. Na haiwi kwa Mtume kuleta miujiza isipo kuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Kila kipindi kina hukumu yake. (QURAN 13:38)
MUHAMMAD HAKUFANYA MUUJIZA WOWOTE Huyu ni mwongo sana maana anataka kuwaaminisha watu eti Quran ina miujiza ilhali yenyewe yathibitisha Muhammad hakuwa na muujiza wowote. 133. Na walisema: Kwa nini hakutuletea muujiza kutoka kwa Mola wake Mlezi? Je! Haikuwafikilia dalili wazi ya yaliyomo katika Vitabu vya kale? 134. Na lau kuwa tuliwaangamiza kwa adhabu kabla yake, wangeli sema: Ewe Mola wetu Mlezi! Kwa nini usituletee Mtume tukazifuata ishara zako kabla hatujadhilika na kuhizika. (QURAN 20: 133-134) Na wamesema: Kwa nini hakuteremshiwa muujiza kutoka kwa Mola wake Mlezi? Sema: Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuteremsha muujiza. Lakini wengi wao hawajui. (QURAN 6: 37) 27. Na wanasema walio kufuru: Kwa nini hakuteremshiwa muujiza kutoka kwa Mola wake Mlezi. Sema: Hakika Mwenyezi Mungu humwacha kupotea amtakaye, na humwongoa anaye elekea kwake, (QURAN 13:27)
Usidhani waislamu ni Sawa na ninyi. Usiokote okote maneno ili utuyumbishe kwakudhani hatukasoma. Miujiza ya mtumie Mohammad s.a.w ipo mingi mno. Soma kwakuelewa, usisome kwakuokota maneno kishabiki
Mashallah hakuna kama quran nduniyan❤❤❤sifa zake pekeyake ❤❤❤❤❤allah akuzisheye dr.suleman elimu ❤❤❤❤ je wateza kutafiti allah❤❤❤❤❤❤
Dr sule mwenyezimungu akupe umuri mrefu wa kutuelimisha inshallah
Mashallah sheikh Suleiman Allah akuzidishie elimu na afya njema,Qur'an muongozo kwa walioamini
Subhana Allah yaa shiekh May Allah Almaighty protect and bless you in this world and the one to come.
Masha allah Dr sule Allah Akupe umri toili nije nikuone sikumoja nikisha lejea tz insha allah sijui nitakuonaje nipe muongozo katika ili
Allah akuhifadhi sheikh wewe na ma sheikh wote mnawo tupa tiba alhamdoulillah
Mashaalwah karibu TanaRiver County Hola Head
Maashaallah Allah akulinde akuepushe na mabalaa
Masha Allah sheikh wetu mungu akulinde, uwe mfano mzuri kwa watu amiin.
SWADAKTA ! MASHAALLAH ! 🙏🙏♥️♥️👋👋👋
Nam doctor sule Allah akufanyie wepesi katika kufikisha dawa
Hongera dr
Said Masoud Abali naomba mnijulishe Ivi doctor sule yuko wapi?
Docta sule mungu akulipe pepo. Amin
Mm naslim kwa moyo wangu wote.
Allah akuongoze
Mungu akubariki dk sule akichukuwa roho yako aweamekurudhia akupe shahad kabla l--maut
Mwenyezi Mungu a kuhifadhi Dr Suley kwani nimejifunza mengi toka kwako.
Mola hakuzidishie zaiiid dunian had hakhera
Mola hakupe reeehama zake
Mashaallah... Allah s.w akulind Dr. Sulley
Assalamu alaykum
Dr sule mashallah kwa kutuelimisha ktik madrasat muhammadi s.aw shukran unafahamika sana
Jazakallah khayr ALLAH akuzidishie umri
Masha Allah, napenda kusikia mawaidha yako sheikh sule nikiwa Madina - Saudi Arabia
Allahu Akbar, sheikh unasema kweli kuhusu jua, yaani hata hapa ulaya tunapo fika ktk kipindi cha baridi miti yote hupuputika majani yake utadhani imekauka! Tunapo ingia majira ya kipwa basi mimeya namiti hustawi nakupendeza zaidi,
Mashallahu mungu akubark shehe wetu nakupenda kwaajili ya Ashallah
Mungu akujalie kufikisha dawa
MashaALLAH kichwa hiki atar
Barakumullah. Jazakumullah kheir
Mashaallh Dr ALLAH AKUZIDISHIE ELMU INSHAALLH
#directormase
Allah akuhifadhi
Jazakalaah khaira dokta sule Allah akulinde na kila Shari
Docta, Apa ni mwanafunzi wako toka Congo D.R.C : Habibi SADAM musa mazinge naku penda saaaana , Allah akupe kila la kheri!
Mungu akulpe aminn
0721886009 ppppppppppppppppp
Allahu Akbar... MASHAA ALLAH
Jazakallah khayr
Bonjour Mr Dr tu es intelligent intellectuelle musulman.
Ma sha Allah
Qq TV
Shukraniii Dr
Sikuzota Allah nimkumwa kazamoyo usifunwa nawanafiki
Takbiir allahu akbar
Shukran ya shekh
JAZAKALLAH KHEYR
Allah(s.w) akupe umri mrefu sheik sulle
Subhanna Allah. Allahu Akhbar
Allah awalipeni hery
Mashaallah.
nimepata vitu.kwa doctor.mungu atakulipa.inshalah.
Shukraniii shekhe wangu
Ila Dr Sulley wewe hatari sana! Nakuombea kila lenye heri nakupenda kwa ajili ya Allah wallah
Yanii acha tyu
Upo vizuri doctor
MA SHA ALLAH
Takibiiiiiiirii
Allah akbar
Allahu akbar
MashaAllah Allah akuzidishie InshaAllah
Asalamu Aleikum dr sulle naomba namba yako ya simu inshaala
Mashaallah Allah akupe umr mrefu shekhe
Shikamoooo Dr.sure utabaki kuwa juuu
Niko mombasa nimefurahi kusikia unafungua kituo hapa
Mashallah uwe na furaha hadi siku ya kiama inshallah
@@emaema2603 powa mzima
Alhamdulilah
Masha Allah
Unatupoteza shekheee
Allah akulipe khery ,,,,dar es salaam klinik yako inapatikana dr sulle
M/Mungu Mkubwa
Mwenyezi Mungu akubariki
Aaw nakuelewaga Sana shekh wangu!
Vp kuhusu namba sifuri mzee
IKULU BABA
Mashallah
Zinap Zinap alhandulih.docta.mungu.akupe.umrii.uzid.kutupa. gher.dunia.na..aghera
Zinap Zinap .
X
Allahu akbar allahu akbar allahu akbar
Ishaallah
Allah Akbar, .maashallah
Unaweza mzee baba
jazaka nllaahu kher
mashallah Allah akupe umri mrefu shekh Sule
Kuna uwezokoni nikapata number ya Dr suley please
A, aleikum mm Kanaan Amour Rajab from Zanzibar swali doctor sule vp mtu anaweza kuingiza damu katika mwili au mpaka ule
Unaeza kuzidisha damu kwa aina flani za chakula na mboga, na pia kwa vidonge va iron
Maashaallah maashaallah maashaallah
Jamani nakupenda unavyoa mawaiza napenda
Mombasa mnapatikana wapi can't you tell us where we can get u we realy need help In shaa Allah Allah will pay u
Try this number belongs to him +255 715 589 502
Assalam Aleikum,ndugu zangu katika iman naombeni msaada... Mwenye namba ya Dr.Sule anisaidie kwa ajiri ya Allah(s.w)
+255 715 589 502 (Namba ya Dr Sule)
Koroani raha sana,mungu ikonawalimu kabisa
Mashallaah Waallaah
ManshaAllah 🙏
takbir
mwenye number ya Dr Sule tafadhal aniwekee.. jazakallah khayr
(+255 715 589 502 )= namba ya Dr Sule
Ma sha allah
Takbir
Osama Shakeb
Sawa
Zidi kutuelimisha. Shehe.
Nahitaj namba yw Dr. Sule... Mume wangu anapenda sana kumsikiloza halal bila ku google mawaidha ya Dr.
mashallah
+255 715 589 502{ namba ya Dr Sule}
Mashaallah
Na hakika Sisi tulikwisha watuma Mitume kabla yako, na tukajaalia wawe na
wake na dhuriya. Na haiwi kwa Mtume kuleta miujiza isipo kuwa kwa idhini ya
Mwenyezi Mungu. Kila kipindi kina hukumu yake. (QURAN 13:38)
MUNGU AKUPE MWISHO MWEMA AKUPE NURU KTK KABURI LAKO AKUPE WAZUNGUMZAJI WEMA K T K KABURI KAKO AICHUKUWE ROHO YAKO AKIWA AMEKURIDHIA KWAREHEMA ZAKE😢
amiiiiin
Jazakalahu kheyr
Lakini shekh mi nataman nikuulize swari kama mungu aliumba mbingu alikuwa anaishi wapi kabla ya kuumba mbingu
iyonikazi ya allah
Takibiriiiiiiiiiiii
Swadakta
Alhuu akibalu
jazakallahu her
Suleyman Msafiri mashalla
Hakuna mtu atakua shahidi mzuri kama mmungu unaweza kuduhlumiwa lakini mmungu ndio shahidi alikuako siku hiyoi
Professor Sure
MUHAMMAD HAKUFANYA MUUJIZA WOWOTE
Huyu ni mwongo sana maana anataka kuwaaminisha watu eti Quran ina miujiza ilhali yenyewe yathibitisha Muhammad hakuwa na muujiza wowote.
133. Na walisema: Kwa nini hakutuletea muujiza kutoka kwa Mola wake Mlezi? Je!
Haikuwafikilia dalili wazi ya yaliyomo katika Vitabu vya kale?
134. Na lau kuwa tuliwaangamiza kwa adhabu kabla yake, wangeli sema: Ewe Mola
wetu Mlezi! Kwa nini usituletee Mtume tukazifuata ishara zako kabla
hatujadhilika na kuhizika. (QURAN 20: 133-134)
Na wamesema: Kwa nini hakuteremshiwa muujiza kutoka kwa Mola wake Mlezi?
Sema: Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuteremsha muujiza. Lakini wengi wao
hawajui. (QURAN 6: 37)
27. Na wanasema walio kufuru: Kwa nini hakuteremshiwa muujiza kutoka kwa Mola
wake Mlezi. Sema: Hakika Mwenyezi Mungu humwacha kupotea amtakaye, na humwongoa
anaye elekea kwake, (QURAN 13:27)
Asalam alaikum sheikh naomba number yako ya simu ya whtps niko Europe tafadhali
Usidhani waislamu ni Sawa na ninyi. Usiokote okote maneno ili utuyumbishe kwakudhani hatukasoma. Miujiza ya mtumie Mohammad s.a.w ipo mingi mno. Soma kwakuelewa, usisome kwakuokota maneno kishabiki
Namkubarigi ila changamoto hawez kusteak kwenye mada moda ona kaanza na dunia umbaji kaamia kwenye solar system kaja jua anazingua
MASHAALLAH
Usitudanganye ww unakashfu vitabu vya dini nyingine
Sheikh baraka Llahu fiika je sisi tulioko Uganda tafadhali majibu 0789878452
NAKUPENDA SANA♥️ NAOMBA U SAPOTI CHANNEL HII KWAKU SUBSCRIBE CHANNEL HII, ASANTE
th-cam.com/channels/Yakm4NCPqH_JY0id0eYnpg.html
Atutaki🤣
masha Allah