SIMBA SC Yatangaza Wachezaji WAPYA Kumi(10) WALIOSAJILIWA Dirisha Kubwa la Usajili 2024/2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 81

  • @CosmasFrancisco-d6e
    @CosmasFrancisco-d6e 3 หลายเดือนก่อน +4

    Me Francisco cosmas luzunzu from geita nawaomba wasajili wa Simba spot clb wafanye jitihada za usajiri tumechoka kuwa nyumba kila mwaka

  • @NuhuMshiwa
    @NuhuMshiwa 3 หลายเดือนก่อน

    Napenda Simba

  • @DaudiMarco-yg8ky
    @DaudiMarco-yg8ky 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naipena sana simba hadi wisho wamaishayangu❤❤

  • @0marykitogo
    @0marykitogo 3 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja wengine wanaiga yetu

  • @KephlenMarco
    @KephlenMarco 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤simba

  • @juliusswai8266
    @juliusswai8266 4 หลายเดือนก่อน +1

    Julius Swai from Arusha,ninaombea simba iweze kusajili wachezaji wazuri

  • @SabrinahJuma
    @SabrinahJuma 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nina imani wachezaji wanaosajiliwa watafanya vizuri kwenye timu yetu ya simba❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @IDDYNadoJuma
    @IDDYNadoJuma 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni shabikki la Simba kutoka DSM❤❤❤ I love Simba

  • @DottoSadick
    @DottoSadick 3 หลายเดือนก่อน

    Napenda tm yangu ya Simba isajili vzur

  • @AbdulkarimKipanga
    @AbdulkarimKipanga 3 หลายเดือนก่อน

    Good registration

  • @MagrethJames-sl4co
    @MagrethJames-sl4co 4 หลายเดือนก่อน

    Naipenda simba simba nguvu moja❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @msifunEliuf
    @msifunEliuf 3 หลายเดือนก่อน

    msifun kutoka ngara ,kagera❤❤❤❤❤

  • @BudoleNindwa
    @BudoleNindwa 3 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @BarakaMwandabh
    @BarakaMwandabh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safisana viongozi wetu tunawamini kwenye usajiri simba yetu ❤❤

  • @SalumuKasuka
    @SalumuKasuka 3 หลายเดือนก่อน

    Watatosha mbona niwachezaji Bora sana

  • @RizikiSimwita
    @RizikiSimwita 4 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana vingozi wa simba

  • @CasianLawa
    @CasianLawa 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba wasaji vyuma kweli kweli tumechoka kuitwa mwaka robo

  • @BenjaminiJotham
    @BenjaminiJotham 3 หลายเดือนก่อน

    Fanyeni kweli kwenye usajili Simba nguvu moja

  • @JeremiaZezema
    @JeremiaZezema 3 หลายเดือนก่อน

    Nishabiki was Simba mwanza

  • @YasintaMr
    @YasintaMr 3 หลายเดือนก่อน

    I love simba

  • @IsoMkisi
    @IsoMkisi 3 หลายเดือนก่อน

    Kama nikweli basi Simba iko juu

  • @IddiSaid-m5q
    @IddiSaid-m5q 4 หลายเดือนก่อน

    Wako sawa

  • @MerrycianaJulius
    @MerrycianaJulius 3 หลายเดือนก่อน

    Mohamed marco kutoka nzega tabora simba nguvu moja tuache majungu tuwashabikie wachezaji wetu na tuwaombee kwa mungu wawe kitu kimoja waoneshe ubora wao Ili tumuaibishe mtani msimu huu alambe garasa namini hilo linawezekana tukishilikiana.

  • @ShabaniOmari-ey4ih
    @ShabaniOmari-ey4ih 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana viongozi sisi bado tunaimani na timu 🎉😢yetu wao nawaseme tu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana tena sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Rechopaul28
    @Rechopaul28 4 หลายเดือนก่อน

    Naipenda simba napatikana dodoma❤

  • @SamwelLaurence
    @SamwelLaurence 4 หลายเดือนก่อน

    Big up San never give up

  • @VehaelKisabua
    @VehaelKisabua 3 หลายเดือนก่อน

    Simba mimi ninacho omba siku zote ni kumlinda au kuwalinda madalali ndiyo wanao tuuwa sisi wanapo mtafuta mchezaji hawana niya bali niya yao chochote kitu ndiyo maana timu yetu inashindwa kufanya vizuri

  • @ZachariaMwita-bu7rw
    @ZachariaMwita-bu7rw 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makini san

  • @EmmaFaith-vo1ol
    @EmmaFaith-vo1ol 4 หลายเดือนก่อน

    Simba nguvu moja

  • @Wizdom-oy8xf
    @Wizdom-oy8xf 3 หลายเดือนก่อน

    meja from mahenge ulanga simb nguvu moja

  • @AugustinoMpiluka
    @AugustinoMpiluka 4 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Augustino mpiluka iringa mufindi nzivi naipenda sana timu yangu ya simba.

  • @ElionaKaaya
    @ElionaKaaya 3 หลายเดือนก่อน

    Dayna v. Naomba viongoz wa Simba msituangushe Tena kwenye tope zito jeus la moto Sana. hao wakina mkwala na uwanjan iwe nimwendo wa mikwala haswa mimi ninamaumivu makali ajabu😢

  • @GaudensInnocent
    @GaudensInnocent 3 หลายเดือนก่อน

    Mbozii

  • @athanackihongole4887
    @athanackihongole4887 3 หลายเดือนก่อน

    simba nguvu Moja mafinga mufindi

  • @MerrycianaJulius
    @MerrycianaJulius 3 หลายเดือนก่อน

    Mohamed Marco kutoka Nzega Tabora ushauli wangu katika banchi la ufundi Juma Mgunda asiachwe nae awepo ktk kitengo hicho tulud nyuma tuangalie uwezo wake mkubwa huwa tunampa timu mbovu lakin anakua makini mpaka anatuvusha pagum wanasimba tuone aibu .

  • @shometiKangai
    @shometiKangai 4 หลายเดือนก่อน

    Usajili nimeukubali hakish bakari nondo mwamnyeto anapatikana

  • @AbtwalibMfanga
    @AbtwalibMfanga 3 หลายเดือนก่อน

    Xawxaw uñyama no mwingi🎉

  • @khalidMulife-tz8oi
    @khalidMulife-tz8oi 3 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @AngelIsack-sd4qy
    @AngelIsack-sd4qy 3 หลายเดือนก่อน

    💓💓chumy chumy💞💞

  • @MabulaMihambo
    @MabulaMihambo 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @StivinMachume
    @StivinMachume 4 หลายเดือนก่อน

    Simba mnatukera viongozi mjiuzuru

  • @AbtwalibMfanga
    @AbtwalibMfanga 3 หลายเดือนก่อน

    Xawxaw uñyama no mwingi

  • @EmanuelMwanshuli
    @EmanuelMwanshuli 4 หลายเดือนก่อน

    sana viongozi wetu

  • @MajaniElias
    @MajaniElias 4 หลายเดือนก่อน

    Tunahitaji sis wanasimba kuwa na furaha endapo usajiri huu utakuwa ni kweli

  • @KamiliusMsilu
    @KamiliusMsilu 4 หลายเดือนก่อน

    Hesabu hiyo viongoz tunashuru simba nguvu moja

  • @SufianiKasimu
    @SufianiKasimu 3 หลายเดือนก่อน

    Mim ni mshabiki wa simba kutoka gombelo tanga

  • @ThomasMngulu
    @ThomasMngulu 4 หลายเดือนก่อน

    Nipo ddm town

  • @HamedSaid-v8n
    @HamedSaid-v8n 3 หลายเดือนก่อน

    jaman viongonzi fanyeni kweli

  • @AbtwalibMfanga
    @AbtwalibMfanga 3 หลายเดือนก่อน

    Xawxaw uñyama no mwingi🎉 10:38

  • @MajaniElias
    @MajaniElias 4 หลายเดือนก่อน

    Simba damudamu kutoka Mwanza

  • @FedgarNjeza
    @FedgarNjeza 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni shabiki nikiwa tabora

  • @TumainiEmmanuel-r6v
    @TumainiEmmanuel-r6v 2 หลายเดือนก่อน

    Wachezaji hao wanatosha lakini ikiwezekan waongezwe jamani

  • @ZainabuFlibaus
    @ZainabuFlibaus 3 หลายเดือนก่อน

    Nakuba make naitaj Moto uliopotea urud pia tujpe moyo bado safae ndef tutairudsha heshmayet by Petro Raphael toka kilimanjaro

  • @WilsonMisigaro
    @WilsonMisigaro 4 หลายเดือนก่อน

    Tunaamini Simba yetu yarudi kivingine

  • @IddiSaid-m5q
    @IddiSaid-m5q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanatosha

  • @HawaMwambe-o8m
    @HawaMwambe-o8m 4 หลายเดือนก่อน

    Wachezaji hao ni wazuri tu ila wakifika wasibweteke wafanya kazi kweli kweli tunataka turudishe vikombe vilivyopotea

  • @BarnabaZacharia-w7g
    @BarnabaZacharia-w7g 3 หลายเดือนก่อน

    Turijabu na kumuangalia kocha aliyetufikisha mbali Patrick uchebe no kocha ambaye hatumusahau Wana Simba maana alifanya makubwa Sc

  • @kweka2553
    @kweka2553 3 หลายเดือนก่อน

    Mwamnyeto kaongeza miwili yanga na kasema hana mpango wa kuondoka yanga labda wamfukuze

  • @ListongerasmosndosiNdosi
    @ListongerasmosndosiNdosi 4 หลายเดือนก่อน

    Fanyen kweli usajili

  • @JosephKazungu-vi4rd
    @JosephKazungu-vi4rd 4 หลายเดือนก่อน

    Je mayele sikuona kwann lkn mie watosha

  • @MabulaMihambo
    @MabulaMihambo 4 หลายเดือนก่อน

    Shabiki wa ssc Toka maeneo ya wela nzega

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 4 หลายเดือนก่อน

    Waje hao wote Simba ili washindanie nafasiiii

  • @ShekheJumanne
    @ShekheJumanne 4 หลายเดือนก่อน

    Kama kweli wanatosha

  • @kweka2553
    @kweka2553 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa mwamnyeto umezingua

  • @MorrisiMulwe
    @MorrisiMulwe 3 หลายเดือนก่อน

    Mi ni morrisi mulwe nipo Zambia

  • @AgustinoChuwa-iq9qx
    @AgustinoChuwa-iq9qx 4 หลายเดือนก่อน

    Waje na ubora mnyama aungurume

  • @RhodaKallabaka
    @RhodaKallabaka 4 หลายเดือนก่อน

    Uongozi JAU😅

  • @amanimasawe
    @amanimasawe 3 หลายเดือนก่อน

    Tuongeze majembe

  • @RubeniCharles
    @RubeniCharles 3 หลายเดือนก่อน

    Bad kulazmisha

  • @SaimonNghwagi-zn5ud
    @SaimonNghwagi-zn5ud 4 หลายเดือนก่อน

    Niswala la mda ukfka tutajua mbivu na mbichi

  • @AlesIlomo
    @AlesIlomo 3 หลายเดือนก่อน

    Sisi Ni wavumilivu hatuvunjika bwana hatuhami kwa kufungwa sisi sio Pita msigwa 😮😮😅 kukosa Kura anahama chama sio mm Mimi na Simba

  • @Makame-jx8mu
    @Makame-jx8mu 4 หลายเดือนก่อน

    Hatoki mtu

  • @SembetaKimbei
    @SembetaKimbei 4 หลายเดือนก่อน

    H

  • @WerneryKomba-o6o
    @WerneryKomba-o6o 4 หลายเดือนก่อน

    Nina human kubwa San Kwa wachezaji wanao sajiliw najuwa watakuj kufany makubw katka tmu yang ya SIMBA SPORTS CLUB

    • @eliangaya5364
      @eliangaya5364 4 หลายเดือนก่อน +1

      Janani mwamnyeto apana

  • @IddiSaid-m5q
    @IddiSaid-m5q 4 หลายเดือนก่อน

    Wako sawa

    • @GabrielWilhelm
      @GabrielWilhelm 3 หลายเดือนก่อน

      Naipendasimba

    • @SharafiMoyo
      @SharafiMoyo 3 หลายเดือนก่อน

      Mimi niko msata