🚨Kiufundi Simba 3-0Tabora united,Tathimini dkk 90 za mchezo,Ubora wa Simba ulipo.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @PakatJames
    @PakatJames 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mashabiki wa simba hata wakiifananisha timu yao na REAL madrid nyinyi inawahusu nini? Uchungu na Utamu wa mwana aujuae mzazi. CAF wanaitambua simba ni kubwa kuliko Yanga sisi makando makando wa Tanzania ndio tunamawazo kuwa simba timu ndogo .Wanachofanya mashabiki wa simba ni sahihi kabisa kuwajaza confidence wachezaji wao that can lead them to do the unthinkable things of wonders.

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wachambuzi wa hovyoo Simba wangeflow vipy wakati Tabora wote wamekaa nyuma Simba wana team nzr sanàa

  • @jaekatwahil8649
    @jaekatwahil8649 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ule sio uwanja wa kmc fc ni uwamnja wa manispaa ya kinondoni mnapotosha

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani kirefu cha kmc ni kipi? KMC = kinondoni municipal council = Halmashauri ya manispaa ya kinondoni timu ya ni KMC fc.

  • @MirandaThomas-n3v
    @MirandaThomas-n3v 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani nyinyi ni kuisema simba tu hata ingefanya mazuri lakini bado mtaisema tu

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 หลายเดือนก่อน

    Unatakaa tuicompare na coastal Union na huku simba n club na 7 baran Africa

  • @mohamedguveti5372
    @mohamedguveti5372 2 หลายเดือนก่อน

    Wachambuzi bure kabisa,,msimamizi wa mwisho wa tickets ni board ya ligi,,siyo clubs,,acheni uzushi

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba bado sana ha inapaswa kuwa makini hata kwenye makundi inaweza kushindwa kupenya

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa msiwapambe Sawa Abdallah aitwe Dula Hawa ni wale wale kama msimu uliopita

  • @mohamedguveti5372
    @mohamedguveti5372 2 หลายเดือนก่อน

    Wachambuzi msiwatie pressure wachezaji,,hii ni ligi,,tunashinda huku tunajenga timu,,chambueni yanga iliyojengeka,,hivi timu ya tabora imeapaki bus,utachezaje mpira?ichambueni na tabora,,kwani simba kacheza peke yake?leo ni simba na tabora,,yanga katokea wapi?

    • @fatmaOmmy
      @fatmaOmmy 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @jonathansirkintungi3440
    @jonathansirkintungi3440 2 หลายเดือนก่อน

    Ninyi mnashabikia subirini tuone nani atafanya vizuri simba na yanga. Yanga Jana kacheza na timu gani? Azam ndio kacheza na timu ngumu si yanga. Vitalo kwa simba hii angekula 6 ninyi endeleeni na propaganda. Apr kwa simba alikula 2 Azam kamshindwa bado unasema simba mbovu. Yanga alipigwa 3 mapinduzi na Apr Leo anadhinda vitalo timu ya chini mnashangilia subirini aibu kwenu.

  • @chillogeorge1383
    @chillogeorge1383 2 หลายเดือนก่อน

    Ilikuwa ni mechi ya levo ya UMISETA.