Asante sana.maneno yako mazuri sana mama yangu.nipo Europe kwa miaka 5 sasa.sikua napenda kusikiy négative Nilikuw nawaza kila siku positive mimi na mume wangu.Leo tuko vizuri sana na watoto wetu Mungu alizidi kuwa upande wetu kbs.Mungu ni muaminifu sana kila siku ukiwa karibu nae🙏🙏
poleni sana lakini hata nyie mnaoenda nchi za watu wengine mmesoma lakini hamna akili .kwanini usiekeze kwenu ili hata mambo yakiharibika unabeba begi lako unatembea shida yenu nimoja mkifika huko mnajifanya wazungu weusi kwenu nikwenu tu ngoja tramp awanyoshe.
@@westmanmoses541 ngoja nikwambie vizuri ili mjue internet nchi za ulaya,American na Asia rahisi sana tafauti na afrika Spain euro 15 sawa na 39000 za Tanzania unapata mb 240 unatumia kwa mda wa miezi miwili unangalia tv,Google na mtandoa wowote unaotaka na zinabakia.Tanzania mb 4.8 sawa na elfu 10,000 na hazichukui mda zinaisha
Tupo na Congloaise Diaspora Mu Paris But even I, m Strugoling hata na Pataka magumu ya Kila ina lakini si tayita muttu na mutumayinia Mungu tu , mimi ni Kazi ya Mungu tu ya Kusayidiana
Lakini mimi kua kusema ukueli Diaspora Yangu Ni Mungu wa Israel , Mungu Wa ELIA YESHUWAH NA RIHO WA MBINGUNI RUHACH HACIDESH Pia Na EPhesiens Chp (6:10-18) Na PSAULM 91 Njo Diaspora yagu Njo Kimbilio Langu Neno La Mungu Tu thanks Sweat heat
Mimi naona dada unawafariji tu wenzetu, lakini ukweli ni kwamba waandae kisaikolojia kurudi nyumbani. Hii imekaa kisheria kama ni muhamiaji haramu cha kufanya Jiandaeni kurudi. Nadhani pia nafasi nzuri kuepuka jela na hufanyi la maana. Rudi home mambo yapo pambana tu.
Sasa hivi Ttump anawafukuza sana Waafrika hafai hata huo Urais wake wamempigia kura hao watu weusi sasa anawanyanyasa alichosaidia ni kukataa Mashoga na Wasagaji tu kwa mengine hafai
HATA HUKO MAISHA MAGUMU ZAIDI NA HASA UKIISHI BILA UTARATIBU WA UHAMIAJI. HII ISHU SIO YA KUWAFARIJI WATU. KAMA HAUPO KISHERIA RUDI UJIPANGE KULIKO KWENDA JELA.
Mr President ametoa executive immigration order na inawahusu wale ambao wapo USA kinyume na utaratibu yupo sawa kabisa. Sio kweli kuwa anabagua watu bali kama wewe unaishi USA kwa kuzamia kinyume cha utaratibu hii order inakuhusu kuweni wakweli msipotoshe na kutaka kuonewa huruma. Hili nalo Mungu ameliruhusu kama ni mhanga kuwa tayari kurudi kwenu kwa furaha. Hata Tanzania wahamiaji haramu hurudishwa makwao kwa hiyo Trump hafanyi cha ajabu.
Kama hamna vibali vya kuishi nchi za watu rudini nyumbani. Acheni kujifariji. Hiyo ni kasumba ya kitumwa. Kwani maisha ni ughaibuni tu? Halafu kuna contradiction sana. Yaani mtu unavunja sheria na kufanya kazi kwa document za kughushi halafu unasema unamtegemea Mungu. Yaani Mungu aendelee kukuwezesha kuvunja sheria?
This statement, from the 14th Amendment of the U.S. Constitution, means that anyone born in the United States or who has gone through the legal process of naturalization is automatically a U.S. citizen, as long as they are subject to U.S. laws and jurisdiction. This guarantees citizenship rights regardless of race, ethnicity, or previous condition of servitude, and forms the basis of the principle of birthright citizenship. Kama wewe huna makaratasi na umezaa watoto- nyote mnakuwa illegal. Ni kheri kuomba visa kihalali! Adui ni UONGO NA KUGHUSHI DOCUMENTS!!📄
Asante sana.maneno yako mazuri sana mama yangu.nipo Europe kwa miaka 5 sasa.sikua napenda kusikiy négative Nilikuw nawaza kila siku positive mimi na mume wangu.Leo tuko vizuri sana na watoto wetu Mungu alizidi kuwa upande wetu kbs.Mungu ni muaminifu sana kila siku ukiwa karibu nae🙏🙏
Asante Sana Dada yangu mungu AKUBARIKI sana
Thank you dada kwa ushauri wk nzr
Mungu akutangulie
Amen mtumishi umetumwa na Mungu asante saana❤God bless you much
Asante sana kwa kutujengea imani
Amen barikiwa sana kutu fundisha bure ❤❤
Asante sana dada mungu akubariki sana
poleni sana lakini hata nyie mnaoenda nchi za watu wengine mmesoma lakini hamna akili .kwanini usiekeze kwenu ili hata mambo yakiharibika unabeba begi lako unatembea shida yenu nimoja mkifika huko mnajifanya wazungu weusi kwenu nikwenu tu ngoja tramp awanyoshe.
Watu washaekeza sana lkn wizi mmezidi
God bless you and all 🙏🏾🙌🏾 nawapenda sana ❤️❤️
Hiyo ni ukweli KBS ushauri mzuri sana 💪🏾❤️👏🙏
Nakushukuru kwa ushauri mzuri🎉🎉🎉
Asante dada kwa kututia moyo
Amen 🙏 god bless you sister
Woga si fungu langu katika jina la YESU 🙏
Amen! Ubarikiwe sana
Asante sana❤❤❤
Thank you very much be blessed 🙌
Nimekuelewa dada👍🙏
MUNGU AKUBARIKI SANA DADA YANGU
Wacha ni subscribe, please keep posting
Umeongea Vyema Mama ❤
Watanzania tunatumia mda mrefu sana katika kuzungumza kwa point ndogo kabisa mb ghali sana Tanzania
Yaaan wakati mwingine huna hata hamu ya kuwasikiliza 🙌🙌 mh
Very true
Ndo lengo lake Mb iweze kukuishia.kwan hujui?
@@westmanmoses541 ngoja nikwambie vizuri ili mjue internet nchi za ulaya,American na Asia rahisi sana tafauti na afrika Spain euro 15 sawa na 39000 za Tanzania unapata mb 240 unatumia kwa mda wa miezi miwili unangalia tv,Google na mtandoa wowote unaotaka na zinabakia.Tanzania mb 4.8 sawa na elfu 10,000 na hazichukui mda zinaisha
🤣🤣🤣
Nilijipa moyo sana nilipoingia europe na nilimtegemea sana Mungu
Bora umeachana na vituko vya ngozi nyeusi. MUNGU atawafanikisha huko .
Tupo na Congloaise Diaspora Mu Paris But even I, m Strugoling hata na Pataka magumu ya Kila ina lakini si tayita muttu na mutumayinia Mungu tu , mimi ni Kazi ya Mungu tu ya Kusayidiana
AMINA MY DEAR
Lakini mimi kua kusema ukueli Diaspora Yangu Ni Mungu wa Israel , Mungu Wa ELIA YESHUWAH NA RIHO WA MBINGUNI RUHACH HACIDESH Pia Na EPhesiens Chp (6:10-18) Na PSAULM 91 Njo Diaspora yagu Njo Kimbilio Langu Neno La Mungu Tu thanks Sweat heat
Asante nimejifunza point ya kubeba matukio ya maisha hata kama sio ya uhamiaji!
Hakika!
Amen
ongera sana dada
True
Amen!
Go straight to the point
♥️🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤amen
Mungu akutangulie. Wewe ni zaidi ya mchungaji
Barikiwa sana
Ahsante sana
Unasema ukweli dada..ubarikiwe
Wow beautiful woman 😍👠
Dada nitafutie kazi ya kutunza wazee
Umenena vyema mtumishi
Fact
Km upo legally naogopa nn?
Follow rules
🙏
Unazunguuuuuuuuuuuka sana
Kweli dada na kubaliana na wewe
Mimi naona dada unawafariji tu wenzetu,
lakini ukweli ni kwamba waandae kisaikolojia kurudi nyumbani.
Hii imekaa kisheria kama ni muhamiaji haramu cha kufanya
Jiandaeni kurudi. Nadhani pia nafasi nzuri kuepuka jela na hufanyi la maana.
Rudi home mambo yapo pambana tu.
Kama ni mpango wa Mungu wa kurudi kwenu
Mimi natafuta kaz njee ya nchi hata ikiwa housekeeper nisawa tu 🙏🏽 please yoyote anae weza nipa connection
Kwani Marekani mbinguni
Stay focused……. you don’t seem to know what you want to talk!
Sasa hivi Ttump anawafukuza sana Waafrika hafai hata huo Urais wake wamempigia kura hao watu weusi sasa anawanyanyasa alichosaidia ni kukataa Mashoga na Wasagaji tu kwa mengine hafai
😢
Kazi ni kwa wake wanajisahau kuanza kutukana nchi yao. Sasa wajirejebishe. Msisahau mlikotoka. Kumbuka nyumbani ni nyumbani.
Wazungu wabaguzi sana, kuweni makini ndugu zetu wasiwadake mkarudishwa bongo, maisha Magumu sana huku
HATA HUKO MAISHA MAGUMU ZAIDI NA HASA UKIISHI BILA
UTARATIBU WA UHAMIAJI. HII ISHU SIO YA KUWAFARIJI WATU.
KAMA HAUPO KISHERIA RUDI UJIPANGE KULIKO KWENDA JELA.
@@mashramadhani1989Bora jela ya ulaya kuliko maisha ya Afrika .
Mr President ametoa executive immigration order na inawahusu wale ambao wapo USA kinyume na utaratibu yupo sawa kabisa.
Sio kweli kuwa anabagua watu bali kama wewe unaishi USA kwa kuzamia kinyume cha utaratibu hii order inakuhusu kuweni wakweli msipotoshe na kutaka kuonewa huruma.
Hili nalo Mungu ameliruhusu kama ni mhanga kuwa tayari kurudi kwenu kwa furaha.
Hata Tanzania wahamiaji haramu hurudishwa makwao kwa hiyo Trump hafanyi cha ajabu.
Mashamba mengi Tanzania si waje na madora uku waanzishe mashamba ya umwagiliaji
Utalima endapo umejipanga kupambana ,ngozi nyeusi roho mbaya ,acha walioenda nje MUNGU awajalie kuishi huko.
Why can't you go straight to the point?
@@mrkrab42069 it is a business.Dont you know this?
Mmmmmmmmmmmmmmh Dkt Aghaly
Ana Simtaji John hujambo?
Sijambo, Nani mwenzangu
Can u ppl just go straight to the point?
Specific, specific kila mahali. Unaishi Marekani na bado English huwezi dada?
Kaongea English hapo? Mbona mnapenda deal na vitu trivial sana hata angesema English vizuri au vibaya inafaida gani mbona u sound so schmuck.
Kwani kuna kp ujaelewa apo?kaongea kifaransa cyo!?acha ushamba bhana auna cha kuandika lala bhana
Kama hamna vibali vya kuishi nchi za watu rudini nyumbani. Acheni kujifariji. Hiyo ni kasumba ya kitumwa. Kwani maisha ni ughaibuni tu? Halafu kuna contradiction sana. Yaani mtu unavunja sheria na kufanya kazi kwa document za kughushi halafu unasema unamtegemea Mungu. Yaani Mungu aendelee kukuwezesha kuvunja sheria?
Inavyoonyesha umeskiza lakini hauaja helewa ndugu
Wewe umekata tamaa, huyu dd Yuko sahihi sana. woga ni shetani mwenyewe, ni chanzo cha kifo pia.
U can imagine
Na wewe pia urudi kwenu huko sio kwenu