Mimi ni shabiki wa WCB Wasafi wa kindaki ndaki, lakini hii ngoma Harmonize kauwa, tuwe wakweli sometimes, ina ubunifu wa hali ya juu, kuna ushindani wa hardcore rappers and sweet hip hop rappers, imeuwa sana... yaani ndio nyimbo pekee ya Harmonize mpaka sasa nimeiskiliza mara 10 ndani ya lisaa...
pesambili mbatuka, either umetoka kijijini juzi au wewe ni Mkenya, Nina asilimia 100, ndio maana Kiswahili haujui... nimesema mimi ni shabiki wa wasafi kindaki ndaki, maana yake yaani nitawashabikia maisha yangu yote, siwezi nikamshabikia mtoto alie mkataa baba yake Diamond Plutnumz, Harmonies simkubali kabisa kwa kila kitu, yaani akirudi wasafi pale atakua wamwisho, na kwenye nyimbo hii nimesifia ubunifu, wa kuleta watoto wale wote, na wameichangamsha sana ngoma, Harmonize ajaimba kitu, wale watoto wamembeba, lazima tumpongeze kwa hicho kidogo tu...
NGOMA KALI SAAANA,,Ila Ngwair daah,Rest in peace mwamba,umeinspire Rappers wakali sana tunainjoi now,kina country boi,young lunya,moni,billnass na wengine kibao,umetuachia sound poa sana kwenye Rap game,Pumzika legend,Thank u for the music Albert Mangwea,We love u bro #Bedroom ngoma imetulia,alafu umefanya sawa kutokuwepo kwa verse ya ney,sio kwa ubaya ila Verse ya Rosa ree inamaliza ngoma kabisa yaani,kila mtu katisha humu ndani,ngoma ndefu ila fupi.
Turudi kwa Darasa daaaaamn lazima awe surprised Moni ceeeentroo men, Billnass na sauti za paka..hahahah Goddess Rosa toa vitu... Luuuunyaaaa.... Kitu cha motoooooooooo sana hiki
I like this song because of how the rappers are jumping in lakini konde boy unge include our own OG Papa jones he de kill it Man 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ...likes za Kaligraph Jones hapa..kama unajua Jones ange kill hii Mix.
Harmonize-100% Darassa-98% Country boy-99 Young lunya-81 Bagdad-75 Salmin swaggz-96% Mon centrozone-87% Bill nenga-97% Rosa Lee-98% Kaz kubwa sana hiii... Sikutegemea aisee chemistry iko njema..... 100% 100% 100%
From 254 This guy called young Lunya I saw him on an interview ya refresh few days ago I was so curious to know him.. Searched all his song This guy is Fiiiireeeeee.... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.. I love his delivery... He is the guy to watch... Meanwhile credits to team konde awesome project.. Konde boy to the world...
Omi Gabriel indeed the project is on another level, surely East African music is heading to the global stage believe me, boys no retreat no surrender, stir up the fire 🔥👏👏👏🇹🇿
Konde boy is kind of person who always want the best for everyone around him God bless you king 👑💯 your inspiration to the young people stay blessed All love from South Sudan 👑💯🙏
Bedroom is such a big tune ,ilikosa OMOLLO tu ndio iwe baddest lakini....Darassa👏👏his awesome,pulled the carpet on this song daah! Rosaree naye,nani kama yeye ..she is wooaah!!🤗Baghdad gave this song it's true meaning,fuain,I say fuain like wine😜.Salmin got melody...this is someone to watch out for 🤫.Bilnas daaah!daah! Need I say more?
Jojo krispo Jojo krispo hakuna kitu mpya any other person would have spiced up, not even Blue Byser or Ney wa mitego, the kids are the best rappers around and they did their thing to full perfection. Damn! this is a boom! 💥💥💥💥🔥
Harmonize is one guy who shouldnt be underestimated at all, he knows what he wants and what the people want too and he gives at the right time I must confess bedroom is hit back to back. Bless up man.
I'm not even mad Rosa Ree came out last in the video because SHE. KILLED. IT!!! Hands down, the best on this track. Billnas and Salmin was also pretty good but Rosa Reeeeeeeee!!! Oyaaaaa!
Si umezoea wazungu leo na mwanga hadi wachaga. Bilnass🙌🙌
Tutaanza na kimoko cha awali cha pili cha Ajali cha tatu utakubali..
Tagi LA wanalizombe Juu
Baghdad mtu M bad"🙌🏽
Konde Boy... nice collaboration 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya we are watching ...wapi likes za Harmo na Mr Burudan mwenyeewe
Darasa is always fire...
Lakini huyo Baghdad!!!
😎SOOO SMOOOTH
Baghdad shikamoo brother umewaonyesha vijana ukomavu mkubwa Sana, billnas respect too
Flow zake noma
Billnass hajainiangusha
@@maliqdapainkiller8203 ukubwa unamatter Sana boss
Flow new skuli kaonesha ukubwa kwa hawa wavibegi
Mimi ni shabiki wa WCB Wasafi wa kindaki ndaki, lakini hii ngoma Harmonize kauwa, tuwe wakweli sometimes, ina ubunifu wa hali ya juu, kuna ushindani wa hardcore rappers and sweet hip hop rappers, imeuwa sana... yaani ndio nyimbo pekee ya Harmonize mpaka sasa nimeiskiliza mara 10 ndani ya lisaa...
Mbona havihusian na WCB
Hassan Pyallah, kama wewe ni mtanzania na ni shabiki wa muziki utanielewa, lakini kama wewe ni Mkenya, pole... au Mganda pole...
Mdogo wangu unafel sana Nembo ya kampun ya WCB inafanya vitu vikumbwa Dunian ...Record mbali mbali
Mdogo wangu unafel sana Nembo ya kampun ya WCB inafanya vitu vikumbwa Dunian ...Record mbali mbali
pesambili mbatuka, either umetoka kijijini juzi au wewe ni Mkenya, Nina asilimia 100, ndio maana Kiswahili haujui... nimesema mimi ni shabiki wa wasafi kindaki ndaki, maana yake yaani nitawashabikia maisha yangu yote, siwezi nikamshabikia mtoto alie mkataa baba yake Diamond Plutnumz, Harmonies simkubali kabisa kwa kila kitu, yaani akirudi wasafi pale atakua wamwisho, na kwenye nyimbo hii nimesifia ubunifu, wa kuleta watoto wale wote, na wameichangamsha sana ngoma, Harmonize ajaimba kitu, wale watoto wamembeba, lazima tumpongeze kwa hicho kidogo tu...
Bonge la ngoma nzuri sana Konde Boy & Daradara 🎵🎧🎵🔊🎙️🎼🎨 wangapi wana mkubali Konde Boy na Daradara hembu shusha comment yako hapo au like hapo
Jeshiii
Vile unaikalia kwa juu kam unataka kutaga alafu unaibania kwa chini nikikaribia kumwaga....Ladies and Gentlemen I introduce to yuh Mr Darrrrasa😁😁😁
Sema billnass kaua humu ndani walah, Baghdad kapoa sanaaaaa, Rosa reee wewe cyo wa nchi hiiii🙌
Salmin Swaggz katisha daaamn Niunge mkono kama umekubalii kaenda sawa na beat
Dogo katishaaaa
Salmin wajinaa✊✊✊
DARASA ndo kaua mistar imetuliaaaa kinyamaaa, big up konde boyyyyyyy
Kaua Mzee hatari sana
Harmo ni balaa kakusanya marapa wote nimekubalii lakini kamsahau gnako fundi jaman
NGOMA KALI SAAANA,,Ila Ngwair daah,Rest in peace mwamba,umeinspire Rappers wakali sana tunainjoi now,kina country boi,young lunya,moni,billnass na wengine kibao,umetuachia sound poa sana kwenye Rap game,Pumzika legend,Thank u for the music Albert Mangwea,We love u bro #Bedroom ngoma imetulia,alafu umefanya sawa kutokuwepo kwa verse ya ney,sio kwa ubaya ila Verse ya Rosa ree inamaliza ngoma kabisa yaani,kila mtu katisha humu ndani,ngoma ndefu ila fupi.
Gucci sky huyo billnandy mtoe sio raper 😂😂😂😂 anaimba
How i wish khaligraph Jones OG mwenyewe angekuwa kwa hii Remix♥️ King of Remix
Unawaza kama mimi
Khaligraph Jones angeuwa hii beat Sana Facts 💯💯
Yeah og. .it could be more crazy
ROSE REEE...... UMEUWAAAAA KAMA COVID19 ......
Or even a couple of 2 other remixes with different artists.
Nenga mnyama....gonga like yujuane...mistar kuntu baba....next level....
Huyu mbwaa darasa kauwaaa😍😍 na huyu mjinga wa nandi kamaliz🥰🥰🥰 rosazalii kailelekaaa kene next level qmmke😂😂😂😂 Sasa huyu mzee wa kuanguka ndoo kaibeba wit corous respect
Rosa Ree never disappoints.. She killed it all the way.
Na vile Nina midadi manuaaa🙃🙃🙃🙃🙃 unaibania kwa juu nkikaribia kumwaga,leo simwagi tu wazungu namwaga Hadi wachaga
th-cam.com/video/LcYxo1zh-uY/w-d-xo.html
A girl from Argentina sung this song
💜💜💜
th-cam.com/video/buGEuKwv3ns/w-d-xo.html
Hahaha rose Lee kacha kinoma bolinas eti gigi ana mpa papa papa wemba lol noma
Killed it is an understatement lol she was raw AF, I had to rewind twice to make sure those were her actual words. Great flow.
Kama uko period basi njoo tubonge tu! 😂😂😂. Baghdad murdered his lines!.That was Epic💯
Hahah I liked That guy like wat a hell
Kumbe umeiskia na wewe?😁😁😁😁
@@maliqdapainkiller8203 yaaaah
I just love how Darassa starts his verse, perfectly gentle as he always is, this is a lovely remix me penda sana
Check out other works by Lunya as well; one of the best lyricists I've ever listened to.
So awesome
Nimependa your ngeli
Unifundishe tuition
@@dollyzash4744 I boy I love the youthful I need join the team you group is good however the only
1)Darassa🔥🔥🔥🔥🔥
2)Rosa Ree-goddess🔥🔥🔥🔥💯👏🏻👏🏻
3)Baghdad 🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻
Turudi kwa Darasa daaaaamn lazima awe surprised
Moni ceeeentroo men,
Billnass na sauti za paka..hahahah
Goddess Rosa toa vitu...
Luuuunyaaaa....
Kitu cha motoooooooooo sana hiki
This darassa guy is on another level manze,big up guyz kazi iendelee
barakadaplic
@billnass he kill up salute kwake
Nani ameona hiyo vesre.
Wametishaa...he nyimbo n motoo...yan wamebandika wakabandua uwiiii
Yani hujakosea kabisa kumuweka darasa wallah ❤️👌👌👌duh hivi vichwa hatari 😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘
Mashabiki wa konde boy kutoka KENYA like hapo chini
Kabisa...alafu kindly subscribe to my channel
th-cam.com/video/-3l5GOyPXmM/w-d-xo.html
We Ni konde mavi
ka upo period njoo tu bonge tu,
uyu ndie kawaficha wote
like za baghdad apa
Bagdad kaua sema hayupo kwa trend so wanamkazia
Goodluck Temu kaua sana
The song is fire
😍😍😍❤❤❤
Mwanangu una sikio kali yaan wwe kama mm Baghdad kaua sna idea yake ilikuwa tofauti anaemfatia mony centre zone
Darasssa is the best##huyu jamaa anaweza sana trust me...msikilizeni vizuri kuanzia flow hard mistari
Kama unaamini kwamba Baghdad kaua kwenye huu wimbo acha like yako hapa
kabisa amemaliza afu amechana huku ame relax hana tatzo
Baghdad ni motoo
Haysan Hassan kaua baghdad
Huyu jamaa ameweza sana
Ni konyo
Hii ngoma imenimalizia MB, Nimeunga bando jingine tena, Ngoma Tamu sana wallah, @harmonize
Haha nmekubamba blazaaa
Before the remix the song was lit ... now after the remix is the biggest tune ever.....ka unakubaliana nami piga like from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama unajua billnas ameweza konga like apa tukisonga
I like this song because of how the rappers are jumping in lakini konde boy unge include our own OG Papa jones he de kill it Man 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ...likes za Kaligraph Jones hapa..kama unajua Jones ange kill hii Mix.
anaweza kufanya nyingine zaidi i guess
Safi kaka tangoja lakini ngoma nzuri sana hapo
Kabisa OG shall be respected
Hiyo ingekua mix killer
@@piterasifa3757 unatambua OG my G
Harmonize-100%
Darassa-98%
Country boy-99
Young lunya-81
Bagdad-75
Salmin swaggz-96%
Mon centrozone-87%
Bill nenga-97%
Rosa Lee-98%
Kaz kubwa sana hiii... Sikutegemea aisee chemistry iko njema..... 100% 100% 100%
Jeshiii mtu mbaya
ROCKTV News baghda 100% afu lunya80% afu bil60%
Mwenye amemuelewa rose Ree kama mimi, twende sawa. I love the creativity in general 💪
Queen of Hearts you’re just horny 🤣🤣🤣
Rosaree kaua lakin sio kama Billnass na Baghdad just listen careful to baghdad rosaree n kama mtoto mdgo sanaaaa kwa baghdad
Wangapi bado tunatazama hii Ngoma 2024 Nov
Remix inatisha duuuh konde mtoto unajuwa Sana jaman like100 kwa konde boy
From 254
This guy called young Lunya I saw him on an interview ya refresh few days ago
I was so curious to know him.. Searched all his song
This guy is Fiiiireeeeee.... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.. I love his delivery... He is the guy to watch...
Meanwhile credits to team konde awesome project.. Konde boy to the world...
Young lunya killed it here tgis guy iz 🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Omi Gabriel indeed the project is on another level, surely East African music is heading to the global stage believe me, boys no retreat no surrender, stir up the fire 🔥👏👏👏🇹🇿
Kama umeskia bilnasi akisema UMEZOE NIKIMWAGA WAZUNGU LEO NAMWAGA WACHAGA GONGA LIKE
DARASA!!! that man killed the track, shout out to DARASA!!..
💯💯
I just love the level of Consistency that Harmonize Has. Wapi likes za Harmonize
Tunaomkubali konde boy tujuane hapa kwa like( mm Baghdad naona katisha kuliko wote)
Sure,very true..then Class
We jamaa una uono wa mziki
Sana, hajatumia nguvu lakini kauaa
Baghdad amewaficha wote humu ndani, amechana ame relax na bado uandishi una punch za kutosha🔥
Maneno yake pia Yana busara
Nakubliana na we 👊
Sana baghdad na darasa wamevunja sanaa
Nakubl
Baghdad noma sana aisee...kawaficha kweli
Fans Wa country wizzy🇰🇪
Michano mikali
Wakenya tunakubali konde boy gonga like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Konde boy is kind of person who always want the best for everyone around him
God bless you king 👑💯 your inspiration to the young people stay blessed
All love from South Sudan 👑💯🙏
Kila mtu ameonesha Unyama
Big up kwa YOUNG LUNYA 🔥🔥🔥
Ausio
Huyu Dem Rosa Ree amewafunika hawa wanaume, Kama unakubali gonga like.
Moni 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾yani ume stick kwenye content yani nime iskiliza verse yako vina kama zote afu vitu vinaeleweka 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Darassa na Rosaree waning'ara sanaaa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Great music, one love🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Lunya🔥🔥
Hao wooote watoto kwa baghdad losten to baghdad and billnass then you'll agree with me
Billinas ameua sana mtuu mbaya Rosa reeee
This remix is fire🔥 I wish I understood the whole words
Tanzania🇹🇿 show me some love all the way from Nigeria 🇳🇬
Adewale...dnt worry I'll teach u the language..
Yah
U guys really killed it,amazing👌👍rosa ree👌billnenga👌👌.Tunyonge kitu flani cha Ki Arusha.
jamaniiii awa wazeee wanajuaaaa embu like za CMG ROSA NA LUNYA NA NENGA naomba tukae sawa tukae quarantineeeeeeee
LUNYAAA NI HATARIII SIJAWAHI ONA UNYAMA ALIO UFANYA HUMU NDANI🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Binafsi naona kila mtu katisha mbaya kama na we unaona wote wametisha gonga like hapo tujuane wanakonde gang
Ngomakali
@@benzvidal🎉🎉
Nmeona nkusalmie make comment yako ni ya mda mrefu san ulo isha vp bado upo hai
We sumezoea kumwaga wazungu Leo unamwaga hadi wachaga verse from blinass like there
Darassa
Lunya
Rosa lee
Bagdad -> simfaham, na sijui ata kama nimepatia jina, lakini napenda how calm is his voice
Mnoma sana bagdad
Kaangalie foleni - Baghdad
jackie kippa bagdad fundi huyo mtafute uone kali zake
Faris jl I Will do it 😁
@@jackiekissa ata mi Cmjui jmn
#Rosa ree killer on the beat first lady Rapper in Est African🇹🇿🇷🇼🇰🇪🇧🇮 if u agree press like. fan from Rwanda
Rene arnold Patrick i'm here with you guy Ree forever
@@edwardmary1818 she will rise African soon
Darasa the headmaster himself katisha sanaaa na ma rapper wote wameteleza vizuri japo jmo angeingiza kitu kamaliza kazi
Huenda asingefiti hvyooo....moe yuko fasta mnooo...hii beat haipendi haraka...sikiliza flow ya BAGDAD
Noma sana mazee, Ila hiyo chorus ingepunguzwa kidogo.
Bado kuna nafasi ya remix III.
From🇰🇪🇰🇪 Kenya wapi likes za Rosa Ree
Rosa Ree 💥💥💥rada chafu she killed the only lady..collabo kali✌
Rosa Ree ametisha kinoma,levo zingine kabisa
marcootheekid damn this girl is a bomb 💣
@@alfredlaurent1728 kweli mnoma
@@saidawairimu830 Exactly😛
Salmin swaggggz.... Umeua mdogo angu🙌🙌🙌🙌 wakubwa lazima wakubalii
Papa Jones, Byser, G nako na Nikki mbishi wamekosaje humu, we need another remix
Kama unaamini beat limekosa OG and Blue byser ingeua zaidi,gonga like twende sawa..
Nay wa mitego WAPI KAIMBA???
Yes
Khaligraph Jones angeua hii izikwe Kama marehemu wakorona
Kama unaskiza huu wimbo ukisoma Comments like hapa,,Kondegang for life
Bedroom is such a big tune ,ilikosa OMOLLO tu ndio iwe baddest lakini....Darassa👏👏his awesome,pulled the carpet on this song daah! Rosaree naye,nani kama yeye ..she is wooaah!!🤗Baghdad gave this song it's true meaning,fuain,I say fuain like wine😜.Salmin got melody...this is someone to watch out for 🤫.Bilnas daaah!daah! Need I say more?
Best comment 🙌
Khaligraph juu ya ngori
Bana😂
Kabsaa OG amekosekana hapa
Jojo krispo Jojo krispo hakuna kitu mpya any other person would have spiced up, not even Blue Byser or Ney wa mitego, the kids are the best rappers around and they did their thing to full perfection. Damn! this is a boom! 💥💥💥💥🔥
Big up men doing good job,,, collaba imeweza Mzee baba TOP zaid #kondegang#supermuzik
Tumekatazwa mabusu maaa,niruhuusu Ata nikutazame nusuu SAA daah Baghdad sijui anakwama wapi mkali mno
Konde gang for everybody ......jamani nipeni na mimi hata like kumi tu
Wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunominate huyu dogo Young Lunya kwa Khali Cartel 4 bana🙌🏾
He got potential 💯
Zii haiwezi
@@mindsetkenya3858 sawa najua kwaa akili unafkiria willy paul
Wapi likes kwa Baghdad Na darasa flows org San budaaaaa
th-cam.com/video/ngwomwFt2os/w-d-xo.html
Noma sana
Weka like,kama unataka Kenyan version...IFIKIE ,KONDE
Baghdad all the way... what a flow!.. without even trying🔥🔥
Hii ngoma inatosha kabisa kupindua WCB🚶🏾🚶🏾
@Dog Trener ya kwako iko wap
km umeona unyama ulofanyika umu ndan gonga like twende sawa jeshiiiiiiiiiiiiii
Konde, jeshii, rose ree, wameua game
Young Lunya Ameua Na Bagdad 🔥🔥🔥🔥
Vibe la country boy na flow ya Salmin Swaggz co poa🔥
Rosa ree🙌🏿
Kama umeelewa flow ya young lunya na baghdad gonga likes 500 hapa tujuane
Harmonize is one guy who shouldnt be underestimated at all, he knows what he wants and what the people want too and he gives at the right time I must confess bedroom is hit back to back. Bless up man.
Billnas kauwa sana ila darassa amependelewa na directar kwenye video ameolewa rangi nzur
Jeshiiiii
Darasa Lunya na rosa ree wamewafanya wooote mlio jilapisha umo washamba nyie#konde boy salute BONGE LA CHORUS.
KONDEBOY 4 every bord 💯 Darassa katisha sana🇰🇪
6:11 Nenga,Billnass daah umeua saaana Bwanake African Princess😂😂😂😂💯💯Unajuaaga saana bro mpaka unakera jameni💯💯🚀👌👌
Rosa ree....... The African Nick minanj who else is supports this?
Ulime shamba kama unabulldoze Rosa Ree mama..moto sana...much love from Kenya
When I listening to this song I just have to close my eyes and feels like I’m on vacation 🏖 who else repeat on Darasa Verse ???!
Young lunya
Nasty c paste
Baghdad kaua flow
Bill nengaaaaaaa
Darasa🙌🙌
Rosaaa ni hatariii
Likes kwa rosa ree 🙌🙌🙌
Hlw Norah
@@gfreygfrey4980 hello
Insta unatumia jina gan
@@gfreygfrey4980 nonofk
Nomer
Damn, imagine Sarkodie on this also, he woulda bodied this beat. Stand up Tanzania 🙌🏾🙌🏾. Luv from Ghana 🇬🇭🇬🇭
DJ Massa Filla just imagine sarkodie..would have been too massive..
Exactly
He would have buried it
DJ Massa Filla sure sarkodie is a finisher!
Sarkodie could make em all feels shy😃😃😃
Nouma sana Hii Ngoma mean Always naiyona Mpya tuuu
Kim's B Papa
🙌🙌🙌🙌💪💪
💥🙌🙌🙌
Roma pia angeuwa
Billnass katisha na mwenzake Country boy kama unaamini weka like yako twende mpaka kwa Rosa Ree
Respect to Darasa the guy is very serious with assignments.
huu umoja ndoo tunautaku kwenye gem la bongo, nimefurahi saana
😂😂😂
That's a dope comment!
😂😂😂😂😂
Mwamba sana DARASA hatuana vibaya
#Young
💪🏾💪🏾💪🏾 Baghdad,Nenga,&moni wameuwa sio powa
Darasa Musiki🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 Tisha sana brodah
Km umerudi kuangalia hii nyimbo zaidi ya mara moja like yako hapa👇👇
Repeat (1)
Nmemuelew bagh knom😇😇
Ni.balaaaaaaaa
Hii ngoma ni kali bila kuficha ukweli
kama na we una maono kama mimi gonga like hapa
KONDE BOYS+KONDE GIRL(ROSA REE)
Konde gang 4 life
Kama kwel unaamini konde :oy anaweza na anAjua kuachiya ngoma kali weka like yk hapo chin
Kabisaaaaa
sio siri yuko na uwezo sn konde
Konde boy 4 every body
Rosa Ree Killed it! Nasty as Hell!
Jamani nipeni likes kwa Rosa Lee Na Billnas lakini kaimba matusi sana
Monicentozon ameua bn
I wish you only did the remix with Rosa Ree coz she killed it she is the OG , or even put her verse first she is goood
Yaaah Rosa ree nailed it with her fucking verse..
Rwanda tunapenda konde gang watanzia wanaomkubali Kama Mimi likes zenu tafadhari
Guuda
I'm not even mad Rosa Ree came out last in the video because SHE. KILLED. IT!!! Hands down, the best on this track. Billnas and Salmin was also pretty good but Rosa Reeeeeeeee!!! Oyaaaaa!
Saving the best for last
Goooooooodesssss