āđ„āļĄāđˆāļŠāļēāļĄāļēāļĢāļ–āđ€āļĨāđˆāļ™āļ§āļīāļ”āļĩāđ‚āļ­āļ™āļĩāđ‰
āļ‚āļ­āļ­āļ āļąāļĒāđƒāļ™āļ„āļ§āļēāļĄāđ„āļĄāđˆāļŠāļ°āļ”āļ§āļ

ðŸšĻTaarifa Mpya kutoka Simba na usajili Mpya,Ahmedally atema cheche ya pre-season.

āđāļŠāļĢāđŒ
āļāļąāļ‡
  • āđ€āļœāļĒāđāļžāļĢāđˆāđ€āļĄāļ·āđˆāļ­ 5 āļ.āļ„. 2024
  • #football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

āļ„āļ§āļēāļĄāļ„āļīāļ”āđ€āļŦāđ‡āļ™ • 14

  • @mustmnyama
    @mustmnyama āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Simba nguvu 1âĪ

  • @wariaelchutta481
    @wariaelchutta481 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    simba nguvu mojaaaaaaaaaa piga uwa

  • @JumaNature-ke2nm
    @JumaNature-ke2nm āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Simba itakuwa ya moto sana msimu huu wajpange wapzan wetu

  • @SaidiShafii-um2ez
    @SaidiShafii-um2ez āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Shosho kaka simbaaaaaaaaaaaaaa nguvu moja

  • @JumaNature-ke2nm
    @JumaNature-ke2nm āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Kcha anakja Leo

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +1

    Yanga wanatuloga sana wachezaji wetu lakini mwaka huu hatuwaachi tumechoka

    • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
      @GOLDIANEDRICK-sm6xk āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      Mmmm bado Sana kaka kwa yanga hii ninyi subirin tu

  • @nuruabdallahmed9495
    @nuruabdallahmed9495 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +1

    Makudu, Konkon, Bigirmana, Dumbya, Kambole, hao wote wamesajiliwa na Simba. Kuna wachambuzi wana akili ndogo kama pilton

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Jamani eeh msisahau hela hiyo MO anatoa siyo baadae maneno yanaanza

  • @MuammaryAbdalla
    @MuammaryAbdalla āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    valentine noum mbn hajatambulishwa

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Wewe ni mashabiki siyo m hambuzi,hao yanga wamecheza klabu bingwa mara ngapi?ambao ndo hawakosei.kuwa na busara kidogo bro.

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Ninyi hamjui chochote katika mpira wajinga mmekula mb tu

  • @user-qs7io7il6n
    @user-qs7io7il6n āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Ssa kwawachezaji mnaowataja naviwango vyao vilivokua wakifeli hatusemi simba wamekosea kusajili bali wachezaji wenyewe ndo wamefeli wenyewe msionyeshe sura yakua watu wanakosea ktk usajiliii bali semeni wachezaji wenyewe ndo wameifelisha simba sabb walisajiliwa wakiwa nakiwango kizur tuuu....navyanzo vyamchezaji mzur kufeli niving san...chambueni uhalisia wakitu msipete juu juu t jmn wachambuzi wetuuuu.

  • @SaidiShafii-um2ez
    @SaidiShafii-um2ez āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™ +1

    Shosho kaka simbaaaaaaaaaaaaaa nguvu moja