Nimeishi miaka 13 Ulaya. Mimi na familia yangu tumeamua kurudi kuishi Tanzania (Part 1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Lameck ni rafiki yangu na classmate, alienda kusoma Geneva, Switzerland. Baada ya masomo aliendelea kufanya kazi na kuanzisha familia nchini Switzerland. Baada ya kuishi Geneva kwa miaka 15, yeye na familia yake wameamua kuja kuishi Tanzania.
    Download our New App, EBM SCHOLARS APP play.google.co...
    Or Search EBM SCHOLARS on Google Play Store to Download the app
    DONATE TO EBM SCHOLARS
    1. PayPal www.paypal.com...
    2. CASH APP cash.app/$EBMS...

ความคิดเห็น • 55

  • @EBMSWAHILI
    @EBMSWAHILI  ปีที่แล้ว +3

    Download our New App, EBM SCHOLARS APP play.google.com/store/apps/details?id=com.dautechnology.ebmscholars
    Or Search EBM SCHOLARS on Google Play Store to Download the app

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or ปีที่แล้ว +12

    Brother well done.
    Ulaya hakuna mpango tena.
    Hata mimi natafuta njia baada ya miaka 33.
    Unatupa moyo sana

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 ปีที่แล้ว +7

    Kuishi nchi za nje ni shida tuu za maisha ya nchi zetu. Za ki AFRICA. Ila maisha ya ulaya ni magumu sana. Na nimaisha ya upweke na unyonge sana kwakwelii. Nyumbani ni nyumbani.

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 12 วันที่ผ่านมา

      Nyumbani ni nyumbani kabisa ❤

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 ปีที่แล้ว +15

    Inavutia sana kuona mbongo msomi anacha4qza kiswahili kama hajawahi kuishi mbele wakati wabongo wakipata vijisenti kidogo huzuga hawajui kiswahili

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +3

      Wa bongo movie

    • @TPW_FLUXY
      @TPW_FLUXY ปีที่แล้ว

      Hahaha kweli kiswahili ndiyo rugha maana

    • @saudasieber2082
      @saudasieber2082 ปีที่แล้ว

      WANA MATATIZO HAO MBONA MIYE NIKO 30 HUKU SWITZERLAND NA KISWAHILI KAMA KAWA😊

  • @billian1914
    @billian1914 ปีที่แล้ว +3

    Ni vizuri zaidi Kurudi Nyumbani huku maisha yake inaendelea kua gali sana. Wanachukua hela zetu za kulipa kila kitu direkt kwa banki ya kila mkaaji hapa. Nimependa vile umesema umerudi nyumbani. Nadhani kutakua na mabadiliko Nzuri sana Amina Mungu akabariki wewe na familia yako kuajumla.

  • @habibarnabas
    @habibarnabas ปีที่แล้ว

    Shikamo kaka habar za kazi pole na majukumu ...samahani naomba kukuliza Nina kaka yangu Yuko Denmark akitaka kunialika ila majina ya baba ni tofauti ila mama yetu ni mmoja yaani tumezaliwa na mama mmoja baba tofauti je kwenye sehemu ya visa itakubalika ila vigezo vile vyote ulivosema nimekamilisha kasoro jina la baba tu ndio tofauti...asante

  • @Temboz
    @Temboz 3 หลายเดือนก่อน

    Very nice interview I love the way Tanzanians talk very flawless Kiswahili.

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa anatema nondo sana. Big up sana.

  • @oxwad3836
    @oxwad3836 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa yupo vizuri sana🙌🏿🙌🏿🙌🏿👏🏿👏🏿👏🏿
    .
    🇹🇿

  • @diid17
    @diid17 ปีที่แล้ว +7

    Watanzania wastaarabu sana👌

  • @gracemihayo9416
    @gracemihayo9416 ปีที่แล้ว +1

    Hongera bro
    Mungu akusimamie hiyo mipango yako ikafanikiwe na watanzania wengi na taifa kwa ujumla👍👍

  • @AIInsights23
    @AIInsights23 ปีที่แล้ว +1

    Laja mwenye ndani ya nyumba ngoja nije nikutafute Bongo, nakumbuka siku narudi Bongo wewe ndio mtu wa mwisho kumwaga hhhhaha nitakutafuta mzee wa Friborg na Geneva usisahau kuuwaambia Vijana Maisha vipi Ulaya watu wanakujua kielimu elimu lakini unajua maisha ya watu vijana wanao ishi Ulaya , Baaambie hao umetuwakilisha saaana unajua saaana wakupe kitengo huko Bongo unajua mpaka basi

  • @luluafrica
    @luluafrica ปีที่แล้ว +2

    Woow, kaka nimependa sana hii interview yako. Well done. Big mind, think big.

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 ปีที่แล้ว +2

    Hata mie sasa naangalia huu upande wa kurudi ila mie nafiliria miezi 6 huku miezi 6 bongo just because nina attachement huku ,hata watoto wangu wanapenda bongo

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 ปีที่แล้ว +2

    Kiongozi hukuweka caption nzuri kwenye haya mahojiano. Kuna vitu vizuri kaviongea lakini nikiri kwamba almanusura ningeipita hii habari. Sorry kama maoni yangu yatakua yamekukwaza ila next time sikiliza tena na tena mahojiano unayofanya kisha utengeneze heading ambayo ina shawishi kusikiliza content... hii nilihisi huyu anajisifia tu hana lolote, kuishi ulaya 13yrs kitu gani? Ila baada ya kumsikiliza nikagundua mengi mazuri. Kumbe alisoma UDOM, political science! Kumbe kuna hiki, kumbe kuna kile, kumbe dah hiki kinaweza fanywa hivi n.k, yote ni mambo niliyojifunza kupitia interview

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 ปีที่แล้ว +1

    EBM SCHOLARS MAMBO UNAYOFANYA UNATUFUNGUWA MACHO SANA NA MUNGU AKUBARIKI.

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana EBM kwa interview nzuri

  • @adolfinaandrea5234
    @adolfinaandrea5234 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana nimekuelewa ,Mimi ni Wa kigoma

  • @ilakozasembumende1975
    @ilakozasembumende1975 ปีที่แล้ว +2

    Kichwa hichi ,chuma kama chuma ❤❤❤❤

  • @amosicronery7730
    @amosicronery7730 ปีที่แล้ว

    JamaaMrambo mwnezangu unapaswa kuwa na nafasi pale Tanzania-Switzealand Chamber of Commerce

  • @didasmilengo4323
    @didasmilengo4323 ปีที่แล้ว

    Nakuonea huruma sana mambo hayo watawala watakuzingua sana had utarud uswis

  • @mohamedialliy1974
    @mohamedialliy1974 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa nafikili lini utamleta huyu jamaa nakumbuka alitupa nondo mbaya

  • @joywambui9330
    @joywambui9330 ปีที่แล้ว +3

    ❤from 🇰🇪, please talk about how you deal with the sexuality thing in states considering their evil ideology in schools. In Africa some topics are abomination

  • @bonifacesembago4957
    @bonifacesembago4957 ปีที่แล้ว +1

    Ngara boy.... inspiration...

  • @flaziaisack4038
    @flaziaisack4038 ปีที่แล้ว

    Interview nzuri sana.. Keep it up kaka👏🏾👏🏾

  • @mohamedialliy1974
    @mohamedialliy1974 ปีที่แล้ว +1

    EBM event ndugu lini tukiacha app pia tunataka live

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jama yetu angepewa furisa naona angetuleteya maendeleo ila sijui kwa hizi serikali zetu za Afrika ni shida tu

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele ปีที่แล้ว

      Nchi za AFRIKA watu wanaangaliaga nafasi so kumpa nafasi huyo ina maana kuna mtu atakosa nafasi hiyo so asahau

    • @mkohoexperience7322
      @mkohoexperience7322 ปีที่แล้ว +1

      ​@@edwardmkwelele anaweza kuisaidia kwa njia tofauti c lazima kuajiriwa na serikali🤔

  • @mkohoexperience7322
    @mkohoexperience7322 ปีที่แล้ว

    Jamaa anaongea point kinoma

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว

    Tunashukuru Mungu kwa kuwa na Nchi nzuri Mama Tanzania, wengi hapa Duniani wakipata fursa hii hawarudi makwao na hii sio Wa Africa tu hata baadhi ya Nchi za Ulaya pia wana changamoto ma kwao

  • @ayubkakore8581
    @ayubkakore8581 ปีที่แล้ว

    Ongera Sana kaka

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    I do respect you

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele ปีที่แล้ว +1

    Kutowa fursa kwa familia yako sawa, Siyo kutowa fursa kwa nchi yako hiyo sahau

  • @billian1914
    @billian1914 ปีที่แล้ว

    Kwanza hututa pigua na baridi tena Nyumbani raha.popote huko Afrika sababu kuna joto kutosha.

  • @oxwad3836
    @oxwad3836 ปีที่แล้ว +1

    👏🏿👏🏿👏🏿
    .
    🇹🇿

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 ปีที่แล้ว

    Huyu anatakiwa kuwa W mbombo nje

  • @haarunsaidabdillahi5267
    @haarunsaidabdillahi5267 ปีที่แล้ว

    Jiandae kunua mishumaa na madumu ya maji.

  • @cleopatrahenry7541
    @cleopatrahenry7541 ปีที่แล้ว +1

    Matangazo mengi hatari , story nzuri bro

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Home boys.

  • @iddramadhani7497
    @iddramadhani7497 ปีที่แล้ว

    Tupe fursa sasa ndugu

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥✊🏽

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews ปีที่แล้ว

    Karogwa uyo urud tanzania kisa🙄

    • @teamallyracing1780
      @teamallyracing1780 ปีที่แล้ว

      Wala anajua siri za huku ,huku hakuna maisha

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 ปีที่แล้ว +4

      Nyumbani ni nyumbani hata mimi niko nje pia. Sijawahi kutamani kuishi huku naipenda sana nchi yangu

    • @rubefabi8366
      @rubefabi8366 ปีที่แล้ว

      Marekani siyo mbinguni. Sijawahi kuota kuishi ulaya wala Marekani ndoto yangu ni kuingia mbinguni.

    • @mutalemwabugeza1489
      @mutalemwabugeza1489 ปีที่แล้ว

      Haha Fabi umenipa kicheko. Marekani siyo mbinguni...ni Bora kumtafuta Mungu.

    • @anithasemwano8276
      @anithasemwano8276 ปีที่แล้ว

      Ana vipaumbele vyake