@NanaNana-xo2og umeonaee..uzuri haws miamba wakishaamua kuritadi wanasemaga japo sio moja kwa moja ila mwenye akili atajua tu kwamba washaikatia tamaa rehma ya. Allah
he deserves first 1M Sub in Less than six months ahead as a welcome to our big label in Tanzania WCB. Second soon you're going to shine at the top. Third you're welcome to WCB d voice the best is yet to come
i mis and i wanna here diamond sing atleast 1 rap song without anay collaboration..i think he can kill it hard salute to him coz he can do anay kind of a music
Ile ngoma yako ya Mungu baba usiishie tu kufunga comments.. Ifute kabisa.. Ule sio wimbo bali ni kumdhihaki Mungu.. Nakukubali sana ila pale tu ndio umeteleza kidogo braza. Ni ushauri tu🙏🙏
Ngoma zote twende na Mondi.. Nyota Kali 💪🦁👏👏👏🔥🇹🇿🇰🇪
Kama unakubali hii ni mia,Simba ameonyesha mwanae upendo kwenye hii single 🔥🔥🔥nipe lliks
Tu kupe like uzi bebe wapi 😂😂😂
Ngoja kwanza..
"Eti wao wakilewa ni vibe ila sisi tukimoka ni mawazo"
Huyu mondi apewe dunia yake!
😂😂😂
Hana lolote uyo mond
Kishapewa kishasema yeye na mwenzio wote motoni 😂😂
@NanaNana-xo2og umeonaee..uzuri haws miamba wakishaamua kuritadi wanasemaga japo sio moja kwa moja ila mwenye akili atajua tu kwamba washaikatia tamaa rehma ya. Allah
Ila simba bwana kashindikana huyu mtu ❤❤❤
Kabxa sio poa
atar jini
We zombie 😂,,,, me sisemi ila 👊 take 5 bro umeuwaaaaaaa!!! Yaaaaaaani adi wasemeeeee
❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Diamonds voice is on another level to be honest
Hii Ndio tofauti Kati ya bana boy davido wiz kid hawawezi kuimba kama ivi uyu jamaa amejaliwa sana kipaji na nyota ongera sana simba
Simba 🦁 kila style ya wimbo anapita kama kishada 🔥🔥🔥🔥
Dogo tulia kwadaimond diamond anaroh nzuri saaan ushatoboa uko good d voice
Simba namukubali sn kwa kweli yeye number 1 East Africa
Wanangu wasafi fest msiniache mnibebe 🔥❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🔥
he deserves first 1M Sub in Less than six months ahead as a welcome to our big label in Tanzania WCB. Second soon you're going to shine at the top. Third you're welcome to WCB d voice the best is yet to come
Singeli needs more exposure and visibility ...sasa hili ndio song langu favorite 🔥 🔥
Huyu Diamond Ni Jini Haswa Apangiwi Uwanja🎉🎉🎉
D voice sasa tajiri aaashanza kuuteka mji kasepa na kijiji sasa atampita tena Ibraaa 😅😅😅😅😅subira ya konde 😂😂😂 bora 🦁
😂😂😂Kooondee tenaaa
Uyo d akifika miaka 5 t ataondoka mwenyewe hapo maan huyo mond n jini wa majin
Saut ya Simba inawakaaaaa waaaaa
Dvoice big up,,,,Simba la Masimba Dangote..kiboko na baba lao....Simba zidi Kung'aa
Simba hapangiwi kila uwanja anacheza aijalishi wanyumban au waugenini kotekote anapata matokeo D voice karibu sana usafini mzee apo tobo tayari❤🔥🔥🔥🔥
Sauti ya Simba jamani Nani Kama Simba💪💪💪
Daaah I though is rema from Nigeria ...... Coz wanafanana kumbe dogo d voice
Huyu dogo akiwa kwa singeli ana kua kwenye peak ya juu sanaaaaa sio kawaidaa
i mis and i wanna here diamond sing atleast 1 rap song without anay collaboration..i think he can kill it hard salute to him coz he can do anay kind of a music
He literally has at least one that he teased since 2021, it's lit 🙌🏾
Now this is one to push us to the end of the year ❤... D Voice and Diamond Platnumz ate this one... goosebumps 🔥
Nomaaa sanaaaa
Moto wa Mungu unaweza ww allah akuongowe
Ongera youngu brother
Mwenyezi mungu
Amekupa kinacho styr
Welcome to malawi my best artist in the world Diamond platnumz ❤️💯🔥🔥
Muli bwanji
@@AthumaniKitimaibwino kya inuyo 😂😂😂😂
Kashakua mwana familia
Dvoice is so promising. I know Simba la masimba Dangote will nurture the talent in Dvoice👏🏽👏🏽👏🏽🤜🏽Kenyans and Tanzanians hit a like👍🏽
I love d voice and diamond Platnumz
Wangap wamemkbali simba kama mimi alivyoua humu
Simbaaaaa
One thing about this is showing how capable the artist is
kama wa ganga wengine unatukumbusha ki swahili 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ki bembe
Na simba la MASIMBA DANGOTE 🔥🔥
Haujuwiiiiiiiii
Hapo mwisho bwana SIMBA kaumiza sana😂😂Anateleza na kila beat🙌dakik 2:51💥
D voice giniiiiiii
Wakilewa wao wanavibes tukilewa sisi tunastress 🔥🔥🔥🦁🦁
Sauti ya simba ni tamu aisee!!!
God bless Diamond for signing you ❤ 🇰🇪🇴🇲
Much love from 254
WcB is another level ❤ this guy hes so telented if you believe this guy will be good in this game like my comment
Kaka uko juuu congratulations ila naomba nami niko na singeli you tube naomba mpitiye kw yangu pia muone iko aje KING BEIBEI 254❤
Moto unaendelea kuwaka wasafi💪
Nahisi vocal mondi alimuelekeza dvoice kwa kiwango flani,,,my favorite ❤️ diamond platnumz my mentor
Kbx mumewezeyaaa sana ukwelli sana kbx wasafii oyeeeee💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪😘😘😘💕💕💕💕💕💕💕💕💕
Unyama ni mwingi sana bro yani ni noma sana 🔥🔥🔥
Mondo mungu azidi kukuangazia inshallaah
Hakika njo kuku juwa sasa hivi,ulikuwa bado saaana. Kwasasa usijali tena🎉
Ile ngoma yako ya Mungu baba usiishie tu kufunga comments.. Ifute kabisa.. Ule sio wimbo bali ni kumdhihaki Mungu.. Nakukubali sana ila pale tu ndio umeteleza kidogo braza. Ni ushauri tu🙏🙏
Diamond nyota ya kistaa ✅
Yaani simu si yangu but ni my friend phone but nimesubscribe juu ya Diamond,
Ni moja ya hit Welcome to wasafi family D voice 🔥🔥
Oya nasemaje nasemaje saloon mwangu unapigwa siku nzima album Moja tu Swahili kid tu for Zambia ❤
Swaziland approved Diamond wasafi
I can't get tired of this song. Wapi likes za 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
I love Diamond very much and Raymond too, may God protect you, your fan from Sudan ☄️❤️
Hapo sasa!!! Kali sana!!
Ushakua star
Kenyans let's take D voice to 1 million subscribers please ❤❤
Nakubari braza😊😊😊😊
Twaku sikiliza paka huku Congo
New talent in the team 🙌
D voice umeshatoboa mwanangu umesainiwa na lebo kubwa
Karibu sana nyumba kwetu d voice ❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Simba Unajua sanaa,U deserve,U de Best.
Noma sanaa
Simba ni 🔥 ww d voice uyo simba Wacha nayo ni moto Kam jina yake
Simba kama Simba and madanga ya mke wangu
DIAMOND PLATNUMZ 4 LIFE
Karibu usafini kijana piga kazi 🙌
Kula Chuma iyoo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🦁❤️
Swahili kid 🔥❤️🇨🇩
Mwanetu huyo ♥️♥️🔥🔥🔥 chama languu
Bonge moja la banger mmeuwa sana
Another Rema from tanzania
Huyu mondi popote utakapo mtupa ana hit
Ila hiki chuma nikikali sasa cjui diamond huwaga anafanyaga nn mhhhh🎉🎉🎉 chukua maua yako simba na dvoice
Ingoma ndo nmesikiliza mara nyingi kuliko zingine kama ngoma inavo itwa
Mziki wetu Ni huu
Tuushikirie na sisi amapiano ya SA
Nyota inawaka kaka. Mondi uko juu salute
Congratulations fiiirst D watu wamekubaaaliii❤
Bro umechangamsha WCB na taifa kiujumla,oya bro more love from Kenya 🇰🇪
We Zombi Ahujuwiiiiii
Mwamba huyu apo ❤
My best artist in the world Diamond platnumz 🔥🔥❤️💯
Pumzika hapo dogo janja Kula ugali sas ila heshim uongoz pamoja namkataba wako..
Nimezikubali Tungo
Kazi ishaanzabTayali Tanzania pamenuka❤
Ngoma imebumaaa hii
🎉🎉🎉
Simba ❤❤❤❤❤ mkali wao
D voice wewe ni Superstar ❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥
Acha kumdanganya banaaaaaa!
Hakuna kitu hapooooooooooo! 😂😂😂😂😂😂😂
@@anestorey505 dogo n mkali
Weeeeeee singeli to world
Wanaigeria bado watasema simba is genius 🔥🔥🔥this song🚀 wazungu lazima wacheze na singele 😂
Dah kumb simba anaweza kuimba singeli atar iyooo
Waooohh mondi nakupenda sana unafit kote kote
Msiniache mnibebe🎉🎉
Verry Nice song big up D voice.......SIMBA SIMBA 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Singeli zone
Big up D Voice and mwenye kazi zake Simba lama Simba dangote🎉🎉🎉 Big project
Everything is possible with WCB
D voice kher uendelee kuimba singeli tuh bro 😅uko saw kabisa
The words that i understand is Tandale, penzi and baby wangu 😂😂😂 but i like this song, i repeat it again. Best Song🔥🔥🔥
Ila uyu mtoto Daah ❤