TUFANI INAPOVUMA (Chemichemi Za Uzima Praise & Worship Team)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Tufani inapovuma ni Wimbo wa kumwamini na kumtumaini Mungu katika upaji wa ulinzi wake dhidi ya hali mbaya zinazokuja dhidi yetu. Ni Wimbo wa Tenzi za Rohoni, Wimbo Namba 117 katika kitabu cha Tenzi za Rohoni. Wimbo huu ni moja ya wimbo wa tenzi ulioimbwa katika USIKU WA UTUKUFU WA TENZI ZA ROHONI katika Kanisa la Calvary Assemblies of God CHEMICHEMI ZA UZIMA DODOMA. Karibu uutazame
    / prophetic.resurrection...

ความคิดเห็น • 31

  • @winniemwakabwale7371
    @winniemwakabwale7371 3 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah, nimefichwa mkononi mwake.

  • @hideaenterprise6751
    @hideaenterprise6751 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi Wana chemichemi ya uzima.

  • @jonastido3233
    @jonastido3233 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe wimbo mzuri sana

  • @neemaurassa6208
    @neemaurassa6208 3 ปีที่แล้ว +2

    The world awaits...

  • @sialimo5688
    @sialimo5688 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow! Amazing song

  • @sialimo5688
    @sialimo5688 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimetizama mwanzo mwisho...nabarikiwa asee

  • @joyceedward8125
    @joyceedward8125 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Yesu hunificha na adui hatanipata kamweee💃💃

  • @siriiliyofunuliwa211
    @siriiliyofunuliwa211 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki sana waimbaji kwa wimbo huu. Nimebarikiwa sana.

  • @melaniajohn7121
    @melaniajohn7121 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina wimbo unaleta tumain mbarikiwe Sana

  • @maggiefrankluck7309
    @maggiefrankluck7309 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kuwainua PRS kwaya 😇

  • @angelhermany5263
    @angelhermany5263 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU ni mwema kila wakati ...nimebarikiwa Sana na huu wimbo MUNGU azidi kuwainua zaidi🙏🙏

  • @sophiekidoty1915
    @sophiekidoty1915 3 ปีที่แล้ว +1

    😇hunificha adui hatanipata, new song ya kutia nguvu na kutukumbusha kila tunalopitia yupo atuwezeshae kuvuka salama..mbarikiwe sana..

  • @ezekielpaulbundala348
    @ezekielpaulbundala348 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow! Mungu hunificha mikononi mwake. Sina shaka kila wakati tufani inapovuma. Utukufu kwa Yesu Kristo. Mungu awabariki kwa kutuletea wimbo huu.

  • @raphaelntambi6404
    @raphaelntambi6404 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa aloimba pengine Kuna taabu anayejua username yake pls🙏

  • @joyceedward8125
    @joyceedward8125 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe mnoo😍

  • @rebecasimon352
    @rebecasimon352 3 ปีที่แล้ว +2

    Groly to God😍

  • @patriciaboniface9975
    @patriciaboniface9975 3 ปีที่แล้ว

    😘😘

  • @paulomlewa4575
    @paulomlewa4575 3 ปีที่แล้ว +3

    Ilikuwa siku iliyompendeza Mungu, Mungu azidi kuwainua wajoli Wa BWANA