Bwana ntemi omabala shukurani kwako tena hongera xana i am amused by your music and pieces of advice from them. i am IN BUJUMBURA _BURUNDI Much congratulations to you ng'wana kang'wa
Hii ndiyo miziki sasa ina jumbe nzito zitadumu milele labda watu waache kuoana na kufunga harusi. Siyo kama za vijana eti kamatia chini kamatia chini😅😅😅
Ndugu yangu mi nazani we ni mkali sana bnafsi mi msukuma zinanifriji kuona wasukuma wenzangu wanafura huku ngambo tunakufuatilia sana ww na yule budagara mungu akubariki sana kazi nzuri nikiludi tz nitakutafuta
Nipo mtwara yaani najisikia vizuri sana kama nipo nyumbani tuu!!! Jiandae zamu yangu kuimba kwenye harusi yangu. Najisikia vizuri sana, wasukuma tupo juu sana.
Kiukweli japo kisukuma sikielew ila unajua utunzi wa nyimbo za asili nimekufuatilia nyimbo zako nimeona wewe unaweza kumvua bhudagala ufalme wa mziki wa asili cha mhimu ongeza ubunifu wa mziki ufanye uwe biashara isiwe burudani tu kwa nzengo pia pandisheni viingilio watu wankupenda 1000 kwa mtu mzima kiingilio kinawashusha chini ki mapato yenu wenyewe
Nyimbo nzur sana jaman kila mda nafanya tu kuirudia rudia japo imeimbwa kiluga sielew ila nimeipenda sana big up bro
Daah nakumbuka nyumba nikaja kusikiliza nyimbo za kwetu najivunia kuwa msukuma nipo Dubai
Kijana anajitaidi mm nipo geita kiukwer namkubali sana
Dubai maeneo gn mm pia nipo Dubai
Karibu UK
Mungu atujalie sisi wasukuma wanatuzarau sana
Namkubali sana huyu mwamba
Hongera sana namhala , nilicheza sana tarehe 19/10/2019 kwenye harusj yangu _ bariadi simiyu !keep upright
Saf Sana najivunia Sana kuwa msukuma raha❤❤❤
kazi nzuri sana ntemi unaibuludisha sana hakili yangu nakuerewa ani
Bwana ntemi omabala shukurani kwako tena hongera xana i am amused by your music and pieces of advice from them. i am IN BUJUMBURA _BURUNDI Much congratulations to you ng'wana kang'wa
Safi. Sana kwakipaji Chako na mungu akubaliki. Nyimbo nzr sana
Mungu abarki ndoa yao ❤❤❤❤
Hii ndiyo miziki sasa ina jumbe nzito zitadumu milele labda watu waache kuoana na kufunga harusi. Siyo kama za vijana eti kamatia chini kamatia chini😅😅😅
😂😂😂😂😂
Owisee nikwambie usukumani rahaa sikuu yakuoa nikuchukue ujee uni dumbuize😁😁😂😂Niko dar salamu Ila sauti ikoo juu rahaa Ni yangu never give up
Much love from Kenya Nairobi Kenya
Napenda kaz zako broo
Huu wimbo huwa sichoki kuusikiliza at
Nakukubali sana ntemi omabala
Napatikana dar es Salam bonge la song hahaha wasukuma yoooo naipenda
Dah!! Nimekumbuka nyumban nikisikia hizi nyimbo Nikon gwanzuh china
Hongera ntemi umebarikiwa sana msukuma obeja gete
Najivuni kubwa msukuma ngwaka nakupenda sana unapiga sho zuri sana
Mim nikubari kwa nyimbo zako
Najivunia kuwa msukuma nyimbo za mafundisho sana kwenye harusi yangu lazima uje kuimba mungu atupe uzima2
Safi sana. Nyimbo ina maneno mazuri bila maneno ya aibu. Najikumbusha nyimbo nikiwa hapa New Delhi - India.
noma sana sukuma song,yani kama hujuwi hii kabila jifunze,good message ❤❤
Baba nakukubali sana kaka angu MUNGU akuinue zaid
Aminq dada
Nakumbuka nyumbn tu nikiskiliza hzi nymbo
Mungu akuzidixhie Inxhaarlh. Endeleza Kudumixha Mila na desturi zetu. Wasukuma Oyeeee
Asante @Zuhura
Kaz nzuli sana kaka mungu azidi kukupa malifa
Navyokupenda wew mkaka hujui tuu
Nawapendeni woooote!!!
❤ nakumbuka Sana kwetu 🎉 ng,wana Kang,wa
Najivumia kua msukuma I love it
Hongera sana Ng'wanakang'wa unanyimbo nzuri za harus wabeja
Kwakweli ng'wanakang'wa unatutamgaza vzr wasukuma, tunajivunia uwepo wako! Be blessed by the almighty God! We enjoying.
Big up xan waxukuma juuuuuuuuuuu
najivunia kiskuma kua lunga yangu yakuzaliwa njoo na dar utupe burudan
Mamb
Osanjiiii na ubhukulu ikeyula ilelo ❤❤❤❤❤❤❤mpaga mmakingo😂
Kuwa msukuma ni raha❤
Tagal mpwa
Mwanangu hapo ndo hua unagusa nafsi yangu kwa kujituma kwa kazi nzuri
Nyanda Acha Tudange Umepigilia Palepale! Unanikoshaga Saanaaaaaaaaaaa
Kariba mpombwe tena
♥️♥️♥️♥️ sana kaka angu
Akupandaga poli azwalile za gharama kweli big up
Nyanda ndododo, hongera sana. Nasikiliza nyimbo hizi nikiwa 🇬🇧 UK, najikia kama nipo nyumbani kabisa
Pamoja sana , asante 🙏
Nakumbuka mbar sana nipo marekan
Woooh my brother ooh my God nimekupenda sana daaah
kutoka israel wimbo mzuri kama nipo home nitafuteeeee that why make sure that you gonna find me
Hellow, check me 👉 masagamarco1@gmail.com
Ntemi ok ok nice
Nakumba bar sana ck unamuimbia mbinamu yangu huu wimbo
Ndugu yangu mi nazani we ni mkali sana bnafsi mi msukuma zinanifriji kuona wasukuma wenzangu wanafura huku ngambo tunakufuatilia sana ww na yule budagara mungu akubariki sana kazi nzuri nikiludi tz nitakutafuta
Kutoka Chicago, USA nakupata sana kijana wa home kahama,kama Niko nyumbani vile.
Asante kutoka US
Nakubl sana nyimbo kaka ang
Nakukubali Sana mzee
wanaodislike wimbo huu ni kwa sbb hawaijui lugha ya kisukuma lkn ni wimbo mmoja mzuri sana na ujumbe wake ni mzuri sana
Pesa
Kwa kweli nyimbo za huyu jamaa zipo juu sana
Big up kwa ku2tangaza Wasukuma
Big up bro
Mimi sio msukuma ila napenda hu wimbo sana
Wew na nyanda masome nawakubali kinoma bigap ng'wana Kang'wa
Wasukuma tunaweza
Asante Sana kakanyimbo zetu za kisukuma nilizipoteza mda mlefu ila nimezipata na kubuka nyumbani usukumani
Nakubali Sana brother
Za nyumbani ni bomba sana ,naipata nikiwa Zanzibar. Wasukuma juu!
Salum Moh'd Nyiga mpaka oman tunazipata kwa raha zetu watuache wasukuma najihisi nipo nyumbani
Ngwana kangwa ulepatikana hei nyanda
Salum huku kwe2 ndokama hivyooo,SHINYNGA 1 mazeeeee
Iko poa sana
Hii nyimbo kali balaa❤
Kutoka dar naenjoy mziki mzur kutoka kwa mw'anakang'wa🔥🔥🔥🔥🔥yan hatar
Nalekumbuka kukaya obeja Sana ngw'ana kamwa
Uko vzr ❤❤❤
Horas lugaya nakuku bark xna from kigoma manyovu
Ye, mamihayo buli ngh'ana, hangamaga nyanda! Amazing,
Hongera sana nimeipenda
Nipo mtwara yaani najisikia vizuri sana kama nipo nyumbani tuu!!! Jiandae zamu yangu kuimba kwenye harusi yangu. Najisikia vizuri sana, wasukuma tupo juu sana.
Ongerani
nyanda uk vzr sana
Niko Canada nainjoy kisukuma nyumbani mwamalasa kishapu ,nakumbuka nasoma kwa shida, nimekumbuka mboga ya nzuboo, mwabuzo, mwalata Masanga ndoleleji
Yajayo yanafurahishaa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Dah wimbo mzur xn xo big up mn
bwana na bibi harusi yhehye imihayo, bhaleho bhaleho bhamajungu bhangholo jabhubhi😅
Iko vizuri
Ntemi nakupata kijana nafurahi sana nakusikiriza nyimbo zako piga kazi mafanikio nijuhudi yako
Japo saida kaloli alituapia kuwa atazibiti nyimbo zoote za kinyamwezi na kisukuma amefeli tuko juu wasukuma
Ana,ujumbe,mzur❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤ j'adore ce grand musicien merci
Kiukweli japo kisukuma sikielew ila unajua utunzi wa nyimbo za asili nimekufuatilia nyimbo zako nimeona wewe unaweza kumvua bhudagala ufalme wa mziki wa asili cha mhimu ongeza ubunifu wa mziki ufanye uwe biashara isiwe burudani tu kwa nzengo pia pandisheni viingilio watu wankupenda 1000 kwa mtu mzima kiingilio kinawashusha chini ki mapato yenu wenyewe
Ukweli mungu nimwema kwa kwa kipaji tu unacho
uko vzuur sana m shabk namba1 kwako we n diamond wakwetu usukuman unajua sana jtahdi kutoa video tunakupenda sana
Upo vizur mkuu,Endelea kuonesha maujuz na maubunifu every day mzee baba
Poa
Wasukumu mlihoii bhehi
Tujifunze vijana kupitia nyimbo hiz sio kucheza tuu kabla hatujaingia kwenye pingu za maisha
Umenikosha kaka, naipenda sana lugha yangu na tamaduni zake.
Naomba ule wimbo ilbumbi lije kobhabyaji kaka
Nikiwa Dodoma nakupata vzr sana ng'wana kang'wa chapa kz bro
Nakumbuka nyumbani mpka.nalia
Duh mimuha ilanapenda San nyimbo zakisukuma jamn
Ntemi wewe nomaaa
Yaan Hap nahic Kam Niko nyumbn kbc
Najivunia kuwa msukuma
Nabuludik sana Niko ifakala tanzani 2:07
I don’t hear the language but I’m enjoying the song! From Maine USA 🇺🇸
Thanks brother!
How can i send money 💰 to this artist just to buy a drink? Hop i’m talking to the right person. Ibrahimkynga@gmail.com
@@ibrahimkynga3265 where are you?
USA 🇺🇸
@@ibrahimkynga3265 +255744516663 whatsapp for more info!
Mwana Kamwa anatoa ujumbe safi kwa jamii
Kulaga uhangame nyanda Ng'wana Kang'wa...mimbo gako masumba
Kwema
gude gude jigunze kwa huyo chari aisee
❤️❤️Umenikosh San na kisukuma mayo from Oman ipo sik nitafik usukumani✈️✈️
Karibu sana mariam
@@rajabuhussein4652 shukran ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@@stumay-wx9rp naomba number yako unayotumia wasap plz
Maryam karbu
Jaman Mpaka nime miss Nyumban 😭😭 I love you Nyumban
Kali sanaaaa wa home
Nyimbo nzuri, jitahidi utoe video ya shinje na mchoji.!
Nikiwa dar nikiskiliza hizi nyimbo najiona Niko kwetu bala
kazi nzur sana big up
Nakubali.
Musungu wa mwana nkima waluma nhangi lwa nkambheli
Uko vzr ww ni alikiba unaimba nyimbo za asilia siyo za biashala
Allikiba
Najivinia kuwa msukuma napenda kuzisikiliza nimepamis hom niko Dubai